بارك الله فيك شيخ سالم الله يحفظك من كل حاسد و سوء 🤲🏻🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸
@mariammariam85185 жыл бұрын
MashaAllah mada nzuri sana shekh.Allah akuongoze n akuepushe n hao mahasidi, Allah atukinge na sisi n hasad ju pia sisi zatupata hizo husda.Ramadhan kareem....
Maashaallaah Maashaallaah darasa tupepata ķuwajuwa mahusuda na mahasadi
@saifalhussaini97024 жыл бұрын
Shukran sana sheikh mwenyezi mungu akubariki na atulinde na hasad
@noraevers88684 жыл бұрын
ManshaAllah unasema kweri Shekhe Allah akulipe kheri
@hassanbazi87905 жыл бұрын
Mashaallha allha amzidishie bopar hapa duniani na akhera na amlinde na hasad 🕋allha amlipe pepo amin amin
@zubedamohamedathmanzubedam11044 жыл бұрын
Asalam alaikum shekh wetu ,mashaallah Allah akuzidishie ilmu iwe kiendelezo kizuri cha kuimarisha uislamu na haki zake aamin 🙏
@zubedamohamedathmanzubedam11044 жыл бұрын
Asalam alaikum ,ndugu zangu katika iiman ,ningependa kutoa nasaha kwa waislam wenzangu kuhusu hizi comments zetu tunazo ziandika humu mitandaoni haswa kuhusu vitengo vya mijadala ya kidini ,unapo ona clip yyte ambayo labda haija kufurahisha basi usiwe wa kupotoa clip hiyo, kwani ni kuidhalilisha imani ya uislamu, wassalam alaikum warahmatu llahi wabarakat.
@saeedsaeed73815 жыл бұрын
Mash Allah sheikh salum mada nzuri sana hii ya mahaisid kwani mahasid ni watu wabaya sana wanawaharibia maisha ya watu,Mali za watu na afya za watu
@salumkhamis90655 жыл бұрын
Saeed Saeed hakika
@saeedsaeed73815 жыл бұрын
Ramadan Kareem kijana wa tamam na sheikh salum mungu akupe Amani na siha njema
@salumkhamis90655 жыл бұрын
Saeed Saeed Amin
@mwanaurabakara95745 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah kheri inshaallah mungu atuongoze sote
@salumkhamis90655 жыл бұрын
Mwanaura Bakara Amin
@haarunsaidabdillahi52674 жыл бұрын
From Europe....Allah awalinde nyote Zinjibar TV na hasad zote.Firdaus iwe ndio makazi yenu ya milele.
@ruthnimi21654 жыл бұрын
Haya ni kweli hasidi kuokota, kuchawi, kuloga Mungu awaondowe Kwa kufa Exodus 22:18-20
@machonasaddam48015 жыл бұрын
Allah atustir yarrab na mahasid
@salumkhamis90655 жыл бұрын
Machona Saddam Amin
@bintsalimalbimany53405 жыл бұрын
Napenda sana utangazaji wako kijana watamaman
@judymwangi90274 жыл бұрын
👍
@Shakila00004 ай бұрын
Asalamghaykm shekhe
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
SHUKRAN KTV TZ ONLINE HAKIKA HII NI FAHARI YETU
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH
@sophias95915 жыл бұрын
MA SHAA ALLAH ALLAH AIHIFADHI CHANNEL YETU
@rashidahamdun22474 жыл бұрын
Asalamu aleykmu
@jjdjgivv21185 жыл бұрын
Shukraan sn
@sherrysalim505 жыл бұрын
Mloweka dislike mna hasad 🤣😂
@evelynengilah523 Жыл бұрын
Amima
@amanoffewwords87143 жыл бұрын
1:00:45
@aminanuru65264 жыл бұрын
Nitumie no za Sim tafathali
@salummzee97392 жыл бұрын
Tukiendekeza iman ya shirki tutatoka twaa ya Allah maana. hakika ya shetwan hukuita na ww ukitika basi anakutawala km moyo tumuomben Allah atujaliye kheir sio kuamini Mambo ya kichawi ,mitihan ya Allah ipo Mtume muhhad Alipatwa na mitihan ya Umasikin mpk atia viraka mbona hakusema amerogwa au kuhusudiwa.Nabii Ayub alilala kitandan ameoza anatoka mafunza miaka 15 wala kusema husda wala kurogwa hii ni mitihan Ya ALLAH TU tumcheni Musiwa towe waislamu ktk njia ilionyoka mukawapa Imani ya shetwan