🔴

  Рет қаралды 104,490

Maisha Ya Sasa

Maisha Ya Sasa

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@BeatriceCharles-f8t
@BeatriceCharles-f8t 3 ай бұрын
Mungu bariki viongozi wetu wazidishie maisha marefu baba pia kaongeze wanapotoa ili kukuza uchumi wa timu yetu amina kama mwananchi usipite bila kulike hapa love sana young African's 💚💚💚💚💚💚💚
@MnyamuluiddiHoza
@MnyamuluiddiHoza Ай бұрын
Najivunia kua Yanga Mungu akulinde GSM na viongozi wetu wa Club ya Yanga daima mbele
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 4 ай бұрын
Young Africans Daima mbele nyuma mwiko GSM sina cha kualipa ila tupo pamoja tutasapoti kila aina ya bizaa zenu kilalakheri
@francofisinge137
@francofisinge137 Ай бұрын
Mungu akuzidishie Mara dufu GSM
@FloraNdono
@FloraNdono 3 ай бұрын
Mungu wabariki viongozi wetu wafunike kwa dam ya yesu amen
@BullahSambiga
@BullahSambiga Ай бұрын
Mw mngu awajaalie awape afya njema mlipotoa mungu awalipe mara mia kwakwel wanayanga tunanufaika mno ujio wa eng hersi na GSM mngu awape maisha marefu
@zelamwamasangula9184
@zelamwamasangula9184 Ай бұрын
Hongereni viongozi wetu kwa mkataba huwo
@SamsoniGadau
@SamsoniGadau 3 ай бұрын
Mungu wetu Asante kutupatia viongozi wenye hekima na upendo mzr uwabarikie ili waishi salama kabisa amen
@KhamissAmour
@KhamissAmour Ай бұрын
Yanga yakwetu pamoja wananchi
@mudirashidi-j6r
@mudirashidi-j6r Ай бұрын
asante.gsm
@HijaMuweza
@HijaMuweza 28 күн бұрын
Hakika kweli new injinia wa yang Allah akulinde
@StevenAnord
@StevenAnord 4 ай бұрын
Mungu azidi kuwainua nasisi tuta wasapoti ktk bidhaa zenu GSM, wananchiiiiiiiii daima mbele nyuma mwiko.
@BenedictKayombo-h9s
@BenedictKayombo-h9s 3 ай бұрын
Gsm unambingu yako Kwa mngu ❤❤❤❤ pongez Kwa gsm
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 Ай бұрын
ASANTE SANA GSM
@IsayaMjingo
@IsayaMjingo Ай бұрын
Asnt injinia Heris Saidi hakika unaitendea haki klabu yetu ya YANGA MUNGU na AZIDI kukuongoza.
@AloyseMlengela
@AloyseMlengela 4 ай бұрын
Yanga oyeeeee❤❤❤❤❤❤❤
@liliangeogle1822
@liliangeogle1822 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@WilfredChomo
@WilfredChomo Ай бұрын
Ewe Mwenyenzi Mungu,Mwingi wa rehema na neema,nakuomba umwepushie kila jambo baya comrade Ghalib Bilal na umjazie Baraka tele.Aidha,ombi hili ni kwa viongozi wote wa YANGA chini ya injinia Hersi Said. Mwisho,naomba mwendelee kupuuza maneno ya mitandao ya kijamii yenye dhamira ovu ya kutaka Yanga Afrika isambaratike.I SAY NO AND NO AGAIN.
@AgripaMwangobola-z7r
@AgripaMwangobola-z7r Ай бұрын
Mungu atusaidie tu kwa hili
@yamungunkamata
@yamungunkamata 4 ай бұрын
Mungu ibaliki yanga ktk kazi zake bila makando kando.
@PiterAlex-e4y
@PiterAlex-e4y 4 ай бұрын
Axant GSM
@mathiasdasse2130
@mathiasdasse2130 Ай бұрын
@AmanEustace
@AmanEustace 4 ай бұрын
hongera injinia
@AbdallahNgale
@AbdallahNgale Ай бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@jumasalum2842
@jumasalum2842 4 ай бұрын
Saf sana vitendo vingi maneno kidogo
@Alexchacha-iy4sb
@Alexchacha-iy4sb 3 ай бұрын
Rais wa caf mtarajiwa mwongoza njia
@SkuduMakudubela-f6r
@SkuduMakudubela-f6r 4 ай бұрын
Yang ndyo wanaume
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 26 күн бұрын
Patrici saimoni yanga anafanya nn atushindi kesi vipi?
@JaphetPaulo-b5q
@JaphetPaulo-b5q Ай бұрын
2ko pmj san 2naiman na viongoz niwatakie u2mishi mwema
@PaschaliNkobi
@PaschaliNkobi 5 ай бұрын
💚💚💚💚💚💚💚
@EdiSule
@EdiSule Ай бұрын
kupitia channel gani unangalia moja kwa moja
@GumbuIdi
@GumbuIdi 4 ай бұрын
Mmh kweri
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 4 ай бұрын
Magoma yupo wapi? Kama kweli yeye ni Yanga.
@AzziMahenge
@AzziMahenge 3 ай бұрын
Kwa iyo.tupo.pamoja
@JumaJohn-pg9hc
@JumaJohn-pg9hc Ай бұрын
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
DUNIA (Ep 39)
23:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 139 М.
MAGOLI YOTE 4-0| HIGHLIGHTS 🎥 YANGA  4 Vs CR BELOUZDAD 0 🇹🇿
7:04