#LIVE

  Рет қаралды 4,129

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Akalala, akaota ndoto mara ya pili
Mwanzo 41:5
Pastor Innocent Mashauri
+255 758 708804 Whatssap text, Call
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 38
@yuniswilfred7735
@yuniswilfred7735 23 күн бұрын
Mtumishi kama unanijua vile hizo ndoto zote nilishakwisha ota ila sikujua namba ya kuomba hicho kipindi tulikua na maisha mzuri na tulikua tuna Jenga nyumba gafla mume wangu akapata ajali ya gari ila nilikua naomba ila sio ya kakati gari bondeka vibaya mume wangu alitoka mzima ila kutoka hapo Sasa tuna miaka minne kula yenyewe tunaomba ndugu jamaa na marafiki kazi yenye mafanikio hakuna, mpaka Sasa maombi yangu ningumu siuoni mpenyo inanifanya Imani yangu kutokua na nguvu,
@BarathMneka-kj1qe
@BarathMneka-kj1qe 14 күн бұрын
Mungu naomba unifungue na unisaidie katika hili🙏
@NeemaKarisa-s2w
@NeemaKarisa-s2w 23 күн бұрын
Ooh Asante MUNGU.Mtumishi Asante sikua najua kuomba halafu inatokea kwa mwengine 🙏🙏
@GeofreyJones
@GeofreyJones 23 күн бұрын
Asante Bwana Asante Yesu Eh mwenyezi Mungu Naomba nahamuru kufunga malango yote ya ndoto chafu katika jina la Yesu
@GiftNamonje-kp5qv
@GiftNamonje-kp5qv 22 күн бұрын
Yani mimi nime zindi mbona naotanga sana mutumishi wamungu ,mungu ani kumbuke mimi mwe Niko Zambia 🇿🇲 Asante sana Tena sana,sasa nimefika yani nimeogopa mungu anipe nguvu uvumilivu unjasiri ❤niko hapa boda tunduma🇹🇿🙏🙏🙏
@NeemaMeshaki-qm4ew
@NeemaMeshaki-qm4ew 23 күн бұрын
Pastor Mungu akubariki sana mafundisho yako yamekuwa ya baraka sana kwetu NEEMA YA MUNGU IKUFUNIKE KILA UWENDAPO
@GhFc-w9k
@GhFc-w9k 23 күн бұрын
Nashukuru sana Mungu akubarki wakati message imeingia saa tisa nimeamka nikaomba pamoja nanyi.naamini Mungu atanisaidia katika hii maisha ninayo pitia
@WinfridajohnBiffa
@WinfridajohnBiffa 23 күн бұрын
Nifundishe mtumishi moyo wangu umechoka naota Niko nyumbani nakula kila siku naota Niko nyumbani nikianza kusali natapika
@NeimahNeimah
@NeimahNeimah 23 күн бұрын
Amen mtumishi
@SarhKinia
@SarhKinia 23 күн бұрын
Mtumishi hizi ndoto zote mm naziota ee mungu nisaidie
@JumaAugusto-du5bu
@JumaAugusto-du5bu 23 күн бұрын
Amém Amém kwa jina la yesu Kristo akuna kinashochindikana asante sana psta mungu akupe mwaka mingi sana vya kuishi hapa duniani ubarikiwe sana sana 💯💯💯🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏👌👌👌🫵🫵🫵
@irenesangolo1272
@irenesangolo1272 23 күн бұрын
Maovu hayata tupata katika Jina la Yesu Christo amen
@briansafari9714
@briansafari9714 19 күн бұрын
Naota nateseka sana kukimbia
@GiftNamonje-kp5qv
@GiftNamonje-kp5qv 22 күн бұрын
Eeeeeeeeeyesu unikumbuke mwe zote naotaga leza mpepula nazina ashidwe kat kaji ala YESU aliye yai
@adriannekemia1205
@adriannekemia1205 23 күн бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 23 күн бұрын
EEE Mungu nisaidie mwanao😭😭
@SYDEYLINET
@SYDEYLINET 23 күн бұрын
Asante YESU kweli hii kifungua macho,MUNGU nipe hekima na utambulisho wa kufafanua ndoto,niinue kwa imani yangu barikiwa sana mtumishi wa MUNGU AMEN AMEN AMEN
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani 23 күн бұрын
