BINADAMU WENZANGU , Kwa haya na wengi tunayo yaona na kusikia vinatosha kuamini kuwa MUNGU YUPO NA SIFA NA UTUKUFU NI WAKE. Nimejikuta naumia mno 😭😭 Kuona Mungu ananitupa kwenye Magumu niyapitiayo kumbe Kuna wengine wanapitia Magumu Kuliko Mimi 😭
@matridamwalyoyo17352 жыл бұрын
Daaa nimejiona mwenye bahati kuwa na viungo vyote ,mungu ni mwema sifa na utukufu kwake
Mashalaah mungu aendelee kukusimamia kwanza anajiamini alafu anajua kujieleza sana ni kipaji pia kwa umri wake
@zaidihussein43112 жыл бұрын
Shafii ww Simba Sana lkn una kipaji Sana mwanangu mungu akujalie utimize malengo yako
@rithakuyala99512 жыл бұрын
Hongera sana mtoto wetu Mungu akuze kipaji chako
@ayoubtv86482 жыл бұрын
Hakika Mwenyezi Mungu anaumba, Mwenyezi Mungu ni Mkubwa🙏🏽 Nimetokwa chozi aliposema “Natamani nikue ata Kesho nimsaidie Mama yangu” Daah
@fetychina32732 жыл бұрын
Mwenye Mungu ni mkubwa mno hana mfano kukupa tatizo na unafuu wake Allah azidi kumuongoza mdogowangu
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Maskini mtoto mwema huyu anampenda mamayake daa mpaka umeniliza Wallahi maashallah Allah awafanyiewepisi wenyepesawajitokeze wawape msaada ili wapate nyumba yakuishi
@happyhousekeeper2 жыл бұрын
Mtoto Mungu akutunze kipaji chako ufike mbali❤❤, Anaakili huyu anaweza kujieleza 😊na handsome boy
@hannansdeliciousfood42612 жыл бұрын
MaashaaaAllah maashaaAllah Allah amlinde na hasad Amiin
@azizakombo3762 жыл бұрын
Machozi yamenitoka mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo
@hendrycomonsiwenga11282 жыл бұрын
😭😭😭😭 Nimejikuta natoka machozi ya furaha kwa ukuuu wa Mungu ulivyo juu ya huyu Mtoto. Ahsante
@devothamvanda47382 жыл бұрын
Nimelia
@mouwanahamisi82162 жыл бұрын
Masha Allah 😢😢kanajitambua mpk bas ama kwel mung hakup kilema akakukosesha mwendo mung azidi kukutunz mtt mzur
@hidnakirungi33812 жыл бұрын
MUNGU ampe vpaj vingi Zaid ili viwe vgezo vyakuongoza maisha yake inshallah.
@emmakidiga51312 жыл бұрын
Mungu awez kukunyima vyote soma mdongo wang mungu akusimamie.
@trifoniambilo24002 жыл бұрын
Hongera mtoto mzur mungu akujalie utimize ndto yako
@florenceedo94022 жыл бұрын
Mungu ni Mwema
@iamricktiger2 жыл бұрын
OMG Yarabbi jalia kipaji hiki jaman
@amosbusumabu2 жыл бұрын
Daah nihatar dogo anakipaji kizuri cha utangazaji
@adamyasin40892 жыл бұрын
Kweli mungu NI mkuu Sana na mwenye huruma Yani hicho kimashine sisi ambao tumepewa uwezo wa kuona tunaweza kushindwa kutumia lakin huyu mtoto anatumia as if anaona kabisa kweli mungu NI mungu TU
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Maashallah tabarakallah Allah akujaalie ukupekipaji sahihi chenye heri na ww ila usiimbe
@nasraabdallah8502 жыл бұрын
Mimi hao washangiliaji tu hoyi🤣🤣🤣🤣mana wanatoa ushirikiano wakutosha haswa🤣
@adelinamakungu88552 жыл бұрын
Mwenyez Mungu amsaidie afkie ndoto zake
@hagarbills40232 жыл бұрын
bismillah Mansha'Allah ❤ ❤
@hawahabibu38812 жыл бұрын
MashaAllah Allah akufungue Macho cku moja uwaone hao wachezaji mpira
@matridamwalyoyo17352 жыл бұрын
Shafiii yupo vzur sn km I see his bright future
@cianahbrighton37462 жыл бұрын
Hadi machozi yamenitoka dah😞😞
@talhiyaibrahim10742 жыл бұрын
Hii kalii jmn hongera Sana Ana kibajii kikubwa na akilii
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Awesome mashalllah ❤️
@salmaabdulabdul7772 жыл бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu akufanyie wepesi inshallah
@rehemafadhili26002 жыл бұрын
Tuwanawanafunzi tunafurahi jamn uko nyuma 😁😁😁 mungu atakufanyia wepesi kijana
@cristinasofla50902 жыл бұрын
Mashallah mashallah 🥰❤️❤️❤️ Allah azidi kumuongoza na amuepushe na maradhi
@JuliusNgubo-x8z5 ай бұрын
God bless you ❤❤❤❤
@twiseghekisilu88452 жыл бұрын
Baraka mpenja Kuna ndugu yako huku,karibu ufanye jambo
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mashallah, mtoto mzuri, nimeona hii video ya uyu mtoto BBC
@ziadakisanga10112 жыл бұрын
Mashaa Allah Allah akupe shifaa
@tatutatu15702 жыл бұрын
ANA vipaj Mashaallaah🙏🏾 😭
@chrisbackfix87362 жыл бұрын
Mwwnyezi mungu akutangulie kwenye masomo yako mtoto mzuri
@mateusjoao55842 жыл бұрын
Mungu akusaidie mdogo wangu
@angelinnamkingi22192 жыл бұрын
Mungu akutimizie ndoto zako mtoto mzuri jamani!
