Hadija hujambo..n kama uko sehemu ya joto hamira waekaje
@HadijaSheban Жыл бұрын
1tsp love
@rahmaabdallah2194 Жыл бұрын
Dida kama nataka kufanya unga kilo...sukari n mafuta nitumie same size na yako ama
@softboyrobin4849 Жыл бұрын
What’s hamira in English language ?
@olivernkana5746 Жыл бұрын
@@softboyrobin4849 yeast
@teresamoraa9916 Жыл бұрын
@@softboyrobin4849 thanks I was like hii ni mandazi ya uswahilini🤣( hamira)
@dianadaudi1184 Жыл бұрын
Hello I'm from Tanzania 🇹🇿 kweli umenipa raha tunapenda sana maandazi yako thank you Dida
@dianadaudi1184 Жыл бұрын
I mean hadijah
@HadijaSheban10 ай бұрын
Asante sana kipenzi na karibu usisahau kushare
@bernadethaboniface3776 Жыл бұрын
Aaah wewe ni mwalimu mzuri sana, umeeleza kwa kituo for the first time nimepika maandazi matamu mnoo, yana sura nzurii yanavutia! Natafuta wateja sasa nifanye biashara. Ubarikiwe sana Dada
@HadijaSheban Жыл бұрын
Asante sana my love nipo hapa kwa ajili yenu
@HAJJATHALIMASULYMAN3 күн бұрын
Ma Shaa Allah ❤
@erycah9 ай бұрын
Hey dear, asante kwa recipe. I tried yesterday night,maandazi ni delicious plus yana nyama. I have cooked maandazi before ila hii ni kiboko mpaka hapa home naambiwa safari ni matamu. Asante love.
@sakinakale1447 Жыл бұрын
Masha'Allah Dida Allahamdhulilah Kwa video hii, nimefwatilizia ulivyo eleza na nimepika maandazi hayo familia wameyapenda sana and very soon naanzisha biashara hii Asante sana
@HadijaSheban Жыл бұрын
Aww tabarakallah nimefurahi sana kuskia hivyo babes hongera na mungu akutilie barka upate wateja wengi na wenye kheri Ameen
@sakinakale1447 Жыл бұрын
@@HadijaSheban Amiiin
@FurahaChaula-cs1io Жыл бұрын
Barikiwa mafundisho mazuri
@agathabaraka60779 ай бұрын
Napenda unavyofundisha kwa ukweli na upendo. Yaan unamoyo wako, Mwenyezi Mungu akujaalie baraka tele
I made these mandazi for church, everyone loved them and they were so good 😋❤
@findinglela Жыл бұрын
Church location?
@HadijaSheban10 ай бұрын
wooow super good nafrahi kuskia hivyo
@ArcëlleOwandja Жыл бұрын
Asante dada yetu umetusaidia sana my❤
@HadijaSheban Жыл бұрын
karibu my love
@BlessciousRobertКүн бұрын
Asante dada mungu akubariki
@TatuSalim-g9q5 күн бұрын
Assalaam aleikum warahmatullah wabarakatuh dida...thank so much for the recipe...I tried making them they were superb Masha Allah 🥰jazakallahu kheir
@WazohilllUhasibuАй бұрын
Nimeipenda ni kazi nzurii dear napenda kupika maandazi umenifungua sana mungu akubasiki sañaa ❤❤❤
@azizakhamis705 Жыл бұрын
i just love u si mchoyo kabisa Allah azidi kubariki kazi yako❤
@HadijaSheban Жыл бұрын
Allahuma ameen shukran baby
@aishaadamu6881 Жыл бұрын
Mashaallah 💞 shukurani kwadarasa nzuri tu kiukweli nimejifunza piym
@HadijaSheban Жыл бұрын
Tabarakallah nimefurahi umejifunza kipenzi
@SalomeMwadongo3 ай бұрын
Uko sawa dada ❤❤❤🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪
@winfridakitalima65449 ай бұрын
Hongera kwa somo,njoo na pishi la kaimati
@hawamohammed152 Жыл бұрын
Mashaa Allah Tabaraka Rahman. Khadija Allah akuzidishie akufungulie milango ya kheri weye ni mwalimu na mwenye kutakia kheri kila mtu kwakweli unafundisha watu na unawapa fikra nzuri naomba Allah akufurahishe weye na kizazi chako na atuwezeshe na sisi 💖
@HadijaSheban Жыл бұрын
ALLAHUMA AMEEN KIPENZI SHUKRAN SANA Allah Bareek nimefurahi❤️❤️
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
Kwakweli wenye passion ya kupika tunakuelewa! Asantee
@HadijaSheban Жыл бұрын
Awww sante my love
@ClaraMassawe4 ай бұрын
❤nashkúru San dad nimejarib Leo nimeweza shukran
@HadijaSheban4 ай бұрын
aww karibu sana kipenz
@AishaUyoga10 ай бұрын
Honger Dada upo vzr nami umeniutia
@HadijaSheban10 ай бұрын
Asante sanaa
@ElsNMK-equeen104 ай бұрын
Napenda mandazi sana! Wakenya wowote kama! 👇
@fatumaabdallah4851 Жыл бұрын
Tandahimba mtwars Tanzania hongera mumy unaonekana una hofu ya mungu.asante kwa kutufunza mapishi mungu akuzidishie.
