Team lissu wanapiga point za maana sana jmn wanastaili kupewa nafasi ya uongozii🧠🧠
@moddysunshine6618Күн бұрын
Mmekosa busara. Mnavuana nguo hadharani. Mambo haya mnayojadili kwenye vyombo vya habari mlipaswa kuyajadili ndani ya chama. Baada ya uchaguzi hamtarudi tena kuwa timu moja. Mmejeruhiana sana. Hamtaponya Vidonda hivi mapema
@JohnNyari-k6dКүн бұрын
Huyuuu kijana wa mbowe ana akili nyingi sana nimekubali
@Safariking2010Күн бұрын
Clouds nawaona kama mko team Mbowe vile!
@SaidAlly-uh4qwКүн бұрын
Kijana wa mbowe yupo makini sana
@kwisa4899Күн бұрын
Clouds si wanataka kuua chadema ,wanajua madhara yake..
@hubertbango142822 сағат бұрын
Yaani chanel kibwa kiasi hiki lakini mmeshindwa kufanya mjadala huu unoge. Ni kelele tu maswali mengi, mengine hajajibiwa mpaka mwisho. Hakuna hata mlilofanya hizi team zionyeshe sera. Bora watu wangelala tu.
@omarinyahegs4539Күн бұрын
Hii ni sawa kwa sababu kuna chadema Ccm na Chadema halisi na Chedema halisi inapambana Chadema Ccm yenye fedha lazima chadema halisi ikifanya siasa staarabu hatutiboi
@adammseven7085Күн бұрын
Bwana upara wewe mm nimekupa hongera manake una upeo mkubwa sana kutenganisha kati ya timu hizi mbili nimefatilia mjadala wengi wanakimbilia akikosolewa fam wanasema unakianika chama kitu kibaya sana hicho
@georgelazaro394021 сағат бұрын
Huyo Masound uliza maswali proffessional
@ladislausriwa776820 сағат бұрын
TAL ana ndimi mbili. August Aliandika barua ya kuweka nia ya kusudio la kugombea umakamu mwenyekiti na Uraisi. Na kwenye mahojiano na baadhi ya media alinukuliwa akikataa kugombea uenyekiti pamoja na Mbowe hadi alipopata shinikizo au uvuvio mpya uliomtaka agombee uenyekiti. Mtu mwenye ndimi mbili anawaita wenzake waongo anafaaje kuongoza chama?
@melch3097Күн бұрын
Lisu mda mwingi anahangaikia afya yake, ni jambo jema, lkn kwa sasa asingechukua cheo chochote. Vitamtesa sana
@jimmymafufu7394Күн бұрын
Huyu kijana anaakili kuliko wote waliokaa hapo studio anapewa nafasi kidogo lakini mzagamuo wake sio wa nchi hiii
@LumolaStevenКүн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@georgelazaro394021 сағат бұрын
Kipara uelewa wake mdogo sana
@GasperKapungu16 сағат бұрын
Gwamaka hajui.mwaka 2000 chadema aligombea bob makani.ni 1995 na chadema walimsapoti mrema.na hiyo alietoa siri ni mbowe jana
@winfredcanaan582Күн бұрын
Huyo kijana Lumola yupo vizuri sana.
@MwambaJimwambaКүн бұрын
Nimekubali. Lumola ni mzima kinoma
@LumolaStevenКүн бұрын
Ahsante kaka Winfred
@LumolaStevenКүн бұрын
@@MwambaJimwambaAhsante kaka
@OmmyJames-xn7jiКүн бұрын
THE END OF SACCOOS 😢😢😢
@GasperKapungu16 сағат бұрын
Katibu mkuu mnyika alishamwambia lissu apeleke tuhuma zake kwa chama.hadi leo hajapeleka anapiga kelele tu airport akitokea nchini kwake ubeligiji
@ibrahimselemani4306Күн бұрын
Chadema mnajipoteza wenyewe aisee
@1961nungwi10 сағат бұрын
Masoud usivae mawani myeusi ndani ya studio wakati unaongea na wageni. It's a sign of disrespect and lack of professionalism and lack of seriousness.
@deokimena5168Күн бұрын
Kazi kutupiana mizigo na lawama hawa wamerogwa
@Safariking2010Күн бұрын
Siza anapindisha maswali kwasababu swali sahihi hapo ni kwamba Ni ipi nafasi ya Mbowe inapotokea swala la tuhuma kama hizo za rushwa? Au yeye kama mwenyekiti hausiki na kusimamia maadili ya chama kwa ujumla?
