MAAJABU YA KANISA HILI KUBWA LILILOPO PEKEE TANZANIA, "KUNA MAKABURI, NI KAMA ROHO YA MJI"

  Рет қаралды 90,716

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 176
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Love Catholic naupenda ukristo Asante MUNGU najivunia San❤❤❤
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
Usijivunie dhehebu huku huna Yesu
@drimaxpro8948
@drimaxpro8948 Жыл бұрын
​@@royalpriestsmusic5685umejuaje hana Yesu 😢
@Habiba-yb2hb
@Habiba-yb2hb Жыл бұрын
Huwa tunahukumu na hatujui lakini sababu nikuaminishwa kwa kupotezwa mie Kristo amenijaalia kutembelea sehemu alipozikwa Nabii Ayubu na kwama elekezo nilopata nikwamba pale alipokuwa akisali ikitokea amekutwa na umauti basi huzikwa hapo hapo so, jambo hili kuona kaburi ndani ya kanisa hakijanishtua hapo ndipo Imani yangu inavyoongezeka Ee Yesu naomba uniongezee Imani Amina❤
@BahatiMlelwa
@BahatiMlelwa Жыл бұрын
Pp
@explorewithbertin
@explorewithbertin Жыл бұрын
Kanisa zuri kweli...I cant wait to visit Bukoba
@gakatheboy4494
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMUsi=hY8MN_MTPQMQaLBs
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Bukoba oyeeeeeee
@pauloptatmosha8115
@pauloptatmosha8115 Жыл бұрын
Kila mmoja ana uhuru wa kuabudu! Mtuache na ukatoliki wetu!
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km Жыл бұрын
Kabisa
@RastaSuma
@RastaSuma Жыл бұрын
Tutawaambia ili muweze kutubia kabla ya siku ya kiama ,wazungu au mataifa 10 walikaa na kuchakachua vitabu vya injili, zaburi na torati kwa maslahi yao kama vile kufunga ndoa za jinsia moja na mengine mengi ya kumchukiza mungu. Kuanzia Adam hadi ujio wa Yesu na mtume wa mwisho Muhammad wote waliabudu mungu mmoja hii ndiyo dini ya haki na sahii.
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km Жыл бұрын
@@RastaSuma je na sisi tukisema waarabu walikaa wakaandika msaafu unaonaje hiyo
@M.F.COSMASM.F.COSMAS
@M.F.COSMASM.F.COSMAS Жыл бұрын
@@RastaSuma ndugu wewe hufahamu hata kutofautisha kati ya Mungu na mungu, alaf unategemea kuongea kuhusu mandiko.
@RastaSuma
@RastaSuma Жыл бұрын
@@M.F.COSMASM.F.COSMAS Pia ujue kutofautisha kati ya mfundisho ya watu na ya mungu.. Mwenyenzi mungu hana sifa za viumbe kwani yeye ndiye alieumba, pia hafananishwi na mwanzo wala mwisho hivyo viumbe havina haki ya kuabudiwa ,mwenye haki ya kuabudiwa ni yule ambaye hakuzaliwa wala hakuzaa huyo ndiye Mungu
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
Utengeneze kaburi lako mapema usisumbue watu ukifa ❤
@officialdaynesskavishe4143
@officialdaynesskavishe4143 Жыл бұрын
Kabisa yani.sio Kuja kusumbua waliobaki
@alphoncesanga8609
@alphoncesanga8609 Жыл бұрын
Kanisa zuri sana, na nyie msiojua taratibu za kanisa katorik halafu mnalisemea mngesikiliza tu mkapita sio lazima m Coment
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 Жыл бұрын
Ndugu Nakusii Jifuze Ata mmi ni mwanafuzi wa Kristo ila Roma awafuati mafundisho ya Kristo
@IreneMuge-s3p
@IreneMuge-s3p 5 ай бұрын
Jibu Cho kanisa zuri jibu ni kumtukuza mungu kutoka ndani ya moyo
@piuslugata4931
@piuslugata4931 Жыл бұрын
Natamani siku moja nijenge kanisa zuuli sana Mungu nibariki
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq Жыл бұрын
Ukisaidia maskini na wenye uhitaji utabarikiwa zaidi hata ya kujenga kanisa. Kwa maana Mungu wetu ni Pendo apenda watu, na atutaka tuongozwe na Upendo❤
@EDITHACHINGUILE
@EDITHACHINGUILE 9 ай бұрын
​@@NgengeMkeni-uo5hqkila mtu anaguswa kwa namna yake, kadili Roho Mt. atakavyomsukuma ndani yake.
@projectusmakwaya7895
@projectusmakwaya7895 Жыл бұрын
Huyu Mtangazaji nimempeda "Casedoro"
@jasintherjovinary6213
@jasintherjovinary6213 Жыл бұрын
Kanisa langu la Bikira Maria Mama wa Huruma, Jumuia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Miembeni. I miss you
@rebecamollel7192
@rebecamollel7192 11 ай бұрын
Huyo ndo Mungu wako,? Acha ibada ya sanamu wewe Yesu pekee ndio njia kweli na uzima ...
@BernardAkili
@BernardAkili 5 ай бұрын
Kujenga makaburi ndani ya kanisa ni ibada ya sanamu bhanaa
@alexbitakwate
@alexbitakwate Жыл бұрын
Ahsante baba askofu Methodius kilaini,tuko nawe ktk maombi.
@dexmorinc6343
@dexmorinc6343 Жыл бұрын
Bukoba Cathedral, Kanisa moja tu, Katoliki
@gakatheboy4494
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMUsi=hY8MN_MTPQMQaLBs
@Yesunimwokozi1
@Yesunimwokozi1 Жыл бұрын
Nilikua pale bukoba..kila unapoenda ukipotea hilo kanisa ni kama radar
@paschaziamathias5090
@paschaziamathias5090 Жыл бұрын
Mnaohukumu kanisa la Roma eti ni Freemason,! Mungu awasamehe bure maana hamjui mlitendalo. Madhehebu si uzima wako Mungu aangalia moyo wa MTU na matendo yake, na pia ni kama chombo cha kutufanya cc tumjue Mungu,tumpende,tumtumikie na hatimae tumrudie yeye ktk uzima wake wa milele. Kinachowasumbua ni wivu tuu, acheni tumjengee Mungu wetu nyumba nzuri zenye kiwango za kumuabudia aliye hai milele.
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Tatizo hutaki/hamtaki kutumia Vema Neema ya Akili (Giza Totoro unadhani, unasema na Uaamini ni Mchana kweupee/Nyekundu (Hatari) unasema Kijani/Salama!) Eleweni na Zingatieni Vema Mafundisho ya huyo Mumfanyae na Kuamini ni Yesu/Mungu alikuwa akiongea/akifundisha Kwa Mafumbo; Kula Mkate na Kunywa Divai/Mvinyo alimaanisha Kuenzi Neno la Mungu/Mafundisho yake kimatendo. Moyo na Mwili wa Mja ni Miki ya Mungu, hivyo Mja atende (Maamrisho/Makatazo) yote kwaajili ya Mungu (Allah) Muumba tu na Si vinginevyo. Utajihakishiaje kwamba Matendo utenadayo ni sahihi/amyaridhia (ameyakubali/anayakubali)Mungu Wakti hufuati Dini/lmaan sahihi ya Mungu Sahihi anfuata ya Mitume/Manabii, Vitabu na Mungu sio sahihi?! Mambo mengine ya Kidunia mnatumia RasiliMali Watu, Muda, Fedha nk kufanya Utafiti Umbembuzi Yakinifu Ili kujiridhisha msipoteze Gharama/aFedha nk. Lakini Ktk Suala la Kumjuwa na Kumuabudu Mungu mnaridhia tu Kuenzi kuendeleza ya Kurithi ya Wazungu/Makafiri Wa Mpango Mkakati (Missionary/Freemasons) wa kutaka aabudiwe Shaiytwan/Ibilisi. Roma Wamerithi Imaa/Tamaduni (Mila) nyingi/kama Zote kutoka Kwa Wapagani wa Antokia (Matendo ya Mitume 11 : 25...) Jitahidi/Jitahidini Kusoma/Kutafiti mujuwe Kweli na Haki. Kwanza Roma Si Dini. Jifunze Ujuwe Asili na Maana ya Roma/Mroma au Vatican. Huo ni Ushauri tu. Hivyo unao Uhuru wa Kuukubali/Kuukataa. Ila nimetekeleza Ujumbe/Kazi ya Mungu ya kukufukishia Ujumbe/Ukumbusho. Ukumbusho unamaufaa Kwa Mwenye Kuamini Ukumbusho huo. Mungu Mola Muumba ndo Mjuzi/WaAllahu Aalamu
@theresiachacha5180
@theresiachacha5180 Жыл бұрын
​@@alhadajjmohammedsmith9042mtuache na ukatoliki wetu jaaamaaani mbona mwaumia roho.sisi wakatoliki tunajua Nini tutapata katika imani yetu.hakuna atayeenda mbinguni kwa ajili ya dini au dhehebu.heshimu dini yako acha na sisi tuheshimu dini yetu pia.mambo ya ushauri hatutakii coz tunajua Nini tunafanyaa
@jackobsamson2241
@jackobsamson2241 Жыл бұрын
Yote hayo hayana maana Kama hauna ROHO MTAKATIFU moyoni kwako nikazi bure na motoni utaenda acheni mapokeo njia ni mbili chagua upendayo
@IreneMuge-s3p
@IreneMuge-s3p 5 ай бұрын
Hakuna kabisa zuri Wala baya wete tunapaswa kumuabudu mungu kweri
@morisiexperansia5549
@morisiexperansia5549 Жыл бұрын
Ila wahaya wamefanya nn maada iliyopo ni makanisa ww unaenda kwenye makabila mbna hueleweki na ww sema kabila lako tukusifie
@PamelaGodfrey-q9b
@PamelaGodfrey-q9b 5 ай бұрын
MUNGU UWASAMEHE HAWAJUI WALITENDALO
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Asnten wakatoliki mliojenga mchango wenu mliotoa mungu awabariki na Arusha inafuata kw ukubwa
@SusanOlambo-x5t
@SusanOlambo-x5t Жыл бұрын
Mungu mwema kwa kila mtu aminaaa
@BahatiJonasi-s5w
@BahatiJonasi-s5w 7 ай бұрын
Askofu anaitwa baba duuh kazi ipo
@williammwamalanga1065
@williammwamalanga1065 Жыл бұрын
Hili ni jengo 0:35
@BahatiJonasi-s5w
@BahatiJonasi-s5w 7 ай бұрын
Hadi lifikishe Myakka 200 lotakuwa linaitwa makabuli ya maaskof
@waytruthlife4171
@waytruthlife4171 Жыл бұрын
Na watu kadha wa kadha walipokuwa wakiongea habari za hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe mazuri na sadaka za watu, alisema, Haya mnayoyatazama, siku zitakuja ambapo halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa. Luka 21:5-6
@marianajulius5926
@marianajulius5926 Жыл бұрын
My Catholic Church makanisa ya kitajiriii😅😅😅
@angelnyinge4139
@angelnyinge4139 Жыл бұрын
Utajiri wa kanisa hautakupeleka mbinguni shtuka ndugu
@marianajulius5926
@marianajulius5926 Жыл бұрын
@@angelnyinge4139 Kwaiyo unatakaje kwa mfano🧐
@jackobsamson2241
@jackobsamson2241 Жыл бұрын
Bila ROHO MTAKATIFU ndani yako huwez kwenda mbinguni kamwe sahau kwenda mbinguni makanisa ya Roma hayana ROHO wa Mungu jiadhali nafsi yako wakati utafika utataka kumuabudu Mungu utakuwa umechelewa
@marianajulius5926
@marianajulius5926 Жыл бұрын
@@jackobsamson2241 so🤓
@jackobsamson2241
@jackobsamson2241 Жыл бұрын
🤣🤣 ujinga
@geofreyjoel
@geofreyjoel Жыл бұрын
Wanafanya hadi ibada za wafu!!!
