Liz Confesses to (DCS) she never went to Arusha, She Lied because the Pastor promised her Money

  Рет қаралды 36,154

Easterntv

Easterntv

Күн бұрын

Пікірлер: 536
@jacklineadhiamboowino964
@jacklineadhiamboowino964 6 ай бұрын
The Bible says the love of money is the root of all evil
@MagdaleneMaingi-p7c
@MagdaleneMaingi-p7c 6 ай бұрын
Kama ndio zilisaliti Yesu binadamu no nani😂😂😂
@User-c6h9x
@User-c6h9x 6 ай бұрын
True. true. very true
@fatumajeneby5449
@fatumajeneby5449 6 ай бұрын
UTAJUWA HUJUWI BETRAYER KUFANYA BIASHARA ZA KOKONDESHA WATOTO😂
@rosemuthoni8109
@rosemuthoni8109 6 ай бұрын
Yes and True
@Tarubini1
@Tarubini1 6 ай бұрын
This could be a classic case of child trafficking and abuse.😱
@ANNASTACIAMWENDE-bo7dw
@ANNASTACIAMWENDE-bo7dw 6 ай бұрын
🖐️🖐️🖐️🖐️
@marionmuturi5283
@marionmuturi5283 6 ай бұрын
She keeps on saying she doesn't know where the kids are, yet the messages were so clear..apatie watoto maji na mkate ndio wazidi kukonda🙄🙄🙄.
@gracenyambura1620-tk9jd
@gracenyambura1620-tk9jd 6 ай бұрын
My thinking too😢
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 6 ай бұрын
Slice moja ya mkate na maji
@FlorenceKalekye
@FlorenceKalekye 6 ай бұрын
Kwani Sama akumbuki massages zenye alisoma?
@shallonjiragwa9827
@shallonjiragwa9827 6 ай бұрын
Yes na pia akasema mash analia Lia na kusumbua,she knows where the kids are, this woman is a witch
@rosemaryjoseph9414
@rosemaryjoseph9414 6 ай бұрын
True
@MERITASONGO-i8s
@MERITASONGO-i8s 6 ай бұрын
Eastern tv nakufata sana mambo yako akika unasaidia wengi na utazidi kusaidia wengi mungu akubariki sana tena sana.
@mungaikimani3328
@mungaikimani3328 6 ай бұрын
Whoever does evil in the name of GOD IS THE LAST FOOL ON EARTH....GOD IS NOT MOCKED!!!
@monalisakenya6101
@monalisakenya6101 6 ай бұрын
Haki
@puritywainaina8806
@puritywainaina8806 6 ай бұрын
Bring Mrs Ngatia on board, let her convince us of Arusha vs kenya😊
@MargaretteQuite-me3xs
@MargaretteQuite-me3xs 6 ай бұрын
Ako Finland
@terryouko8350
@terryouko8350 6 ай бұрын
Hapa hakuna convincing, ni kuenda Arusha
@joselynem8491
@joselynem8491 6 ай бұрын
Wote n mikora
@nzyukostella7298
@nzyukostella7298 6 ай бұрын
Samritan should sanitize this lady again to know what she is discussing with the wicked "pastor"
@faithatieno8257
@faithatieno8257 6 ай бұрын
Exactly
@MargaretteQuite-me3xs
@MargaretteQuite-me3xs 6 ай бұрын
I second you
@gladysjeanmarie2817
@gladysjeanmarie2817 6 ай бұрын
True
@gladysmathenge
@gladysmathenge 6 ай бұрын
Ako na delay
@anastaciawairimu7763
@anastaciawairimu7763 6 ай бұрын
True
@dominicseverio8288
@dominicseverio8288 6 ай бұрын
Another shaka horror, oh no, that church needs to be known to public and all let known to wananinchi
@Userantelope
@Userantelope 6 ай бұрын
Exactly , to safeguard the public and from stupid pastor and his side goat 🐐. Where is the wife, guess she is watching from Finland 🇫🇮
@catherinethou
@catherinethou 6 ай бұрын
Kabisa ianikwe kwa jua.. Samaritan tangaza hiyo church hapa tuijue
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 6 ай бұрын
Na Makenzi
@nduguwaweruh9448
@nduguwaweruh9448 6 ай бұрын
Exactly.. we need to know, hakuna rafiki mwema kwa hii dunia kweri.. even kwa church money first.. waaaah!
