Sema alhamdulillah yametokea bomba! Mie napenda anavyoongea na anavoelekeza, Allah Barik!
@Mapishi_TV2 ай бұрын
@@thekickblog Amiin. Asante sana
@trophywilson721113 күн бұрын
labda mpemba ndiyo lafudhi yao
@OmanAl-s9l2 ай бұрын
Mashaalah yametoka na rangi nzuri
@Mapishi_TV2 ай бұрын
@@OmanAl-s9l Asante sana
@ednanzambi5146Ай бұрын
Woow, mpishi hodari🎉🎉👏👏
@Mapishi_TVАй бұрын
Asante🙏
@roselyneogallo492519 күн бұрын
Kazi nzuri sana
@AfricanLady8894 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nimepika maandazi na nimefurahia maelekezo, asante sanaaa ❤
@Mapishi_TV4 ай бұрын
@@AfricanLady889 Nafurahi kusikia hivyo. Aaante sana
@AnnAtieno-l3iАй бұрын
Wow nizaribu iko poa sana asate sana
@Mapishi_TVАй бұрын
Asante sana
@MaryamSimai-b9f10 күн бұрын
Nayapenda haya
@DorothyKabwe-nx3om2 ай бұрын
Wow nzuri sana Asante ❤❤❤🎉
@Mapishi_TV2 ай бұрын
@@DorothyKabwe-nx3om Shukrani
@prosistamatesha72653 ай бұрын
Asante Dada kwa darasa nilikua natamani sana kujua iyo dizain
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@prosistamatesha7265 shukrani sana
@ZakatyMapeza-eb5bgАй бұрын
Masha Allah 👌
@Mapishi_TVАй бұрын
🤲🤲❤️
@Calvin_MarlickАй бұрын
maandazi mazuri hongera
@Mapishi_TVАй бұрын
Asante
@kuschprince3216Ай бұрын
Kama mpwani wa Kenya, hii ndio njia sahihi tujuayo wala sio vile watu wa bara wanavyo timba ati wanajua kupika mahamri/ maandazi! Hii ni "Swahili culture" Wataigiza lakini hawatoboi! Merry Christmass mwana! Karibu Mombasani!
@GraceKibelenge8 күн бұрын
Mmmm loho mbaya@@kuschprince3216
@SiliviaSalvatory3 ай бұрын
Asante Kesho namimi napika❤❤
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@SiliviaSalvatory Shukrani🙏
@umsoud3306Ай бұрын
Maturi ماشاءالله تبارك الرحمن
@swafiyahassan74052 ай бұрын
MASHAALLAH VERY NICE SIS
@Mapishi_TV2 ай бұрын
Asante sana🙏
@Nancy-b1l2 ай бұрын
Tamu sana❤
@trophywilson721113 күн бұрын
yanasaidia maandazi kuwa laini ndani na kuchambuka❤
@SuhailaMohammed-t2o3 ай бұрын
Shukran Sana kesho lazima niingie jikoni kuyapika maana Kila nikipika hayatoki vizuri
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@SuhailaMohammed-t2o karibu sana na kila la kheri ukipika
@hannahthuo2623Ай бұрын
Je unaweza weka flavour yeyote
@Mapishi_TVАй бұрын
@@hannahthuo2623 unaweza
@LehemaAbdala-q8f3 ай бұрын
Wahoo yako vzr
@Mapishi_TV3 ай бұрын
Maashallah, asante🙏
@ZuwenaAdimAdem3 ай бұрын
Mazuri. ❤
@Mapishi_TV3 ай бұрын
Asante
@fatmazullu49332 ай бұрын
Unapika kama mimi mashallah
@Mapishi_TV2 ай бұрын
Asante sana pacha wangu wa mapishi
@Sarinekhamis2 ай бұрын
😂
@firdaus742818 күн бұрын
MashaAllah 🥰🥰🥰
@rosemuhazi95422 ай бұрын
Mashalaa
@NasraIbrahim-dw1hr3 ай бұрын
Hongera sana
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@NasraIbrahim-dw1hr Asante🙏
@SafinieliAbrahamu14 күн бұрын
Yummy 😘
@monicamanasseh43952 ай бұрын
Hongera mwanangu
@Mapishi_TVАй бұрын
@@monicamanasseh4395 Asante sana mama yangu🙏
@FatumaKulolaАй бұрын
Yammyyy na mbaazi💕💕💕💕💕💕😋😋😋😋
@hamidahamdun36464 ай бұрын
Shukran sister, Allah ibarik.
@Mapishi_TV4 ай бұрын
Amiin, Allahuma amiin🤲
@SeraAndrew-x5v28 күн бұрын
Mafuta ya moto yanasaidia maandazi kuchambuka na kuwa laini sana
@pmgpmg77172 ай бұрын
Huyo WA maadazi Tisa NI team maadazi original
@Mapishi_TV2 ай бұрын
😂😂😂katisha sana
@SamiaRajab-f2bАй бұрын
Jaman mcio jua hamira inacaidia andazi liumke
@roselyneogallo492519 күн бұрын
Nimependa mandazi hii
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Mara ya kwanza naona mandazi hupikwa kwa maji . Kule Zanzibar wengi wanatumia nazi (tuwi la nazi) baada ya maji. Wache na sisi tujaribu kwa maji 😋 Asante.
@Mapishi_TV2 ай бұрын
Maandazi unaweza kupika ya nazi, maji au maziwa. Mimi huwa natumia chochote kati ya hivyo. Kama sina tui natumia maji au maziwa. Kwetu Bara tunatumia vyote inategemea ulichonacho. Hadi maziwa ya unga tunapikia. Karibu sana.
@awatifalghanim11062 ай бұрын
@ 👍
@KijakaziRajabu2 ай бұрын
Mafuta au siagi ni badala ya nazi. Ila ladha ya Nazi haitakuwapo
@KijakaziRajabu2 ай бұрын
Mashallah
@batulimabewa695319 күн бұрын
@@KijakaziRajabu Andazi la nazi balaa
@dorcaslundumen43702 ай бұрын
Thanks
@rahmahasan324 ай бұрын
Masha Allah
@Mapishi_TV4 ай бұрын
🙏🙏
@meowzna4 ай бұрын
Yummy,😋😋👍
@Mapishi_TV4 ай бұрын
Thank you 🙏🙏
@LilianNekesa-o8i5 ай бұрын
Wow
@GraceKibelenge8 күн бұрын
Dada ww umefanya nianze kufanya biashala hii asante
@Mapishi_TV6 күн бұрын
@@GraceKibelenge maashallah ubarikiwe kwenye biashara yako
@GraceKibelengeКүн бұрын
@@Mapishi_TV amen
@JescahGodfrayАй бұрын
Baki powder mbon huweki au sijaon vzr
@Mapishi_TVАй бұрын
Maandazi ya Kiswahili hayapikwi na baking powder.
@mondestonyinge39606 ай бұрын
Nakuambia mimi hapa nakula kwa macho tu dada asante kwa recipe yako
@Mapishi_TV6 ай бұрын
😀😀 asante sana 🙏. Angalau umekula kwa macho😀
@triphoniajohn66373 ай бұрын
@@Mapishi_TV3:21
@samoocoolingsystem934 ай бұрын
Yaa hadikumullah wayuswilihu aimalakum 4:40
@samoocoolingsystem934 ай бұрын
Amira kwa kizungu inaitwaje nataka nipike na mimi nimepata hiriki bado hiyo amira
@ayshaquin59823 ай бұрын
Yeast @@samoocoolingsystem93
@mai-cooks3 ай бұрын
Hamira ni yeast@@samoocoolingsystem93
@mai-cooksАй бұрын
Hamira ni yeast@@samoocoolingsystem93
@reenyaysher7639Ай бұрын
Yanaihitaji banking powder kazi yake kuzuia ndani yasiwe na hewa
@Mapishi_TVАй бұрын
Hapana, Maandazi ya Kiswahili ya asili hayapikwi na baking powder. Siku hizi ndo ukitaka unaweza. Hewa ndani ni matokeo ya vile unavosukuma. Ikiwa flat sana ndo yanakuwa kama maputo lakini kama ukikata manene yakuwa na nyama bila hewa.
