I need the name of the donors and we will sue the pastor at an international childrens court
@J_M5196 ай бұрын
kindly follow up with Samaritan, maybe kuna more churches wanatumia watoto wa wenyewe to benefit themselves
@annwangari1196 ай бұрын
Ukweli
@annwangari1196 ай бұрын
Kuja kwetu turkan LODWAR watoto wako wengi wamekoda
@brightername88016 ай бұрын
Yes please ndani
@BestTutors-t3i5 ай бұрын
I love this.... PLeeeeease don let this slide
@nashryans77276 ай бұрын
This lady knows exactly where the kids are..she is the one who was feeding the kids one slice of bread and water.
@Vgm8916 ай бұрын
Exactly , swali Samaritan failed to ask
@elizabethmutanu96146 ай бұрын
Sama hafuatagi messages...huwa anaskiza akidaganywa
@micahkariuki13226 ай бұрын
Sama just always content and views even in the serious matters like this
@Princess_mmoja6 ай бұрын
sama uyu mama anajua mahali watoto wako wapi coz alikua anaenda anapeana mukate na maji
@QueenViva-tn1jj6 ай бұрын
She is the one juu kwa text aliambiwa watoto hawajakonda vnye hinatakikana😢
@majormayco6 ай бұрын
She's still lying to save herself. She was part of the whole thing, and was even promised to be paid more than last time. And she's even the pastor's mistress. Bure kabisa!
@Anviy6206 ай бұрын
Ni mjinga sana anafikiria sisi ni stupid
@MagdaleneMaingi-p7c6 ай бұрын
200k akondeshe watoto as if yeye hajui uchungu wa mtoto😢😢😢😢 .Useless woman
@anastaciawairimu77636 ай бұрын
Aache upuuzi she was part en parcel of the deal.
@janemumbi94166 ай бұрын
👏👏👏
@wilystancech6 ай бұрын
Asha jikaranga mwenyewe😂😂😂
@igiiwamapendo44546 ай бұрын
Ukistajabu ya makenzi utayaona Ya Ng'atia😮
@mimim40456 ай бұрын
Another Shakahola loading.
@dorisgaichugi41376 ай бұрын
Ukweli tupu
@pelotascompany17086 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅 msema kweli
@KimathiMuguna6 ай бұрын
😂😂😂
@carolynewaithera78606 ай бұрын
The cry of that innocent child has reveal the evil of this false church.
@mercimerci95406 ай бұрын
Very true woiyee i can't imgn watoi waatezeka hivyo😢😢😢
@CateWangari-z8s6 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭 so painful
@irinewachira65896 ай бұрын
Sad though 😢
@JAMOH_NEWS6 ай бұрын
For real
@mwaurakamau85486 ай бұрын
Wameanza kurukana...... But if this case goes to court she will be sued alongside her sweetheart Pastor.
@Pena-k-x2n6 ай бұрын
I hope these proceeds to court she was very rude in the beginning.
@MagdaleneMaingi-p7c6 ай бұрын
Pastor lover lover😂😂😂
@juma98666 ай бұрын
Yes she will be charged as an accomplice. guilty as charged
@estherkinyua9146 ай бұрын
Yes, she was directly involved.Stupid woman.Wewe ni msupuu ukuliwe na guks.The wife will hate and kill you
@mercymbakuli48196 ай бұрын
She thought her husband was joking when he said kitamramba,now she has realized she is in trouble 😂
@eunicewanjama24496 ай бұрын
Confess everything mama kim in Jesus name...na huyo pastor alidai anawakiri atajua mungu ni more than huyo wakiri wake
@jacklineadhiamboowino9646 ай бұрын
God is not a respecter of persons
@catherinenjeri22116 ай бұрын
Hi Kenya wakili n police diye wamefanya no justice uko Kwa makosa then ur talking Abt wakili
@mimim40456 ай бұрын
The lawyer of the innocent children is God in heaven and he never losses because he is also the judge.
@jawyhi90906 ай бұрын
Kabisa
@juliekurji81416 ай бұрын
BRING THE CHILDREN BACK!!!!!!
@marygachau2726 ай бұрын
When I hear someone confess how they ganged together to do evil to somebody else I remember how God fought for Israelists.afadhali kupiganiwa na Mungu.