@valentinegodson35222 жыл бұрын
Jaman mpaka Raha ❤️❤️
@happinnesspius98542 жыл бұрын
Mungu anakuongoze sku moja uone
@lukmanihussain69812 жыл бұрын
Mashallah mungu akujalie uone
@mwanahamisimruma59312 жыл бұрын
Duh!!" Pongez kwako mwalimu kashahaaaa
@Fatma-rp7be Жыл бұрын
Bismillah mashalla mashalla kipaji
@mdta81612 жыл бұрын
Mashallah ❤️
@Rehemakidoti2 жыл бұрын
Mashaallah ❤🥰
@yasminoluoch1692 жыл бұрын
MASHALLAH 🥰 ANA SAUTI NZURI SANAAA
@florenceedo94022 жыл бұрын
Nimependa buree anajitihada nyingi Sanaa... Na Wala halalamiki nimejifunza kitu🙇🏾♀️
@scholarsticaoscar74712 жыл бұрын
Wahamasishaj wako vizur jamanii nimewapendaa mnoo
@mussamc6412 жыл бұрын
Da hao madogo wa hio class nimependa wanavompa kampan ya shangwe ..ila pia watamkumbuka sana hasa pale wakimaliza shule
Anayejua mawasiliano ya huyu mtoto guys naomba anisaidie nahitaji kumtafuta kwa baadae niweze kumpa chochote Mimi ni kijana mdogo tu Ila walemavu nawapenda Sana sababu mungu anadhihirisha ukuu wake kupitia hao naomba mwenye mawasiliano yake jaman tafadhar Sana jaman
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Mpigie miladi ayo utapata mawasiliano nae au nenda shuleanayosoma Allah akulipe heri kutokana a niayao lnshaallah
@sanyajuutv26792 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
Angehifadhi quran ingekuwa bora sana kwake.
@aminakunja2772 жыл бұрын
Ila anazingua anawapendelea makolo 🤣
@naomybenedict17872 жыл бұрын
Mungu akuntunze mtoto mzuri jmn
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
Maa shaa Allah😘😘
@fatmaahmed86372 жыл бұрын
Mawazo yangu kwa Walimu ni kuja mtu anayeweza kuja sikiliza Walimu isiwe Mama,ikiwa Baba,dada,kaka,ndugu wanaoze fatilia
@florarog5482 жыл бұрын
Hongera mtoto mzuri
@nathaliamayo83112 жыл бұрын
Kwa hakika mungu wetu ni mwingi wa neema
@fauziaabdullah37332 жыл бұрын
MashaAllah Allah barik
@yohanamhagama89752 жыл бұрын
Disability is not inability
@mustafaosman18382 жыл бұрын
Mashallah mungu mkubwa
@mariamhamisi5982 жыл бұрын
Mashaallah yuko vzr
@gracenizigama6952 жыл бұрын
Wow ♥️♥️♥️♥️♥️
@shinipapaya8462 жыл бұрын
Eti kwenu walemavu wangapi yaani ww unapenda kuona walemavu wanakuwa wengi kwao sio? swali gani hili la kumuuliza binaadamu mwezio shule shule ni muhimu dog una akili kuliko anae kuhoji pongezi kwako sana dogo 👍👍👍🏃🏃🏃
@stamelistameli84612 жыл бұрын
Yupo vzr mtoto mzur jamani kanipa Raha dakika
@nururaymond52 жыл бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu
@edinaclement77142 жыл бұрын
Nimejikuta natokwa na machozi Mungu aendelee kumtangulia afikie malengo yake.
@twiseghekisilu88452 жыл бұрын
Jamani ♥️♥️♥️
@asha.mwambamwamba17742 жыл бұрын
Nimependaa nimefurahiii sanaaaa
@chikusangalala77594 ай бұрын
Anqsauti nzuri sana
@ahmedsaidsaid77822 жыл бұрын
Good bless
@matridamwalyoyo17352 жыл бұрын
Mtangazaj upo vzur saaaanaaa
@richardsaidi24482 жыл бұрын
Huyuu mtoto anakipaj sanaa
@habibajohn8967 Жыл бұрын
🔥🔥🥰🔥🔥
@sudymgeni7012 жыл бұрын
Dogo bwana Msanii kweli mana haya bana shafii ukumbi wako
@emmanuellkfightforjusticea24742 жыл бұрын
Mashalaaaah
@agnesmapunda52422 жыл бұрын
Amina
@uwimbabaziaisha38122 жыл бұрын
Maa shaa ALLAH
@winnesakara69572 жыл бұрын
Mashalah
@fatmamsiliwa84852 жыл бұрын
Mnunulie radio mtangazaji kwa hisan yako
@gemadamiani42862 жыл бұрын
Wampeleke huyo mtoto Mwanza kwa mtoto Yunisi ampatie maji ya baraka na amuombee ataweza kuona. Kwa neema ya mama Bikira Maria.