🔴

  Рет қаралды 9,311

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@reginaandrew6891
@reginaandrew6891 2 жыл бұрын
Amen Barikiwa sana Mtumishi Wa Mungu. Jamani naomba no za Baba MMBAGA Mwenye Nazo
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda pastor David Mmbaga wetu, na Mungu anitendee haja ya moyo wangu nitimize nadhiri yangu, nakuomba Mungu wangu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
@roselineonyango3159
@roselineonyango3159 2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe, Niko Kwa kikundi Cha pili, Niko Kenya
@cristinekenya1050
@cristinekenya1050 2 жыл бұрын
Pastor zidi kubarikiwa, katika SoMo la nguvu ya kuponywa magonjwa , limeniguza sana pastor nko na hiyo shida pastor Sina amani kabisa maishani mwangu, naomba Mungu anirehemu anisamehe dhambi zangu ambazo zmenikosesha amani na naomba pastor naitaji maombi pastor, pastor sjui vile ninaezaunganishwa na wewe moja Kwa moja Kwa njia ya smu, nko Lebanon
@esternaftari8286
@esternaftari8286 2 жыл бұрын
Amina nakuelew Mungu anawek huru sana na kukuinuliw watu ambao hukuwategemea
@raelsarange638
@raelsarange638 2 жыл бұрын
Thanks pastor I'm watching from Iraq but nko kwa kundi la pili, kuna roho ya kukataliwa in my family mimi na watoto wangu, pia need prayers in Jesus mighty name Amen
@happynessleonard8510
@happynessleonard8510 2 жыл бұрын
Amen mtumishi 'kwa hakika Mungu anakutumia vyema kutuponya mioyo na kutufariji ubarikiwe sana ,Bwana yesu azid kukutunza
@reginaoyugi7283
@reginaoyugi7283 2 жыл бұрын
Amina! Mungu akubariki pr.
@elwafedha4337
@elwafedha4337 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa mafundisho hayo yame ni bariki na nimejengeka kiakili
@piscaskatembo3909
@piscaskatembo3909 2 жыл бұрын
Amen amen amen !mafundisho haya yananiponya moyo. Mchungaji umetumwa hakika na YEHOSHOUA MASHIAH kwa ku saidiya kizazi hiki. Ubarikiwe saana mchungaji. Mungu AKUZIDISHIYE upako na maarifa tele
@jacksonmagige4629
@jacksonmagige4629 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sanaaa watu Wa nyumban. Tuko pamoja katika Bwana
@purityruwa6554
@purityruwa6554 2 жыл бұрын
Watu wa kanisa ni wa baya ukweli kabisa mchungaji.....nilikuachwa na mchumba kwa sababu watu wa kanisani walimwambia naenda kwa waganga ndo nikaweza kuenda Europe. Nilikuja kundua baadaye jamaa ashaenda nikasema its Ok life goes on.
@sarahwambui879
@sarahwambui879 2 жыл бұрын
Amina pastor barikiwa zaidi.
@madonajust7752
@madonajust7752 2 жыл бұрын
Amina nimebarikiwa
@davisomanga4777
@davisomanga4777 2 жыл бұрын
Following from doha Qatar
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
Amen
@eustina837
@eustina837 2 жыл бұрын
Asnte pastor nmeelimika kwa mahubir haya
@asooraaasooraa4816
@asooraaasooraa4816 2 жыл бұрын
Amina Amina hakika tunabarikiwa na makambi haya Mungu awabariki
@rachelraphael1355
@rachelraphael1355 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sanaa toka America
@silviafurah9172
@silviafurah9172 2 жыл бұрын
AMEN be blessed pastor
@katotodrivingschool4603
@katotodrivingschool4603 2 жыл бұрын
Roho Mtakatifu utukumbushe pale tulipoweka nadhiri tukashindwa kuzitimiza.🥲🥲🥲
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 2 жыл бұрын
Ameeen kubwaaa
@froline5209
@froline5209 2 жыл бұрын
Sijui vile mko kwa kanisa sauti iko na echo ya kanisa haitoki vizuri tafadhali mrekebishe, wimbo haitoki vizuri kabisa.
@vicknessngenzi6146
@vicknessngenzi6146 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana be blessed. Na nimefurahi kuwaona Zabron pamoja Mungu awe nao wadumu kuwa kitu kimoja na upendo utawale kwao.
@elizabethgodfreytondo3052
@elizabethgodfreytondo3052 2 жыл бұрын
Amen, hakika nimebarikiwa na somo hili Mungu akubariki Pastor
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 2 жыл бұрын
Amina
@janethfwamba8561
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Kweli mtumishi unaupako baba ninashukuru neno hili limekuja kwangu wakati sahihi ndio ninayopitia kwa Sasa niombee baba
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mungu atukuzwe
@rosenanjalawafula6803
@rosenanjalawafula6803 2 жыл бұрын
Mimi nabarikiwa nikiwa Saudi. Godbless
@dianarobert7953
@dianarobert7953 2 жыл бұрын
Mungu akutunze tuu pr.
@neemamtoba2603
@neemamtoba2603 2 жыл бұрын
Hakika tunabarikiwa sana Pr
@amosisandikwa5051
@amosisandikwa5051 2 жыл бұрын
Jaman naomba kujua hiri ni kambi 🏕️ la wapi namwona hata Zabron!!
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 2 жыл бұрын
Vita ya kukataliwa ndiyo
@hellenratemo2813
@hellenratemo2813 2 жыл бұрын
Amen be blessed pastor, nice and powerful message
@anithamami1979
@anithamami1979 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏻
@OnchongaRich2020
@OnchongaRich2020 2 жыл бұрын
Na ikitokea kwamba nakataliwa na watu wa karibu sana kama mke, mzazi au ndugu wa kuzaliwa, nitawezaje?
@amosisandikwa5051
@amosisandikwa5051 2 жыл бұрын
Tuko pamoja live kwa sasa nikibalikiwa na ujumbe mzuli.
@witnessfredrick555
@witnessfredrick555 2 жыл бұрын
Amen be blessed Pastor
@hawamusumba431
@hawamusumba431 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@amosisandikwa5051
@amosisandikwa5051 2 жыл бұрын
Tuko pamoja live kwa sasa nikibalikiwa na ujumbe mzuli.
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 9 МЛН
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН
Pr. Mbwana - Amani Haipatikani Jalalani
1:11:08
Peter Mugah
Рет қаралды 27 М.
UJUE UCHAFU WA WIGI NA MAPAMBO WANAWAKE.
15:02
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 43 М.
PST. GEORGE MUKABWA | VIWANGO VYA KIBALI |  29/05/2022 | JRC
1:01:51
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 3,1 М.
🔴 #LIVE: MATUMIZI YA SILAHA ZA KIROHO || PR DAVID MMBAGA
53:21
SAMSON - IBADA YA SABATO MCH. BARAKA BUTOKE
1:03:37
NGUVU YA INJILI
Рет қаралды 16 М.
Power To Change Your Life :- Pr David Mmbaga
1:01:54
Richard Ribo
Рет қаралды 8 М.
Mwanaume Kufa Mapema prt 3  - Pr. Joshua Njuguna
49:20
2CBN TV
Рет қаралды 114 М.
🔴 #LIVE 24.11.2024 | ELIYA NA MOTO WA UJASIRI  | PR. DAVID MMBAGA
1:16:40
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 9 МЛН