UTAMUONEA HURUMA MTOTO WA SAJUKI NA WASTARA AKIWAOMBA WASANII WASIMSAHAU,ANAKIPAJI WAMSAIDIE

  Рет қаралды 15,448

Lokoma Tv

Lokoma Tv

Күн бұрын

KWA HABARI , SIASA, MICHEZO NA BURUDANI USISAHAU KU SUBSCRIBE KZbin CHANNEL YETU YA LOKOMATV HAPA
Follow Us On:
INSTAGRAM: shorturl.at/wFP67/ || shorturl.at/jwQSU
TWITTER: shorturl.at/luzLZ
FACEBOOK: shorturl.at/rCL12
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Empire Lokoma Limited . 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#yanga #simba #yangasc #simbasc #simbavsyanga #tff #nbcpremeireleague #mwakinyo #samatta #zuchu #wizkid #Davido #nandy #wasafi #diamondplatnumz #alikiba #harmonize #instalive #youtubelive #mboso #lavalava #beyonce #Mariacare #mwijaku #babalevo #hbaba #kondeboy #afrima #notjustok #exclusive #lokomatv #trending #tanzania #marioo #mrpimbi #rickmedia #millardayo #ayotv #simulizinasauti #utamu #mpenjatv #globaltv #bonatv

Пікірлер: 43
@nameno8608
@nameno8608 8 күн бұрын
Ana binti mzuri sana Hongera Mungu atawazidishia
@ZabibuKinoni-tj4jt
@ZabibuKinoni-tj4jt 8 күн бұрын
Usijali wastara hayo ni maputo tu muombe sana allah atakusaidia amiin inshaallah
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 8 күн бұрын
Mzingatie sana dini hayo mambo dunia msiyaendekeze
@SeverinoLuis-j1h
@SeverinoLuis-j1h 8 күн бұрын
Kama kusali kasali wewe inatosha
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 8 күн бұрын
@@SeverinoLuis-j1hshukran🙏
@SitiSaid-ol9rm
@SitiSaid-ol9rm 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂​@@SeverinoLuis-j1h
@speciosermusika2009
@speciosermusika2009 8 күн бұрын
Yaani mtoto anazungumzia muziki zaidi kuliko kitu chochote !Wastara mkazania mtoto azingati masomo zaidi,Muziki iwe kazi yake ya pili.Mtazame sana Monalisa kwa juhudi za kuzingatia elimu kwanza kwa watoto.
@MasturaShaabani
@MasturaShaabani 4 күн бұрын
Kwanza pole sana ila usimpeleke kwenye mziki utamkosa pia dini ni muhmu sana
@AymanAlly-k7h
@AymanAlly-k7h 4 күн бұрын
Mungu akuongoe mtoto usipend sana mziki mana mama ako saiv ana juta!
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 9 күн бұрын
Tunakupenda pia dada angu kipenzi❤❤❤❤❤❤❤🎉
@RizikiMakayaShabani
@RizikiMakayaShabani 8 күн бұрын
Ana fanana sana baba yake
@zawadihassani-h4u
@zawadihassani-h4u 7 күн бұрын
auwezi elewa ana pitia mangapi labda ajawai kupata upendo ule wa sajuki
@paulinakiria7918
@paulinakiria7918 9 күн бұрын
Huyu dada angejitahjdi kufanya kazi aache kulialia kwa watanzania hawatamsaidia na kitu
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 9 сағат бұрын
Duu huyo sio mika 12 si kweli rabda 14
@rahabukirigiti8514
@rahabukirigiti8514 3 күн бұрын
Mmm cio kweli huyo ana miaka14 mhimizi apende mambo ya shule achane na mizki ya kidunia
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 9 сағат бұрын
Nikweli miaka 14
@loner_wolf
@loner_wolf 3 күн бұрын
Bint kafanana sana na baba yke . 😅😅😅
@lucyjaphet9685
@lucyjaphet9685 8 күн бұрын
Punguza kutaka kuonewa huruma Dada Wastara.
@MwadawaSaidi
@MwadawaSaidi 9 күн бұрын
