Katwa wasii wote bongo...wasatra nakupenda.....coz unajieshim ..sana...nii mvumilivu sjapata kuona....Masha Allah.....yote yalo semwa kuusu kuvunjka kwa ndoa sikuamn...kher umesema kwa kinywa chako..pole kwa mitian....Yataisha in sha Allah..Nakuomba wastra kaa umepona na unanguvu...nenda ukafanye Hajji..uenda Allah anaeza itikia dua zako...mitan ikaisha in sha Allah...
@saidikobossa74898 жыл бұрын
Wastara you need my kind of husband. Nimeshaoa na sitaongeza mke but tuko wachache sana INSHA ALLAH, Utapata. Utapata mwenye uwezo wa kawaida na mtashiriki wote kujenga Maisha. INNA LLAHA MAASWABIRIIN
@ayubnsajigwa10377 жыл бұрын
wewe ni bora kuliko wanaume wanne waliyomshinda
@phinakamugisha60744 жыл бұрын
@@ayubnsajigwa1037 kila Jambo linalotokea Lina sababu
@jumakhamisi55888 жыл бұрын
pole sana my dear sister Wastara. nimeumia sana saaana ila naamini Mola yupo pmja nawe na malipo ni hapa hapa duniani atakulipia In sha Allah. HUKUMU yake ataipata hapa hapa duniani kwakukudhalilisha, kukukashifu, kukunyanyasa nakukuumiza moyowako, hakika kuna Wanaume wengine hawajui kupendwa wanaipata bahati lkn wanazichezea. hakuna kitu kimeniuma km kukuita screpa hlfu kuja kukukashifu na kukusingizia uongo imeniuma sana kwani naamini hakuna binaadamu aliekamilika na hujafa huhaumbika na wala wewe hukuomba uwe hivyo. M/Mungu atakufariji habibty. atakupa stara km jina lko lilivyo In sha Allah. Love you so muuuch my sister. shukran Kaka Ayo kwakutujuza.
@ibrahimfilipo54897 жыл бұрын
Alikuita skrepa Huyo Ni Mwanaume Kweli
@khadijatwahir97436 жыл бұрын
Jaman tuelewe uwez kumlaumu wastara kadakia mume wa mtu wakati dini yake inaruhusu tujitahidi kumpa pole
@janeedward87238 жыл бұрын
Mdogo wangu Wastara, wewe ni mzuri umeumbwa ukaumbika. Pole sana kwa story zako zote, zinatia huruma, zinafundisha na kwa ukweii mhhuuu! pole na hongera. Ila wewe ni simba jike simama mwenyewe maisha unayaweza. Usiruhusu kujipa maumivu tena! Maisha yako si ya kuwafanya wengine kutajirika kwa kuandika na kuuza story juu yako. You are unique my dear, you are worthy my darling. stop counting marriages. Let God be your husband kama neno lake lisemavyo yeye ni mume wa wajane na baba wa yatima... Nakupenda sababu uko na moyo mkuu stop matatizo katika matatizo yako allow God to take control over your life.
@djmwakatrump19837 жыл бұрын
mambo
@fainerjabil53438 жыл бұрын
pole sana Wastara Allah akupe Subra na Akujalie Mme mwingine atakayejua thamani yako
@lasoitantoya42608 жыл бұрын
Pole sana Wastara mimi nimekupata nikiwa Kenya kijijini Samburu.Nimejunza mengi sana .Huyo Mbunge ana mashetani ya mbunge pia anatatizo kubwa anahitaji si maombi tuu bali uhauri wa kimatibabu. Tafathali Millard huyu dada apewe Ulinzi wakutosha...huyo mbunge siamini aenda
@janetbernad52588 жыл бұрын
pole sana wastara dada yangu nimekuona huruma sana .yote maisha .utazoea .ndo maisha ya kuolewa yalivyo
@marthalazaro17196 жыл бұрын
pole Sana wastara uyomwanaume nijibu amekudhalilisha kwawatu kakufatamwenyewe alafuanashidwa kukuheshim. Mungu yupo usikurupuketena piausisikilize ushauliwawatu utakuponza.