@cikuciku4345
@cikuciku4345 6 ай бұрын
Sponsors from abroad should watch this waache kufund wezi.
@sarahwanjiru191
@sarahwanjiru191 6 ай бұрын
Unfortunately,, l have read stories of how some of them are involved in trafficking as well.
@cikuciku4345
@cikuciku4345 6 ай бұрын
@@sarahwanjiru191 Maybe such "donors" are "donors in disguise" kiz wanajua some of these orphanages are managed by corrupt individuals who are there for no good reason...
@JaneMwangi-dq8yq
@JaneMwangi-dq8yq 6 ай бұрын
My God Hee .. sama wale watoto wote walikua hata wameenda before,wanafaa wapimwe kama wako na Vigo zote mbili juu watoto wanatolewa Vigo Moja na wanaonekana wakiwa sawa TU....haiyaaa
@Lucymotindo
@Lucymotindo 6 ай бұрын
Anyone who saw the red ribbon or string on the pastors hand knows that pastor is in a cult.
@CyphroseRobert
@CyphroseRobert 6 ай бұрын
I saw it 🖐️
@DK-jd2om
@DK-jd2om 6 ай бұрын
Saw it😮
@essy2023
@essy2023 6 ай бұрын
Hawa mapastors wanatumianga nguvu za giza na mkiona washirika wakiwatetea ni vyenye wanakuwanga wamekorogwa akili na mapepo wanakuwanga kwa giza
@Janemwangi-zc7rl
@Janemwangi-zc7rl 6 ай бұрын
Niliona inamaanisha Nini?
@CyphroseRobert
@CyphroseRobert 6 ай бұрын
@@Janemwangi-zc7rl Inamaaninisha ni Illuminati 👿
@loseeal3440
@loseeal3440 6 ай бұрын
Sama ni kama mungu alikutuma juu hii mambo haigechibuka watoi wagepotea hivyo tu😢😢
@qwambyBee
@qwambyBee 6 ай бұрын
I love this madam! Very firm and straight to the point! Hachezi na mtu!!👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@daisychelimo9578
@daisychelimo9578 6 ай бұрын
I said it yesterday 😮my heart tells me watoto wako mahali apa Kenya
@marymungai-ye6yv
@marymungai-ye6yv 6 ай бұрын
True because pastor walikua wanaongea na huyu awakisema anawapea mikate na Maji ndio wa kode
@maggienjoroge836
@maggienjoroge836 6 ай бұрын
Key iko Kwa message mwenye alitumiwa messo akondeshe watoto plus aoshe church
@HannanHussein-jm8mw
@HannanHussein-jm8mw 6 ай бұрын
Last year walienda wakashindwa ku konda ndo mana wakupata musada...dis year ilibidi wa kondeshwe wapate msada....gaaii!...
@PatrickMwathi-jb6jb
@PatrickMwathi-jb6jb 5 ай бұрын
Child trafficking and abuse is a very brutal crime...Let this lady serve as an example
@fatumaadam4271
@fatumaadam4271 6 ай бұрын
Kikuyu can do anything because of money
@godfreylangat2243
@godfreylangat2243 6 ай бұрын
Shallow minded you can crucify the whole community because of one, two or three individuals, for you by your Name if we say you're alshabab how will you feel.
@jacksonkarau4365
@jacksonkarau4365 6 ай бұрын
Not Kikuyu all lady's even you
@jacklinenuthu606
@jacklinenuthu606 6 ай бұрын
Acha ukabila wewe
@Grace-p2u
@Grace-p2u 6 ай бұрын
Don't be personal be a media follow uone everybody no matter tribe pple are messing up evily ili wapate pesa
@jeffryjeff3278
@jeffryjeff3278 6 ай бұрын
Was shakahola Makenzie a Kikuyu.