@consomosha
@consomosha Жыл бұрын
Ingekuwa vizur kutengeneza makaburi yetu mapema,tusisumbue watu😂😂😂😂💁‍♀️
@gakatheboy4494
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMUsi=hY8MN_MTPQMQaLBs
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Tengeneza/andaa Kaburi lako Mapema Kwa Kutenda Ammal njema anazoziridhia Mungu Mola Muumba
@wilsonpaschal3360
@wilsonpaschal3360 Жыл бұрын
huo mnara ulinipoteza sana usiku
@johnnykrantz1658
@johnnykrantz1658 Жыл бұрын
Mungu awasimamie wote waliotangulia,tunakushukuru
@gakatheboy4494
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMUsi=hY8MN_MTPQMQaLBs
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km Жыл бұрын
Nampendaga sana huyu askofu. Eti andaeni makaburi mapema😂😂😂
@hashimking4403
@hashimking4403 Жыл бұрын
Natamani nitoe comment
@CastusRichard
@CastusRichard Жыл бұрын
Wow!! kanis zuri kwel
@NEEMANdembwe
@NEEMANdembwe Жыл бұрын
Nimesoma mafunzo ya ekaristi takatifu hapo na kipaimara hapo
@mawazomacleanmwangobola6806
@mawazomacleanmwangobola6806 Жыл бұрын
Imani 😭
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 Жыл бұрын
Kanisa la mbulu ndilo kanisa kubwa la 3 kwa Africa 🌍 sasa na kushanga unasema ety hili ndo kubwa ww
@florencejohn6427
@florencejohn6427 Жыл бұрын
Huwajui wahaya wewe. Mwandishi na askofu wote ni wahaya. Lazima wasifie vya kwao.
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Wazungu wametuvuluga kwa kila kitu 😢😢😢
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 Жыл бұрын
Amekuvuluga wewe siyo sisi tunajielewa tuache usiye elewa kitu.
@florencejohn6427
@florencejohn6427 Жыл бұрын
Una akili sana. Ila dini na elimu ndiyo vimetumaliza kabisa. Sijui tutaamka lini. Askofu kalishwa sana sumu na mzungu. Humwelezi kitu hapo
@Carlos-n7h6x
@Carlos-n7h6x Жыл бұрын
kila mtu na anavyo amin
@ajheemclassicaltv7608
@ajheemclassicaltv7608 Жыл бұрын
Lipo wapi nikalitembelee
@desderymakoi6595
@desderymakoi6595 Жыл бұрын
Kama mtu amemkataa Kristo YESU hata akizikwa kanisani ni motoni tu...Jambo la MSINGI sio kuzikwa kanisani bali ni KUAMINI,KUTUBU,KUBATIZWA KWA MAJI MENGI NA KWA JINA LA YESU KRISTO NA KUOKOKA sio zaidi ya hapo au Hell fire Kwa kila anaekataa KUOKOKA..Rumi 10:8-13
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Jambo la Msingi ni Kuamini na Kufuata/Kutenda Mila/Tamaduni (lmaan/Dini) Njia ya Baba wa lmaan, Baba wa Mitume na Manabii (Ibrahim AW), Kujisalimisha/Kunyenyekea/Kumuabudu (Allah SW) Mungu Mola Muumba wa kweli na Haki na Wapekee, hakuzaliwa/hana Mwana Wala Mtoto. Na tuifuate Vitabu sahihi vya Mitume sahihi, lbada Sahihi kutoka Kwa Mungu Mola Muumba sahihi na si Vinginevyo. Wazungu Wanawapoteza/wamewapoteza ! Someni Vema Historia ya Uumbwaji wa Adam na Hawa, Uumbwaji wa BinAdam, Shaiytwan/Ibilisi na Malaika. Kusudio Kuu la Kuumbwa Kwa Adam na Kusudio Kuu la Kuumbwa Wana wa Adam na Kusudio/Lengo Kuu la kuletwa hapa Duniani. Wazungu wamechomeka Visa, Historia, Dini/lmaa za Uwongo, Mitume na Manabii wa Uwongo, Vitabu vya Uwongo, Ibada/Siku za lbada za Uwongo Ili aabudiwe Shaiytwan/Ibilisi Kwa vile lbilisi anauwezo wa kufanikishia yao ya Dunia endapo tu akipenda Mungu Mola Muumba! Mungu alishamsamehe Adam pamoja na Hawa tangia wakiwa Mbinguni/Peponi ila Kwa Agano la Adam atafute Rizki Kwa Jasho lake (Ajitume/Afanye Kazi) na Hawa atazaa Kwa Uchungu. Hivyo hakuna Dhambi ya Asili/Kurithi ni Uwongo na ni Uzushi Uloasisiwa na Wapagani/Makafiri (Freemasons) Kwa Maelekezo na Ushawishi wa Shaiytwan Kwa Mkataba wa Maridhiano ya kutekeleza ya Kidunia na Mpaka atake/apende Mungu na si Vinginevyo, Ibilisi hana Uwezo. Pasi na kutaka Mungu na Kukubaliwa/kuwezeshwa Kuweza Kwa lbilisi na Wafuasi wake ni Mtihan tu (Ibilisi na Watufasi wake hupimwa Watamshukuru Mungu/Watakufuru?) Ibada ya Ubatizo na za mfano wake ni Ujanja Wa lbilisi Kumtowa binAdam ktk Mila/Tamaduni (Imaan/Dini) sahihi (Uislamu) Mila ya lbrahim na kumuingiza ktk Mila/Tamaduni Myahudi na Manasara (Makafiri); Kuabudu Viumbe (binAdam/Yesu, Mizimu, Jua, Mwezi, nk Visivyofaa Kuabudiwa) na ndomana hapo Kanisani Kuna Alama ya Pembe 3, Jicho (Jua/Mwezi) nk vya Ukafiri/Upagani. Maslahi ya Dunia yanafanya Wafuasi wa Ibilisi na Familia zao waendelee kurithishana Imaan na lbada za Kuabudu Viumbe! Mfano; Sunday/Siku ya Kuenzi Kuabudu Jua, Kutengeneza na Kunyenyekea/Kuabudu Sanamu, Kuzika Maiti Kwa Mavazi, Mapambo, Masanduku na Kujenga Makaburi Kwa Gharama za Kufuru, Kusheherekea Sikukuu za Uzushi/za Kujitungia, Kufuata Kalenda za Kujitungia nk yasofaa.
@M.F.COSMASM.F.COSMAS
@M.F.COSMASM.F.COSMAS Жыл бұрын
Kaa ujifunze maana ya kutubu na kuokaka na ubatizo wa maji mengi kwa jina la Yesu, shida yenu muna soma biblia kama gazeti. Mimi ni mkatoriki.
@priskaclever997
@priskaclever997 Жыл бұрын
AMINA hiyo nikweli 🤝 MUNGU AKUBARIKI sana
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Namshkuru Mungu Kwa neema ya Uislam 🙏🤲
@andrewkissavah8272
@andrewkissavah8272 Жыл бұрын
Kwenye uislamu kuna neema gani ? Kwenye usilamu hakuna neema bali kuna mauti na jehanamu kwanza bado hamja mwamini Yesu
@agathathobias8690
@agathathobias8690 Жыл бұрын
Labda neema ya upanga kwa upanga sis tuna neema ya samehe 7mara70
@veeJesus
@veeJesus Жыл бұрын
​@@andrewkissavah8272umenena vzr
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Nyie meshaga potea upotevu mkubwa Mungu awaongozeni inshallah
@marianajulius5926
@marianajulius5926 Жыл бұрын
Kajambe mbele hujaitwa hapa😂 I’m proud to be nyoooko😃😏
@nicolousmwakalengela2258
@nicolousmwakalengela2258 Жыл бұрын
Wahaya kwa sifa DULLY Akasome
@habibajohn8967
@habibajohn8967 Жыл бұрын
❤❤
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Amen
@gakatheboy4494
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMUsi=hY8MN_MTPQMQaLBs
@rsfdzxzx2274
@rsfdzxzx2274 Жыл бұрын
Huyo nimusazi😅😅
@williammwamalanga1065
@williammwamalanga1065 Жыл бұрын
Hilo ni jengo
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
The best. 😊
@King_186
@King_186 Жыл бұрын
Kanisa zuri ingawa halifikii kanisa la Kigonsera Mbinga,Ruvuma
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 Жыл бұрын
Yani Kwa Ubunifu au kwa ukubwa Maana kama ni Kwa ukubwa Peter claver hapa mbezi Luis nikubwa pia
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 Жыл бұрын
Ungeenda bukoba ukajionee mwenyewe. Mimi nimesali St Peter hapo dar na bukoba nimesali sana. La bukoba ni kanisa kubwa sana na nikanisa zuri sana
@emmanulvictory507
@emmanulvictory507 Жыл бұрын
We ni mavumbi na mavumbini utarud.nivyema kujiandaa kwa safar
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Mwayapamba makaburi na ndani kumejaa mifupa
@aloyceisdory7855
@aloyceisdory7855 Жыл бұрын
Hata wewe unakula vizuri ila unajisaidia uchafu
@florencejohn6427
@florencejohn6427 Жыл бұрын
Askofu naye bwana. Mbinguni ni juu? Mafundisho hafifu kabisa
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 Жыл бұрын
@florencejohn6427
@florencejohn6427 Жыл бұрын
Askofu na mwandishi wote wamekutana. Watu wa misifa. Watu wa kukuza mambo yao hata kama ni ya kawaida tu.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Жыл бұрын
Kabisa zuri abarikiwe
@GidionGidion-v4k
@GidionGidion-v4k Жыл бұрын
🎉🎉
@gakatheboy4494
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMUsi=hY8MN_MTPQMQaLBs
@josiacharles2778
@josiacharles2778 Жыл бұрын
Alita salia jiwe juu ya jiwe, Jengo la kanisa linakuaje moyo wa mji?
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Baba Askofu kama Lina wa yanga... wahaya hata wakisoma .... jasiri haachi asili
@gakatheboy4494
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMUsi=hY8MN_MTPQMQaLBs
@elipidiuscleophace113
@elipidiuscleophace113 Жыл бұрын
Ww utajisifia kwa sifa hipi?
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
@@elipidiuscleophace113 uhai
@pillautv1677
@pillautv1677 Жыл бұрын
Huu mwili ulikuwa unapaswa uzikwe kwao kamachumu ila kwa jinsi wakoloni walivyokuwa na akili za kuaribu hasili yetu walifanya hivyo ili mwili husiendele kuenziwa kimila. Na mwili ukienziwa kimila nguvu ya mtu huyu aliyekwusha kufariki urudi kama mzimu kutoa msaada kwenye familia na ukoo mzima pale alipokuwa amezaliwa.
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Karne hii Badounatamani na unaimaan za Kuabudu Mizimu tu. Kweli ipo Kazi, na itakuwa Ngumu Afrika kupata Maendeleo/Kujitawala.
@boyfromtansania7788
@boyfromtansania7788 Жыл бұрын
Duh misaada ya mizimu badala kufanya kazi kwa nguvu aiseh au na ww ni mzimu
@agathathobias8690
@agathathobias8690 Жыл бұрын
@@boyfromtansania7788 😃😃😃
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 Жыл бұрын
Huelewi wewe yeye nimali ya Mungu.
@EufranciaLeonard
@EufranciaLeonard Жыл бұрын
Natamani nikufahamu
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 Жыл бұрын
Mmmmmm
@RastaSuma
@RastaSuma Жыл бұрын
Historia ya manabii wote hakuna alievaa msalaba kilo nane kama huyu, Wazungu walipotoa kitabu cha injili miaka 600 baada ya yesu. waka wafundisha miungu 3 yaani 1+1+1=1 leo papa anasema biblia si maneno ya mungu na kimepitwa na wakati hivyo anatengeneza kitabu kingine kitakacho waongoza,, jifunzeni dini ya haki ya manabii wote..dini ya kuabudu mungu mmoja. 7:53
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Hata lbada wazifantazo ni Uzushi/Uwongo Mtupu. Hao Maaskofu wamechukuwa Agano/Nadhiri ya Kufia Ktk Ukafiri/Upagani Ili tu wafanikiwe Kuishi Maisha ya Raha Duniani Ktk Kumtumikia lbilisi! Hivyo hawana Jinsi/hawawezi kuwakwepesha Vizazi vyao Kuwarithisha Mila za Ukafiri Ili kutimiza Agano walofunga Shaiytwan/Ibilisi. Hata wakiwa na Elimu Kisasi gani (DRs, PhDs, Masters, Professors nk) ngumu kutoka Ktk Ukafiri ilhali wanajuwa fika wapo Ktk lmaan/Dini ya Shaiytwan Kwakuwa wanapata Maslahi ya Dunia Kwao Poa tu!
@FreeGod368
@FreeGod368 Жыл бұрын
We umelogwaaa mudy wako ndo alikuja miaka 600 bada ya Yesu na siso atuna manabii waloandika vitabu bali mitume
@RastaSuma
@RastaSuma Жыл бұрын
@@FreeGod368 we ujafahamu? Baada ya miaka 6000 mataifa 10 ya Ulaya yakiongozwa na warumi yalikaa na kubadili au (kuchakachua) kitabu cha injili,Zaburi naTorati na wakaanza kuabudu miungu 3 yaani 1+1+1=1 this is totally devil philosophy teaching, wakati yeye Yesu aliabudu mungu mmoja na manabii waliomtangulia kabla yake na malaika mbinguni waliabudu mungu mmoja, hii ndiyo dini ya haki mbele za mwenyenzi mungu sahii.
@FreeGod368
@FreeGod368 Жыл бұрын
@@RastaSuma sasa broo we ni uko timamu kweli??? TANGU YESU AJE DUNIANI AMETIMIZA MIAKA ELFU 2 TU IO ELFU 6 UMEITOA WAPI KAMA SIO UMECHANGANYIKIWA??? AU UMEKARIRISHWA NA WALIMU UCHWARA UKAMEZA TU , WW ATA UJUI IVO KABISA KWAMBA YESU TANGU AJE DUNIAN NI MIAKA ELFU 2 TUU
@FreeGod368
@FreeGod368 Жыл бұрын
@@RastaSuma WEWE UNA MTINDIO WA UBONGO SIO BURE , MIAKA ELFU , 6😂😂😂😂😂😂😂😂😂SERIKALI YENYEWE YA KIRUMI HAINA MIAKA ELFU 6
@pendozephania8494
@pendozephania8494 Жыл бұрын
Mambo ni mengi mda mchache 🏃
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 Жыл бұрын
Baba askofu kila mtu duniani akitengeneza kaburi lake itakuwaje? ardhi haitatosha na wengine wataremba nakuhamia Kama geto.
@AGELBESN
@AGELBESN Жыл бұрын
Ila jibu ni kila nafsi itaonja mauti pia toka karne na karne watu wanakufaga lakini ardhi haijawahi kujaa ndo ujue ardhi haishibagi
@morisiexperansia5549
@morisiexperansia5549 Жыл бұрын
Una uhakika ni free mason mbna mnapenda kuzungumza vitu ambavyo hamna uhakika navyo ukiitwa kutoa ushahidi utasema nn
@elipidiuscleophace113
@elipidiuscleophace113 Жыл бұрын
Watoa comments wanazungumzi kuhusu wahaya kwan mirad unatoa habari kwa watanzania walio na upungufu kichwani?
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Unatoa heshima Kwa kabuli la mtu aliyekufa,je kama hakwenda Mbinguni hamwoni kama mnatoa heshima Kwa Mizimu,kwani hakuna ushilika baina ya wafu na walio hai acheni mara Moja japo Nami ni mkatoliki,
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Achana na imani ya watu, endelea na yako
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Innalillahi Wainna llahiyl Raj oun! 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Hapo ni Freemasons tupu tu ! Hizo 3Pyramids/Triangles na Jicho ni Miongoni mwa Ishara Kuu za Freemasons. Afu imeandikwa wapi?!/imefundishwa krk Biblia Kuzikana/Kufanya Makaburi Makakanisani au ndo mwendelezo wa Kujiamulia tu?! Jamani Muogopeni Mungu Mola Muumba na Kumbukeni Sku ya Hukmu/Kiama.
