#live

  Рет қаралды 9,915

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 17
@AliAhmed-m1o2u
@AliAhmed-m1o2u 2 ай бұрын
Simba bado kabisaa wanahitaji kufanya kazi zaidi😮😮😮
@ignatiuskaishe34
@ignatiuskaishe34 2 ай бұрын
Umeanza vizuri sana😊 1:39
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 2 ай бұрын
Simba ni mpya imecheza vizuri sana leo na itakuwa motoo zaidi
@issaali1321
@issaali1321 2 ай бұрын
Mbona Muna haraka sana wachezaji kupaform haraka ivyo. Ni jambo la kawaida mchezaji kuingia kwenye mfumo. Thiery Henry ilimchukua muda mpaka kuwa mfumgaji bora kwa Arsenal na angalia Kai Havet wa Arsenal pie angalia ilimchukua muda mpaka akaaza kufunga magoli sasa Bado kwa time ya mpya kama Simba ikapafom vizuri. Bado ni mapema mno kujaji ipeni muda timu .
@IdrissaHabibu
@IdrissaHabibu 2 ай бұрын
Kwani huoni uzito wa ligi yetu
@wimranpatrick
@wimranpatrick 2 ай бұрын
Msunari fc
@MuuminShamra
@MuuminShamra 2 ай бұрын
Kuna baadh yawatu sio watu wa mpira wanaongea tuu simba inaitaji muda yani mashabiki wampira kwasasa tusifikirie kikombe tuwe nasubira tutafurai naamin
@KabungaKalla-fw4pp
@KabungaKalla-fw4pp 2 ай бұрын
😮😮😮kipimo chabeki kinakijaje? Timu haija shambuliwa unaisifia beki imeimarika wakati hawakupewa presha!!?
@abrahamchengula8137
@abrahamchengula8137 2 ай бұрын
TIMU waliiocheza nayo haikuwapa test sahihi kwa ushindani
@AsifiweMwamatenge
@AsifiweMwamatenge 2 ай бұрын
Simba timu zuri natuwape mdawatafanya mambo makubwa baada ya miezimitatu TU mtafurahi.wenyewe.
@AsifiweMwamatenge
@AsifiweMwamatenge 2 ай бұрын
Watu mnachokosea mnafananisha Simba na Yanga Yanga ambayo imetengenezwa miaka mitatu nyuma mnaonngeasana kama mautopolovile mnapenda sifatu.
@PaulMuasya-z8c
@PaulMuasya-z8c 2 ай бұрын
Safu ya ushambualiaje ya akina Kagere, Okwi na John Bocco ndio bado lakini kwa Chama hamna kitu kwani mechi nane za mwisho msimu uliopita chini ya mwalimu Mgunda Chama alikaa nje na timu ilipata matokeo kinyume na mechi ambazo Chama alikuwepo ndani. Tambora walijaa golini kitu kilifanya mchezo kuwa mgumu lakini kama wangelifunguka hivi ungelikua unasema mengine wewe hapo
@LucianaJoachim
@LucianaJoachim 2 ай бұрын
Huyo friji bovu ana kuma na mkundu
@ramamakelo3780
@ramamakelo3780 2 ай бұрын
Usitukane brother, huu mchezo hautaki hasira
@DarliotonTumaini
@DarliotonTumaini 2 ай бұрын
Leo hutaki unafiki😂😂😂
@zenajuma6519
@zenajuma6519 2 ай бұрын
Wewe ulitaka wacheze vipi kacheze ww
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 76 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 35 МЛН
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 7 МЛН
ALLY KAMWE AWATUKANA WAZEE WA SIMBA #football
3:45
MayungaOnline
Рет қаралды 742
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 76 МЛН