LIVE 🔴 Vitu vya kuzingatia kwenye maombi ya Visa ya Norway

  Рет қаралды 264

Kiswahili ni Urithi

Kiswahili ni Urithi

Күн бұрын

nenda kwenye udi.no/en/want... kuanza maombi ya visa
nenda kwenye www.norway.no/... kupata orodha ya vitu vya kuweka kwenye maombi ya visa

Пікірлер: 24
@zackariangonyani
@zackariangonyani Жыл бұрын
Sawa sister mungu akubariki
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri Жыл бұрын
Amina, tubarikiwe sote
@HabiBarnabas-t5x
@HabiBarnabas-t5x Ай бұрын
​@@MwalimuShaurishikamo dada habar za kazi hongera sana kwa kazi nzuri unayoifanya ...samahani dada mimi nahitaji niende kwa njia ya visit visa kwa sababu visa ya kusoma sina pesa iyo milioni 32 ... sasa nawaza nikienda kwa Visit visa alafu nikifika huko nauwezo wa kutafuta shule kwa izo siku 90 nz nikifanikiwa nauwezo wa kubadili visa yangu iwe ya kusoma au hapo inakuwaje dada ... ? Yaani me natamani sana kusoma nje ya nchi
@abrazizi93tv98
@abrazizi93tv98 Жыл бұрын
Asante dda kwa muongozo mzuri, mungu akubariki uzidi kufaniakiwa, na uwe na mou uo uo wa kujitorea kutupa taarifa
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri Жыл бұрын
Nashukuru pia kwa kufatilia
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri Жыл бұрын
Naomba uwaalike na wengine pia kusubscribe
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 6 ай бұрын
Dada shauri nimekupenda bure huringi unamoyo wakuwaelekeza watanzania wenzio huna roho mbya mungu akubariki uzidi kutujuza nitakutafuta
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 6 ай бұрын
Amina, asante kwa kutazama video zangu.
@saimonrodgers8262
@saimonrodgers8262 11 ай бұрын
Sister unaweza kunitafutia family friends soo tht i can start from there...
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 11 ай бұрын
Hilo siwezi liko nje ya uwezo wangu kwa sasa
@mathiasalfred1545
@mathiasalfred1545 5 ай бұрын
Asante madam I love it your consultation. Hivo madam naweza nikabadili visa ya utalii nikifika huko. Naomba majibu plz
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 5 ай бұрын
Kubadili kwenda ipi? Nieleweshe vizuri
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 5 ай бұрын
Kubadilisha kwenda ipi?
@saimonrodgers8262
@saimonrodgers8262 11 ай бұрын
Dada unazunguka hebu nitafutie mwenza 😂😂😂😂😂pesa tunazo mwenza wa kupush plzzz Age 40/50
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 11 ай бұрын
Kuhusu mambo ya wenza tembelea channel hii youtube.com/@OfficialDatingAssistance?si=paeO7RsFz5NGCsxB utajifunza kitu
@ghaosalsalum
@ghaosalsalum Жыл бұрын
Eti dada kusoma Norway lazima uwe na IELTS certificate na mbona tuliambiwa kusoma Norway ni bure mbona naona kuna fee na nikubwa sana?
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri Жыл бұрын
Kuanzia mwaka huu kusoma huku kama wewe sio mkazi unalipia, lakini kabla ilikuwa bure kabisa
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri Жыл бұрын
Kuhusu IELTS nitafatilia na kukuletea majibu. Lakini ninajua kuwa bachelor degree programs zinatolewa kwa lugha ya Norwegian isipokuwa chache sana. Kuhusu master’s na PhD nitafatilia
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 11 ай бұрын
Update: inaonekana huhitaji kuwa na matokeo ya IELTS kama umesomea Tanzania kwa sababu elimu yetu inatolewa kwa Kiingereza
@juliaskayanda3578
@juliaskayanda3578 5 ай бұрын
Ni kwamba watanzania hatuhitaji IELTS certificate kwasababu masomo ya vyuo vya ndani ga tz ya nafundisha kingereza..?
@saimonrodgers8262
@saimonrodgers8262 11 ай бұрын
Unaweza kunisaidia ni kazi gani ambazo zinapatikana kirahisi na unaweza kuombea viza Plzzz nisaidie au naomba email yako tuwasiliane unisaidie🙏
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 11 ай бұрын
Tazama video hii kzbin.info/www/bejne/m2fVh6mhfKyhasUsi=zaQYDP81K7mU_vxH
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 ай бұрын
Ila wewe nikazuri una kamdomo kazuri
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 11 ай бұрын
Sifa na utukufu kwa Muumba!
Språkpromenad den 14 september 2024
58:09
Svenska med Anastasia
Рет қаралды 5 М.
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 4 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН
German Conversation: Learn while you Sleep with 1500 words
3:53:39
Learn German with GermanPod101.com
Рет қаралды 294 М.
Vectors & Dot Product • Math for Game Devs [Part 1]
3:16:28
Freya Holmér
Рет қаралды 823 М.
LIVE 🔴 It’s snowing!❄️❄️ | Winter in Norway
25:17
Kiswahili ni Urithi
Рет қаралды 97
How To Transform Lives | Master Shi Heng Yi
2:10:05
Andy Zoltan ツ
Рет қаралды 78 М.
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 4 МЛН