@janemumbi9416
@janemumbi9416 6 ай бұрын
She was promised 200k this time round. This is something they have been doing 😮😮😮
@anthonymwangi9445
@anthonymwangi9445 6 ай бұрын
Sama anafaa arewind the initial video wakisema mambo na kuslimisha,malipo, complain za last time....
@alicewangui3252
@alicewangui3252 6 ай бұрын
This woman is a big liar Arrest her!!!
@annejuma2892
@annejuma2892 6 ай бұрын
I new all along the kids are here.... Arusha ilikua jaba tuu. Expose them kabisaa.The guardian angel of mash.
@peshsteve1248
@peshsteve1248 6 ай бұрын
Kwani pastor ndeya amerudi Kenya
@kilogreek4050
@kilogreek4050 6 ай бұрын
HUYO MADAM JAMBAZI WAWATOTO AMTOE WATOTO WALIPO WAMESHAMUUA MTOTO HAO😢😢😢
@annkoinange720
@annkoinange720 6 ай бұрын
This mama Kim knows where the kids are... Afinywe aongee ukweli 💪💪
@hellenNzilani-dk1sn
@hellenNzilani-dk1sn 6 ай бұрын
Kaende kabisa 😅😅 You can't hide something for good....na hii ni mwanzo wa Truth
@mariamrashidi7754
@mariamrashidi7754 5 ай бұрын
Huyo mama anajua kazi yake pia yupo serious safi sana
@anthonymwangi9445
@anthonymwangi9445 6 ай бұрын
Sama kindly ask about the starvation issue:be thorough
@boosternet8785
@boosternet8785 6 ай бұрын
Watu wa kawangware twabieni hiii Kanisa iko wapi exactly
@BethKiarie-lu8zh
@BethKiarie-lu8zh 6 ай бұрын
Yes twataka kuijua
@fridahnkatha9589
@fridahnkatha9589 6 ай бұрын
Huyu Liz anajua watoto wako wapi because kwa texts she was explaining to the Pastor how the kids have grown thin because wanawapea tu maji na mkate slice 🍰 moja! So huyu Liz ndiye ameficha watoto ndiyo anawakondesha!!
@mildredkeris21
@mildredkeris21 6 ай бұрын
Very true,I wonder why Samaa isn't mentioning
@charitykinya-hi1pq
@charitykinya-hi1pq 6 ай бұрын
True sama mkumbushe ivo
@jacquelineayuma7393
@jacquelineayuma7393 6 ай бұрын
Exactly
@annmaina4268
@annmaina4268 6 ай бұрын
Where was this courage from mama Mash when she was talking to the pastor...Nktttt!!
@maggienjoroge836
@maggienjoroge836 6 ай бұрын
Liz ndiye ako na watoto
@omanoman2044
@omanoman2044 6 ай бұрын
Hili kanisa ni lakuuza watt mungu wangu jaman duuh watt wameuzwa wallah
@martinsafaris4314
@martinsafaris4314 6 ай бұрын
Samaritan...be having the message As evidence...you read them out before you start then start your questions from there... It's very simple.. Tanzania 🇹🇿 is locked in
@SamiraMulama-op6bm
@SamiraMulama-op6bm 6 ай бұрын
It was obvious the kids were here from the first video.. even the pastor's defending language made it so evident
@irynejames5161
@irynejames5161 6 ай бұрын
Arusha ilikuwa a "cover up" to buy buy enough time to kondesha watoto.
