MAALIM SEIF: NIPO TAYARI WANIKAMATE/CUF HAWATUWEZI

  Рет қаралды 20,596

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@plujorilugano9489
@plujorilugano9489 5 жыл бұрын
Maalim Seif jemedari wa siasa za UKWELI, MUNGU akupe Maisha marefu na nguvu ili mapambano na dhamira yako ya KWELI itusaidie kufikia malengo tunayotazamia. Asubuhi i Karibu sana kuliko usiku songa mbele baba
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 5 жыл бұрын
Maalim Nakupendaa mzee Allah akupewepes hapa duniani na huko Akheraa
@sahilnaass5090
@sahilnaass5090 3 жыл бұрын
Mungu atakupa nguvu mzee wangu , nakupenda sana
@diltondilunga9915
@diltondilunga9915 5 жыл бұрын
Unayemsikiliza Maalim Seif ,huwezi kukaa kimya bila kusema jambo,
@mzenjitz2242
@mzenjitz2242 5 жыл бұрын
mheshmiwa ZITTO nakuona umetuliaaaaaa! unabeba hekma kwa Mzee Maalim seif
@johnkatindasa1750
@johnkatindasa1750 5 жыл бұрын
Mmekutana wote wasemaji.
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 5 жыл бұрын
Upo vizuri na umeeleweka mzee
@suleimansuleiman5498
@suleimansuleiman5498 5 жыл бұрын
BALAHAU KUNKWISHA 😃😃😃😃😃 WABURUZE WASIOJIELEWA
@hoseakaponya5070
@hoseakaponya5070 5 жыл бұрын
Maalim, usihofu baba mungu atakulinda na sisi watanzania tuko nyuma yako, dola haina nguvu mbele ya haki na nguvu ya wananchi
@omarymohamed4805
@omarymohamed4805 5 жыл бұрын
Cuf haitoingia madarakani mpaka wanafiki wamalizike Kutoka " Maalim Seif
@salehemayunga971
@salehemayunga971 5 жыл бұрын
Maalim ulishafeli tangu uliposhindwa cuf ukakimbilia kwa Mfanyabiashara wa siasa ila na wewe siasa zako za Upemba kaingie kwenye jahazi uanze uvuvi huoni jinsi sukari inavyokutafuna we huna lako sasa hivi umekuwa kibaraka ws zito kabwe ambae katangeneza kampuny yake ambayo kaiita act wazalendo
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 5 жыл бұрын
Kweli akili ni nywele. Baki na hicho kipara chako
@maulidmohamed4494
@maulidmohamed4494 5 жыл бұрын
Utaiweza jella au ukamatwe tuu
@mudinhoalbarto8397
@mudinhoalbarto8397 5 жыл бұрын
We inaonekan mgeni w siasa hatoanza leo kukamatwa wala kuwekwa jela!!!!
@zuwenasaid9707
@zuwenasaid9707 5 жыл бұрын
Halafu muuweni ili amani ibakie
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
@@zuwenasaid9707 kaaamue ww
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Ww hata mkeo akit..bwa utakaa kimya kwa kuogopa jela. Dume zima..
@pantaleokulaya5308
@pantaleokulaya5308 5 жыл бұрын
hata kama ukipewa urais maalim utatawala miaka mingapi hii mikikimikiki ungewaachia akina zito ndobado vijana
@abdulimadiba6542
@abdulimadiba6542 5 жыл бұрын
Maalim hataki uraisi nia yke wazanzibar wapate mamlaka kamili
@danadana6450
@danadana6450 5 жыл бұрын
Pantaleo Kulaya Maalim Seif hana njaa ya uraisi wala njaa yapesa anachokiendeabio ni zanzibar tuu hakuna jengine ww usimfanye mpumbavu akijuwa anachokifanya jinsi tunadhalilika wanzanzibar
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 5 жыл бұрын
nlitaka nimueleweshe lakini kw vle mmeshamuele wesha huyu ndugu ytu dhamira halisi ya Maalim bas me nakaa kimya, km hajaelewa bas ana malengo yke binafc..
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Watanzania wajinga wakiongozwa na ccm wanawaza madaraka tu, wamesahau kichwa kisicho kisicho na maarifa ni mzigo kwa miguu
@theodoremilenzo9420
@theodoremilenzo9420 5 жыл бұрын
Hivi huyu Mzee hajaachana na siasa tu. Ama ndio katika mpango wa kutuletea fujo Watanzania ambao tunataka Maendeleo. Urais unatuhusu nini sisi. Acheni tamaaa za uongozi
@zuwenasaid9707
@zuwenasaid9707 5 жыл бұрын
Kwani hukumu ya mleta fujo ni nini muwajibisheni tu asituletee ujinga mbona makundi yapo ya kummaliza just ni maamuzi tuu
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Lini ulimsikia akisema anataka uongozi. Ujinga wako ndio umasikini wako
@buhulachassama4858
@buhulachassama4858 5 жыл бұрын
wewe ni jinga jinga tu.
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 5 жыл бұрын
Zuwena masudi jina zuri lkn hujui nn mana ya uhai, unashauri mtu amalizwe so unajua ni faida gani mwanadamu mwenye kumuokoa binadam mwnzake mmoja2 ni sw amewakoa watu wote dunia nzima, tambua thamani yabdini yako na sio dunia yako, hivi vyama ni duniani2 haviwezi kukusaidia siku ya Kiama
@omarymohamed4805
@omarymohamed4805 5 жыл бұрын
Mbona wapemba wenzangu hamtoi community za matusi sasaivi?
@ahmadjuma1480
@ahmadjuma1480 5 жыл бұрын
Ww cio mpemba
@omarymohamed4805
@omarymohamed4805 5 жыл бұрын
Kwan kukosa kuwa mpemba vibaya? Au haui mwanadam mpk uwe mpemba? Kwan haui muislam mpk uwe mpemba?
@danadana6450
@danadana6450 5 жыл бұрын
Omary Mohamed pemba sisifa yetu matusi tukaneni nyinyi tanganyika
@omarymohamed4805
@omarymohamed4805 5 жыл бұрын
@@danadana6450 izo community za matusi zote ni za Kutoka huku Pemba, mana ndo tunaomfanya Maalim Seif km ni kiongozi wa uwislam, tunavoamini km ukitofautiana na Maalim Seif ndo kushakua kafiri, visima vinanagisiwa huku, miskiti inaharibiwa huku eti kisa katajwa shein,vipando vya watu vinahujumiwa huku, na izo community za matusi zote ni za Kutoka huku, na hata wewe unajua na wala usipate tabu zisome tu wewe ili kuhakiki, message ya Kutoka Pemba unaijua tu, ndo tunafanya hayo na watu wengine wakitupa maneno ya dharau tuseme wapemba tunaonewa
@danadana6450
@danadana6450 5 жыл бұрын
Omary Mohamed ww humpemba usituzinguwe wapemba wote wajielewa hata kama umpemba itakuwa niwakuja siwakuzaliwa au itakuwa nikibaraka wa CCM
@zefamange7281
@zefamange7281 5 жыл бұрын
Utafia jera wewe kenge, hangaika na wajukuu zakoo
@idisoncavan7800
@idisoncavan7800 5 жыл бұрын
Zefa Mange ww nguruwe au??
@ramadhanijohoiddi2899
@ramadhanijohoiddi2899 5 жыл бұрын
Jela mtu aenda kisheria sio kibepali wewe unaona linch linaenda kimatamko uoni cag alivo wabwaga
@danadana6450
@danadana6450 5 жыл бұрын
Zefa Mange kenge ni ww wakwanza musitukane wazee wa wenzenu na nyinyi wenu mutatukaniwa
@danadana6450
@danadana6450 5 жыл бұрын
Ramadhani Joho yaan kuna watu mizigo kabisa wafkiriya kama inakwenda utashi wao
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 5 жыл бұрын
Zefa kuma la mamaaakoooo😂,na sijakujuwa tuu,ila utaona kitakacho kufikaa,mbwa mkubwaa unafurutu ada sasa!!
@khatibhijja3958
@khatibhijja3958 5 жыл бұрын
Good
@sulemohd4812
@sulemohd4812 5 жыл бұрын
Kawaida ya jambo linapo aanza huwezi kutambua mwisho wake ila mwisho wa jambo Analijua rabuka.
@salummussa3094
@salummussa3094 5 жыл бұрын
Mzee vita umevipiga siasa umeiweza sasa pumzika staafuu baba umri umekwenda ...huna miliki ya kuchrza na siasa hata kama uwezo unao na nguvu unazo umri umekwenda ...huwezi kupewa kazi ya kuongoza nchi katika umri huo...
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Uzeee ni dawa,upooo na apewe muone nchi itakavyosonga mbele,nyie wenyewenu mtalia,
@Apeacfulguy
@Apeacfulguy 5 жыл бұрын
Wakukamate vipi na wewe kibaraka cha ccm na wanakulinda wao wao halafu unawadanganyi watu muda wako ushakwisha na watu wakubali matukiyu mana hayo mapinduzi miyataka wenyenu mwaka 64
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Mmeipora cuf Mali tele kwa nn isitumie dola achen ujanja huo
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Si wangeenda mahakamani km kweli, acha ujinga wa kijiweni ww hautakusaidia
BREAKING; FERDINAND WAITITU ARRESTED AFTER MAKING THIS SCARY SPEECH.v
6:46
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 59 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 48 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 28 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 23 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 48 МЛН