Huyu Mzee simkubali hata kidg lakn katika hili yuko sahihi 100% kabisaaaa
@MrTop-wj7no14 күн бұрын
Daah basi mimi sijapata mke wa ujana wangu maana wote ninaokutana nao ni ndoo😂😂😂😂
@nelsonleonard676820 күн бұрын
Halafu kwenye hii post nimegundua akina dada ndo wamekuwa wakali sana sijui kwann😂😂😂😂😂😂
@user-uj5wg9mm2t20 күн бұрын
😂😂😂😂
@abuum376019 күн бұрын
😂😂😂😂
@ELIZABETH-uz6dv19 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-id8ys3lg5d18 күн бұрын
Janga la wadada wengi 😂😂😂❤
@emmadora784817 күн бұрын
Sio wakali ila Kwa kuwa hizo bikra hawajitoi wenyewe ,basi pia jamii iwafundishe vijana wakiume kujiheshimu na kuwaheshimu dada zao
@ayoubmtumishi5020 күн бұрын
Ni kweli kabisa mke wa ujana ni uliyemtoa ubikra. Someni katika kisa cha Amnoni na Tamari.
@engineerjuma987620 күн бұрын
Umetoa bikira bint wa mtu kwa ridhaa ya nani? Ninyi wakilisto hamjui nini ZINAA
@blessingcharles-lc1rr20 күн бұрын
Kwahiy waliobakwa na baba zao waolewe nao
@AlexAward-gg6lu19 күн бұрын
Da a nimejikuta nipo kwenye wakati mgumu baada ya kusikilza habar za Nikita Yan nmevurugwa ngoja npambane mpaka npate Nikita wake Zang wore na wabwaga
@vicentmtiro692719 күн бұрын
Kwani unadhani walioana??
@ELIZABETH-uz6dv19 күн бұрын
@blessingcharles-lc1rr 😂😂😂😂😂
@user-eg1mz6vo1d21 күн бұрын
Kweli kabisaaa Mzee that's why I appreciate you 🙏 umeongea ukweli mtupu yaaahni umetishaaa sanaaaa
@user-wz3ne2kc3o20 күн бұрын
Kweli kabisa japo jamii ya sasa haitaki kusikia ukweli huu pongezi kwako na elimu hii irudishwe na iwekwe msimamo kabisa
@djnizoh21 күн бұрын
For sure
@JulianaMaimu20 күн бұрын
Mmmmh jamani pastor huyo kagusa mahali patam. Nimempenda Sana huyo pastor amenikumbusha jamani tukilelewa na Mama yetu alivyokuwa anatufundisha
@ngoyabaraka814319 күн бұрын
Ni sahihi Sasa unakuta mwanaume kaoa mke, bikra kaikosa pia mimba ya kwanza kaikosa, mtoto wa kwanza kamkosa, mechi inanza mbili bila au moja bila ndo wake wetu wa Sasa gen z😅
@DavidNdaha21 күн бұрын
Kiukweli alie towa Bikra nikweli ndo mme wake Ila changamoto
@muksinimbaruku123320 күн бұрын
Wadangaji na walioa wasiokuwa bikra wamepanic sana, lakini ata ww unayefurahia kwakuwa bikra usijimalize sema tu Ahsante mungu alafu kausha, maana siku hizi znatengenezwa mtaani
@ELIZABETH-uz6dv19 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@user-sj3wf5vz7l20 күн бұрын
Ni ukweli ubikira ni agano. Hilo ni kweli. Na kutairi mtoto ni agano moja hatari sana. Mungu tusaidie. Wazee wetu walitairi vijana. Sasa tunawapeleka kwa watu tusiowajua wanatairi watoto wanaingia nao maagano. Mungu tusaidie. Unashangaa mtoto anakuwa. Na tabia za ajabu.
@user-kq7mp8qz9e20 күн бұрын
Kwahiyo kunawajanja kutoa bikra ndio jazi yao nasisi wengine hatujawahi kktana nabikra basi shida
@user-hj8sc7jv5m20 күн бұрын
Ni kweli mm nilitafuta mke mwenye bikira nilikuwa siamini kuoa mwanamke asiye na bikira atakuwa mke sahihi. Naamini mwanamke uliembikiri hawezi kukusahau maishani kamwe hata mfanyaje
@dancemoves421 күн бұрын
😂😂😂😂Oscar anasema huwenda sisi wengine. Hatujawahi kukutana na watu wenye ujana mnaujua ujana nyie😂😂😂😂
@athumanimhanga205320 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@ELIZABETH-uz6dv19 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@jumaradhomary859117 күн бұрын
Ila oscar😂😂😂😂
@ludovicshirima179316 күн бұрын
Kasem kwl lakn
@user-ly2tv5og1n20 күн бұрын
Wasichana wajichunge Bikra zao, ni muhimu.