@HadijaSheban10 ай бұрын
Karibu sana kipenzi
@winnieedson46318 ай бұрын
Woooh so sweet yummy yummy
@MMB-kb7kd Жыл бұрын
Allah akupe umri yenye kheri na barka tele shukran kwa vipimo
@HadijaSheban Жыл бұрын
Alalhuma ameen my love karibu sana
@NyagisEnock Жыл бұрын
Nimekukubali❤❤❤
@fatmaathumani75693 ай бұрын
Asante sana mandazi yako mazur sana ❤❤❤❤
@AgnesNandako4 ай бұрын
Asante i watched and cooked rit away its yummy am going t teach my daughter during holidays apate pesa ya shopping
@theresiadeusdedith49575 ай бұрын
Shukrani sana kwa recipe now napika maandazi vinzuri mnooo namatamu sana pia nafanya biashara napata riziki Mungu akubaliki mnooo 🥰🥰🥰❤❤❤❤❤
@HadijaSheban4 ай бұрын
Ameen my dadaa endelea kupambana na nafurahi kuskia ivyo❤️
@theresiadeusdedith49574 ай бұрын
❤❤❤❤❤🙏🙏
@wangunyagah8897 Жыл бұрын
Waaarrr....hata sijui nisemeje... I cooked these mandazis... the least I can say....tamu tamu sana. Thank you Hadija!
@HadijaSheban Жыл бұрын
MashaaAllah most Welcome my love
@faithnkirote2413 Жыл бұрын
Thank you.👌👌. Pia tuelezee aina za spices na kazi zake. Shukrani.
@HadijaSheban Жыл бұрын
Okey soon love
@AhmedSaid-wc7fv Жыл бұрын
Mashaallah unajitahidi sana leo nataka nipike then nitakupa mrejesho kama nimekosea unisahihishe
@HadijaSheban Жыл бұрын
Nasubiri kipenzi na hongera sana
@janethmakindi27845 ай бұрын
Thank you my boo...nilipika yalikua maataamu
@HadijaSheban4 ай бұрын
hongera sana
@elizabethrafael8508 Жыл бұрын
Thanks my dada am watching this video from Tanzania might GOD bless you
@HadijaSheban Жыл бұрын
Aww asante na karibu sana babes
@marygeorge5966 Жыл бұрын
Nashukuru dada Dijah kupitia video yako nimejifunza na nimepika maandaz matamu sna kwa mara ya Kwanza yametoka vzr sana....much love kwako ubarikiwe sana sana ❤
@HadijaSheban Жыл бұрын
Ameen my love asante sana
@rozinawilly2184 Жыл бұрын
Maziwa ya unga ndio gani?
@rozinawilly2184 Жыл бұрын
Kama ni unga kilo mbili sukari na baking na hiyo mafuta unapima kiasi gani
@valentinechenane1160 Жыл бұрын
I watched this video and did the same. The results were amazing Hadija. May God bless you abundantly. I am in love with your recipe.
@MarryChals Жыл бұрын
Wooh ni matam sn i dd it thanks darling ❤
@LizzybethOmari7 ай бұрын
Nashukuru sana dada angu nimejifunzaa
@HadijaSheban6 ай бұрын
karibu sana
@SiliviaSalvatory2 ай бұрын
Asante kuna kitu nimepata❤❤
@HadijaSheban2 ай бұрын
Karibu sana
@ornellamwaju4823 Жыл бұрын
Asante dada Wangu maandazi matamu ❤❤❤
@HadijaSheban Жыл бұрын
Karibu sana love
@halmarichard1541 Жыл бұрын
Uko vizur sana❤
@salmasasha Жыл бұрын
Mashaallah dada,, hii pia ntajaribu mwalimu wangu, nilipika half cake zilipendwa na familia yangu sana. Allah akujalie kheri zaidi
@HadijaSheban Жыл бұрын
Allahuma ameen shukran sana kipenzi kwa sote
@mwanamisi28511 ай бұрын
Mashaallha mungu akujalie kipenzi napenda sana mapishi jazakkaallha kheri unipe link daa sawa
@salmasasha8 ай бұрын
Dada guess what😂😂nmepika leo hii na mandazi yangu yako perfect🎉🎉🎉 Shukran kwa elimu Allah akuzidishie zaidi❤much love from me
@zahraalamawi5511 Жыл бұрын
Masha Allah shokran habibty
@HadijaSheban Жыл бұрын
Afwan darling
@AbigaeliSeleman10 ай бұрын
Maji moto au baridi
@LilianRichard-c8g Жыл бұрын
Woow! Inaonekana tamu😋😋😋😋😋😋😋
@HadijaSheban Жыл бұрын
Tam sana na laini
@jannethcharles9658 Жыл бұрын
Eee unachapia alafu una lekebisa fasta😂❤❤❤❤❤❤
@JanethAssenga-nk6bq8 ай бұрын
Asante nimejifunza my dear
@ErikaBonifance Жыл бұрын
Asantee! Sana nimependa, from Tanzania
@HadijaSheban Жыл бұрын
Aww much love my Family❤️❤️
@HalimaHillow6 ай бұрын
Asalam aleykum dada Masha Allah asante nime jaribu imetoka vizuri sana
@roseberryhamoud6542 Жыл бұрын
Unaongea kwa haraka haraka sana. Asante kwa kutufundisha.
@HadijaSheban Жыл бұрын
Karibu sana
@MachoMkucha-rl2gv Жыл бұрын
❤❤❤❤nifundishe wa mie
@HadijaSheban Жыл бұрын
kila kitu nimetaja hapo❤️
@سيوابورندي9 ай бұрын
Shukurani🇧🇮🇧🇮
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
Umenifurahisha sana unavyohimiza tuanze biashara! Nami nipo mbioni kuanza
@HadijaSheban Жыл бұрын
Eeeh biashara zina umuhimu sana kwa wanawake all the best
@AnordSamson11 ай бұрын
Andaz nzur dda
@HadijaSheban10 ай бұрын
na tam sana
@MariaNchembele3 ай бұрын
Nimependa dada asante
@deborakabonga166310 ай бұрын
Jambo hongera kwasomo lamandazi
@HadijaSheban10 ай бұрын
Asante sana
@MagrethNgairo10 ай бұрын
nimeionaip viriniponjombe
@MagrethNgairo10 ай бұрын
@@HadijaSheban❤
@VivianMuziki Жыл бұрын
Nimeipenda from Tanzania ❤
@HadijaSheban Жыл бұрын
Asante sana kipenzi
@CatherineThadey-me8fl5 ай бұрын
Nimeweza jamani asante kwa maelelezo yaliyonyooka dada
@HadijaSheban4 ай бұрын
Karibu kipenzi changu❤️
@GloryMassawe-ht1di Жыл бұрын
Unaumusha Kwa mda Gani my dear
@HadijaSheban Жыл бұрын
Nimeelezea kipenzi kwenye video kuumua hakuna muda hua yatagemea uko wapi
@RehemaKisesa-vw9ol Жыл бұрын
Leo nimepika wameyapenda Sana asante
@HadijaSheban Жыл бұрын
Nimefurahi love
@MatayoWalioba9 күн бұрын
Maji ya.barid
@RebeccaWeke Жыл бұрын
Bwana ananipenda juu yako
@HadijaSheban Жыл бұрын
Awww abarikiwe sana kipenzi
@fatmahmueni1974 Жыл бұрын
Nakushukuru sana umenisaidia..❤
@HadijaSheban Жыл бұрын
Asante na karibu love
@AsdAsd-ly7fd6 ай бұрын
So amazing dr and l am watching from Kenya ❤😊
@HadijaSheban6 ай бұрын
Thanks for watching ❤️❤️
@AgnessMsacky8 ай бұрын
Umepika vizuri maandazi nitapika na mimi
@ameria2332 Жыл бұрын
Asante dada mzuri.
@HadijaSheban Жыл бұрын
karibus ana
@ameria2332 Жыл бұрын
@@HadijaSheban Amen ubarikiwe mno.