Njaa isikusababishe umuingize mtoto kwenye mambo ya kidunia dada msomeshe mtoto dini achana na njaa
@LatifaCharles
@LatifaCharles 9 күн бұрын
Ww Dini unayoisemea unayo mbn njaa imekusumbua mpk ukaja kukoment
@gashohoraul6620
@gashohoraul6620 8 күн бұрын
Aca maneno Mabaya kama nija naweye itagukuta
@Marianegu
@Marianegu 9 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 9 сағат бұрын
Mm simuoni km ana mwili mkubwa huyo mwembamba sio mnene km ww ila umri tu ulio utaja wa miaka 12 sio kweli rabda 14 km kafa baba yk huyo ana miezi na toka afe makufuli ss hv miaka 10 haijafika na alipo kuwa madarakani kikwete baba yk c ndo kafa na kikwete kakaa miaka 10 na kafa mwanzo mwanzo akiwa kikwete ss hiv toka afe huyo sajuki inafika miaka km 20 km sijakosea
@user-lz4by7vm6m
@user-lz4by7vm6m 8 күн бұрын
Wastara anapenda kuomba
@user-do1ug7de3g
@user-do1ug7de3g 8 күн бұрын
Alalia sana mpaka anatia hasira kwa sababu sio yeye wakawanza kufiwa kikubwa apambane maisha yasinge
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 7 күн бұрын
Sanaaaa wajane wengi hawajui hata pa kuanzia​@@user-do1ug7de3g
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 7 күн бұрын
Mpka anaboa yaaan
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 9 күн бұрын
ucjal dada ang wastara ndio walimwengu walivyo..ruhusu moyo wako uwe sugu hata uckie nani na yupi kasema nini kibaya fanya kama hujaona wala hujackia nakuhakikishia utabak salama dada ang
@LubuguMaryam
@LubuguMaryam 5 күн бұрын
Lkn matiti yote hayo anamiaka kumi na mbil hapo umetudanganya huyu yuko 14 usitudanganye
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 7 күн бұрын
Uyu mtoto aligom kufanana na mamake kabisa
@AlecxyaAmoni
@AlecxyaAmoni 4 күн бұрын
Jitahid umsomeshe mtoto umuandalie kesho njema Mambo ya mitandao Yana mwisho
@user-do1ug7de3g
@user-do1ug7de3g 8 күн бұрын
Mie kitu kinachonisumbua kwani wastara analia nini kila wakati kisa amefiwa na mume nimuambie tu kuna sis wengine tumefiwa na wazazi wetu alafu kibaya zaidi tuko wadogo hakuna msaada wowote tunabangaiza hivy hivyo siku zinaenda dada anatia aibu niseme tu
@maryammussa7929
@maryammussa7929 8 күн бұрын
Mm nawez sema analia kwa hali ilomtokea hakuyapokea bado majaliw ya mungu
@RayHamis
@RayHamis 7 күн бұрын
Yeap umejalibu kuvaa viatu vyake at kama ni 42​@@maryammussa7929
@IvanMocha
@IvanMocha 3 күн бұрын
Mi mwenyewe nimefiwa na niliachiwa watoto wawili mmoja alikua mchanga now ana miaka 9, lakini sinaga mda WA kulia tena,wastara kashaolewa mara kibao, lakini kulia Lia ndo zake
@RahmaSuleiman-c7v
@RahmaSuleiman-c7v 2 күн бұрын
Huelew ila hujui inamuumiza vip ndan ya nafs yake kwahiyo kil kit kina play part yake
@Elitha-m9b
@Elitha-m9b 2 күн бұрын
Unajua. Ndiyo zake zilizima Pia alipitia Mikasa sana
@rahabukirigiti8514
@rahabukirigiti8514 3 күн бұрын
Ww mama Acha njaa mwache mtoto asome.baada ya masomo atachagua mwenyewe jamaniii uwiiii mpeleke kwenye mambo ya dini
@Halima-us7nd
@Halima-us7nd 5 күн бұрын
Eti anajiliza nyie hamjui
Duniani Leo
29:56
VOA Swahili
Рет қаралды 2,2 М.
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН