Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...
Пікірлер: 77
@shabanibussara84542 ай бұрын
49:14 "The strongest person in the world is the one who controls his anger"- Prophet Muhammad (Salallahu Alayh Wassalaam).
@VictorChrispinSamson2 ай бұрын
Now this is the second story teller and a Tanzanian Monument, besides Master Jay. This dude knows and analyses a story.
@yvesyveldinhomzee.568227 күн бұрын
FID Q 🔥🐐
@Nijuzetzdigital3 ай бұрын
Hii stori ni very senditive, mzee ana kitu chake lersonal kihisia❤
@erickismail42053 ай бұрын
Noma sana hawa Jamaa. Ni zaidi ya Artists, hawa ni Waalimu wa Maisha
@jacksonbad2 ай бұрын
Fid ni bonge moja la storyteller,, hachoshi kumsikiliza
@trosetony80052 ай бұрын
Nimeenjoy sana interview ❤❤these guys are genius
@HASSANBAKARI-q9c3 ай бұрын
ugomvi wa makundi sio sifa,, jau,,,si tulienda kupigana vingunguti,,,mwanetu akafa pigwa sana nyembe za uso,,,au kwa lugha fupi kama unapenda sana ugomvi punguza kiherehere,,watarudi wenzio,,,we utabaki
@paulmbonika24592 ай бұрын
East African HIP HOP ICONS... Respect sana hapa.
@robertsaull93872 ай бұрын
Bongo Hip-hop to the world 🌎 ,Asee watangz tareh imesubirw kwa shauk sana.
@emmanuelmayunga15182 ай бұрын
Big up legends, true definition of Tz hiphop
@FredyAlphonce2 ай бұрын
Mtangazaji huu ujumbe naomba umfikie LORD EYEZ Interview nimeifatilia san nijambo zur san kumkumbka prof.chugullu kwa mema na mazur aliyomfanyia had leo anapumua,ila napenda kumwambia lord eyez kuw prof yupo had leo ila kwa sas nimgonjwa
@PatrickJulius-uy3yb3 ай бұрын
Nomaa nimecherewa rakin nime wai hip hop for life rod fid 🎉🎉
@swahilimovies-l5q2 ай бұрын
combination ya fidi na lord ni perfect sana. lord ni chaos sana na ndo inamfanya awe lord. fidi katulia sana ndio kinamfanya awe fidi.
@DicksonKalla2 ай бұрын
@goodbeatus unajua sana music wa hip hop 🫡
@irakozeeahmad67632 ай бұрын
Fid Tunakusubiri Burundi Napenda Intervieu zako zinafundisha uniq person
@jimmysevera20912 ай бұрын
Lord Eyez katulia sana,haongei sana.
@itspatricklucas3 ай бұрын
DAMN THE VISION BEHIND NENO 🙌
@FrankKajoba-v9f2 ай бұрын
Jamaa wako matured,calm and intelligent.
@NoelChambo3 ай бұрын
Alikuwa anamuonea Fido vato Lord eyez akaingilia ugomvi
@MTOTOWAvitoto2 ай бұрын
Unawajua sana au sio?????
@NoelChambo2 ай бұрын
@MTOTOWAvitoto hajataka tu kutaja fido vato, mimi mwenyewe nimekulia kaloleni, ololoo lord alichomwa kisu kwaajili ya kumpambania fidoo
@alfredlaurent17282 ай бұрын
Lord Eyez and Fid Q!! Hip Hop bròthers. Interview ya Terror na Bandidu haichoshagi kusikiliza .
@Dickcheney-b1h2 ай бұрын
Wooow so amazing guys 🐐👑
@SaimonKalemera-im5dq3 ай бұрын
Kubwa sana hii interview 🔥🔥🙌🏽
@ismailinguhwe34732 ай бұрын
Fid,sio saikologia ni Maneno ya Mtume Muhammad pale anasema mnajua mwenye nguvu,akasema mwenye nguvu ni yule aanaeweza kudhibit gadhab zake😂
@josemgy11993 ай бұрын
Sky unaweza sana
@ConsciousBNB3 ай бұрын
Aiseh 🙌🙌
@johnkerrysibomana90623 ай бұрын
Kwahiyo Fid unamujua na unaheshimu uwezo wa KA Jeanine wa kwetu Burundi,nimependa ukweli wako
@njoroboihastla2 ай бұрын
Legends🔥✊🏿
@maundumwingizi80273 ай бұрын
Hip hop legends.
@amisindondi45492 ай бұрын
Hawatuweziii❤❤❤❤
@DavalsonMarlony2 ай бұрын
sns vc lord ft fd nomaa sanaaa
@boniphaceyohana-p8l2 ай бұрын
so good to see brothers rouphing together.😂
@AmosyCharles-e1u2 ай бұрын
Nakubali
@zoladking2 ай бұрын
blood fam full enegy💪
@RamadhanJuma-k7h3 ай бұрын
Nakubali sana fid Q
@JosephJackson-jv1so2 ай бұрын
Yeah tulijaa sana ..Tena ile session unapaform Ripoti za mtaani na Mwanza Mwanza.
Nashuru sana kwa kuwasikiriza q aliposema kufa mpaka ukubali ni kweli niliwahi kuuguza boyfriend wangu aliangaika sana sa wakati huo sikuwa najua kitu alikuwa anazimia na kuzinduka anahema mfurulizo sikuwa mtu wa mahombi hili nilijua kusali siku hiyo namwabia kataha roho ya mahuti na yeye anarudia cha ajbu alipo sema nakufa akasinzia ghafla mm sikujua 😓😭😭😂😂sababu hilikuwa mara yangu ya kwanza kuuguza mtu Leo nimekumbuka mbali sana Mungu ilaze roho yake maali pema peponi
@emmanuelnjelekela62992 ай бұрын
Ukishaona mgonjwa anahema mfululizo anatetemeka anaongea visivyoeleweka bas ujue ugonjwa wake umeshafika kwenye ubongo hivyo hana hata week 1 ya ku survive pole sana ulipambana
@MairaAlly3 ай бұрын
🔥
@Ali_Manzu2 ай бұрын
Kisa cha Lord eyez kudungwa kisu hadi akihadithia matukio ya kuokoa maisha yake,kinastahili kuandikwa verse kuwa nyimbo. Ushuhuda mzimu.
@solomonizeson3 ай бұрын
Washikaji kutoa damu walikuwa wanataka kwa asilimia Mia Ila kipimo baba
@Kingshamsz2 ай бұрын
Bonge moja la combo
@christopherkihiyo29642 ай бұрын
Maeneo yake ni Boma chafu ,soko mjinga ,nguzo mbili chini ya reli makaburini alikuwa ni noma
@ramadhanijuma65222 ай бұрын
mh mwijuma tunaomba support yako ya kutosha kwenye hili jambo sio kitu kidogo its not only about fid and and izzy this is about bongo Hip hop industry
@christopherkihiyo29642 ай бұрын
Mm pia ni product ya bb
@salimdibundile48722 ай бұрын
Neno👊
@swahilimovies-l5q2 ай бұрын
lordeyez anahadithia hadi burrdani
@ramadhanijuma65223 ай бұрын
sio uongo baba ngosha +27 perzuru
@samwelsamwel26922 ай бұрын
Faridi ni kubanda
@harodkanyau8305Ай бұрын
Fid q ni msanii wangu pendwa miaka yote
@khamisyaa69272 ай бұрын
NENO
@Kinyozzi16022 ай бұрын
Sijamuelewa faridi ni wa mwanza tunajivunia ila kaulizwa kuhusu aloyapitia anatoa story ya ilala vip hapo