Gangana na Mimi one day unikaribishe kunihoji aisee nafany Mambo mengi mengi pamoja na gospel na traditional dance. Please
@lomnyakisamson55933 жыл бұрын
Barikiwa sana mpendwa,lakin pia TBC mbarikiwe na ninyi sana
@raymond51753 жыл бұрын
Mungu akubariki dada angu, akuinue juu juu zaidi
@johnkashuma40053 жыл бұрын
Esipa oleng' enkanashe ai nche kimayan olaitoriani
@osupatkaren3 жыл бұрын
Lidiya uko vizuri~ lakini mengine umesema uongo kabisa haupaswi kuongeya uongo make wewe umeokoka kuwa makini kwenye mahojiyano bila ivo utashusha uokovu wako kwa mungu au naisi haufamu maana ya kimasai kama haufahamu usikubali mahojiyano ya ITV unatuabisha unavio ongeya ungo kudanganya jamiiiii@ by kwa ushauri
@yonakanunga62092 жыл бұрын
Barikiwa Sana Lidya aai
@monjimonjitaiyai Жыл бұрын
Dada lidya kuna zingine umempiga 😂😂
@bingwabingwaezekiel26303 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Lidia
@jamesdanieli16432 жыл бұрын
Halafu nimeskia umechumbiwa na wanaume 20 dada weee ni muongo usiongeze kiki bhana
@mtumplole21552 жыл бұрын
Nimependa hapo kwenye mkuki
@gracechalagwa97453 жыл бұрын
Hongera sana.
@loonjesi409 Жыл бұрын
Kuna mambo ya uongo unasema kuhusu mila
@lukasngeke21922 жыл бұрын
Daah acha uongo alafu mkataa Mila ni mtumwa alafu we muongo
@mtumplole21552 жыл бұрын
Barikiwa sana Lydia
@mathayolembile49342 жыл бұрын
Hi hongera sana Lydia nasham
@mathayolembile49342 жыл бұрын
Hi
@stevenmasangula21043 жыл бұрын
Binti yangu, nikukubali, wewe sio msanii ni mwimbaji/muhubili kwa njia ya uimbaji. Safi sana.