@mendeadui51118 жыл бұрын
yaani wastra we kiboko...nimekuheshimu dadangu....kweli kabisa mume wa mtu who mtamu kabisa..hongera sana.
@rosemsemwa24214 жыл бұрын
Ushaur wangu kwa wastar hupaswi kumchukia uyo baba muombee maisha malefu ni mungu tu alikuunganisha nae ili upate sapota ya matibabu tu bas na sio vingine wacha maisha yaendelee
@joycemartin53065 жыл бұрын
pole Sana dada wastara.kiukweli Usio fichika Uyo mtu alitegemea kupata mafanikio kupitia ww. ila Mungu atakulipa kwa alio yafanya. namchukia Kiukweli maana yupo kama muuwaji hayo maneno sio kabisa
@tatu1287 жыл бұрын
Pole sana wastara uyo mume mwenye vituko ivo ndio ninae mm na nimezaa zaa nae watoto watatu doh yan ila saaa ivi mm mwnyewe nimeamua kuondoka nimeteseka Sana. najua kiasi gani umeumia 😨😨
@habibtyhayatyy52926 жыл бұрын
Tatu 12 pole dada tatu kila mtu yuko na historia ya maisha ya kuelezea
@rahrashid27044 жыл бұрын
Tatu 12 pole xn
@dinacelyn86474 жыл бұрын
Pole
@leahpeter88157 жыл бұрын
pole sana,bora kupata mume anayejua kubembeleza coz hela zinatafutwa..pole sana dada'ke
@zulfajuma83943 ай бұрын
Kwenye hii dunia czani kama kuna mwanaume alobaki anaejua kubembeleza mwanamke wanaume hao hawapo jamani wanawake tunapitia mengi sana kwenye hii dunia mm kama mm cjawah kuifurahia ndoa yangu hata sikumoja maisha yangu yote nimaumivu tu tangia nikiwa mtoto mpaka sasa nina miaka 40
@edinaedward91448 жыл бұрын
Da wastara pole mungu akuepushie kila lililo baya nakupenda sana
@shamsakenya30938 жыл бұрын
Subhana'Allah.Pole sana Dada .Usijali mungu atakupa mume mwenye imani InshaAllah usikate tamaa.
@graciousjerry13228 жыл бұрын
ooooooops!! 😢😢😢😢 am speechless! pole sana. wastara ww ni shujaa wangu! yaan ww ni kioo changu
@mariakarey7018 жыл бұрын
pole Sana dada wastara Mungu yupo hutapata mwenye kukuthamini take time
@suleimanhega49828 жыл бұрын
Pole sana; Bi. Wastara. Lakini hupaswi kukataa ndoa na juwa kuwa Binaadamu wote sio sawa. Ndoa ni jambo la heri na baraka ikiwa Mume au Mke watadumisha mambo haya; Upendo, Imani, Kuthaminiana, Kujaliana na Subra. Ushauri wangu kwako, Bado unaomuda kwavile wewe bado kijana mrembo sana, unapendeza si busara kukaa bila ya kitulizo cha moyo na nafsi kitakachokupa faraja. "Nacho ni Mume" Pole sana. ..Kwa kawaida wenye pesa au wanaopata pesa 'Huharibika kwa Jeuri, Kibri, Dharau na Kutokujali' Inatokana na kutokujielewa, anachoona yeye ni pesa tu ndio kila kitu. Pole sana. ... Nakukaribisha nyumbani Zanzibar na mimi naitamani hiyo nafasi ya (5). Kosa la Mpumbavu asiyejielewa lisitukoseshe wengine wenye nia na upendo wa dhati. "Inshaallah Mungu Akubariki na akulinde na husda pia akupe afya njema" AMIN. ..AMIN (0777481516)
@mariammahaba56618 жыл бұрын
mackini dadangu pole sana.hadi nahisi machoz.eti anakuita scrap?hukupenda ww uwe hivyo.ila hata yy ajafa ajaumbika.jipe moyo dada.na ulichukua uwamuzi wa sawa kabisa.ata MUNGU aliona.na in shaa ALLAH utayasahau yote hayo.pole sana kipenzi.
