Hongera sana Dr.Biteko kwa maneno mazuri ya ufunguzi wa Mkutano katika Sekta ya Nishati ❤
@oscarkayuni90868 күн бұрын
Thank you so much your excellence Dr Biteko our vice prime Minister and minister for Energy for such a brief and remarkable opening speech to the national states present and viewers outside the congregation.HONGERA SANA DR BITEKO HONGERA SANA WIZARA YA MADINI NA NISHATI HONGERA LUKUKI TANZANIA KWA KUANDAA MKUTANO HUU NA MWISHO KABISA HONGERENI WANADAR ES SALAAM KWA MAPOKEZI MAZURI YA WAGENI.UKARIMU WETU KWA WAGENI NI UTANZANIA WETU NI TUNU YA TAIFA ,
@JoelTweve8 күн бұрын
Mwamba Traore we Respect so much
@abdiKoroa8 күн бұрын
Traore mungu akulinde wewe nirais bora barani afrika mzalendo wa kweli
@MaulidAmri8 күн бұрын
Mim sijamuona mbona kwan yupo?
@juliusmlula16588 күн бұрын
Mwamba Toure hawezi kuja kukutana na inchi zinazokumbatia wazungu kama vile Mfaransa
@damianmcba95258 күн бұрын
Tanzania na France wapi na wapi? Ghana inayopinga kuondolewa kwa mfaransa huko Niger na Chad , lkn alikwenda juzi kuudhuria " kuapishwa kwa raisi wao mpya""" Akuna nchi inaweza kuendelea bila diplomacy na nchi nyingine
@johnambrose72238 күн бұрын
Vipi jamaa amekuja bongo kweli au ni porojo
@abdiKoroa8 күн бұрын
Tunaomba rais wa buknafaso Ibrahim traore mtufikishie salamu tunampenda sn watanzania
@BakariIssa-nx3yf8 күн бұрын
Atuna uwezo wakuacha kuni na mkaa selekalizetu afrika awajajipanga maana umeme upojuu gesi siozetu nagesi tunayo tumewapawazungu alaf tunajikombakomba
@jamesraphaelmdima47298 күн бұрын
LS Engineering Limited tunakuja na majibu ya nishati nchini,the problem is wengi hawaamini katika uwezo wa wazawa katika ubunifu.
@israelsimba49548 күн бұрын
Why not give the speech in Kiswahili and have it translated in Kiingereza,French,Portuguese and Arabic .Let us be proud of our Kiswahili.
@SarahSaid-o8h8 күн бұрын
jamn simlisema kiswahili ndy lugha ya Afrika alafu mnaongea kingereza tena sasa si bado ni utumwa huo 😊
@damianmcba95258 күн бұрын
Kwa hiyo watakijua usingizini tu, waakiamka tayari wanajua kiswahili?
@siamuchunguzi8 күн бұрын
Ongeeni Kiswahili walau kuenzu lugha yetu ya taifa jameni 😢. Tupo tz wapi lugha yetu???
@oscarkayuni90868 күн бұрын
Nafikiri ajenda ya mkutano sii kukuza au kupitisha azimio la kukuza na kuendeleza lugha ya kiswahili Bali NISHATI.
@IbrahimKasambala-ts8re8 күн бұрын
IBRAHIM TRAOLE MZALENDO,RAIS WA MALI,RAIS WA NIGER, MKO WAPI MAJEMADALI WETU NA WAKOMBOZI WA BARA LA AFRICA
@BakariIssa-nx3yf8 күн бұрын
Maraisi wote waafrika awanaakili nikusifianatu mwamba tuaole pekee
@AbuuHudhaifa-b7y8 күн бұрын
Ww ndo huna akili Na kama unazo bac zimepata athari na ugonjwa wa akili
@abdiKoroa6 күн бұрын
@@BakariIssa-nx3yf sio kweli
@DarKopo8 күн бұрын
Biteko ❤
@bene28april8 күн бұрын
MALIZENI KIKAO, DRC INAANGAMIA
@AmosKayega8 күн бұрын
Sawa kabisa msumbwa kikonongo kinaeleweka safi kabisa
@JoelTweve8 күн бұрын
We need Traole
@mohamedmbarouk42528 күн бұрын
Bro ibra upo wapi
@ndaimtambo88458 күн бұрын
Acha uwongo
@Jameskakola8 күн бұрын
Ibra tlaole hatumuon bona
@Mudy0mary-u2n8 күн бұрын
Mbona sijawaelewa mnachoongea jaman mnaniacha njia onea kiswahili
@GodluckPhilipo8 күн бұрын
Mwamba hawezi kija kwenyemikutano yakusifiana
@waziriuledi40368 күн бұрын
Kila mtu angeongea lugha yake ingekuwa poah ssna tunaendelea kuwa watumwaa tu
@raphaelkessy73608 күн бұрын
Kingereza ni kwamanufaa ya nani?
@mymuamsrrr78848 күн бұрын
Mwamba sio mpubavu
@damianmcba95258 күн бұрын
Hiinilikuwa Dar / Bongo
@lucaschisamalo28528 күн бұрын
Sijamuona mbona
@braxtosharon53678 күн бұрын
Ibrahim troule kiongozi wa bukina faso kwanin hatukuoni
@JosephatPeter-jb5bq8 күн бұрын
Awezi kutana nauyu mwamba
@MajaniAntony8 күн бұрын
Baba yako ndy anahakili
@damianmcba95258 күн бұрын
Sasa huyu anae tutafslia kwa kiswahili mbona anajigonga hivyo? Je angeambiwa aongee English si atatoka nduki.
@JustinJoseph-k2t8 күн бұрын
Mnakuza kiswahili kwa mfumo gani? Mbona nyie wenyewe mnakikataa? Tukubaliane tu kingeleza ndo lugha tunayopaswa kufundishia watoto wetu mashuleni