LIVE 🔴 FURSA YA KUFUNDISHA KISWAHILI NJE YA NCHI | Maisha ya Czech Republic | Sehemu ya 1

  Рет қаралды 155

Kiswahili ni Urithi

Kiswahili ni Urithi

Күн бұрын

Karibu kufuatilia mazungumzo yanayolenga fursa ya kufundisha Kiswahili kwa wageni na nje ya nchi. Leo nimezungumza na Chris ambaye ni Mtanzania anayeishi nchi ya Jamhuri ya Czech na anayefundisha lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
Unaweza kufuatilia chaneli yake kupitia youtube.com/@C...

Пікірлер: 11
@charlessengasu5301
@charlessengasu5301 9 ай бұрын
👏👏
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 9 ай бұрын
Ahsante sana kwa kutuletea Mwalimu mwingine wa Kiswahili. Yaaani ni shida sana kujaribu kumkosoa mtu akikosea Kiswahili! Watu wanakuwa wakali, wanasema, "Si mradi tu umeelewa nina maanisha nini!" Sasa kama ni Mtihani si anakuwa ameshakosea! Ndiyo maana hata Kiswahili wanaofahulu ni wachache sana!
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 8 ай бұрын
Wengi wanazungumza kwa mazoea, ingawa wapo wengine wenye athari ya lugha-mama.
@gladysmike450
@gladysmike450 9 ай бұрын
Kwa kweli kuna haja kubwa ya Serikali kuingilia kati hili suala la Lugha yetu ya Kiswahili kuanzia kwenye ngazi za chini(elimu ya awali) Vizazi vijavyo hawatakuja kujua Kiswahili tena tusipokua makini.
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 9 ай бұрын
Kabisa kabisa nakubaliana na wewe.
@williammatata2611
@williammatata2611 9 ай бұрын
Kwahyo wenzetu kumbe Wana internship baada ya kuhitimu chuo n kama udaktari sasa wenzetu wapo vzuri sasa kama ndio hvo
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 9 ай бұрын
Ndiyo, ni mfumo mzuri
@reallifeeventsoncctvcamera4956
@reallifeeventsoncctvcamera4956 9 ай бұрын
Je inawezekana kwa mtu ambae hana taaluma ya kufundisha kiswahili anaweza kufundisha kiswahili???
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 9 ай бұрын
Inapendekezwa kuwa ni mtu mwenye taaluma ya kufundisha lugha, inaweza kuwa Kiswahili au Kiingereza lakini uwe mzungumzaji wa Kiswahili sanifu.
@reallifeeventsoncctvcamera4956
@reallifeeventsoncctvcamera4956 9 ай бұрын
Zipi opportunity nyingine ambazo pia wanatoa Visa Sponsorship
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 9 ай бұрын
@@reallifeeventsoncctvcamera4956 tazama video hii kzbin.info/www/bejne/m2fVh6mhfKyhasUsi=L20kCTOK_SqJLW9M
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 50 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 825 М.
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 53 МЛН
Fursa ya Watanzania Kufundisha Kiswahili Marekani
17:42
EBM SWAHILI
Рет қаралды 6 М.
MAISHA YA NORWAY | Mvumilivu hula mbivu + kutafuta fursa za nje ya nchi
23:39
LIVE 🔴 It’s snowing!❄️❄️ | Winter in Norway
25:17
Kiswahili ni Urithi
Рет қаралды 97
LIVE 🔴 Vitu vya kuzingatia kwenye maombi ya Visa ya Norway
43:05
Kiswahili ni Urithi
Рет қаралды 264
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
LICENCIE-ME. E AGORA?
1:31:25
afronautas
Рет қаралды 15
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 50 МЛН