@SaidAlly-uh4qwКүн бұрын
Rais samia suluhu hasan kweli ni mwanasiasa mkongwe atashinda kwa kishindo kwa sababu chadema wameingia ktk MFUMO
@BALINGIMLALAКүн бұрын
Matangazo mengi sana
@TzTimes20 сағат бұрын
Wanakera sana hawa wasenge, muda mwingine hakuna kitu wanapoteza muda tu na logo lao la powerbreakfast na mdundo.
@emmapaul1766Күн бұрын
Haya matangazaji mbona mapumbavu yanaingilia wazungumzaji
@georgelazaro394021 сағат бұрын
Hawa chadema hamanazo
@MuhammeduallyКүн бұрын
Hakuna kama ccm
@amwesigajonathan69149 сағат бұрын
Wagombea wa nafasi uenyekiti wapo wagombea wanne
@georgelazaro394021 сағат бұрын
Wewe kwanini ukiendq
@Babamlezi200723 сағат бұрын
Cjawah kuona watuhumiwa wa rushwa serikalini wakihojiwa kuhusu tuhuma hizo na main stream media. Kulikoni wanangu😂
@Wittyangelo17 сағат бұрын
Hakuna Uchaguzi wa Namna hiyo kule Raisi ndiye mwenyekiti wa Chama na anachagua sekretarieti yake
@GasperKapungu16 сағат бұрын
Jamaa wa mbowe ni mtu makini sana.lissu ni mropokaji na analengo la kuuwa chama.siri za chama na mambo ya ndani anayaongelea barabarani.lissu anashauriwa na Dr slaa na msigwa wakati wale tayari ni CCM.lissu ana uraia wa nchi ya ubeligiji ataongozaje chama cha Tanzania.lissu anatakiwa aongozwe na sio yeye aongoze hana busara. Hana karama.anaropoka bila kuwasilisha ushahidi
@ladislausriwa776821 сағат бұрын
Yeye amepelekewa rushwa na Abdul akisindikizwa na wenie. Alitakiwa apelekewe na nani tena? Amechukua hatua gani kwa hilo tu? Mchungaji Msigwa alipeleka malalamiko yake ya kuibiwa uchaguzi na Sugu huyu alichukua hatua gani pamoja na ukweli kuwa alishiriki kampeni za Mchungaji kwa kusema mgombea mwenzake anatumia pesa za rushwa ambazo hazitakiacha chama salama?
@AbelJohn-tx4inКүн бұрын
Hao timu mbowe waache upumbavu, wanasema Lisu amekuwa mwenyekiti wa kamati ya maadili kwa huo muda amefanya nini, Lisu ametoa shutuma za rushwa ndani ya chama ikiwa ni moja ya majukumu yake akiwa kama mwenyekiti kamati ya maadili, hao hao tena wanasema anakivua nguo chama kwa kutoa Siri za ndani za chama, hao timu Mbowe Wana matatizo ya akili
@joshuaswai8203Күн бұрын
Kwani angeweka mtegoakawata takukuru si tungemwona shujaa badala ya kubwabwa Kama ugomvi mke na mumeo aibu ameangamiza chama Lissu amechoma nyumba yake ataishi wapi? Atajengaje upya bila mchanga Yuko wa saruji na mchanga?
@NiazonBukokeКүн бұрын
@@joshuaswai8203we ni shonde
@melch3097Күн бұрын
Huyo mwache anazidi kuchanganyikiwa siku had siku@@joshuaswai8203
@GasperKapungu16 сағат бұрын
Unatoa shutuma bila evidence?ni porojo tu na timing ya kumchafua mwenzie ili yeye apate kura.atoe ushahidi
@GasperKapungu16 сағат бұрын
Huwo ni mtazamo wako.ila lissu na watu wake wana siasa za kukurupuka na za mihemko
@hubertbango142822 сағат бұрын
Lyenda una akili nyingi na kubwa sana. Hapo hamna level zako. Sio fetty sio masoud.
@godfreymushi6966Күн бұрын
Erti umelogwa waandishi wa Tz ni waende hata kozi jamani si.kwa kuwaokta okota tu bara barani
@lazaroletionКүн бұрын
Watangazaji nyie mnaendekeza kelele tu, mbona hamuanzishi swali na likamalizika??