@Meloh8796 ай бұрын
and especially innocent kids. May God have mercy
@jacklineadhiamboowino9646 ай бұрын
True
@monalisakenya61016 ай бұрын
Very true
@stanleyngumba82516 ай бұрын
She can go to Nairobi police headquarters they are going to listen to
@lo38616 ай бұрын
Woiye! We already knw this... We want to know Mash ameokolewa?
@CharityWachira-zw9cf6 ай бұрын
Liz anajua kwenye watoto wako
@lowillaokello89386 ай бұрын
Pastor must be arrested and police must issue interpolation warrant on him
@nasykanjawakanyoni14216 ай бұрын
Ni maombiii Toboa siri zote in the name of jesus
@milkawaithira84726 ай бұрын
na aseme mtoi ako wapi
@QteeSharnel6 ай бұрын
Amen
@loseeal34406 ай бұрын
Na ako na minba aede akazalie jela😂😂
@martinmwalili92916 ай бұрын
Samaritan you are a hero. You are doing a wonderful job in exposing the evil that goes around in some of our institutions like the banks, churches,insurance firms and marriages in general. Keep up the good work and be blessed.
@Antone-oj3zo6 ай бұрын
Hata watoto wenu hawatakua na amani sidwe katika njina la yesu
@CateWangari-z8s6 ай бұрын
Amen
@dorcasjebet16916 ай бұрын
Sure Do to others what you'd love other people do to you.
@joycemwendo60196 ай бұрын
Atone waabia wanafikiria watoto wao watafaulu ,watashangaa
@pamelamudogo55516 ай бұрын
But she knew all the plans of even starving them she even didn't give medicene to the sick boy ashikwe tu
@aggreynsemwa6 ай бұрын
Same nakutazama toka TZ, kazi nzuri na Kiswahili safi na fasaha. Hongera.
@olgaogada78686 ай бұрын
That pastor and his wife are wicked 😢my goodness, how can you take small children and especially sick kids and dinied them food and medication, a whole mother and a pastor 😢
@monalisakenya61016 ай бұрын
😢😢😢
@vaxminja90536 ай бұрын
She is now learning a lesson. She was defending the pastor as if the pastor is an angel. Let she learn a big lesson in life. Pastors are human beings, they make mistakes as other people on this planet.
@mjombawallace49666 ай бұрын
Na by the way how about Xex thing from the office
@alyse-m6 ай бұрын
Madam mwongo, you were not used, the messages were very clear that watoto ukodeshwa and you know how it's done wacha kuruka juu kimekuramba.
@MamaPrince-kd9cw6 ай бұрын
Uko ndani ndaani ndaaaani...There are things that you can't say that you were used....These are kids😮😮
@elizabethnzisi94616 ай бұрын
Wonders Wil never end what! This churches watatuonyesha mambo . I'm surprised 😔🙆♀️
@MaryanneWanjiru-ok4co6 ай бұрын
Church iko wapi hasa? Na inaitwa aje?
@elizabethnzisi94616 ай бұрын
Hata sijui@@MaryanneWanjiru-ok4co
@joywarugurundungu6 ай бұрын
unaogopa mungu and you willing give out other children knowing very well they are sick surely !!!
@mjombawallace49666 ай бұрын
😅😅😅😅 hawa ni maumbwa mwitu
@susanwambugu-v8h6 ай бұрын
Woman,you now know the true God.He is the one who exposed the whole matter thro Samaritan.
@lydiarugut82326 ай бұрын
Kweli watu wako na tamaa na pesa...heri mtu ajui Mungu kuliko kutumia neno la Mungu vibaya
@sky-nj1nq6 ай бұрын
Say it again....The BIBLE says that.... they that knew God and turned back got 7 evil demons and more wicked demons than the the seven....and are worse than before they knew God at first..
@SusanKamau-b2n6 ай бұрын
How iwish she said this the first day,mambo haingekuwa ngumu kana saaiii
@jacquelineayuma73936 ай бұрын
She knows where the kids are,back to messages..and the kids are within
@sircharles97636 ай бұрын
Fanya haraka Mr to save these children. This busted pastor may decide to hide with these children or harm them.
@maryjuma14456 ай бұрын
Some people are so evil yet they call themselves pastors and mama kanisa. You are exposing your children to these evil.
@Oderorege6 ай бұрын
Liz knows where the kids are kwa sms alikua ana ambia pastor kwamba ana wapatia slice moja daily ndio wakonde
@LilianOngori-fj7dm6 ай бұрын
Anadhani sisi ni wajinga
@faithwairimugitau11006 ай бұрын
She knows very well
@Oderorege6 ай бұрын
@@faithwairimugitau1100 Kabisa ana sahau tulikua tumesoma text tukaona kwanza yeye ndio alikua ana wapea hizo mikate
@Oderorege6 ай бұрын
@@LilianOngori-fj7dm Hii Kenya iko na mashetani mingi sana that guy is not a pastor huyo ni jambazi kabisa
@patrickwatia10916 ай бұрын
Can you expose this Church to Us Maze We Know It,, Alafu, My Wish mfollow up Mpaka Hao Watoto Wapatikane,,, These Are CRIMINALS
@Danny546426 ай бұрын
The church is in kawangware kwa mpaka wa kangemi na kawangware.Pale mto wa mau mau pahali ili kuws kichinjio ya watu zamani.
@patrickwatia10916 ай бұрын
@@Danny54642 What's the name of the Church Exactly
@rachealkiarie91836 ай бұрын
@@Danny54642 iianike mpaka jina uokoe wengine...bona wanasema jina isitajwe na wanataja JCM
@mercynjoki5446 ай бұрын
Wadau mjue Sasa liz tunashiriki nayeye church Moja na hajakaa..
@patrickwatia10916 ай бұрын
@@mercynjoki544 what is it's Name
@ruthhasango77456 ай бұрын
You are a man of God Samaa
@lydiarugut82326 ай бұрын
God bless you Samaritan coz your disclosing the sin behind our eyes,dod ever go to any church thinking they are God fearing yet not worship the real God
@omanoman20446 ай бұрын
Mungu wangu duuh kumbe wanakondesha watt ili wapate misaad mungu wangu kwan huyo mme wako hakutoshelez
@sarahruth17186 ай бұрын
She needs to give the detail, someone tag the donors,
@peterkahura9556 ай бұрын
She has confessed, and repentant, everybody deserves a second chance. Forgive her, baba Kim chukua bibi amekiri muree watoto.
@EverlyneBett-e8m6 ай бұрын
Sama we need a meeting btwn pastor and liz
@fatumaadam42716 ай бұрын
Wakutane polisi sio hapa
@mercimerci95406 ай бұрын
😅😅😅Unaogopa mungu na mlikuwa napeana kissing na goodies na pastor ,wee ni maraya tu wacha kuingiza mungu japo
@beatricemacharia45996 ай бұрын
😢😢😢sama huyo sio pastor huyo ni mkora anganjificha kwa church
@joancherono12776 ай бұрын
Ati exposed to harsh conditions to be emaciated OMG. Wamama chungeni watoto wenyu
@aplokimo4056 ай бұрын
Wewe huogopi mungu unaogopa binadamu na hio church hamuoni vitendo which church eti wakomde
@jawyhi90906 ай бұрын
Unasema ati kazi ya mungu na ulisema wasipatiwe mkate wapatiwe maji
@gamingwithmelvin44376 ай бұрын
Hehehe na bado anatii kwa mambo ya kufunga kitambaa,pthooo
@TabithaKimani-ur3hg6 ай бұрын
Woiiiiii ati watoto wanyimwe food na madawa 🙆🙆
@samcharo6 ай бұрын
Huyu na pasitaa ni kiriminooo 😂😂😂😂
@kezzybett11426 ай бұрын
Wages n consequences of wickedness
@JoyceMugambi-s8g6 ай бұрын
When chatting, she said she's giving the kids a slice of bread and water. She knows where the children are
@rosemarynyambura82276 ай бұрын
She has finally confessed about everything about the kids& her love affair
@mwanaidiahmed-dt8dj6 ай бұрын
Mungu halali
@JoyceMugambi-s8g6 ай бұрын
This is how God ashames the wolves those that pretend to be sheep!! Pls God, don't let the evil people to go unpunished in the mighty name of Jesus Christ 🙏
@patriciamwikalimwanzi49596 ай бұрын
Huyu anaongea as if hayuko ndani Na from the messages Ni yy akona watoto Na alisema anawapea slice moja ya mkate
@agneswanjiru31745 ай бұрын
Kweli kabisaaa aki ni yy ako na watoto wakati ule🙏😭
@annwangombe96896 ай бұрын
Hio church ifungwe..It's women who keeps on trusting their pastors ...mama mash said she trust mtumishi wa mungu..kumbe ni jambazi sugu
@anngiddy24196 ай бұрын
Watoto wanyimwe chakula na wasipewe dawa😢😢😢ndyo wadhoofike kiafya😢😢mahali hao watoto wako ni Mungu anajua
@sophieisaacchannel30185 ай бұрын
How comes unaogopa Mungu na unalala na pastor na uko na your handsome husband
@fatumaadam42716 ай бұрын
Ulidharau bwanako ju ya huyo jitu😂😂
@hafswahamisi96856 ай бұрын
kimramba 😂😂😂😂 amkasirika pasta amemkataa
@margaretnjoronge57123 ай бұрын
@@hafswahamisi9685🤣🤣🤣wapi ni pesa
@margaretnjoronge57123 ай бұрын
Pesa ilifanya aende kwa jibu wapi number ya bwana yake na mataka mtu single and searching 🤣
@maryngao46036 ай бұрын
na kame bleech. girl you knew everything from day one&your boyfriend pastor
@ivykerry31106 ай бұрын
Parents whose children r not yet back watching this is a direct stub in their hearts😢😢😢
@mjombawallace49666 ай бұрын
Mbu ninaogopa mungu xana 😅😅😅 na anadoze na Pastor 😅😅😅😅😅
@Mephus2546 ай бұрын
Can someone mention this church 😢
@MagdaleneMaingi-p7c6 ай бұрын
Naona tukileta MAMA SAMIA on set very soon😂😂😂😂😂😂😂
@dorcasjebet16916 ай бұрын
Liz where is pastor of goodies and kisses.
@ChiuriEssy6 ай бұрын
Asanti Samaritan Kwa kutuandikia episode 1-12so we watch every episode
@joelnjuguna64026 ай бұрын
Samaritan bona unakaa so reluctant
@joyceongeta86616 ай бұрын
Malaya ya mwanamke GOD will never forgive u...utasikiaje mtoto wako akifanyiwa hivyo, ulipenda peza kuliko huai wa mtu
@omanoman20446 ай бұрын
Wallah wakenya nusu ni mashetan wamejificha kwa jina yakupitia din kumbe n8 wauza watt waj8nga san
@njugunahanne49366 ай бұрын
Uuuiiii wanawanyima dawa. My God shakahola 2 in waiting
@chiriijoy93686 ай бұрын
Mammo Esther ilifika wapi, uyu alikuwa n midomo mwanzo but wapi sai this world will humble you
@aplokimo4056 ай бұрын
Na mnaita kanisa ?? Wakenya. Tukidanganywa tu eti wakode na nikanisa????red flag
@henrykagiri17606 ай бұрын
My dear you have a case to answer now I wish you come clean at first
@DenisMugo-yi3yf6 ай бұрын
Mama u are part and parcel of the game. Uh cheated u went with kids. Don't pray a victim here. Even sleeping with pastor ni kazi ya mungu kweli?? Goodies
@CatKuria6 ай бұрын
Maybe mwash ni mgonjwa sana ndio maana hajarundishwa.Wooii God have mercy.
@uwemattiss8806 ай бұрын
We are still listening to the pastor's side piece,the only time i saw justice was when the dci came and arrested people but these people are still taking things easy,the fact remains that no child has been returned.
@emilylumbasi72616 ай бұрын
Ekeni Hawa watu ndani kwaza huyo pastor ataeza torokea country ingine ju ni jambazi mkubwa sana
@catherinethou6 ай бұрын
Atawachiliwo tu
@ElizabethNgure-ig5xy6 ай бұрын
Lise God will do something to u that one day u will cry😢😢😢Shosh wa njugu
@stellamutegi90366 ай бұрын
Hakuna kazi ya mungu hulikua hunafanya hilikua ni biashara juu hulilipwa pia hulikua na mambezi na pastor
@safiaahmed9956 ай бұрын
Amekua active kwa mambo ya kanisa hadi kuservice pastor. Anafunga kichwa na kufungua miguu.
