Pastor Mmbaga, nakiri kuwa, Katika kusoma kwangu (unaielewa) kwa wahubiri wa ukristo sijasoma "exposition" ya Imani kwa kiwango Mungu amekufunulia. Nawaombea wote watakao kusikia kwa somo hili wafikie ufahamu Mungu amekufunulia. Dunia itapona.
@ElizabethJacob-dh6gq2 ай бұрын
KAKA YANGU YESU KRISTO akubariki sana,,,,,zamani nilikua sikupendi sana ila sikujua kua MUNGU kupitia wewe atajidhihirisha kwangu na nimpende MUNGU WANGU kiasihiki ninavyompanda sasa aisee BABAYANGU AKUBARIKI SANA
@brendammas20202 ай бұрын
mbona ulikua haumpendi
@SharonAron-t1j2 ай бұрын
Ni kwa kuwa kulikuwa kuna upinzani katika ulimwengu wa roho, ashukuriwe Mungu uliendelea kumchukia huku unamfatilia mpaka ile roho chafu ikakosa nguvu na imeondoka leo kaka Dev amekuwa kakaako
@estherMhina-oq8we2 ай бұрын
Kumchukia mtu bila kosa ni roho tn inapumua kbsa itakuletea shida maishani maombi yanstakiwa hiyo roho ikutoke.
@MahubiriPrMmbaga29 күн бұрын
Mungu atukuzwe kwa mambo makuu
@ElizabethMunis-dq1lo2 ай бұрын
Amina! Somo la pekee sana, Bwana akubariki Pastor Mmbaga
@christinamafuru47842 ай бұрын
Mungu akubariki na familia yako, akutangulie kila unapomtangaza ukuu wake ukajiinue jina lake lipewe sifa kupitia neno la Mungu nimekuwa napata faraja
@purity134Ай бұрын
Thanks pastor Mmbaga,thru..your preaching l'm lifted in the name of Jesus christ
@rabiaamanielmshana58562 ай бұрын
Naomba Mungu aniongezee Imani.Natamani baraka zangu zisikome Kwa kukosa Imani
@allexraymond5085Ай бұрын
Tumefurahi kwa ajili ya USHUHUDA wako Pastor, wengi imetutokea hii , tunaomba jambo ambalo Mungu amekwisha kujibu. Tena last week. Utukuzwe Mungu wa Mbinguni siku zote, ukawatendee na Wengine zaidi ya ulivyotenda Kwako kwa Jina la Yesu Amen
@happybina-gq9lp2 ай бұрын
Past hujui tu ni jinsi gani mahubiri Yako anakuza Imani zetu
@capture.43302 ай бұрын
I'm healed thanks God ......Mercy and Grace of God have saved me. Hallelujah
@perisbosibori85242 ай бұрын
AMEN and AMEN! GOD bless you so much Pastor Mmbaga for this timely message 🙏🏻 🙌🏻.
@KIJANAMAENDELEO2 ай бұрын
❤🎉❤🎉🎉❤❤🎉🎉❤❤🎉❤🎉❤ GOD HAVE MERCY UPON US
@Joharissa-f6p2 ай бұрын
Amina , Pastor Mbaga MUNGU akubariki sanaa Mungu akutumia kwa upande wangu umenipa ujasili na nguvu za maombi.
@MahubiriPrMmbaga2 ай бұрын
Amen
@Joycependopendo-dv2tb2 ай бұрын
Amen bwana Asifiwe namshukuru mungu Niko salama kweli kabisa pastor mungu akubariki
@MinaTuzo2 ай бұрын
Ombea ndugu zangu Amos na Jones wenye wamefungwa kwa minyororo ya kunywa pombe, na utumiaji wa mihadharati.
@PheadaKasigwaАй бұрын
Hakuna jambo linaloshindikana kwa Mungu endelea kuomba na kufunga Mungu hutoa mlango wa kutokea amini tu nakuombea
@pendopeter1790Ай бұрын
MUNGU azidi kukutumia Mchungaji uzidi kutulisha mafundisho yenye kukuza Imani zetu.
@MichaelWambula2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@sinzalemossi20542 ай бұрын
Amen Asante Yesu wangu❤❤❤❤
@AgnesAlbert-c1tАй бұрын
We Mungu tusaidie tuwe naimain endelevu amen.kama Kuna SoMo la kukifuza San niimami ubarikiwe mchungaji.
@chrispohkimani28752 ай бұрын
Waooh congratulations mtumishi God bless you abundantly
@shukraniiddi4822 ай бұрын
Ninabarikiwa kwa neno
@CostantineCholaАй бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@Rehemakusaga-u6b2 ай бұрын
Ubarikiwe paster naomba uniombe MUNGU anipatie mbaraka wa ndoa pia aniinue kibiashara make na anisaidie nipate kodi ya kulipia pango
@ChristopheMufariji-kh3kq2 ай бұрын
Ninzuri sana kabisa🎉
@JuneBwari2 ай бұрын
Bawana yesu asifwe mimi naitaji maombi kwa ajili ya familia yangu na yetu my name is rael ombasa from kisii
@john-m2z2 ай бұрын
Amina,hebu bwana yesu ampe ushindi,ndio muweze kumtukuza kwa mataifa,Amina.
@weahfeint3406Ай бұрын
11:36-12:30❤🎉🙏🏾
@SenatorOrokoАй бұрын
Mungu nisaidie niwe na imani ya kustahimili yote.
@EnockYakobo21 күн бұрын
ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@SalahJoseph-c3h2 ай бұрын
Barikiwa Sana
@KulwaMsafiri-o3e2 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 in a Jesus name
@AbiudMatire2 ай бұрын
Muhubiri naomba uniweke kwenye maombi ili nipate visa❤🙏
@Trizah-254-e2 ай бұрын
AMINA
@CatherineMgusi2 ай бұрын
Naomba unisaidie kuongea na wew nmekutafuta sana 🥺🙏
@DanielSamson-h4v2 ай бұрын
Amen❤❤.
@happybina-gq9lp2 ай бұрын
Amina
@HlLh-g9r2 ай бұрын
Tafadhali mchungaji nipe mawaida
@HlLh-g9r2 ай бұрын
Naomba pastor tafadhali uniekekeze lakini kwanza nashukuru kwa somo la leo
@irakozegracia1832 ай бұрын
Amen 🙏
@Mapenzi26352 ай бұрын
"wakristo wenye Imani ni wa chache ila wenye matumaini ni wengi" Pr. D. A. Mmbaga. 8/11/2024.
@bethkendi51572 ай бұрын
Amen
@florencendatila9183Ай бұрын
Ameen Baba
@lilianeerica33182 ай бұрын
Paster tunaomba link au code ya zoom tuwe tunaingia kufatilia huko
@MahubiriPrMmbaga2 ай бұрын
Ilikuwa ni siku moja tu
@lilianeerica33182 ай бұрын
@@MahubiriPrMmbagasawa paster siku nyingine tutaalifu Asante
@brianmpembeni33232 ай бұрын
Pastor contact zako ninaziomba niweze wasiliana nawe
@MahubiriPrMmbaga2 ай бұрын
+255 755 932 283
@yamungummungulo633Ай бұрын
Pastor naomba kam itakuprndeza unijibu, makanisa 7 katk ufunuo inaonesha shetani alikua ndani yak je mantiki kuu ni hpi?
@UpakoGospelАй бұрын
Bwana asifiwe mimi naomba namba ya mwalimu
@KendiLydia-tf2ii2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@GuillaumeLumande-j3d2 ай бұрын
❤🙏
@HlLh-g9r2 ай бұрын
Mimi niliteleza kwa ujinga wangu mwenyewe nikatoka kanisa langu la kiadvenstist
@mrsdeborahurio2 ай бұрын
Bwana anakusubiri , anakupenda sana❤
@lasentinelle772 ай бұрын
Nakusalimu ndugu. Naitwa Samuel NGEMBWA. Nakuomba ukumbuke andiko lifuatalo na ulitendee kazi nakusihi kwa neema ya MUNGU : Yohane 10:16 BHN [16] Tena ninao kondoo wengine ambao hawamo zizini humu. Inanibidi kuwaleta hao pia, nao wataisikia sauti yangu, na kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja. Bwana akuwezeshe kurudi nyumbani. ISAYA 56:6-7. Ubarikiwe.
@PheadaKasigwaАй бұрын
Nakuombea urudi neema ya Mungu ingalipo wala hujachelewa mpendwa
@HlLh-g9r2 ай бұрын
Sasa yamenikuta mume wangu ni riman catholic lakini haendi kanisani nimejaribu kumshawishi aniajie nikahudhurie kanisa amekataa nisaidie nifanye tafadhali nijibu
@JuneBwari2 ай бұрын
Bawana y
@DanielSamson-h4v2 ай бұрын
Pr David Mmbaga, " na mimi naomba i uniombee lile ombi aliloombewa Hana na kuhani hekaluni jamani."
@MahubiriPrMmbaga2 ай бұрын
Mungu akupe haja ya moyo wako
@DanielSamson-h4v2 ай бұрын
@MahubiriPrMmbaga Dahh Amina, Amina, Amina, Amina, AminaAmina,Amina. ila sikutegemea kama utanijibu haraka hivyo.
@Rehemakusaga-u6b2 ай бұрын
Amen
@Rehemakusaga-u6b2 ай бұрын
Paster naomba uniombee nipatie ndoa pia ninaomba uniombee MUNGU aniinue kwenye biashara pia nadaiwa kodi ya pango la biashara
@HappinessJorwa2 ай бұрын
Mchungaji naomba unisaidie namba yako
@Josephbkg1Ай бұрын
Help me how I can talk with the pastor, even on Instagram or WhatsApp 🙏🥺