Mwanangu anajua sana muonekano tu ndo unamuangusha mziki unataka sana muonekano ila huyu mtu anajua nyieee 🙌🙌🙌
@DommyAbasy-cn5nc2 ай бұрын
kumekucha Lody kila siku unalia mshikaji wangu pole ila ngoma ni kali.
@PeterCharlesPeterCharles2 ай бұрын
Wa kwanza leo ❤
@SamwelHuruma2 ай бұрын
Bongeee la gomaaaa broo🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@Iteritekaolive28072 ай бұрын
All the way from Burundi 🇧🇮, I'm a big fan from KUBALI now HANIPENDI... All the best LODY
@m_boy24862 ай бұрын
Bora mwamba amelud maan marioo kapendwa ametusaliti Bora mwanetu lody
@Phili_D-m8r2 ай бұрын
Nakukubali kaka kwenye uadishi huja wahi kufeli ngoma kali sana
@andrewkilave35322 ай бұрын
Brother unajua sana aisee
@johnmutelema20792 ай бұрын
Kali saaana mwanangu toka 254 siku zote nakukubali
@amurially43232 ай бұрын
Lody music anajuwa Sana Tatizo support.....moja wa mwandishi bora TZ never give up utafika mbali bro much love ❤
@auntiemylee31572 ай бұрын
Hatari uyu mwamba
@ErastoMuhonyo-k7y2 ай бұрын
Unyama sana ila wakati wa Mungu ndio wakt sahihi utafika mbali
@loveinspiration25062 ай бұрын
Namuona bizman ndan yko bro. Unaimba bro,
@Salumshingo992 ай бұрын
Waoooh vzr Sana kaka nyimbo ni nzuri na Ina ujumbe mzuri sana lody music brother wewe 👉 ni mkali sana asa kwenye love ❤song daaah ww mzuri kikubwa kaka zidi kutupa burudani ❤❤🎉 ❤❤❤
@LandryMapesa-ns5mq2 ай бұрын
Kabisa lody kama ume mukubali lody gonga like kwangu
@Vinnymusictz2 ай бұрын
Huyu mjinga anajua mpaka anaboa kama umemkubali like10k apa kwajili ake
@dadychaps75272 ай бұрын
Dah.... Napenda uandishi wako 🔥🔥🔥🇰🇪👍✌️☝️
@luqash_luqman97442 ай бұрын
Yan lody kama ulijua yatanikuta dah 😢😢Yan wimbo unatoka ndio mapenzi yalifika mwisho siamini 😢😢😢thnks bro Imenigusa sna hii ngoma
@shukurualfredy83872 ай бұрын
Bonge moja la wimbo hujawai kufel kaka 🤝
@mdeeyoofficial8132 ай бұрын
Hit ila watanzania hawatoipa shavu sijui kwanini mbona Mimi nimeikubali toka Uganda
@FrankNgolu2 ай бұрын
Unajuwa sana kaka
@JosephAntony-ec7vs2 ай бұрын
Umeuwa kaka noma
@WinaGt2 ай бұрын
Kaka nakuelewa sana kaz unaiweza, ila umekaa kimya mpaka nilikuDM sababu nlimiss sana hii saut yako braza!!🥂👍👍👍👍👍
@salimjumaa81802 ай бұрын
Dude kali mno i say. Hit ya mwaka🔥💥💯🎉
@LydeaAnyangoАй бұрын
Lody vip mbona ulipotea uko aje jameni mzigo Kali sana nakubali my big brother 🎉
@amanibyamungu-cl8kk2 ай бұрын
Unyama sana aise 🤗
@hakiba12072 ай бұрын
Safiiii ngoma ni fire KAMA YELELE ya msanii HAKIBA TONE 🇹🇿 Umetisha sanaaa mkuu
@franciscotemba69292 ай бұрын
KASSIMU mganga mpya uyu nu hatar sanaa
@Kuladini2 ай бұрын
Wangapi tuliwo usikiliza mala nne?😭😭😭💔💔hanipendi yani namlazimisha2😢
@meshackmgunda87892 ай бұрын
Nyimbo kali sana 🎉🎉
@ZakiaShelary442 ай бұрын
Uk vzuri lody
@miracmbunda65412 ай бұрын
Nilikuwa naisubiria kwa hamu hiki ni chumaaa lody 🔥🔥🔥
@briandangwa31702 ай бұрын
Chumaaa🔥🔥🔥🔥
@lavagal98542 ай бұрын
😢😢😢😢pole sana kaka
@ZakiaShelary442 ай бұрын
Uk vzur❤❤❤❤
@TonnyBrian-q9q2 ай бұрын
Respect my brother unajuwa sanaaaaaaaaaah
@BenadyKayange2 ай бұрын
umetisha mdogoang
@AbdullahMwita-r4k2 ай бұрын
Thanks for this dedication kaka
@MalingaNgalu2 ай бұрын
This hit is 4 my x wife😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 i did mistake thanks lody
@mustaphardennice964928 күн бұрын
Thanks bro for leaving her. I'm with her right now
@gun60jgt402 ай бұрын
Lody music on this one ❤❤❤
@bajuunphysique30125 күн бұрын
Lody umenigusa sanaa wallai nlidanganya nlipoteza kazi na baada ya mwezi nkajifanya nimesota na hapo ndio matatizo yalipoanzia nkajua hanipendi alikua juu ya salio😢
Km unawez omba remix FT marioo itakua kubwa sana 🎉💯💯
@didasmashwilili2 ай бұрын
Kama unaamin hii Ngoma itafika mbal ngonga like apa 🔥🔥🔥
@Lilluv72 ай бұрын
This is gone replace “promise” for now I been a big fan, just know ur music help a lot of people and also ur work will be known keep up the great work.