@jescarlyimo3595 Жыл бұрын
Upo vizuri mashalaaaa
@HadijaSheban Жыл бұрын
Asante kipenzi
@zulfaibrahim1929 Жыл бұрын
Mie napika lakini natiya mayai yanatoka vizuri Mashaallah 😊
@HadijaSheban Жыл бұрын
Nitajaribu asante love
@AshaOmar-q2e6 ай бұрын
Masha Allah bless you mummy Allah akubariki
@HadijaSheban4 ай бұрын
Ameen sante
@deborahomary67055 ай бұрын
😅😅😅 nmepatia dadaangu mungu akulinde
@HadijaSheban4 ай бұрын
Ameen baby
@EdagraceEdison6 ай бұрын
Asante nimejifunza
@HadijaSheban6 ай бұрын
karibu sana
@Nizigamaaline-w7x Жыл бұрын
Jamani unapika vizuri
@HadijaSheban Жыл бұрын
Asante sana♥️♥️
@rukiananzala7946 Жыл бұрын
Wow mashallah upishi mbora huo nimeupenda San
@HadijaSheban Жыл бұрын
Asante kipenzi
@JudieGabriel Жыл бұрын
Da dida ur the best yan nimepika vrz Sanaa🎉
@HadijaSheban Жыл бұрын
Aww asante sana kipenzi
@johnanaclet9203 Жыл бұрын
Hongera na Asante sana
@HadijaSheban10 ай бұрын
karibu sana
@khadijahamid3084 Жыл бұрын
I ❤️❤️❤️aki. Shukran 4 this
@HadijaSheban Жыл бұрын
Most Welcome sis
@YeseKachele-lq3jv Жыл бұрын
Kama sehemu ulilo hakuna viungo kama poda unafanyaje
@rehemakatundu7027 Жыл бұрын
Nimejifunza
@HadijaSheban Жыл бұрын
Nafurahi kuskia hivyo
@salmafaraj3839 Жыл бұрын
Masha Allah nice receipe nitajaribu na mm
@HadijaSheban Жыл бұрын
Shukran all the best
@hawaa341 Жыл бұрын
Unajua sana my
@HadijaSheban Жыл бұрын
Asante kipenzi
@irenemagwizi6496 Жыл бұрын
Asanteee.nina swali nusu ya ngano inatakiwa itoe mandazi mangapi kwa bei ya 100 Tanzania
@HadijaSheban10 ай бұрын
kwa hapi siezi kudanganya
@Ukhtyzuhura Жыл бұрын
Ma Shaa Allah Nimekupenda bure uko charming na Una fanya jokes as same time ..yaani mara yangu ya Kwanza kukutana na video yako hii Asante Kwa kushare Mimi napenda tu kupika Kwa ajili ya family yangu naishi UK Northampton Kwetu wapishi ni wengi Wazanzibari na wanapika balaa Kwa hivyo.. Hata kuwapikia familia Ni Jambo jema Nimependa video yako Sana My dear be blessed
@HadijaSheban Жыл бұрын
Awww tabarakallah my love shukran sana na nimefurahi kwa ujumbe wako mzurii sanaa😘😘 Allahuma ameen mumgu akubariki na ww pia😘
@AyishaOman-cw4xs2 ай бұрын
❤❤❤❤asante
@BahatiKadenge-n5r10 ай бұрын
So pretty 💕💕💕💕
@HadijaSheban10 ай бұрын
Thank you! Cheers!
@mommajj Жыл бұрын
From Iringa Tanzania.. Nakupenda
@HadijaSheban Жыл бұрын
Asante nakupenda pia love
@HadijaSheban Жыл бұрын
My people❤️❤️
@ziadakassim2184 Жыл бұрын
MashaAllah Acha Tu nilipenda si mchoyo mdogo wangu Allah azidi kukubariki
@HadijaSheban Жыл бұрын
Ameen my love shukran
@ameria2332 Жыл бұрын
Asante Dada Mzuri.
@HadijaSheban Жыл бұрын
karibu kipenzi
@ELIZABETHJOSEPH-fo3ih8 ай бұрын
Kwel nimeipenda hii KAZI na hapa nilipo nataka kuaasa pilz nisaidie mamba yako Kwa mahali nataka kuanza iko bzy Sana so inafaa nipike meng
@NadyaKheir-pb9sr Жыл бұрын
Maashaallah mungu dada💖
@HadijaSheban Жыл бұрын
Ameen asante
@MariamRwandobi7 ай бұрын
Asante kwa mafunzo dear ilakunakiyu umeongea sijakijua my maana elim nanyoo