@MolelyMolely-h5r6 ай бұрын
Huyu nae afungwe tuu coz wote ni mashetani😮😮
@JudySyombua-pg2bc6 ай бұрын
I rem kwa chart akiambiwa atapewa over 200 k...awakondeshe vizuri,wapewe slice Moja ya mkate na maji...too painful..mungu amehurumia the innocent kids ad used Samaritan to expose them..how on earth can you torture innocent kids for your gain???
@FaithKaloki-dh5ce6 ай бұрын
Too bad aki mtu amess mtoto wangu na deal na yeye vibaya sanaa
@shegush10966 ай бұрын
She knows where kids are
@shegush10966 ай бұрын
Yani ako the whole story
@User-c6h9x6 ай бұрын
LIZ Shindwe hii na venye umongea vibaya kuhusu JCM yetu. Kumbe church yenu ni ya madimoni
@graceMwende-io3ft6 ай бұрын
Pastor alisema baba Kim ni mlevi wa changaa ashindwe
@essy20236 ай бұрын
Na washerati
@Meloh8796 ай бұрын
🤣🤣🤣ako bitter na JCM ju bwanake alipeleka sadaka nono
@anastaciawairimu77636 ай бұрын
Shakahola
@jemimakaranja97126 ай бұрын
I knew she will finally speak...
@nxjjfj49236 ай бұрын
This criminal is just walking around,yet the kinds are suffering 😢😢,has she not been arrested,n why????????
@raelmarete49436 ай бұрын
Liz says that she feed them with 1 slice of breand and a water, that means she knows where the kids are,, na sama hataki kumuulisha iyo swali,
@designhouse176 ай бұрын
This lady knows where the kid is. As I said we don't need anything more interviews we want to see the kid. They are busy feeding the kid to cover up. Sama and your director go undercover and get the kid for us. My pray is he has good health aki
@Jer746 ай бұрын
Samaritan where is our DCI Godfrey?
@mwauramartha42236 ай бұрын
Mkumbuke Kuna bro ya Liz alitajwa kwa conversation
@victormaina93436 ай бұрын
That's not a church but shakahola this wicked woman should be in custody as by yesterday..
@PriscahWandu-xb9ep6 ай бұрын
Kwa nn hawataki kuexpoese hii church ndio tujue kama Kuna watoto wamepotea
@LeonardRuto-dq3js6 ай бұрын
Mimi nataka tu pasta awekwe kwa radar hasitoroke. Tukiendelea na hii drama yeye tu akuwe ameshikwa
@kk-xl2pp6 ай бұрын
Kesho ni Sunday na hatuwajua hii church ni gani arafu tujipate Tena huko aje sasa
@RAMANETWORKS.6 ай бұрын
Kwani what's the importance benefits of being thin
@mercykinyili58696 ай бұрын
Samaritan ulizia watoto wako exactly wapi
@mercynjoki5446 ай бұрын
Liz kesho jitayarishe kuitwa mbele na our Rev CZ hizi videos nitaonyeshashana..tayari siko reloaded na nimetumia mama Moja kwa church
@johnndungu87646 ай бұрын
Tell us the name of the church
@mercynjoki5446 ай бұрын
@@johnndungu8764 Mimi nashiriki CFF
@lydiakambua29426 ай бұрын
Alafu kuliedaje?what's wrong kuitwa na na huyo"rev wenu"
@Martha-w6h6 ай бұрын
Huyu ni muongo hivyo yeye ndiye anapea watoto slice moja ya mkate aday
@faithwairimugitau11006 ай бұрын
Aki wah!😢😢😢
@anastasiamumbi7396 ай бұрын
Tamaa imekuweka pabaya my sister
@ruthhasango77456 ай бұрын
Tunaomba 13 Samaaa pls
@DayoKwambo6 ай бұрын
Huyu aseme tu ukweli coz at the messages tuliona pastor amemwambia ety last time hawakukondesha watoto vizur so which means SI mara ya kwanza
@dennisnzunga81466 ай бұрын
This Lady knows where the kid(s) are, please please please let all the kids be examined whether they have all their internal organs.
@anastasiamumbi7396 ай бұрын
Sama unafaa wwkija hapo kujielezea kitu ya kwaza sanitize simu zao kwaza dio ujue kuhusu watoto