@emmadora784817 күн бұрын
Na wanaume pia ,kwani hao wadada wanajitoa wenyewe hizo bikra?
@MeshackKamenya21 күн бұрын
Ni sahihi kabisa mzee wa upako
@HkidKapinga20 күн бұрын
Ndo maana hata yusuph alitaka kumuacha mariam kwa siri, baada yakugundua mariam mjamzito,akijua bikira imetolewa na mtu nwingine,hadi malaika alipompa go ahead
@danieljohn690419 күн бұрын
Kama ni hivyo sasa mbna alimuoa..?usidanganywe hayo ni mambo ya kale kabla ya Yesu mwenyewe mfalme wa ulimwengu soma 2Wakorintho5:17-19 na Yohana 3:1-7
@user-sj3wf5vz7l20 күн бұрын
Yani hii kitu ya agano achana nayo. Haya issue yakutairi watoto ni agano. Yani watoto walitakiwa watairiwe na wazee wa kanisa. Tunapeleka watoto kutairiwa wanaingia maagano na watu wasiowajua. Haya mambo ni magumu sana .
@jafethleonard582121 күн бұрын
True
@kdloon203020 күн бұрын
Huyo dada mtangazaji alivyo dakia juu kwa juu na kuseama"Basi yabidi turudiane na ma X wetu"yaelekea bado unamfikiria X wake
@neemajames513721 күн бұрын
Uko sahihi kabisa
@ismailsoud36343 күн бұрын
Ni kweli sana, Bikira ni dhamana, amepewa mwanamke, hivyo atakaye mpa akala huyo ndiyo mumewe. Utakapo muoa wewe siku ya kiama ujuwe atadai mke wake na hivyo utamlipa ndiyo uwe naye.
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur20 күн бұрын
Huyo mtangazaji wa kike imemuuma sana mpaka kaamua kubadilisha maada maana bikra alitolewa kitambo na jamaa hajamuoa maskini inauma mpaka kaamua kubadilisha maada kaenda kwenye idadi kubwa ya wanawake kwenye makanisa Aliyoyaongea Mzee wa Upako Yote kuhusu Bikra, dhambi, Agano la damu yote ni kweli
@user-vb7vw2jr7d20 күн бұрын
Nisawa shida nikupita gari kubwa halafu wewe upite na bajaji au na pikpiki ndio migogoro inaanzia hapo
@Mahershalalhashbazi-kf6xi16 күн бұрын
Pwaku pwaku
@maclean7727Күн бұрын
Mzee umeongea hekima sana, lakini, umechelewa tumeshakosea, hatujui tufanyaje, maana hawa wanawake hawatuheshimu kabisa, nao ni vichwa vya familia.
@shaddybmc834220 күн бұрын
Nakubali baba , iyo ni kwel kabisa🎉😂
@98Maktaba20 күн бұрын
Alafu mazee yasikuhuzi bila aibu yanatutoza mahali kuuuubwaa bila kuwaza kuwa yanatupatia chocolate kwenye gazeti shame on them and they are daughters
@MagrethMhina20 күн бұрын
Upo sahihi baba sasa inabidi mch kabla hajafungisha ndoa mabint waulizwe na kuwa wakweli kua na bikra wapimwe kama wachumba wanapima hiv barikiwa mabinti wasiwe na vishawishi
@Khadija-f7b20 күн бұрын
Kweli kabisa umeongea mie nashindwa kumsahau mume wangu wa agano keo miaka ishilini ,siko nae lkn namkumbuka mno nitafanya mpango nirusi kwa mume wangu inshallah
@AbisaiMwambene-fo9pt20 күн бұрын
Kama huyo aliye kuwa wa kwanza kwako na akaoa Alie bikra ndo anaeishi nae unarudije kwamfano?
@aminitu376620 күн бұрын
Duh! fact sana hii.!! Umetisha sana Yan mafundusho yako yote haya nmeyaelewa
@husseinmassawa718620 күн бұрын
Oscar na baba levo hao wote mliowaowa sio wake zenu, nendeni mkatafute wake zenu😅
@davidmangilile356820 күн бұрын
Upo sahihi sana %90 ya wanawake wanaolewa wanakuwa wanawake wa watu kwakuwa wanaolewa wakiwa tayali washatumika😅😅😅
@user-sj3wf5vz7l20 күн бұрын
Hii issue ya agano . Hasa kutairi. Siku namtairi mtoto nilizimia. Kutairi ni agano la damu. Sasa wakristo tunatakiwa kufanyaje. Haya mambo magumu
@maxmiliangunze893121 күн бұрын
Mtumishi yupo sahih kabisa tunaingiliana tuu kaa wanyama..... Tuoe kihalari bikra
@rauncesimwaka132018 күн бұрын
Mfalme daudi alioa mke wa hulia Kwa hiyo hakua mke
@ArobogastMashamba20 күн бұрын
Ndo maana kwenye WOKOVU hakuna upenzi/ugirlfriend/uboyfriend...ni uchumba kisha ndoa
@mamawadudu4820 күн бұрын
The spirit of confusion is loading.
@paschalpaul386220 күн бұрын
Imeenda hiyo na wale madada waliojivuavua ndiyo maana ni wakali kwa comment maana mmepigwa na kitu kizito
@user-gv2un4jl3m20 күн бұрын
Oscar mbona kama kazuubaa hajawahi kukutana na kisiki nini? Kisiki ni BIKRA
@jumaradhomary859117 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@marcobulili434121 күн бұрын
Ila uko sahihi kabisa mchungaji!
@SylivesterKilunga20 күн бұрын
Kwahili nimekukubali sana
@thetrailerzone279120 күн бұрын
Ni ukwl anaosema
@BeatriceBandio-qo6yp14 күн бұрын
Ndio baba uo ndio uungu na baraka na nuru ndani ya mwanamke kutoka kwa Mungu
@TarimoMangi20 күн бұрын
Bro, Me ni MANGI na saiv a miaka 25,kwa sasa najiandaa kuoa lakini STAKI KABISA KUOA MWANAMKE ASIYE KUA NA BIKRA maana kwanza ntakua nachukua makombo, napia kwa sisi waktisto kuoa mwanamke ambae amesha ungana na wanaume wengine au mwingine kimwili inamadhara makubwa sana KIROHO,inakufanyA usiwe na nguvu kiroho na pia inaondoa baraka kwa watoto wako.
@TarimoMangi20 күн бұрын
Kwahiyo mzee ameongea ukweli 100%
@AwardHakimu20 күн бұрын
Upo sawa hizo takataka ambazo hazina bikra weka kushoto Mimi mwenyewe naoa bikra Bora nilipe mahali kubwa lakini nioe bikra
@emmadora784817 күн бұрын
Basi hakikisha na wewe hufanyi kabla ya ndoa ,Kwa sababu pia ukristo haujaruhusu mwanaume kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa
@TarimoMangi17 күн бұрын
Me ni mkweli kaka, maana ukristo hauturuhusu kusema uongo
@TarimoMangi17 күн бұрын
Amen kaka
@donaldmgunda497020 күн бұрын
Weweeeee mzeeer usituvurugee hapa bwanaa😮
@femidayahaya48829 күн бұрын
Oscar amehuzunika sana..inaonyesha hajawahi kupata mke Bikra
@jumapiliissa483520 күн бұрын
Mzee uko sawa kwaushahidi huu ndomana vitabu vya M/MUNGU vimekaza kuzini tabia ya kuzini ndoimeleta watu kuowa wasichana wasio bikra
@shau7820 күн бұрын
ni kweli kabisa mchungaji anavyosema. lakini mimi kama mkristo naamini kwenye kutubu dhambi na kumuomba Mungu abadilishe pale palipokosewa. na Mungu hashindwi kitu. Mwanamke alietunza bikra mpaka akaolewa, kisha akazini baada ya kuolewa hana haki kuliko mwanamke aliekutwa hana bikra (hata kama alikuwa dada poa), lakini akatubu kwa dhati na kutulia na mume wake.
@peterrulagora740317 күн бұрын
Mungu akubariki
@robertsongola603421 күн бұрын
Leo umesema kweli
@iddylumbila739920 күн бұрын
Umeongea ukweliofichwa kwa muda mrefu na viongozi wa dini, na ukumbuke ukweli unauma kwahyo tegemea kupata comment za waliomia na waliojifunza, kama umeumia dislike na kama umejifunza hapa chini.