@mickeyladyilikeyourvoice78518 жыл бұрын
wastara twakuombea inshaallah Mungu atakujaalia upate mume unaemuhitaji kama sajuki inshaalla
@memoriserichard71938 жыл бұрын
nakupenda sana wastara n pole kwa yaliyokukuta dada angu Mungu akubariki
@sirielsamweli56884 жыл бұрын
Wastara pole hata mie nilikiona hicho kwa mume wangu,,,yaaaniii anakuja anakuta wageni ndani, anaingia kwa dharau anasema zima TV ,,, yaaaniii Mungu nisimamie ktk hili,,,wanawake tunapitia mambo mengi sanaaaaaaaa.
@mamiibatenga6174 жыл бұрын
😢😢😢😢wengi wanakuwa ni maskini wakubwa,wamepata pesa ukubwani
@rehemakhamishassan99406 жыл бұрын
Daah. dada pole sana my dia na hilo dada lilikukuta kwa kuwa una stress dada ndio maana hukuchagua. lakini pia heshima ya familia na kujiheshimu kwako ndo kulifanya ukubali kuolewa. Napenda kukushauri kuwa usikate tamaa yupo aliyepangwa na akakuoa na akawa zaidi ya sajuki Mola hakuondishei ila hukuwekea kilicho kizuri zaidi. Nakupenda sana dada Natamani niwe na namba yako ya simu
@petermiguel55244 жыл бұрын
Huyo jamaa kabila gani duh,
@salvakimati19448 жыл бұрын
pole sana wastara. maisha ndivyo yalivyo na challenges zake
@athumannambombe43348 жыл бұрын
Pole sana Ndugu ya Wastara unachopaswa kukielewa ni kwamba hizo ni Changamoto unazotakiwa Uzibadili ziwe Fursa, Usife Moyo!
@phinakamugisha60744 жыл бұрын
Umetufunza wengi
@annewetungumusuya92138 жыл бұрын
Wastara ulipata wapi ujasiri wa kuenda moja kwa moja kuonana Na mke wa huyu jamaa? I fear to be a 2nd yf really cz matokeo ni machungu.pole Dada Gods time is the best
@sakinasheidhan46426 жыл бұрын
Pole sana wastara Allah atakusaidia utapata mume bora
@sumaiyaabdi70788 жыл бұрын
Eti ameanguka kwa pikipiki mara amekwaruzwa jicho hahahahaha. what kind of a man was he? Those were not good signs & Who is this guy by the way? Daah tanzanian politicians are entertainers & entertainers are politicians.Sio mume yule wallah what a mess! Thank you millard for letting Wastara tell her story without interruption.its the best thing ive watched on YT today
@sophiealexander87038 жыл бұрын
Muombe mungu akupatie mume mwema kama marehemu sajuki. Pumzika kwa amani kaka sajuki
@violamosha58027 жыл бұрын
Sophie Alexander kweli hakuna mume mwema kama Sajuki
@johnjackson43636 жыл бұрын
Wasanii mnajua kiongea sana sikuamini 100% yafaa milad ayo tusikie na upande wapili
@NR-ll4sr4 жыл бұрын
Upande wa pili tumeshasikia😁😁😁
@sanayairani222love28 жыл бұрын
Pole sana wastara kwa mitihani inayokutokezea nausiache kumshukuru mungu kwani yote nimajaribio yake tu anatuangalia waja wake vp tutamshukuru au la
@mayadahassan3578 жыл бұрын
Pole sana Dada yng. Ndo maisha inshaallh allh atakuajaalia Mwenye kher na ww
@anethlucas40457 жыл бұрын
pole mpenz wangu wastara mungu akupe itaji lamoyo wako nalipo usijali hata
@saumuabdallah74848 жыл бұрын
hkna dhiki wa dhiki @wastara kuwa na subra in shaa allah utapata alobora zaid ya uyo.muombe mola kwa sna.maamuzi yko sio mabaya coz unajitahidi kuepukana na zinaa allah akufanyie wepec
@zuhuraali99838 жыл бұрын
ishallah tunazidi kukuombea kwa allah take time ya kuolewa kwa allah hatupi mja wake
@rizham64428 жыл бұрын
Subhana Allah!!! Pole Sana Wastara wengine SI wanaume magumegume ndio kama hayo
@38wahida8 жыл бұрын
sijui kwann wastara alikubali kuolewa na yule jamaa ,jamaa ana matusi yule kama barazuli ,tabia zake yaan nadhan hakumjua tabia zake .ila ndio maisha .
@NR-ll4sr4 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆
@michaelmasijah7246 жыл бұрын
Wastara, you're a super woman kwa upande wangu nakuelewa sana!
@fatmajakamwalela78428 жыл бұрын
Pole sana dadaa mungu yuko pamoja nawe....wanao Sema mume wa mtu sumu sioni kama mko sawa kwani mume ana haki ya wake wa 4
@lasoitantoya42608 жыл бұрын
Hadi Saa Sita usiku12:00pm aah vipi mgeni alikuwa na shida kweli. Wastara your the Best#Kenya
@ashleyissa64833 жыл бұрын
Wanaume wa dizain hiyo wapo da wastar
@luckyasa39608 жыл бұрын
pole saana Mumy mungu atkuonyesha njia RIP sajuki
@rafanasadiki11108 жыл бұрын
Wastara my sister katika maisha tunakutana na watu tofauti Sana
@marymugure22318 жыл бұрын
pole dada, mungu amekubariki dada tafuta kijana mwenye hana...hakuna ndoa tamu kama hiyo. ..bt umheshimu kama mme ata kama hana ...
@annewetungumusuya92138 жыл бұрын
Umenena my dia.Mume atabaki kuwa kichwa cha nyumba.awe maskini ama tajiri
@samsonpeter18917 жыл бұрын
aki pole wastara. sikujui sana but have followed your history. for sure its painful but trust in God
@sirialemmy378 жыл бұрын
Sajuki Sajuki!!!!! Lahaulaa, namani sana kuwa na mwanamke wa namna hii! duuuu God bless u my dia
@rosechengula70736 жыл бұрын
Siria Lemmy inauma sana
@twoten25478 жыл бұрын
Its true am one of your new supporter....... get back on your feet and move on....life is very short to let such scenes pull you back. Also be happy you made him love his wife back... yaani haukuvunja familia yake, atleast mahali popote walipo sasa wanajua tu ni wewe ndio ulisuluhisha matatizo ya ndoa yao. I salute you Big
@richardramadhanrichard72506 жыл бұрын
Waooooo hapo saw wastara
@aminaadalai2808 жыл бұрын
😢😢 pole sana wastara mungu yupamoja nawe
@rehemamwachalula29154 жыл бұрын
kumbe ndoa inasir kubwa usione mtu kaachika pole sn
@farajaalex16037 жыл бұрын
Edith umenifurahisha sana safi sana ubaguz sio mzuri ikiwa sote ni watoto Wa baba mmoja
@wilhardpeter59306 жыл бұрын
Faraja Alex pole sana mrembo
@jacksonkyunga13706 жыл бұрын
Faraja Alex l
@ashagrills13198 жыл бұрын
duuuuuhhhh pole sana mungu atakujaalia utapata mume mwema
du pole sana wasitala kiukweli unatia imani ktk hii ndoa yako ya huyo mweshimiwa kiukweli si wanawake tunapata mitihani sana ktk ndoa zingine tunazozipitia huyo hakuwa mwanaume bali nimtihani ulikufika hakuwa mwanaume wa thati kwako
@sabrinahkizzer52458 жыл бұрын
Mungu yupo atakulipa tu usiumie sana Dada angu 👏👏
@abuuashely22318 жыл бұрын
Pole sana wastara wangu
@ashapearubart26248 жыл бұрын
Pole sana.mwenyezi mungu atakuletea mema.
