TAREIKH YETU MSIMU WA KWANZA (SILSILA 1): Nyumba ya kwanza ya Sayyid Said kisiwani Unguja

  Рет қаралды 14,037

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

4 жыл бұрын

Sayyid Said bin Sultan alizitawala Oman na Zanzibar kwa wakati mmoja baina ya miaka ya 1820 hadi kifo chake mwaka 1856. Alikichaguwa kisiwa cha Unguja kuwa makao makuu ya utawala wake na akalichaguwa eneo la Mtoni, kando kidogo ya Mji Mkongwe wa Zanzibar, kuwa mahala pa kwanza kujenga nyumba yake iliyoitwa Beit Mtoni. Bwana Riadh Al Busaidi anaelezea ujenzi wa nyumba hiyo, uzuri wake na sababu za Sultan Said kuichaguwa Mtoni.

Пікірлер: 47
@GanazMedia
@GanazMedia 4 жыл бұрын
Shukran kwa kuidhihirisha na kwa namna fulani kuihifadhi historia ya Zanzibar. Hakika hii itasaidia kuulinda ukweli hasa katika wakati huu wa siasa za kupotosha ukweli.
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah Asante Gumzo nimelipenda
@vampire9464
@vampire9464 3 жыл бұрын
Mashallah fatma beautiful
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 4 жыл бұрын
Hawa wazee wa kutunzwa vizuri wallah MASHALLAH
@khalifaalmugheiry9232
@khalifaalmugheiry9232 3 жыл бұрын
Topic nzuri mungu awabariki kwa kutufunguwa ufahamu
@ibugharib389
@ibugharib389 3 жыл бұрын
MASHAALLAH JAZZAKALLAH KHERI KWA KUTUJUZA TUSIYOYAJUA
@hcgghfgg6679
@hcgghfgg6679 4 жыл бұрын
مشكورين على المعلومات القيمة وسوف تبقى زنجبار وسلطنة عمان شركاء في تاريخ زنجبار كما بقيت الأنساب والقبائل والثقافة متأصلة بين البلدين وإلى المزيد أن شاء الله .
@amanially8866
@amanially8866 3 жыл бұрын
Masshallah kusema ukweli history hii hatuipat kweny silabas wa mitalla yetu kwa kweli tunafundishwa uwongo mtupu
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
Yaani hii znz ina historia nzuri mashallah wangeitunza hawa serikali ingezidi kuvutia utalii lakini wameacha majengo yameanguka njia za reli zote hazipo tena pesa za zamani zote hazipo riyali ya znz ah
@yousufyousuf3056
@yousufyousuf3056 4 жыл бұрын
Excellent history. God bless you all.
@jjdjgivv2118
@jjdjgivv2118 4 жыл бұрын
Mashaaallah
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 4 жыл бұрын
Historia nzuri sana tumepata kujua
@suadbarwani4117
@suadbarwani4117 3 жыл бұрын
Mashaallah Bwana Riadh amefanya Jambo kubwa kutafuta na kuandika History ya Miaka. Alaf. Jazaak Allah Kheir.
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 3 жыл бұрын
Kitunza hustoria yetu ni muhimu sana na niwajibu wetu Wazabzibari kukitafuta kuisoma na kuihifadhi
@MAPETEE
@MAPETEE 4 жыл бұрын
Mashllah
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Mungu awarehemu
@mussakisope7207
@mussakisope7207 Жыл бұрын
Assalam alaykum Napenda kuomba history ya zanzibar kabla ya mapinduzi tafadhali sana nimuhimu naomba msaada
@humuodkindi4926
@humuodkindi4926 4 жыл бұрын
Oman ilikuwa ndio mabingwa zaidi ya wote duniani kwa kujenga meli za aina zama hizo
@MAPETEE
@MAPETEE 4 жыл бұрын
Saiz Zanzibar ipo hoi njaa tupu bara bara ni uchafu mtupuu
@bahariahd6299
@bahariahd6299 3 жыл бұрын
Ahsante kwa HISTORIA yenye kuingia akilini sio ile ya JANJA JANJA.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@ibrahimjuma4806
@ibrahimjuma4806 Жыл бұрын
Salamun Alaikum, When we were young we used to walk to Marhubi from Zanzibar Town. On the right hand side there were ruins where there were Mangoes Trees is this the place which is mentioned or is there another large ruins up this road towards Baitul Ras.
@msabahamour8524
@msabahamour8524 3 жыл бұрын
Shukran
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 3 жыл бұрын
Hakuna picha ya nyumba hii the way ilivokuwa jamani. Its very nice to see. Waingereza mashetani sana
@abuqeis45
@abuqeis45 Жыл бұрын
Professor Riadh I’m in possession of a book written by Sir George Mooring British Residence published 1961 titled “ A Guide to Zanzibar” in which he mentioned of Bayt Mtoni `it says that this house was built sometimes before 1828 by the Arab named Saleh Haramili who is reputed to have introduced clove trees into Zanzibar from Mauritius and Bouborn. Sayid Said confiscated the building on the ground that Saleh was indulging on the slave trade in contravention of treaty which Sayeed Said had concluded in 1822 with Great Britain. Similarly it says that Sayeed Said confiscated plantation of Kizimbani from the same owner. Please comment on the above.
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 3 жыл бұрын
Allah awape umri mrefu
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
Zanzibar ni ya watu wote bila kujali rangi zao km ilivyo Marekani tu
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 3 жыл бұрын
Hata UK wanatunza Ma kasri yao ya Harry the 8 Kule New Castle, Cheshire nk. Lkn wao wakienda nchi za Kiislamu zenye history nzuri hubomoa
@bahariahd6299
@bahariahd6299 3 жыл бұрын
HAKUNA MTU ALIEFUFUKA KAMA NYUNGUNYUNGU WAARABU NA WEUSI WOTE SISI NI WAGENI NA SISI SOTE NI KWETU ZANZIBAR.
@misscoast3174
@misscoast3174 3 жыл бұрын
Kabisa kabisa
@hajisalum17
@hajisalum17 4 жыл бұрын
Akhuy Assalam Alaykum.. kwa historia hii ya leo ina maana Sayyid Said bin Sultan kwene uhai wake hakuwahi kuhamia Beit al Ajaib? @Qataar Hassan
@humuodkindi4926
@humuodkindi4926 4 жыл бұрын
Bait Al Ajaib imejengwa na Barghash
@bintseif937
@bintseif937 4 жыл бұрын
Sayyid Said bin Sultan amekufa October 19, 1856 Bait el-Ajaib limejengwa na mwanawe Sayyid Barghash bin Said bin Sultan mwaka 1883
@hajisalum17
@hajisalum17 4 жыл бұрын
shukran sana
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 4 жыл бұрын
Alikua na wake wangapi na watoto wangapi ??????
@theroots2743
@theroots2743 3 жыл бұрын
Ni ukweli wa mazungumzo yenu lkn mbona mmechelewa sana?kwani hata mimi ni mmoja wa wanafunzi niliesomeshwa skuli kuwa wazee wetu walifyagilishwa kwa kutumia maziwa yao wkt wa ukoloni lkn kwa ufuatiliaji wangu niliona kuwa nafundishwa kusomeshwa chuki na ubaguzi ikifuatiwa na roho mbaya za waliojiita wana mapinduzi lkn tumuombe mwenyezi mungu awasamehe hao waliotupotosha pamoja na sisi tuliowafuata waliotupotosha kwani wengine tumeuelewa upi ukweli na tutazidi kuelewa kwa vipindi vyenu kama hivi nakupeni hongera mzidi kutufumbua macho
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 2 жыл бұрын
Hiyo nyumba iko mtoni au ile ya maruhubi
@alijuma7204
@alijuma7204 2 жыл бұрын
Sasa mtoni said sayyd hakujenga yeye ilikuwa nyumba ya saleh bin haramain
@zengandoto7088
@zengandoto7088 3 жыл бұрын
Hio sio historia ya Zanaibar. Sultan Said ni mvamizi. Wenye wa Zenji wakati huo walikuwa, så bantu. Wahehe.wanyamwezi. Wamanyema. Hiyo nyumba ilikuwa nyumba ya chifu Ngole.
@GumzolaGhassani
@GumzolaGhassani 3 жыл бұрын
Ushahidi wako ni upi kuwa Wabantu ndio wenyeji wa Zanzibar?
@zengandoto7088
@zengandoto7088 3 жыл бұрын
@@GumzolaGhassani nitakutumia picha na historia wanayo wareno vasco dam na hata waengereza wanazo original historia. Archaelogical discoveries of Lime stone. zenji maana yake ardhi ya watu weusi Na chifu wa kwanza 2006 year chifu Chami. Nyumba mnoita sultan place ilikuwa nyumba yake inaitwa nyumba karibu na bwani. Bantu,wahehe,Wanyamwezi,Sultan walivyamia na jeshi lao kinaitwa Persian army.kutoka yemen,Siria. Ndio baadae kuiba mali zanji. Na watumwa, vibaraka wanaopenda waarabu ndio wakajenga Oman.
@zengandoto7088
@zengandoto7088 3 жыл бұрын
@@GumzolaGhassani nitakutumia picha na historia wanayo wareno vasco dam na hata waengereza wanazo original historia. Archaelogical discoveries of Lime stone. zenji maana yake ardhi ya watu weusi Na chifu wa kwanza 2006 year chifu Chami. Nyumba mnoita sultan place ilikuwa nyumba yake inaitwa nyumba karibu na bwani. Bantu,wahehe,Wanyamwezi,Sultan walivyamia na jeshi lao kinaitwa Persian army.kutoka yemen,Siria. Ndio baadae kuiba mali zanji. Na watumwa, vibaraka wanaopenda waarabu ndio wakajenga Oman.
@GumzolaGhassani
@GumzolaGhassani 3 жыл бұрын
@@zengandoto7088 hata kabla hujanitumia hizo picha ambazo unasema unazo kutoka kwa Wareno na Waingereza tayari umeshaivunjavunja mwenyewe hoja yako. Maana hao unaowategemea kuwa ushahidi, kwanza, wao ndio wa kujengea hoja yao wenyewe ni wageni wa majuzi tu kwenye pwani ya Afrika Mashariki. Pili, wenyewe na maadui wakubwa wa wenyeji halisi wa Afrika Mashariki na wamesema uongo mwingi sana dhidi yao. Nilidhani utakuja na ushahidi wa kisayansi, kwa mfano akiolojia, ama anthropolojia au hata isimu. Kumbe ni porojo ya wakoloni wauaji wa Kizungu. Kasome tena ndugu yangu na jitahidi uisafishe akili yako ili iwe huru kupokea ilimu tafauti na ambayo ilikuwamo kabla.
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 2 жыл бұрын
Ww muongo
Zanzibar Story (1961)
4:23
British Pathé
Рет қаралды 77 М.
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
Maajabu Ndani ya Kasri la Sultani Sayyid Said (1856-1870) wa Zanzibar!
15:18
JE! ULIDANGANYWA HISTORIA YA ZANZIBAR- MANGAPWANI?
19:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 73 М.
Chimbuko la maboti ya mbao kisiwani Zanzibar
2:20
DW Kiswahili
Рет қаралды 1,5 М.