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Жыл бұрын
Uwezo wako wa kufikiria na elimu ya madrasa ndio imekufikisha hapo, tusilulaumu tulaumu kitabu unachokiamini
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq Жыл бұрын
Sio kosa lako, bali ni elimu ndogo, fikra finyu na uwezo mdogo wa kufikiri uliosababishwa na kukaririshwa matamshi usiyo hata yaelewa. Na hili ni janga kubwa sana kwa ndugu zetu. Wakati wenzenu wanawekeza kwenye Imani, Huduma na Elimu nyie mnawekeza kwenye Imani tu. Matokeo yake mnakuwa na waumini wajinga ambao ni mzigo kwa Dini na Taifa.
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
Yan mnakaa kabsa mnasifia jengo aisee et roho ya mji kaaah 😂😂😂😂
@gakatheboy4494
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMUsi=hY8MN_MTPQMQaLBs
@gakatheboy4494
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMUsi=hY8MN_MTPQMQaLBs
@BeatriceRwegasira-mc2wm
@BeatriceRwegasira-mc2wm Жыл бұрын
Wewe uliataks wasifie nini???
@eliyakitundu5267
@eliyakitundu5267 Жыл бұрын
Litabomoka na kombora la atomic nucleus hilo, wekeni msingi wenu kwenye Neno na sio kuweka akili zenu kwenye majengo, kwanza hatukuitwa tuje tujenge majengo, bali tuliitwa tuje tu hubir injili
@irenelyamuya5466
@irenelyamuya5466 Жыл бұрын
😅😅
@gakatheboy4494
@gakatheboy4494 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aJ_Vc36taqqNoMUsi=hY8MN_MTPQMQaLBs
@notbulgamnenuka1766
@notbulgamnenuka1766 Жыл бұрын
Ibada za wafu😢
@mujwasteven
@mujwasteven 5 ай бұрын
We ni mfu
@simonmdune9066
@simonmdune9066 Жыл бұрын
Freemason tuu umetawala
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq Жыл бұрын
Sio kosa lako bali ni ufinyu wa fikra ulio nao. Jiongeze jombaa, aibu sana kubwa zima afu jinga😂
@yasintakahamba1320
@yasintakahamba1320 Жыл бұрын
Freemason hao kwani hizo harama zao hamzioni
@bamanyasalvius123
@bamanyasalvius123 Жыл бұрын
Fanyeni kazi nyinyi makanisa ya kilokole wavivu mnasubiri maombi eti ndo mpate pesa
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Жыл бұрын
Tunamuomba Mungu wala sio hao mnao wasema ninyi kwani freemason wapo Wakatoliki tu na nini maana yake tunamuamini aliye mwaga damu yake ili kutukomboa sisi wenye dhambi za kuzidi
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Жыл бұрын
Kwa fikira zako wewe za ufreemason
@emmadora7848
@emmadora7848 Жыл бұрын
We ndio freemason hata kuandika hujui
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
Wanaharibu Hela kupamba makaburi upuuzi mtupu
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 Жыл бұрын
Ila wahaya 😂😂😂
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq Жыл бұрын
Nina swali ndugu zangu. Hivi tangu lini Waislamu wakasifia chochote kinachofanywa na Wakristu? Maana kwenye comment naona povu, mara freemason, mara i am proud to be Muslim.. utadhani mliombwa mchango wa ujenzi wa hilo kanisa😂 Tumeshawazoea kupondea. Kwahiyo endeleeni tu, hamna jipya
@tesharose5041
@tesharose5041 Жыл бұрын
Amen
@King_186
@King_186 Жыл бұрын
Kanisa zuri ingawa halifikii kanisa la Kigonsera Mbinga,Ruvuma
@marythomas7873
@marythomas7873 Жыл бұрын
Daah kigonseraa jaman
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 34 МЛН
SIZE DOESN’T MATTER @benjaminjiujitsu
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 3,8 МЛН
МЕНЯ УКУСИЛ ПАУК #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
БУ, ИСПУГАЛСЯ?? #shorts
00:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 3 МЛН
UKWELI KUHUSU KANISA KATOLIKI - Na: David Mwigani
13:58
Rk Mwigani Production
Рет қаралды 6 М.
HIZI NDIZO NONDO WAKATI WA KUFUNGA NDOA YA JUHUDI NA LEAH
18:37
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 34 МЛН