@shallonjiragwa9827
@shallonjiragwa9827 6 ай бұрын
​@@irynejames5161wz
@rackelturner6727
@rackelturner6727 6 ай бұрын
Mbona liz hukupele watoto.wako
@omanoman2044
@omanoman2044 6 ай бұрын
Mungu wangu wamam mbon mko rahis hiv kupean watt wenu na mpo kenya jae mngekuw mpo inje ya NCHI DUUH
@CathelineKarumbi
@CathelineKarumbi 6 ай бұрын
Bona hawakupeleka watoto wao liz nahuyo taperi anajiita pasta
@janetchirchir5764
@janetchirchir5764 6 ай бұрын
Woooi hata tumbo inauma 8yrs hata duka siexi kubali aende mbali pekeake
@Asha-yn4bu
@Asha-yn4bu 6 ай бұрын
This reminds me of pasta show baby brayo know we have grace in hospital so sad
@puritywanja9203
@puritywanja9203 6 ай бұрын
Sanitize simu ya liz
@essy2023
@essy2023 6 ай бұрын
The message ilisema watoto wakondeshwe ili donor to be convinced watoe pesa mingi
@catherinethou
@catherinethou 6 ай бұрын
Madam Dcs Kindly usituangushe we depend on you please zidikisha hawa wauwaji wote huko prison n kamiti death sentences
@CharityWachira-zw9cf
@CharityWachira-zw9cf 6 ай бұрын
Mimi nilisema hata mama mash,ako na makosa
@saisamuthoni4588
@saisamuthoni4588 6 ай бұрын
Child trafficking is real, and I will not be surprised that this church has been doing this business.
@evanskeens3284
@evanskeens3284 6 ай бұрын
Mr Director thanks you took my advise
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 6 ай бұрын
Kimekuramba mama kim
@wanguwangu3927
@wanguwangu3927 6 ай бұрын
Watu wanadaganya Kwa madhabau! Jesus Christ, Jesus have Marcy on your people!
@josephngola
@josephngola 6 ай бұрын
I like the toughness of a woman whenever ana handle her fellow woman.
@nasykanjawakanyoni1421
@nasykanjawakanyoni1421 6 ай бұрын
Ni maombi ❤❤❤ Poster ako wapi kumbe ilikuanga maongoo kamiti direct Langata direct 😢😢😢
@BethNdunda
@BethNdunda 6 ай бұрын
Lizzy was under instructions Tu kondesha watoto from the word go. She knows where they are
@ngundomorris6767
@ngundomorris6767 6 ай бұрын
Liz anachagua dhambi moja ingine haitaki 😂😂😂
@maryboro8763
@maryboro8763 6 ай бұрын
Sama she is Elizabeth Wambui
@SamiraMulama-op6bm
@SamiraMulama-op6bm 6 ай бұрын
Hakuna retreat walikua wanaenda .. ilikua kuwapumbaza so that u get used to it then they strike....
@elizabethmbole9318
@elizabethmbole9318 6 ай бұрын
Pia wachunguze kama hao watoto wanaendanga kama wako na organs zote...😢😢
@jfjkfk6599
@jfjkfk6599 6 ай бұрын
I can imagine vile hio kanisa itafurika Sunday kujionea wezi wa watoto
@JoyceMugambi-s8g
@JoyceMugambi-s8g 6 ай бұрын
Mnachukua the bright children ndio muibe nyota zao, alafu mwaue😢
@irinewachira6589
@irinewachira6589 6 ай бұрын
Ati hajui the specific place watoi wako and in actual fact, kwa conversations yake na passi, yy alisema amekua akipea watoto slice za bread na maji to starve them...aache uongo
@andy22442
@andy22442 6 ай бұрын
I stopped doing follow up of samaritan after sanitizing because its full of crap
@samuelochieng9434
@samuelochieng9434 6 ай бұрын
And why are you watching part 10
@andy22442
@andy22442 6 ай бұрын
@@samuelochieng9434 I commented on what popped on my KZbin can't even tell what was discussed. Kids going missing and still people want to do discussions and she is walking free? The other one was the chang'aa guy and before that was the dead bodies.
@samuelochieng9434
@samuelochieng9434 6 ай бұрын
@@andy22442 you are right infact he should even give us an overview on how things went
@BowensVince
@BowensVince 6 ай бұрын
They all begin by lying and manipulation when the pressure gets to them they burst out the truth sasa haya ndo maneno madam your days are over the demons you've been serving in the name of pastor has exposed you
@Userantelope
@Userantelope 6 ай бұрын
It was clear they were both lying and Chikdren has never been to Arusha. I hope those Chikdren are safe
@brishkim
@brishkim 6 ай бұрын
Eish huyu mama afungwe,, amekuwa akidanganya ati Ako Arusha ilhali wanajuana pastor
@fatumaadam4271
@fatumaadam4271 6 ай бұрын
Samaritan we want follow up until the end
@Dear0705
@Dear0705 6 ай бұрын
SAMA BRING ALL THE MOTHERS HERE.......
@miriamwanyoike3771
@miriamwanyoike3771 6 ай бұрын
Sahii najua watoto watarudi ni Jesus name 🙏
@olgaogada7868
@olgaogada7868 6 ай бұрын
Mpe watoto mkate slice moja na maji the whole day na ni pastor, my goodness
@paulinearumi3373
@paulinearumi3373 6 ай бұрын
Lizzzzzx pokea kiss ya pastor nitamu kwako bure sana ndani ya kanisa ole wale masharati
@Emmaniel-qj3wg
@Emmaniel-qj3wg 6 ай бұрын
Samaritan ndio star 😮
@judynzuki5183
@judynzuki5183 6 ай бұрын
Wanjiku, Nyambura na Ngatia......sisemi kitu
@robbieglo7155
@robbieglo7155 6 ай бұрын
Ama waliua watoto😢😢😢
@DasMasters
@DasMasters 6 ай бұрын
Kenya yetu iko na matata kabisa!
@JosephineMueni-v4y
@JosephineMueni-v4y 6 ай бұрын
Jamani huyo ni pastor kweli
@sandraawour
@sandraawour 6 ай бұрын
most of the kids wanapotea Sana in churches,,, kumbe ni child trafficking hdi pastors wenye tuna trust hao ndo wanauza watoto
@Kary_254
@Kary_254 6 ай бұрын
Ni kutoa kafara ata check huyo pastor anakaa jini
@evangelistgrace5278
@evangelistgrace5278 6 ай бұрын
The church also is the business of children 🤔🤔. In whose hands are we safe for real... Officer dig deep on this issues until Pastor produce the innocent soul. I love the way God is exposing evils done in darkness
@mariagichuri7273
@mariagichuri7273 6 ай бұрын
Real,real devil of a woman. Awake ndani aongee kama redio na aonyeshe watoto wake wapi.
@susannjuguna7724
@susannjuguna7724 6 ай бұрын
Officer please watoto saa hii wanasitahili kua shule bona Arusha..
@Danny54642
@Danny54642 6 ай бұрын
Workers of iniquity liz na mpenzi wake wskado "pastor"
@AntonyNyaata
@AntonyNyaata 6 ай бұрын
Pastor amekula😂😂
@BowensVince
@BowensVince 6 ай бұрын
We want bibi ya pastor I love it when people wanakuja kwa show na kiburi but when authorities are involved Wana nyenyekea mbaya mama kim amekuwa kama maji ya mtungi
@CatKuria
@CatKuria 6 ай бұрын
Liz awekwe ndani atatoa watoto
@msuzann6005
@msuzann6005 6 ай бұрын
Hiyo mnaita church kumbe warehouse ya kuuza watoto😮
@alexsaidi3940
@alexsaidi3940 6 ай бұрын
Kumbe unaeza pata puncher ya pressure ukaongea chini.hehe
@jacklinenuthu606
@jacklinenuthu606 6 ай бұрын
Hao watoto walienda wakarudi wachunguzwe kama wako na kidney zao please.
@EuniceNdichu-ln1um
@EuniceNdichu-ln1um 6 ай бұрын
Wambui anandaganya hadi jina,ati wanjiku mbure sana
@deborahsusan136
@deborahsusan136 6 ай бұрын
8yrs is an engineer ooh my God in heaven
@marygachau272
@marygachau272 6 ай бұрын
Imagine!
@jujun6465
@jujun6465 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@bintikib254
@bintikib254 6 ай бұрын
Asha jukua nyota za watoto aqi.pastor bonoko.