@husseinkhassim56937 жыл бұрын
hv wanaume wenye dini wamekosa kwelii au ndo hvo unatafta wat maarufu dada maisha hayana rewind tafta mume mwenye dini ukae ktk mising ya dini ili uendeleee kumuombea kwa allah sajuki amuepushe na adhabu ya moto lakini naona unatembea kichwa waz sjakuelewa kiukweli Allah akujaalie uishi ktk misingi ya dini
@ayubnsajigwa10377 жыл бұрын
huyu Ana tamaa ni hatari
@rashidarajabu72888 жыл бұрын
pole sana wastara mola atakujaalia wako wa pekeyako ,unakila kitu umejaaliwaa
@nuruhussein53187 жыл бұрын
sikilizeni wastara hawezi kuka na mwanaume yoyote kwakua sajuki nikiboko yake hakuna atakae shika pezi ya sajuki Ilove you wasitara
@deusijohn38633 жыл бұрын
Pole sana kwa mkasa ulipitia dada mungu atakusimamia
@hamedaabdultaleb6358 жыл бұрын
Mh pole Dada mungu akujaalie subrah IPO siku utapata kitulizo cha moyo wako
@valentinemtei29274 жыл бұрын
Mambo ya kiundani sii vizuri kuyapeleka kwenye midia
@shinatamar97278 жыл бұрын
pole sana ..mola yuko nawe dia wala usiwe na uchungu shukuru mola amekutibu hata kama sio pesa zake ipa ume tibika na kama aliona ata kuzazilisha basi aibu kwake maana hata mkewe mama watoto wake wame achana sebuse wewe nibora kwa mamuzi yako umefanya vyema sana
@fat-hiahuwel62068 жыл бұрын
Pole sn dada Wastara Mungu yupo pamoja nawe
@erickjohn97878 жыл бұрын
duh huyo jamaa inabidi tumuite MIKWARUZO MAN.😀😀😀
@fanilaakimana66535 жыл бұрын
😅😅😅😅
@serodaflorans92498 жыл бұрын
pole xana my dear mungu atakupatia wako just trust in God
@veevictorius51164 жыл бұрын
Wewe ni mrembo sana. Usifikirie Mambo ya ulemavu. Kuna walemavu wengi wanao mahusiano mazuri
@anisiamedard37758 жыл бұрын
pole my sister maisha ni safari ndefu usikate tamaa pia mtegemee Mungu kwa kila jambo
@janethjoseph52405 жыл бұрын
Pole sana wastara kwa janga hilo
@calvinmbwana11437 жыл бұрын
dah wastara hakika wewe nimwanamke unayejitambua. nmeumizwa sana na maelezo yako.
@shadrackgeorge41196 жыл бұрын
Nakupongez sana dada kwa uwamuz uliouchukua, hakuna ktu kibaya Kama kunyanyasika na kudharauliwa, pia una busara sana na hekima.
@ccmkirumba3228 жыл бұрын
wastara ww ni mwanamke ambae hukuwa na kashfa kama baadhi ya wasanii wengine kwasasa imeshatokea huwez kuibadili nakuongea mambo yako hadharani haisaidii nikuwapa watu misemo huwasikii lkn wanakung'ong'akamahujui, jipe moyo muombe mungu akusaidie uyasahau lkn siwezi kukudanganya dd ulichokifanya sikizuri sikunyingine usirudie kuingilia nyumba zawatu unawezajikuta unaharibu maisha yako yakawa hayanamuelekeo kbs wakati ulikuwa unajiweza unafikiri mwenzio amefurahi ulivyomuingilia? huyomwanaume achananae naww achakunadi mamboyako binafsi tulia nakuwa makini ktk mahusiano lacvyo utajikuta pabaya watotowako ushindwe kuwapa maisha mazuri tulia kamaumepangiwa utapata aliewako mwanaume wakusubiriana huwahana heshima labda anaemjua mungu nakuelewana namkewe kuwaanaoa nawakakubaliana lkn wakulazimisha utapata majanga usiyoyategemea ridhika namaisha yako nautunze heshima yako mungu anakuona.
@eunicehemed90978 жыл бұрын
pole sana wastara..poleee sanaaa
@shamimubinkhamisi87198 жыл бұрын
subwanAllah pole sana dadangu mungu atakupa mume mtakae endan tabia kwa kwel Inshaa Allah and inaliza kwel umetufunza pia ss wadogo zako asnt tnx millard ayo god bless you bro
@bintirashidantybaby81468 жыл бұрын
subhanallah kweli majanga yani mpaka millard ameshikwa na baridi dooh
@francismwalukunga21178 жыл бұрын
WOOOO UKOvizuri tabia za watu bana usipime ila maisha ni vita bahati nzuri ulikua maacho mapemaERA SANA
@machetemdudu56078 жыл бұрын
wastara dadaangu its long and sad story why ucfikirie kutoa movie kupitia story hii mana!! daaa pole sana
@rudphyneric14465 жыл бұрын
Pole sana dada wastara kaa t ulee watoto wak wanaume akili hawana
Pole sana sister. Story inasikitisha sana tu. lakini tusimuhuku mmoja maana, hatujausikia upande mwengine unasemaje.
@angelsjg26838 жыл бұрын
wastara na kupenda sana mama, pole sana
@laishashangalawe48594 жыл бұрын
Pole sana dada
@sumaiyaabdi70788 жыл бұрын
Nakupenda wastara Allah akuhifadhi akupunguzie machungu na may he easen your difficulties. Youre a sweetheart & the most mature among those Tanzanian Artists Mgeni huyo jamani anakaa hadi basi 😂😂😂😂😂😂
@nazrahiza18508 жыл бұрын
pole cna dada angu
@mundhirmussajr26387 жыл бұрын
6
@timajuma26767 жыл бұрын
Sumaiya Abdi mambo
@timajuma26767 жыл бұрын
mambo
@hoseamollel71306 жыл бұрын
mashahallaah uyo ana akili sio musomi duu. Jamani amelaaniwa na wazazi wake... dada wewe ni mtu mkarimu sana daaa dada mzuri mwenye.uwezo ajui kwamba kifo awonekani kila siku utambadilisha vazi asipokuwa kifo utaona mengi duniani sipokuwa kifo pole sana dada yangu kweli uyo nimwinyama eee mwenyezi Mungu amlaze maali pema peponi duuu
@GraceSamwel-t2g3 ай бұрын
Sadifa yule siyo mwanaume wa kuoa, yule ni fataki sana
@ernestjohanes90878 жыл бұрын
duh pole sanaaaa usijali dada tunakupenda wewe una roho nzuri
@Brutaltruth866 жыл бұрын
Kwani lazima kuolewa unaweza kukaa bila kuzini na ukasubiri aliye bora zaidi anapenda dyudyu tuu utaolewa na wangapi na kuachwa wastara unapenda dyudyu
@mamashakira35808 жыл бұрын
Usiwaze mamy mitihani tumeumbiwa mshukuru mungu kakuacha mzima
@salmazena73888 жыл бұрын
pole sana wastara uxijali mungu upamoja nawe dadaaa
@annananna76228 жыл бұрын
duh pole sana my dear hiyo ni hali ya dunia and God gives you strength