Sasa nimewapenda, huu ndiyo Utani, Munaongea bila kudharilisha, Bali kurushana Roho safi sana, Mumekutana Airport 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@fadhiliSelemani-q3v10 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@nemfbc73916 күн бұрын
Nyie....ally kamwe...akiangalia hii video😅 Jumatatu haijafika😅😅😅
@alishaplate629015 күн бұрын
Inshallah Yanga tutafuzu inshallah mungu tusaidie 🙏
@perepetuajohn15 күн бұрын
Mungu ni mwema tunawaombea mfike salama na Mwenyezi Mungu atupatie USHINDI🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@anithawidambe75434 күн бұрын
TUIGE HAWA VIJANA SAFI SANA
@anthonymilinga869615 күн бұрын
Nyie jamaa mko sawa sana huu ndio utani wa jadi, upendo kwanza haya mambo mengine yafate badae, mnavyo cheka nakuongea kwa upendo inaonyesha zahiri kabisa kuwa nyie ni marafiki pembeni na mambo ya mpira. Mungu azidi kuwapa nguvu na upendo baina yenu siku zote, kuna maisha baada ya mpira.
@makischocho461315 күн бұрын
😂😂😂hawa marafiki sana wanapendeza kua wasemaji
@GracePaul-k2l15 күн бұрын
Alafu sis uwa tunadandia basi kwa mbele ukorofi tu sisi wao wanapendana
@PauloMkwama-t1g15 күн бұрын
Lakin awajamaa wakikutana aiseee utaishia kucheka sana😂😂😂aiseeee comed sana awa