Amen amen
@MarieMakiwa
@MarieMakiwa 23 күн бұрын
Amen
@JenniferMwakingili
@JenniferMwakingili 9 күн бұрын
amina
@georginamwihava1743
@georginamwihava1743 23 күн бұрын
Asante Yesu
@SarhKinia
@SarhKinia 23 күн бұрын
Ameni
@JoyBeautiful-q3r
@JoyBeautiful-q3r 23 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@briansafari9714
@briansafari9714 19 күн бұрын
Changamoto kwenye uchumi
@WinfridajohnBiffa
@WinfridajohnBiffa 23 күн бұрын
Mtumishi nawezaje jamani kuacha kuota ndoto za nyumba
@Dinah-o3r
@Dinah-o3r 23 күн бұрын
Aminaa 🙏
@EddisonMberyaGibson-gu7yk
@EddisonMberyaGibson-gu7yk 23 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@klm645
@klm645 23 күн бұрын
Asante mungu
@RonaldChigiri
@RonaldChigiri 23 күн бұрын
Niliota nafunga ndoa Kwa kitanda tena tumevaa nguo nyekundu alafu mm na huyo mume tunazunguka moto yaani kama harusi ya wahindi alafu huyo mwenye kunioa alikuwa amefunga tu hiyo nguo nyekundu kwa kiuno huku juu hana nguo mtumishi nko na changamoto kila mahusiano huwa hayadumu
@GhFc-w9k
@GhFc-w9k 23 күн бұрын
Niliota bro yangu amebandikwa chapa kwa kifua kinasema stoned to death na anatembezwa town naummati mkubwa nyuma.akiambiwa aseme maneno ya mwisho kabla wamuuwe.nililia kwa uchungu nikitafuta msaada kwa bro yangu mkubwa nikimwambia niko na 75 na haitoshi yeye akasema yuko na 300 nilipogeuka nikamgonga nakuni ya moto na sijui huo ukuni ulitoka wapi.nilishuka nikaamka.baada ya miezi 7 huyo niliyemuota akazini na bibi wa mwenywe akashikwa akafungwa 15yrs.saa hii ikifika feb atakuwa amemaliza mwaka mmoja.toka jana nilipoanza kupata mafundisho yako mtumishi nikimuombea baadaye nakosa amani na kujihukumu mimi
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 23 күн бұрын
Duuh polecna ndugu
@irenesangolo1272
@irenesangolo1272 23 күн бұрын
Maovu hayata tupata katika Jina la Yesu Christo amen
@joycemakokha9648
@joycemakokha9648 23 күн бұрын
Amen
@DelaneyWambui
@DelaneyWambui 23 күн бұрын
Amen
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 23 күн бұрын
Amen
@NaomiBahati-p6j
@NaomiBahati-p6j 23 күн бұрын
Amen
@peterkarera6297
@peterkarera6297 21 күн бұрын
Amen
@edinahKwamboka-j2q
@edinahKwamboka-j2q 6 күн бұрын
Amen
#LIVE: NAMNA YA KUOMBEA MAHITAJI YAKO YA 2025
1:58:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,5 М.
#LIVE:MAOMBI MATATU YA KUMUOMBEA MWANAO SHULENI
2:08:35
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,3 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Tidur dalam perlindungan Tuhan  -  Audio Alkitab Menguatkan (Musik Instrument)
2:29:12
MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris
3:14:49
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 177 М.
#LIVE: JINSI YA KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA // FUATA HATUA HIZI
2:17:03
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,9 М.
Peaceful Soft Quran For Deep Sleep, Stress Relief, & Healing ✦ NOOR
2:28:59
NOOR - Holy Quran
Рет қаралды 1,2 МЛН
#LIVE: 2025, AGANO LAKO NA MUNGU WAKO
2:10:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,6 М.