@ibrahstar75902 ай бұрын
We jamaaa mbona unajua Sana wewe
@vikarnatz2 ай бұрын
Kaka lody niumetishasana ingoma niumeuasana
@jayworld34202 ай бұрын
Kenya twa kupenda 🎉
@RashidiMtutanje2 ай бұрын
Nakukubali blaza Mimi Niko nsumbiji❤
@amolifemusic2 ай бұрын
Kaz nzr kaka
@Mwanasconcho_2 ай бұрын
We mjinga unaandika sana mpk kero 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@miketez21602 ай бұрын
Kali zana kaka mdogo ❤
@ElizabethNyabu-q1x23 сағат бұрын
Lodg nyoa hizo rasi bhana khaaaaaa nyoa style nzur😂😂😂😂❤❤❤❤
@aliymwanafuno98482 ай бұрын
Wakal wa hizi kazi,chuma king Kong 🤝bro
@SukariYao-o5v2 ай бұрын
Mzee wa kulia lia hii ngoma umeimba kama vile unaanza gemu😂😂😂😂umezingua kazi mbovu nipo humu humu
@lukenyamotorcross48622 ай бұрын
Lody Music Lody music Biggy unajua sana ....lazima nikapige nawe collabo
@jeffkonki82792 ай бұрын
Mboso anaitajika kwenye remix
@RajabYussuf-m2mАй бұрын
Fadadeki wee msenge hujawai kuimba nyimbo mbovu 😢
@dragon_tz2 ай бұрын
Ngoma Kali mnoo
@antonymurirthi88027 күн бұрын
Hii kali bro, mpe mbosso verse, mtaua sana.
@NICAISENIVYIMANA2 ай бұрын
Nawakubali Sana watu wangu is nice song 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@madiwarongomba62 ай бұрын
We mwehu unajua saana👊👊👊👊👊
@HenrySanga-r6w2 ай бұрын
Bora figo zipo Ila moyo upo mmoja💔
@zawaditito51112 ай бұрын
Lody unaimba bwanaaa🔥🔥😍😍😍
@FELIXCHAULA-k4h2 ай бұрын
nimelia sanaaa leoo
@EgnoNgimbuchi2 ай бұрын
pole
@thigakabum4212 ай бұрын
Kulia muhimu lody😢😢😢😢😢
@255tanzaniaАй бұрын
nice songs congrats for having a good continuation keep moving forward with a strong voice and a good message, also our God✌
@officialSkuBy2 ай бұрын
Ngoma kalii sanaa ila colabo iyo vesi ya pili ya jambazi angepita nayo mbosoo au selee man boy ingekuwaaa hatarii na nusu
@finidilivingstone7502 ай бұрын
I just can't get over my ex wife, and this song just reminded me of her.. i loved her with every single cell in me 😢
@DavidDeo-b6zАй бұрын
Kazi nzury bro big up
@nasibuomary79812 ай бұрын
U kill it Bro.
@shakulumwira2 ай бұрын
Good bro yan🔥🔥🔥
@nilomastory2 ай бұрын
Nakubl sana mkal 🎉
@AnnaMkinga-n9u2 ай бұрын
Bola weww mwaka jana mi mwezi wa7 ila mwezi huu amna kiti
@legendaryteacher1202 ай бұрын
unalewa nini wakati mwenzako ameshakuacha😪😪😪
@Wama-2552 ай бұрын
Hujawahi kuangusha blood
@shannarsaidSwahili2 ай бұрын
Hongera blaza
@sants32692 ай бұрын
Umepoa sana kwa huu uandisho 🎉
@chusseboywcb28082 ай бұрын
Saut ya lody music na j melody zinafanaa kinyama sijui nani kamkopi mwenzie❤❤❤❤
@Remao_tz2 ай бұрын
This dude knows🎉🎉🎉👊👊
@wigon1272 ай бұрын
Moto mwingiii sanaaa broooo
@FirestickNewvibe2 ай бұрын
So sweet and sad to when we breakup nikiwa kenya londy big up una gusa moyo ya watu sana ❤❤❤
@Dullytx2 ай бұрын
kazi nzuri sana
@ShelayWamapozi2 ай бұрын
Yeeees nakubali uandish mtaam❤❤❤❤
@truthkhalfani11952 ай бұрын
Mbona kama kumbukumbu zinaishi duuh kuna watu wanaogusa pale pale
@kidmozjkm79652 ай бұрын
Kutoka Moçambique tujuane Kwa like APA 🇲🇿✊🫂
@KalebyHennry-ux7fjАй бұрын
Msenge anaimba huyu kbongo sioni kabisa wakumfikia achana na Hawa janja janja nasema kipaji
@dickyrex2 ай бұрын
Kama unaikubali gonga like apa
@ShufaynerHassan2 ай бұрын
My really story nakutaj mpaka jina natoa ushahidi reyhna mtanga hii nyimbo yako mama angu umentesa chuo adi uraiani😞
@mohans42462 ай бұрын
Lody music wewe unajua sana
@Innocentmustaph2 ай бұрын
Good vibes kaka mungu akubaliki skupingi piya usisahau kuwa ninakazi nawewe kwa mocco shafanya vece kuna mambo nayaweka sawa kidogo ntakucheki by Harmocent