Safi sana naomba tafasili ya mkilimombimba extramuka
@cornelstanley5139 Жыл бұрын
Nimeifurahia tafsili ya wimbo huh naomba pia tsfsili ya boyaye ya mbilia Bel
@vainoampweya497011 ай бұрын
I m from Namibia but I like that muszik ya congo,na merci mingi moninga Nagai.
@noeldastan9715 Жыл бұрын
Naomba tafsiri ya wimbo wa Jb mpiana Recto_veso.. Dalali Necha wa sinza
@abouayman87132 жыл бұрын
Prince tupia kende ya extra music
@ayoubkasangaya8462 жыл бұрын
Naitwa ayoub kasangaya wa dar es salaam mamba manemo ya lingala yanayo sema MTU kabla hajafa usimcheke
@nickmpanzi5 ай бұрын
A very nice gospel Song🎉🎉🎉🎉
@vainoampweya497011 ай бұрын
Very great video 🎉
@kellyboy96352 жыл бұрын
beni joeli kutoka mbeya kyela nnakupata sana
@ayoubbenta4499 Жыл бұрын
Extra musica ni shida ni miaka zaidi ya 20ubora upo pale pale hongera wanamuziki wote
@vainoampweya497011 ай бұрын
Nzuri sana kaka yangu🎉Asante sana
@charlesmillinga9929 ай бұрын
Prince Bokson. Hivi unaweza nisaidie hawa madansa wa Koffi olomide ndrada hadi Loi unaweza share kidogo wakati mwingine wako ma wanafanya nini. Manake daaah ni wazee sasa hivi I think. Mfano Suzuki
@bartholomewonwude7771 Жыл бұрын
It is a very good thing to commit your day to YAHWEH ELOHIM, before going out every day. So that it will be well with you. As it has been sang by extra musical. Nice one from extra musical.
@princebockson5299 Жыл бұрын
Thanks
@Yusufjuma-yu8bu4 ай бұрын
mimi naitwa yusufu jumaa nipo tabora Tanzania naomba tafsiri ya kiswahili ya wimbo mo mambu wa Zaiko Langa Langa
@josephmushi27373 жыл бұрын
Mimi ni shabiki wa ninakutilia sana maoni yang hapo kwny tafsiri unaandaka mstari mzima WA wimbo na siyo neno mojamoja papa
@muddymuddy90222 жыл бұрын
Safi
@richarddotto31723 жыл бұрын
Unafanya vizuri sana. Nipo Mpanda mkoa wa Katavi, naburudika na tafsiri ya nyimbo za Lingala.
@yohanagiiti81793 жыл бұрын
Safi sana
@ashrafkijuba66342 жыл бұрын
Kaka hii nyimbo ya losambo umenikumbusha mbali sana nimemkumbuka ndgu yangu kwa Sasa ni malehem mungu amlaze mahali pema peponi 😭
@josephotieno1982 жыл бұрын
Kazi safi sana bro
@barakabahati66002 жыл бұрын
Great job
@jesusmarieingabire16123 жыл бұрын
Naitwa Ingabire Jésus-Marie kutoka Cibitoke cha Rugombo Nchini Burundi. Napenda sana tafsili za huyu kaka Bockson. Naomba Mungu ampe nguvu na uwezo ili aweze kutufurahisha. Naomba plz unitafsilie nyimbo ya werrason Chantal Switzerland
@PeterMwaijibe3 ай бұрын
Naitwa Peter Mwaijibe nipo Morogoro Tanzania nimeomba wa pepe kale pomon paka bouge
@WamburaBruno4 ай бұрын
najua walitolewa na mzee magu,mzee wa tannzani,alale bazuri alipo?
@jmbaringo44954 жыл бұрын
Eleeeengiiiiii Usisahau NYOKALESSE YA FALLY Chief anaisubir kwa hamu
@princebockson52994 жыл бұрын
thanks, Nyokalese iko ku list kabisa, wewe zidi ku rushiya wengine wandugu tu, mimi niko apa mtuwako nita ku udumiya
Simon lissu niko dar naomba maana ya wimbo ngali wa le kamale
@beaufjeanvieux89773 жыл бұрын
Nguya ni bahati
@gabrielmatthew66673 жыл бұрын
safi sana, naomba tafsiri ya wimbo wa Blandine by Werrason
@CharlesEdwardCvanoedwardАй бұрын
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Andrada ya Koffi olomide
@bahatinzilatv57324 жыл бұрын
Naomba nyimbo ya werrason zenga luketu Tafsiri Kaswahili
@kassukassimuhilali96563 жыл бұрын
Naomba tafsiri ya wimbo ndizma wa Extra music album shalai.
@tomodera4 жыл бұрын
Nifanyie tafsiri ya Cavalier Solitaire ya Papa Wemba na JB Mpiana, Recto Verso ya JB Mpiana, Kala yi Boeing ya Werrason Ngiama Makanda wakiwa kwa Wenge BCBG 4x4 oroginal version, Likama ya Adolf Dominguez wakiwa na Werrason. Merci papa
@princebockson52994 жыл бұрын
karibu saaaana, tuta ku udumiya usiwe na shida, zidi kuwa rushiya rushiya wengine watambuwe kipindi kyetu
@tomodera4 жыл бұрын
@@princebockson5299 Hiyo nitafanya kama ibada ndugu yangu. Napenda sana programu yako na tafsiri njema unafany mpaka sasa na elewa nyimbo za Kikongo.
@mwobobiasroundup2 жыл бұрын
This is awesome and educative, I am a new subscriber from Kenya
@emaemanuel62862 жыл бұрын
Naomba tafsiri ya madilu system vice versa
@junioryange46924 жыл бұрын
naitaji tafsili ya wimbo dizoizo huwa naupenda sana ila siujui maana yake
@princebockson52994 жыл бұрын
karibu sana, ombi lako nalipata
@hamisshaka32494 жыл бұрын
Tutafusilie mwimbo wa fally ipupa mon amor
@jumamakamba22123 жыл бұрын
Naomba tafsri ya bye bye ya jb au horizon 2000 ya extra musica
@tomodera4 жыл бұрын
Nifanyie pia traduction ya Horizon 2000 ya Extra Musica ikiimbwa na Douou Copa
@alainndabaneze73703 жыл бұрын
Asante sana Bwana
@dicksonpeace67293 жыл бұрын
Fautif - Ferre Gola Mercury - Ferre Gola Armor Esance - Fally Pupa Sony - Fally Pupa Roi Manitou - Fally Pupa Corbetox - Koffi olomide & Ferre Inchalllah- Koffi olomide & Fally Pharmacy - Koffi olomide Destination - Koffi olomide Silvie - Koffi Olomide 7 × 7 - Zaiko Langa langa ( nkolo ya mboka) . Asante sana
@masudimatange17653 жыл бұрын
Brother salam. NAOMBA tafsiri ya Wimbo wa Madilu kwa jina Blessüre d Ammour. Mimi Masudi wa DSM
@giveusswebe3043 жыл бұрын
Uko vzuri kwa kaz yako prince bokson nnataman kujua tafsiri ya extra musica wimbo epaka