@user-qf9uj2oc1b20 күн бұрын
Walio wengi tunaukataa ukweli baada yakujikuta tumekosea ila mzee anaongea ukweli
@bechubechuissa896520 күн бұрын
Kweli mzee wa upako
@vero5720 күн бұрын
Bwana aliye nitoa bikira sijui yuko wapi ??? Hata siku hiyo ni kama alinibaka maana nilikua sielewi kitu 😂😂😂
@muksinimbaruku123320 күн бұрын
Ndio mumeo ata kama amekufa
@ELIZABETH-uz6dv19 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂pole ❤
@someless18 күн бұрын
😊
@astonathanasio16318 күн бұрын
kamtafute ndo mme wako huyo
@user-wx9or8rw4n16 күн бұрын
Mkiolewa na bikra wanawake wawili mama Yako anapata Pepo takbiiiir! Allah Akbar.
@user-tu9zm1jh3n14 күн бұрын
Mmmh
@vero5720 күн бұрын
NA NYIE WANAUME JEE??? BIKIRA?????? PANDE MBILI HAPO TUNAOGELEA?????😂😂
@user-oz8mc7mz7z18 күн бұрын
Zitatengenezwa sana
@gilbertbidimbuka910413 күн бұрын
Huyu mzee kuna kongamano liliandaliwa akakimbia harafu anasema ajibiwe hoja wakati kaalikwa ili aje natuhuma zake juu ya Ukristo akakimbia. Sasa ushauri wangu kwenu watangazaji waalikeni na wachungaji wengine waje wa mjibu hoja huyu mzee ambaye Ni mhuni tu asiyeijuwa Biblia
@abdulkilihindi772520 күн бұрын
Hhh,,hili zee kwel somi
@jonasfrank175819 күн бұрын
Baba mchungaji kwa mafundisho unayotoa, hiki kituo inabd kifanye arrangement na wewe atleast kila week uwe na dk zako 15-20 kwa ajili ya mafundisho
@allykk145918 күн бұрын
Mara nyingi anasema kweli nimependa sana
@danieljohn690419 күн бұрын
#Hii ni saa ya kuambiana UKWELI kama Kuna mwenye Hekima mmoja Asome 2Wakorintho <a href="#" class="seekto" data-time="317">5:17</a>-19. Na Yohana <a href="#" class="seekto" data-time="181">3:1</a>-7. Mtu anadanganya UMA tena kwenye Media kweli waongo wapo na wengi wanawafata nitajie andiko bas hayo Yalimalizwa na Yesu mwenyewe....By Man of God (Taifa kubwa) na waandishi na nyie mnakubali jmn poleni sana#
@maclean7727Күн бұрын
Huu ni uongo YESU alitukomboa kwenye dhambi, hakuna kubadilisha agano la ndoa. Kama ingekuwa hivyo mabinti wasingekuwa wanazaliwa na bikra.
@maclean7727Күн бұрын
Hakuja kubadilili agano la ndoa, alikuja kutukomboa na dhambi.
@Elybwayz21 күн бұрын
Na alietoa bikira zaidi ya 1 wote wakezake😅
@robertsongola603421 күн бұрын
Hiyo itakuwa kweli
@robertvicent7820 күн бұрын
@@Elybwayz eee wote n wake zake
@gostiveradam392120 күн бұрын
😂
@ELIZABETH-uz6dv19 күн бұрын
Yes wote
@MonicaCyprian17 күн бұрын
Ndiyo akawachukue
@georgebataze662520 күн бұрын
Hii issue sounds very real. Ndio maana ndoa nyingi hazieleweki. 😅 men tunaishi na wake za watu😂. Nafikiri shetani kafanikiwa sana eneo hili ndio maana tunakubali sote kuwa ndoa za siku hizi miyeyusho. Ukimpata mwanamke wa ujana wako na ukadumu nae, inaheshima sana maana unaujasiri kuwa wewe ndie uliefungua njia hata hisia mbovu mbovu unakuwa huna. 😂😂😂. Leo hii unakuta wapenzi hawapati ladha yenyewe kabisa mara huyu anakibamia mara huyu pana sana, kumbe size tofauti zimepita😂. Sasa men wanaanza kuruka ruka ili kukidhi haja zao, hii sio kwamba shetani kashinda kwenye eneo hili?
@emmadora784817 күн бұрын
Ikiwa wewe ( men) sio bikra ,unataka upate mke bikra kutoka wapi?
@emmadora784817 күн бұрын
Nyie bikra zenu mnazitolea wapi ? Kama ni Kwa hao mabinti basi sahau kupata mke bikra
@georgebataze662517 күн бұрын
@@emmadora7848 niipate kwako
@georgebataze662517 күн бұрын
@@emmadora7848 fafanua vizuri bikra ya mwanaume iko vp wakati akibarehe tu na akiota ndoto nyevu anamaliza.!! Bikra inapatikana kwa jinsia ya kike
@georgebataze662517 күн бұрын
@@emmadora7848ikiwa baba yako alikuonya usifanye ujinga mpaka pale utakapo olewa harafu wewe ukapuuza na ukadanganywa kosa nilanani?
@gilbertbidimbuka910413 күн бұрын
Mimi nasema kuwa huyu mzee siyo Mkristo na haujui Ukristo kabisa niko tayari hata mniite hapo kwenye kipindi nimjibu huyu mzee na hata nisimame naye tujibiane mimi na yeye
@hajihassan543313 күн бұрын
Umepigwa nini? Kula kiporo hicho hukupata bikira. Mzee yuko vizuri 100%. Hapana cha kujibu hapo Mkristo ni mke mmoja ukiona ushatombwa au ushatomba na zaidi ya mtu mmoja wewe sio Mkristo!
@Mahershalalhashbazi-kf6xi16 күн бұрын
Chief Mwantebe leo kasema iliyo kweli
@iamdisciple_tz21 күн бұрын
Bora ata umeongea hii maada nilikua nawambia mmenipambanisha wenyewe wananambia mfungwa achagui gereza. Waludishe tu mahali zangu wachukue Toto rao
@BarakaProtas21 күн бұрын
😂😂 fata mahari umepigwa
@user-uj5wg9mm2t20 күн бұрын
Kuna ndoa imekufa😂😂😂😂😂
@reganpaul854215 күн бұрын
Mzee hapa hekima imajaaa chief
@Docantz17 күн бұрын
Mzee ametusha 🎉
@HamadiMzee-ut9bq19 күн бұрын
Now days kunamatukio mengi wengine utolew bikla kwa kulazimishwa yan kubakwa achen kashifa nyinyi
@user-zn7yp4cp1e16 күн бұрын
Oscar Oscar unapenda story kama izi
@dioclesrweramila792620 күн бұрын
Malaki <a href="#" class="seekto" data-time="134">2:14</a> [14]Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako.
@danieljohn690419 күн бұрын
Ukimgonga mwanamke bikra ndiyo amekuwa mke nakataa huko ni kuzin tena ni dhambi kama dhambi zingine unatakiwa kuelewa soma 2wakorintho5:17-19 na Yohana 3:1-7
@edwinmbunda670918 күн бұрын
@@danieljohn6904Huwezi bishia biblia ndugu....
@SylivesterKilunga20 күн бұрын
Mtumishi umenena
@neemajames513721 күн бұрын
Jamani msitukane Masihi wa Bwana ndivyo biblia inavyosema.