@pelotascompany1708
@pelotascompany1708 6 ай бұрын
It's the stupidity in some parents trying to force things on their kids
@rosamurugu
@rosamurugu 6 ай бұрын
​@@marygachau272CBC manenos🤣🤣🤣🤣
@suzzyjonns
@suzzyjonns 6 ай бұрын
The lady in pink looks like Lavender (inspector Mwalah)
@marymwihakithuku7823
@marymwihakithuku7823 6 ай бұрын
ukweli, naona akinikalia farmiliar sana,ama amewaikuja eastern tv hapo mbeleni?
@catherinekanono4298
@catherinekanono4298 6 ай бұрын
I wish mgemfanya kama pasta show mgechukua phone
@omaojoash2028
@omaojoash2028 6 ай бұрын
mr.samaritan mimi ninaona hao watoto nikama wailipelekwa kutolewa Vigo so wale wawili walirudi walipimwa ikapatikana hasimachi na sile silitakikana so wanaongoja watoto wapone ndio warudishwe bila kujua
@gachericatherine
@gachericatherine 6 ай бұрын
Pliz give us update ya esthers case
@Easterntvsamaritan
@Easterntvsamaritan 6 ай бұрын
At langata woman prison
@BettyMusebe-z1z
@BettyMusebe-z1z 6 ай бұрын
Watoto wakikondo wao hupigwa picha ya kukonvince sponors
@annwangari119
@annwangari119 6 ай бұрын
Harakisha sana watoto wako kwa SHIDAA
@nxjjfj4923
@nxjjfj4923 6 ай бұрын
Ooh what kind of pple,ATI n pastor thy need to be jailed 😢😢😢
@Kary_254
@Kary_254 6 ай бұрын
Harakusheni juu hii kusema aty atatoroka aende Rhineland ni kitu wameongea naye
@tashaceri5606
@tashaceri5606 5 ай бұрын
Eeeeeh huyu pastor ngatia si ndiye. Aliwapelekanakwa kichaka mkapata kichwa ya mtu??? Ooooh nnmeannza kushikanisha sasaa
@jeffcheta
@jeffcheta 6 ай бұрын
Samaritan sema jina la kanisa twende tuliangushe, mm niko hapa Kawangware ndo naishi
@EveMaiyo
@EveMaiyo 6 ай бұрын
Samar expose the name of the church please
@danielosach1603
@danielosach1603 6 ай бұрын
Where are the travel documents of those who travelled.
@joycewanjiru9813
@joycewanjiru9813 6 ай бұрын
Sama kama wako Kenya mara that muende huko watowe watoto na kama wazazi wangine watoto wao pia walipeana huko wajitokeze mbona manadamu wamekosa utu hivi mnatesa watoto wawatu innocent kids omy God forgive us
@JoyLeone
@JoyLeone 6 ай бұрын
That pastor must be investigated coz alisema wengine wametoka nchi zingine, that means anafanya child trafficking from other countries too
@joycewanjiru9813
@joycewanjiru9813 6 ай бұрын
Unakumbu waki sema the first video walisema hao watoto hawaja kuwa kama wale wakwanza so wanafaa wakondeswe
@enolelasoitameno4094
@enolelasoitameno4094 6 ай бұрын
What you do in darkness will come to light.
@megaumojakitchen1599
@megaumojakitchen1599 6 ай бұрын
Inakaa hata Kuna watoto wameipiwa from the neighborhood
@dancanomwenga1987
@dancanomwenga1987 6 ай бұрын
Siku zote mtoto wangu yuko chini yangu and nothing will ever come in-between not even her mother, I'll never allow such a stupid thing
@catherinenjeri2211
@catherinenjeri2211 6 ай бұрын
Mtoto WA ,8yrs Ako na skills
@jacksonkarau4365
@jacksonkarau4365 6 ай бұрын
Lakini wake hawana skills aki wanawake 😅😅😅😅
@richardkinyele443
@richardkinyele443 6 ай бұрын
Watu wafungwe
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Women are officially taking over🔥🔥No money no marriage 🔥🔥
24:58
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН