🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA SARAH SEHEMU YA 8- JUNE 05

  Рет қаралды 9,009

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

Ай бұрын

🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA SARAH SEHEMU YA 8- JUNE 05
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:

Пікірлер: 40
@saudahassam3031
@saudahassam3031 Ай бұрын
Natamani kujua yule rafiki wa zamani yuko wapi??je sara ameingia kwenye ndoa mpya au waliishiaje na mpenzi wake ...kazin vipi sara anaendelea na cheo chake au nako mambo yalivurugwa na tapeli??
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly Ай бұрын
Katika maisha kuna vitu vinatokea maishani mwetu vyengine huja kama baraka na vyengine huja kama somo kwetu hivyo hayupaswi kumhukumu mtu kwa kilichomtokea huenda bila yy kupitia hayo tusingejifunza kitu kutoka kwake…..muhimu kuomba mwisho uliomwema kwa kweli,pole sana da Sarah😢
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Ай бұрын
Hii simuliz imeniliza sn mume wangu aliuliwa mbele yangu naumwa kila siku
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Ай бұрын
Pole dear inasikitisha muhimu kuwa karibu Na Mungu mwombe mwambie unavyojisikia atakusadia
@estershilla1560
@estershilla1560 Ай бұрын
Muombe Mungu akupe AMAN YA MOYO atairejesha utaendelea na maisha mengine
@EmmaMosha-np6ir
@EmmaMosha-np6ir Ай бұрын
Huyu mtumishi kama anaitwa Eliza Alitapeli sana Moshi na Habari zake ni mambo ya uchawi
@MerryLaini-wk1ut
@MerryLaini-wk1ut Ай бұрын
mmmh umeanz umeambiwa kipawa anacho kapewa ma mungu. ila katika hicho kipawa anatamaa na nimtu ambae hapendi kazi
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 Ай бұрын
My dear veronica tunajifunza vitu vingi kupitia wewe nakusikiliza kutoka sweden 🎉❤
@naimamalekela812
@naimamalekela812 Ай бұрын
Hakika tangu nijiunge ktk familya ya wanasimulizi za dada Veronica nimejifunza mengi sanaaaa ubarikiwe dada Veronica
@user-zo7uy5hc3p
@user-zo7uy5hc3p 7 күн бұрын
Nimejifunza kumtafuta Mungu wakati ambao niko na amani niko na kila kitu maana nikipatwa na matatizo yeye Mungu atafanyika msaada kwangu. Lakini nikisubiri nifikwe na shida ndiyo nimwendee Mungu sitamtaka Mungu bali nitakuwa naliangalia tatizo langu kuwa litatatuliwa vipi na hapo nitaangukia pua Mungu atusaidie sana nyakati hizi za mwisho yatupasa kumtafuta Mungu wakati wote
@PaulDedan
@PaulDedan Ай бұрын
Pole sana dada Sarah,Kwa yote ulifungwa ufahamu ukatengwa kwanza na ndg Mungu akulinde
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Ай бұрын
Daah pole sana sara,Ila roho inauma umepigwa tukio takatifu
@hurumaanyisile1918
@hurumaanyisile1918 Ай бұрын
Aliolewa na yule baba ila mtumish n mshirikina
@RedRobin-ic8wl
@RedRobin-ic8wl Ай бұрын
Mimi nimejifunza katika stori ya jovin kuwa tusimdharau mtu yeyote kwani hatujui badae mtu huyo anaweza kuwa nani
@ScholarPeter
@ScholarPeter Ай бұрын
Pole sana sara watu hawamuogopi Mungu aisee daah😢
@Dominickmatare
@Dominickmatare Ай бұрын
Sauti Yako inaendana na ulivyo, Upo vzr ktk kipindi
@dorokimz6934
@dorokimz6934 Ай бұрын
Natamani kujua rafiki wa zamani ni kweli alitoka na mumewe? je mumewe aliuwawa kichawi au? I wish to know more..
@annakbunga8377
@annakbunga8377 Ай бұрын
Matangazo mengi sana😅
@user-ct8om8jw3l
@user-ct8om8jw3l Ай бұрын
Asante da vero
@UpendoKusaga-kd2pj
@UpendoKusaga-kd2pj Ай бұрын
Jaman msaada kwa anayejua chanel ya Efm Kilimanjaro aniambie plz 😔
@user-py3ky3dd5x
@user-py3ky3dd5x Ай бұрын
Sasa huy ni mtumishi kweli anamrudia mwenzake akopew ml 80 naamtapeli kiwanja ten jaman
@user-vc4hj5wh2k
@user-vc4hj5wh2k Ай бұрын
Mnao lalamika wadhamini hai ndio wanamlipa mshahara bila hao unadhani faida ya kujiendesha inatoka wapi
@JanealphonceKihwelo
@JanealphonceKihwelo Ай бұрын
Hi dada vero
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 Ай бұрын
Na mm dada Veronica ni mzima
@MaimunaNdindi
@MaimunaNdindi Ай бұрын
Jana niliikosa saiz ndio nimejalibu kuingia you tube naikuta. Nimefurah kukuona vero kwa mara ya kwanza
@dayana5513story
@dayana5513story Ай бұрын
Number ya simulizi pls kama kuna mtu anaijua
@johnbenben
@johnbenben Ай бұрын
Vero jambo umalizio uwemakin mama ili takiwa tujue mchumba vipi kazi vip rafiki vip tulitakiwatujue
@ireneprosper2154
@ireneprosper2154 Ай бұрын
Kwan vp kuus wanawe mbn hawazungumzii kabisa ama nao walikufa
@fabianohaigaru1778
@fabianohaigaru1778 Ай бұрын
you look beatifull today
@JanealphonceKihwelo
@JanealphonceKihwelo Ай бұрын
Hi dada vero😂
@beatricemassawe8883
@beatricemassawe8883 Ай бұрын
Huyo mtumishi fake angetajwa ili muokoe wengne😢
@KhadijaSaidi-cb9qi
@KhadijaSaidi-cb9qi Ай бұрын
Hi da vee
@anipelutego989
@anipelutego989 Ай бұрын
angetajwa ili aaibishwe shetani huyo ili aache kabisa😁😁😁
@MariaLenny-fg6nv
@MariaLenny-fg6nv Ай бұрын
Bora nmepata huu ushaur mapem asee
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 Ай бұрын
Hadi naokopa
@joharihussein6551
@joharihussein6551 Ай бұрын
Naomba kujua 1. Je Sala anafanya kazi gani? Alipotoka hospitali alirejea kazini? 2. Je aliolewa na mchumba wake mpya? 3. Je ni muda gani umepita tangu alipopata changamoto hadi sasa. Asante
@MariaLenny-fg6nv
@MariaLenny-fg6nv Ай бұрын
Mengine 4. Je mtimishi wa Munguval8kamatwa au laah
@MerryLaini-wk1ut
@MerryLaini-wk1ut Ай бұрын
alafu ukisha juwa. kwan si umeambiwa imeisha simuliz ww. itoshe hapo ulipo elewa
@BeatricePeter-lw7pc
@BeatricePeter-lw7pc Ай бұрын
Naomba namba ya wasap
@JanealphonceKihwelo
@JanealphonceKihwelo Ай бұрын
Hi dada vero
🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA SARAH SEHEMU YA 9- JUNE 06
53:53
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 20 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 61 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН