Maajabu Ndani ya Kasri la Sultani Sayyid Said (1856-1870) wa Zanzibar!

  Рет қаралды 79,571

Global TV  Online

Global TV Online

7 жыл бұрын

SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
Zanzibar ilipata uhuru wake tarehe 10 Desemba 1963. Uhuru wa usultani ukadumu muda mdogo tu. Mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964 yakamuondoa Sultani. Mauaji ya familia nyingi zenye asili ya Kiarabu yakafuata.
Tarehe 26 Aprili 1964 Zanzibar ikaunganika na Tanganyika kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Global TV Online iko visiwani Zanzibar na imetembelea ndani ya jumba la kifahari (Kasri) iliyoishi familia ya Sulatani Sayyid Said kuanzia mwaka 1856 - 1964 ulipoondolewa utawala wa kisultani visiwani Zanznibar.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanel yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpubli. .

Пікірлер: 121
@mudathiriali1801
@mudathiriali1801 4 жыл бұрын
Who’s watching with me in 2020 to remember salve trading of our grand grand families.
@issamohd9955
@issamohd9955 4 жыл бұрын
Dada ivi ni Dailecta au Director mana mnaharibu sana lugha za watu rejea mwanzo kabisa utaliona kosa lako wabongo mnaharibu sana Rahma mnamwita Lahma Omar mnanwita Omali Muharram mnamwita Mwarami how come kwanini mnalegeza sana ulimi hamuweki spelling katika sehemu zake Issa mnamwita Hissa vipi jamani jirekebisheni
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 жыл бұрын
Mashaallah nimesikia Adhan
@mpembaasili9214
@mpembaasili9214 4 жыл бұрын
Mtangazaji huna mood ya kusikilizwa na kuangaliwa, hujui maana ya Zanzibar na hujui kiswahili
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 6 жыл бұрын
Lakini mashallah nyumba yatunzwa bado ni mpya inameremeta miaka Mia na kitu na bado inaonekana nzuri
@ZANZICTSOLUTIONS2
@ZANZICTSOLUTIONS2 7 жыл бұрын
nice hongereni global TV
@biramsakh9212
@biramsakh9212 5 жыл бұрын
Story tu sasa tuna sherehekea mapinduzi daima kwa kuuua waislam wa zanzibar. Mpaka watoto wachanga. Ccm oye. Asp marehemu
@josephkalonga550
@josephkalonga550 5 жыл бұрын
Kazi nzuri global TV. Tunaomba mjitaidi kumpata na mfanye maojiano na Sultan aliepinduliwa na kukimbilia Uingereza , hata kama maojiano yatakuwa kwa scaip inatosha sana.
@relaxing1260
@relaxing1260 3 жыл бұрын
🤣🤣
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 5 жыл бұрын
Hakika warabu wakipenda sana kuendeleza nchi Na hawahitaji maisha duni nadhan Zanzibar ingekua Na ufalme basi hata hela yetu ingekua Na thaman sana
@josephkalonga550
@josephkalonga550 5 жыл бұрын
Waliopindua ni watu wenye elimu zaidi yako.
@mangofish9079
@mangofish9079 5 жыл бұрын
@@josephkalonga550 ni watu washenzi tu na uchu wa kupata wao wengi hao wapinduaji hawakua na asili ya zanzibar
@charlesabdi
@charlesabdi 3 жыл бұрын
Salutl from Djibouti .viva empire bousaid
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
kumbe kuna historia Kam iz hafu hamtuonshag 😑kusom kwangu kote sjawah iskia historia iii ndo Leo naon ,,so plz we need more and more historical za Zanzibar 😜😍😍
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
elimu yetu tupa kuule ni mbovu hakuna mfano hasa kama na ww ni kama mieh wa kayumba ndo tuliyumbishwa mpaka huruma
@selemrangi3974
@selemrangi3974 5 жыл бұрын
Kuna sababu nyingi
@rahimajuma688
@rahimajuma688 7 жыл бұрын
zayana zayana mimi binafsi niko huku omani lakni nashukuru mungu naishi vizuri na mabosi zangu yani naishi kama niko yumbani kwahayo mateso mimi nasikia two kwa wengine ila mie kwangu no niko fresh na mama angu na baba angu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
Amina!
@utaani1
@utaani1 6 жыл бұрын
Wambie hao waongo
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Uongo hata km ni kweli walifanywa biashara ya utumwa lkn tumeskia hapo uyo msimulizi kuna mtawala uyo uyo wa kiarabu alikuja kusain kuondosha biashara hiyo ya utumwa,
@lelasalum555
@lelasalum555 4 жыл бұрын
Honger dad shukur mung
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 4 жыл бұрын
Hao wengine wanaosema wanateswa ni fitna zao tuu
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 жыл бұрын
Zanzibar wakati huo ilikua na heshima duniani kuliko sasa heshima yake mwisho Chumbe
@ummuarif7122
@ummuarif7122 6 жыл бұрын
Ni kwel kabisa
@ummuarif7122
@ummuarif7122 6 жыл бұрын
Saivi hakuna heshima ni kudhalilishana tu
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Kabisa
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 4 жыл бұрын
Kabisa kabisa
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 жыл бұрын
Muandishi ukiwa Zanzibar zingatia mavazi yako
@relaxing1260
@relaxing1260 3 жыл бұрын
😂😂😂
@ahmadmohd3771
@ahmadmohd3771 Жыл бұрын
Duh mbona mwandishi mzuri hivi🤠
@aliyahya7885
@aliyahya7885 5 жыл бұрын
Jitambueni Hao walioleta siasa wameketi wanatuangalia panapo tatizo huzuka kutusaidia kumbe wanakuja kuchukua mali ghafi msipokua makin Africa kila cku itakua ya mwisho Watu weupe wanaamin bila mali ghafi hapana maisha
@fahadjecha3522
@fahadjecha3522 4 жыл бұрын
Wow zanzibar have anhistorcal palace
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 6 жыл бұрын
Sultan qabus ndio king alieonesha kupendwa waswahili peke yake..ila hao wengine wa 1800 walikua wanawadidimiza waswahili tu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Lipy Muscat, tumsifu tu mana hataki ujinga.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
kwa lipi
@pastoryconrad7313
@pastoryconrad7313 4 жыл бұрын
ASANTE SANA MWANDISHI NILICHOJIFUNZA HUKO OMAN ZAMANI KULIKUWA NA NJAA SANA.
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 4 жыл бұрын
Sana sana wanajidai tuu saivi
@relaxing1260
@relaxing1260 3 жыл бұрын
🤣🤣
@barakanyambele4673
@barakanyambele4673 5 жыл бұрын
Wabeja mwanike, soga sana
@hamadialihamad4126
@hamadialihamad4126 4 жыл бұрын
Dah znzbr yendekua fiti saiz Wamekuja haya mafaasik
@fredrickokeyo3327
@fredrickokeyo3327 4 жыл бұрын
Niwekee pweza na ngizi nikifika hapo mv mapinduzi
@aimanali8612
@aimanali8612 7 жыл бұрын
sultan Qabus nimtu mzur
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Aiman Ali, tumsifu tu mana hataki ujinga jinga. Mara kwenuu....
@yaqoubsalim99
@yaqoubsalim99 5 жыл бұрын
SULTAN QABOOS NI MFALME ANAYEHISHIMIKA DUNIANI.
@bakarisakawa6979
@bakarisakawa6979 Жыл бұрын
Natamani tumgeendelea kutawaliwa na waarabu mpak sasa zanzibar yetu
@dengemuhidinimuhidini3230
@dengemuhidinimuhidini3230 11 ай бұрын
Angalieni tarehe vizuri ili msipoteze uhalisia
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@haydarabdallah4955
@haydarabdallah4955 2 жыл бұрын
Hhiiiii muongo sana jemshid mfalme hajapinduliwa kaondoka mwenyewe 1963 acha kudanga watu tunajua kilakitu namahistoriya yenu yauwongo Kuna moto musidanganye watuuu
@ussihassan6941
@ussihassan6941 Жыл бұрын
Usilolijuwa ni bora kunyamaza mkuu. N'a moto piya unawahusu wanaoupinga ukweli. Kunyamaza ni bora kwa jambo Usilolijuwa. Asemavyo ni sahihi.
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
uko sahihi kwenda kichwa wazi mana hao walikua sio wema kwa waafrika ukiingia umo ingia na urabu
@cwttynana9184
@cwttynana9184 5 жыл бұрын
mtangazaji Punguza mapoz unaboa😠😏😏
@solomonadams6337
@solomonadams6337 5 жыл бұрын
ponzi sisi ndio zetu sawa?
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 жыл бұрын
wote wameshaondoka imebaki Historia tu.
@msaniimpyaBMW
@msaniimpyaBMW 7 жыл бұрын
hahah aya bwana uko sahihi mzee!
@msaniimpyaBMW
@msaniimpyaBMW 7 жыл бұрын
hahah aya bwana uko sahihi mzee!
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Жыл бұрын
Sio majeed... ni majid
@mullahmohammedomar8644
@mullahmohammedomar8644 5 жыл бұрын
``wale simba kwenye kiti ilikuwa ni dalili ya kuwa Zanzibar ilikua kwenye himaya ya UINGEREZA`` Mtunza Qasriii
@annacarlos7925
@annacarlos7925 6 жыл бұрын
Punguza madoido mtangazaji unakosea
@solomonadams6337
@solomonadams6337 5 жыл бұрын
hizo sisi ndio shughuli zetu sawa?
@TeamKRX
@TeamKRX 6 жыл бұрын
Wameiba mavitu yote madhahabu mpaka panga ZA dhahabu
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
kwaiyo huyu ambae yupo Oman Kwa sasa nae n mwanae au
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 7 жыл бұрын
Rosemary Benjamin hami yake
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 6 жыл бұрын
😂😂
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 6 жыл бұрын
Rosemary Benjamin sio mwanae..ila ni familia moja na mfalme wa oman
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 6 жыл бұрын
Lipy Muscat anha thenks
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
kimaanisha
@aimanali8612
@aimanali8612 7 жыл бұрын
hata mm znz naiyota
@rahimajuma688
@rahimajuma688 7 жыл бұрын
sasa kumbe tz na oman ni ndugu wanatesa watanzania jamani mie sultan kabusi namuona namjua
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
Rahima Juma wutu c mvz bn washenz Tu awa
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 7 жыл бұрын
Rahima Juma katika nchi za kiarabu Oman ni no 1 inayosifika kukaa na wafanyakazi wao vizuri ibaki tabia ya mtu mmoja mmoja tu tatizo watz hatuwezi kazi watu wanamaisha mazuri kwa hio kazi zitazidi tu ukifua kupiga pasi unanuna matokeo yke mtu anaanza kuzusha anateswa kumbe kazi zimemshinda
@novatell2457
@novatell2457 6 жыл бұрын
Oman ni ndugu na wazanzibar na sio ndugu na Tanzania..ukisema tanzania itakuwa na tanganyika wamo.. kwaiyo udugu ni oman na zanzibar sio tanganyika
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
kumbe enh!
@utaani1
@utaani1 6 жыл бұрын
Tz au Tanganyika ni ndugu wa nani ?
@tatunaally1510
@tatunaally1510 7 жыл бұрын
Mnarudi mko hoi adi mnafiako
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
ati nini
@anisamresh0018
@anisamresh0018 6 жыл бұрын
Mtangazaji nahisi mshipa wa macho na mdomo umeshikana afu ongea km mtangazaji sio mwanamitindo mmhh
@victoriachesco35
@victoriachesco35 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😃😃😀😀😃😂😂😂😂
@ramadhaniomary9241
@ramadhaniomary9241 3 жыл бұрын
Kama kitu hunijui uliza au kasome ni kweli sultan Balghash alisaini kuondoa utumwa
@joharynasseb5166
@joharynasseb5166 6 жыл бұрын
Unajixhaua xana we Dada km Umeona kichwa cha mbooo
@victoriachesco35
@victoriachesco35 6 жыл бұрын
😂😁😁😂😃😄😅😅😅Jmn watu mnamaneno yn nmechek hd cyo pw
@alikhamis3723
@alikhamis3723 5 жыл бұрын
kwan ww ukikiona hcho ulichokitaja huwa unajisheu sana
@tatunaally1510
@tatunaally1510 7 жыл бұрын
Mkivunja tu muungano tena tunatawaliwa ndio maana waomani wanasema zanzib yao
@user-fd7sj2wz9w
@user-fd7sj2wz9w 7 жыл бұрын
Acheni ujinga kutuwaliwa kutawaliwa hebu nenda nchi zao ukatembee utaona km wana shida ya kutawala kinchi hichi kilojaa laana Yaani Mijitu Imelishwa Kasumba zakipumbavu Hizo neema zote za karafuu na miti mengne kaleta bibi yako ww
@machoyote3991
@machoyote3991 7 жыл бұрын
Salim Hamed kwa hiyo akili zenu zipo kwenye kufikiria kutawaliwa tu
@user-fd7sj2wz9w
@user-fd7sj2wz9w 7 жыл бұрын
Macho yote muulize huyo alosema Sio mm Mijitu ipo tu dunian haina maendeleo yoyote bas wao kutawaliwa kutawaliwa angalieni maendeleo ya watu acheni ujinga
@tatunaally1510
@tatunaally1510 7 жыл бұрын
Salim Hamed )mimi na wewe nani jitu kwani amtawaliwi paka sasa mnatawaliwa Tanzania zima mnatawaliwa kwani muendi kuwafulia chupi zao
@tatunaally1510
@tatunaally1510 7 жыл бұрын
Salim Hamed )mbona povuu linakutoka nimekuchoma heeee kwani kusema mnatawaliwa mnabisha atutawaliwi acha povuu wewe ukweli utabaki palepale ww watu tunafukuzana kwenda omani sio bara wala zanzib
@doctorkisale9430
@doctorkisale9430 4 жыл бұрын
Acheni UJINGA mnatangaza utumwa mnaona sifa wajinga wakubwa
@hamadialihamad4126
@hamadialihamad4126 4 жыл бұрын
Musiend muka tutilia nuhusi zanzr
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. PHILIP MPANGO MKOANI KIGOMA
3:09
𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦
Рет қаралды 2,4 М.
Chumba chini ya  bahari - PEMBA
27:21
fatuma matulanga
Рет қаралды 190 М.
JE WAJUA Maajabu zaidi ya dunia
3:53
NTV Kenya
Рет қаралды 118 М.
KASRI YA MFALME WA ZANZIBAR
14:34
S MEDIAZ ONLINE
Рет қаралды 7 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН