Sio lazima wacheze wote ni kuongeza upana wa kikosi kwanza pili Kuna wachezaji muhimu sana yanga lakini hawaimbwi sana mudathir,Max hawa ni wachezaji muhimu na mihimili mikubwa sana katikati ya kiwanja
@gracemtonga326317 күн бұрын
Maolo eeeee! Mwamba bado yupo sanaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@DjFae.b25517 күн бұрын
🎉🎉🎉
@maulididdy107117 күн бұрын
uyu dada anafaaaa
@AgnesSaidi-d9n17 күн бұрын
Huyo azzi kii sialisema anahutubia taifa mbona hatujasikia
@drallan687917 күн бұрын
He is valuable player
@drallan687917 күн бұрын
biased station ;Simba hamtuoni;
@drallan687917 күн бұрын
wachezaji wanalipwa vizuri SSC kuliko Yanga :,madeni Fc
@user-lb4rp1qe8z17 күн бұрын
Nyinyi lipeni vizuri,sisi tunabeba makombe
@beaugosseadam683117 күн бұрын
Sisi wala Mihogo wasojitambua na wenye uwezo mdogo wa kung'amua mambo, tutakubari kwamba RAISI wetu HERSI kazishinda Mamelodi🇿🇦Kaiser Chiefs🇿🇦Orlando Pirates🇿🇦Belouzidad🇩🇿na Vilabu vingine vya huko Soudia🇸🇦 kwa kumbakiza Ki🇧🇫. Ushamba wa kutaka kuzungumziwa sio mchezo!!!!
@IssackleonardBakekela-g2i17 күн бұрын
😂😂we koro nn maana naona imekupain
@drallan687917 күн бұрын
we madeni FC
@MuharamiJuma-q3b17 күн бұрын
Sio lazima wacheze wote ni kuongeza upana wa kikosi kwanza pili Kuna wachezaji muhimu sana yanga lakini hawaimbwi sana mudathir,Max hawa ni wachezaji muhimu na mihimili mikubwa sana katikati ya kiwanja