@AwardHakimu20 күн бұрын
Walokole wanaongoza kwa uzinzi unakuta kwaya nzima ni wapenzi watupu hovyo sana
@vero5720 күн бұрын
Wanaume sasa leo wamepata kichwa, wasio na bikira sio mkeo khaaa hiii kali, kwahivyo wafanywe nini wasio na bikira watupwe ??? Tuta zindi kuzalauriwa 😮😮
@issamuhammedi20 күн бұрын
Utaenda kwa alie kutoa
@MobsFundisimu20 күн бұрын
Nikuelewa sana
@kibosniper521920 күн бұрын
Hahahah mimi nimetoa bikira san watot wa watu afu ikawaga nikiwatoa wanapendan na wengin da dini hizi mungu aje tuokoa man tunadanganywa.hata mimi niliamin kumtoa bikr mwanamke ni wangu bt haijawah tokea kwanz akishatolew tu ndo wanakua malaya kisenge
@user-cp2do9pd5k20 күн бұрын
@@kibosniper5219 omba Toba sana ndugu maana utakufa mbaka uone watoto wako wakiumizwa
@SilasNdaisabha-gx8jo20 күн бұрын
Faini naitakaaa
@Mahershalalhashbazi-kf6xi16 күн бұрын
😅😅
@eminenceboy838616 күн бұрын
Mm huyu mzee waupako naanza kumuelewa kidog kidog😂
@pastadandan356920 күн бұрын
Kuna wengine tangia awe kijana mpaka amezeeka hajawahi kubahatika bikra hata Moja
@ELIZABETH-uz6dv19 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@emmadora784817 күн бұрын
Sasa kosa la nani ? Anayetangatanga kuhatibu mabinti za watu au hao mabinti?😂😂😂😂
@zebedayokatamaduni967616 күн бұрын
@@ELIZABETH-uz6dv😂😂😂😂😂😂😂
@pastadandan356916 күн бұрын
@@ELIZABETH-uz6dv Eliza wewe
@pastadandan356916 күн бұрын
@@emmadora7848 hakuna mwenye kosa hapo
@aminitu376620 күн бұрын
MTU anangangana mke wangu mke wangu upuuz tu umemkuta nayo
@UfahamuwaKristo19 күн бұрын
Au ndo maana ndoa nyingi za leo zina migogoro sana
@edwinmbunda670918 күн бұрын
Yeah
@user-eu6ql9zl7n12 күн бұрын
Haswaaaaa
@richardmakweta887513 күн бұрын
Hivi mzee waupako umepatwa nanini?
@user-wx9or8rw4n16 күн бұрын
Ndo mana tumeambiwa tuowane kabla ya kuingiliana.ndo mana dharau nyingi.
@confredsangija14 күн бұрын
mzee wa punyeto leo yuko kwenye masuala ya dini,,,,basi si ungeuliza na kuhusu punyeto na chama cha wapiga pu kama kipo kihalali?>
@zuberikamote207820 күн бұрын
Kwhyo mimì frida kaniambia nyumba hii tufame nihame kweli maananyasije yakatokea makubwa
@reginaaloyce405515 күн бұрын
Nna swali hao wanaotoa hzo bikra ni kina Nan?
@warakawayohana289620 күн бұрын
Wengi hawana wake kwa kweli😂😂😂😂
@gilliansiara332416 күн бұрын
Huyo mwanaume yeye ni bikra,
@ikulunimahalipatakatifu764218 күн бұрын
IMEEENDAAAA HIYO TAYARI!!!!, BONGE LA SOMO !!!
@user-vk4mv8vs7c20 күн бұрын
Hadisi za abunuasi Asome alama za nyakati
@deathrow8004Күн бұрын
Kimsingi akili ni moyo..
@barakakevela24520 күн бұрын
KWA KWELI MI NISHAKUTANAGA NA BIKRA MMOJA TUU
@henrymjema168520 күн бұрын
Huu ni ukweli unaouma
@user-wx9or8rw4n16 күн бұрын
Njoo upose ....zipi nyingiiiiiii
@lightforafricatv312220 күн бұрын
Sasa mwanaume akiwatoa ubkira wanawake 10 , wote watakuwa wake zake kibiblia pia? Wakiseme wajitokeze kwake itakuwaj?
@HalimaMaulidi-sv7le20 күн бұрын
Na ukikutana na mume co bikira pia ujue co mume wako ( Namaanisha mwanaume pia kuna mtu aliyeanza naye mapenzi wanawake mpoooo!)
@maclean7727Күн бұрын
Mwanaume mmoja anaweza kutoa bikra hata tano, hao wote ni wake zake kwa mujibu wa agano la damu.
@maclean7727Күн бұрын
Lakini mwanamke mmoja hawezi kutolewa bikra na wanaume wawili, ila mmoja tu.
@maclean7727Күн бұрын
Na hiyo ndo maana kwenye agano la kale wanaume walikuwa wanaoa mke zaidi ya mmoja, lakini kwa mwanamke haikuwezekana.
@user-ce2xg9wt4s11 күн бұрын
Kama umechanganyikiwa achana naye
@jamesraphaelmdima47294 күн бұрын
Kwa mujibu wa Biblia alitakiwa kupigwa mawe hadi kufa.
@MwljofreyChitta20 күн бұрын
Hakika .kimaandiko upo sahihi.
@AbisaiMwambene-fo9pt20 күн бұрын
Je na mwanamke au msichana alietolewa bikra na aliekuwa mme wa mwanamke mwingine panakaaje hapo ki bibilia?