#live

  Рет қаралды 14,153

Yuhai media

Yuhai media

23 күн бұрын

#live VURUGU ZA CHADEMA MUDA HUU WAMEFUNGA BARABARA KAMA KENYA

Пікірлер: 31
@JamesMatondo-fk4bh
@JamesMatondo-fk4bh 21 күн бұрын
Chadema itashinda kwa kishindo
@JamesMatondo-fk4bh
@JamesMatondo-fk4bh 21 күн бұрын
Watu ni WWE unayeweka bando na kusikiliza syo mpakauendeko
@JamesMatondo-fk4bh
@JamesMatondo-fk4bh 21 күн бұрын
Ww mabadiliko ni lazima kwan we we ufunga mkataba na ccm acha kufeli maisha ni siasa et majukum
@shabanabdalatupa
@shabanabdalatupa 21 күн бұрын
Tanguliza ndugu na wanao mbele kwenye vurugu
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa 20 күн бұрын
Viti Vya Chadema Vinarudi Tena. Bungeni.😱
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 22 күн бұрын
Sisi ambao hatutegemei siasa ,tunapenda amani ili tupate muda wa kwenda kubangaiza ili watoto wetu wale ,na hawa Wakipewa ubunge wananyamaza kimya na gari watatumia kama viongozi wengine ,mbona hatujaona wabunge wa chadema au cuf wakigoma KUCHUKUA mishahara mikubwa au posho za bungeni ???
@JamesMatondo-fk4bh
@JamesMatondo-fk4bh 21 күн бұрын
Mpunbaf ni ww ambaye hujui maana ya siasa
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l 22 күн бұрын
Kushinda lazima tushende tunaima na chadema 😂
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 21 күн бұрын
Sera zingine sizielewagi vizuri
@mussakilo4916
@mussakilo4916 22 күн бұрын
Dah jombaa amani kwanza we lete sera tupime habari ya mspanga tena?hapo ndipo mnapo feli mmmmm chadema yangu
@theophilyedward2448
@theophilyedward2448 21 күн бұрын
Haki anzeni ndani ya chadema kwanza mwekeni mwenyekiti mpya wa chama aachie mboweee kwanza
@linetnekesa
@linetnekesa 22 күн бұрын
😂😂😂Kenya waliasa ivyo tia biti
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 21 күн бұрын
Kwani wewe unachoogopa nini ?
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 21 күн бұрын
Hakika tuna wapi ambao hata ukiwapeleka chekechea bado watatoka kapa CCM imechokwa bado wanawategemea watu ambao hawajielewi na elimu kwao ni sifuri lkn itafika muda watajielewa tu Akija lala njaa cku mbili mwenye atafuata chadema wako wapi
@dizzosukariyaoSukariyao
@dizzosukariyaoSukariyao 22 күн бұрын
Chadema inaongea ukweli
@ChristerKoku
@ChristerKoku 22 күн бұрын
Ushindi wa haki si vinginevyo
@nyanjachannel5517
@nyanjachannel5517 22 күн бұрын
Mbona unaongea mwenyewe watu hamna au unahutubia wapita Njia
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 22 күн бұрын
Tayari hata wewe ushasikiliza unatisha chawa mkubwa wewe
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 22 күн бұрын
Pikipiki zinawauma na wewe towa pikipiki .Fedha zako ulichangia wapi . kusema nirahisi sana .CCM hamtaiweza hata mngepayuka kama vichaa
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 22 күн бұрын
Hawataiweza kwenye nini? Mbona hauko wazi… kwani ccm si watu? Acha atoe hoj zake atamaliza tu na ujumbe unawafikia aliowalenga. Hongera rafiki.
@BIGCHENDREADLOCKS
@BIGCHENDREADLOCKS 22 күн бұрын
Subili uone kweny uchaguz utakubali
@JosephMagige-lf9ns
@JosephMagige-lf9ns 22 күн бұрын
@@clemencemkondya8561 hakika nimiongoni mwawalio laaniwa na wew ni mmoja wao.Ama kweli Africa is a black continent
@dizzosukariyaoSukariyao
@dizzosukariyaoSukariyao 22 күн бұрын
​@@BIGCHENDREADLOCKS CCM imefka mwisho mwanza nzima hatuitaki
@binsherbal6089
@binsherbal6089 22 күн бұрын
Clement Mkondya unalipwa kiasi gani kua Chawa?
@cosmaskulwa3297
@cosmaskulwa3297 22 күн бұрын
WW MPUMBAFU HAYO MANENO PELEKA KWA FAMILIA YAKO
@JosephMagige-lf9ns
@JosephMagige-lf9ns 22 күн бұрын
Wew usiye mpumbavu mbona kama unadaliliza uk
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 22 күн бұрын
Uchawa na uoga ndio umaskini wako
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 22 күн бұрын
Chawa
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 21 күн бұрын
​@@JosephMagige-lf9nshuyu jamaa ni wa UK,,namshangaa sana,badala ya kuunga na watu wakwao,,yeye sijui anaungana na watu wapi hao,mtu kwao acha ushamba
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 26 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Murkomen apigwa msasa bungeni
33:10
KTN News Kenya
Рет қаралды 1,4 М.
SIRI YA MANABII KUMILIKI UTAJIRI IMEFICHUKA
8:19
Wasafi Media
Рет қаралды 16 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 26 МЛН