@tillythuku10002 ай бұрын
Hiyo nayo mmmmh. Nakula kwa macho. Lugah ya kiswahili nayo...safi sana Pengine unaweza weka English captions ndiyo ifikie audience wengi
@Mapishi_TV2 ай бұрын
Asante nitajaribu kuweka English captions.
@tillythuku10002 ай бұрын
@@Mapishi_TV I'm your follower now nilazima nitajua kupika hiyo madazi na kile kingine nitasoma kutoka kwako❤️
@fatihiyadossa3756 ай бұрын
Mashallah
@Mapishi_TV6 ай бұрын
@@fatihiyadossa375 shukrani sana🙏
@joycemitinje7358Ай бұрын
Mafuta ya moto yalainisha maandazi na ladha inakuwa nzuri
@Mapishi_TVАй бұрын
Kabisa👍
@priscammbaga992022 күн бұрын
Unga kiasi gani
@Mapishi_TV18 күн бұрын
@@priscammbaga9920 soma maelezo kwenye description box. Vipimo vyote vimeandika huko
@MariamuAli-z4z3 ай бұрын
mashaallah
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@MariamuAli-z4z 🙏🙏
@keyla36415 ай бұрын
Mashaallh
@Mapishi_TV5 ай бұрын
🙏🙏🙏
@tumainiyohana697927 күн бұрын
Na Mimi na jalibu
@koyietjacque220615 күн бұрын
What is elikki in English
@Mapishi_TV14 күн бұрын
@@koyietjacque2206 hiliki is cardamon
@UniceYamalaGondweАй бұрын
Hie to
@catherineshehondo97343 ай бұрын
Jaman mm napika maandaz yanakua kama jojo nakosea wapi
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@catherineshehondo9734 pole sana. Jaribu kufuata hii recipe kama ilivyo. Angelia video hadi mwisho kisha ujaribu kupika. Halafu nipe matokeo. Utafanikiwa tu kupika ni majaribio ya mara kwa mara.
@catherineshehondo97343 ай бұрын
@@Mapishi_TV napika ya kuuza wateja wanalalamika yanajivuta sana na sielewi napokosea nitafatilia tena then nifanye
@catherineshehondo97343 ай бұрын
Na pia naomba unielekeze vipimo sahihi unga kg 1na nusu nawekaje huenda labda katika vipimo nakosea
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@catherineshehondo9734 weka hamira vijiko vikubwa 3. Mafuta ya moto vijiko vikubwa 6. Sukari kikombe kimoja na nusu cha kupimia. Chumvi robotatu ya kijiko kikubwa. Siagi vijiko 3 vikibwa. Hiliki ya unga au kuponda kijiko kidogo 1. Unga kanda kama video hii inavyoonyesha. Maji vuguvugu tia kidogokidogo wakati wa kukanda hadi yatakapotosha. Siagi utie dakika nne baada ya kuanza kukanda unga wako. Usitie mwanzoni. Mwanzoni anza na mafuta ya moto na pekecha unga kwa mikono kama kwenye video.
@ReginaAnju-xg3kz2 ай бұрын
Km mim tu yn cjui nafeli wap
@alphaisdory174726 күн бұрын
Mafuta ya moto yanasaidia andazi kujichambua
@princesskalomo12 күн бұрын
Yanaumuk kwa dakika ngap
@Mapishi_TV12 күн бұрын
@@princesskalomo inategemea na hali ya hewa ya ulipo. Kuanzia saa moja
@PricillaKagiriАй бұрын
But you put yeast
@Mapishi_TVАй бұрын
Yes, I have used yeast (hamira in Swahili)
@azizayousuph66172 ай бұрын
Me maandazi sina hamu nayo nimejifunzaa mpaka nimechoka lakn kila nikipika hayatoki vizr
@Mapishi_TV2 ай бұрын
@@azizayousuph6617 ooh pole mpwndwa. Usikate tamaa. Umejaribu hii recipe?
@m_lena2 ай бұрын
mafuta ya moto na maji/maziwa yanasaidia amira iumuke
@LUCYBONIPHACE-w6s3 ай бұрын
Naombeni na mie mnipe iyo clip
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@LUCYBONIPHACE-w6s Clip gani? Kama unamaanisha hii video ya Maandazi unaweza kuitazama hapahapa KZbin.
@LUCYBONIPHACE-w6s3 ай бұрын
@@Mapishi_TV unitumie na kama unazo clip za kutengeneza skonzi naomba pia nijifunze mana kuna ela taipata muda si mrefu nianze biashara
@ZeinabNzoya4 ай бұрын
Yang hua yananyonya mafuta wakat wa kuchoma sjui shid n nn
@Mapishi_TV4 ай бұрын
Donge usifanye laini sana. Likiwa tepetepe hata kidogo linakunywa mafuta. Pia wakati wa kuchoma mafuta yapate moto vizuri. Yasiwe ya moto kupitiliza lakini yasiwe baridi. Labda hayo yanaweza kukusaidia 🙏
@FatumaShee-x5x4 ай бұрын
Unatia mafuta mengi wakati wa kukanda
@nicechelesi749816 күн бұрын
Ametumia maji ya moto au baridi
@Mapishi_TV16 күн бұрын
Vuguvugu
@germamassawe69682 ай бұрын
Lazima kuweka siagi kama mtu hatumii je?
@Mapishi_TV2 ай бұрын
Usiweke
@JacklineImbwaga4 күн бұрын
Hamira yaitwaje kwa english
@Mapishi_TV2 күн бұрын
@@JacklineImbwaga yeast
@ShadyaShady2 күн бұрын
Mafuta ya moto yanafanya maandazi kuwa laini
@aminamakarani84253 ай бұрын
Hicho kijiti kinakazi gani nami nielekeze,maana Mara nyingi najikuta naweka andazi linazama
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@aminamakarani8425 kijiti miye binafsi huwa naona kinanipa urahisi kuyageuza hasa mawanzoni ninapoyatia kwenye mafuta. Lakini unaweza kutumia chochote ambacho kwako ni rahisi kugeuzia Maandazi.
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@aminamakarani8425 pia andazi kuzama itakuwa labda ni zito sana au halijaumuka vizuri. Mara nyingi andazi likiumuka kabla ya kulichoma linaelea juu kama puto huwa halizami.
@DoreenNoel-x1x2 ай бұрын
Mafuta yanapashwa ili ku activate hamira
@irontv60782 ай бұрын
KWENYE KILO MBIL NAWEKA AMILA KIASI GAN NA BAKING POWDER
@Mapishi_TV2 ай бұрын
Hamira vijiko vikibwa 3. Usiweke baking powder
@AminaGulawite2 ай бұрын
Maji unaeka ya moto au baridi?
@Mapishi_TV2 ай бұрын
Ya uvuguvugu
@AsteriaMussa2 ай бұрын
Vipi nikitumia ya bombani tu@@Mapishi_TV
@naturelle109717 күн бұрын
Hizo glavzi zapatikana wapii?
@Mapishi_TV16 күн бұрын
Nimenunua supermarket mtaani kwetu
@milkaphilipo39424 ай бұрын
Waooo
@JaneOgada-jm9hm2 ай бұрын
What is hamira
@Mapishi_TV2 ай бұрын
Yeast
@apocalypsematrix92524 ай бұрын
MCHEKETO YOUMIII
@Wfidelis4 ай бұрын
What is hiriki Please
@Mapishi_TV4 ай бұрын
@@Wfidelis Hiliki is cardamon.
@AishaManirakiza3 ай бұрын
Hiliki is cardamom
@Wfidelis3 ай бұрын
@@AishaManirakiza thank you
@joycewanyoike442Ай бұрын
Hiyo ni self raising flour umetumia
@Mapishi_TVАй бұрын
@joycewanyoike442 hapana. Nimetumia all purpose flour.
@naturelle109717 күн бұрын
I prefer to use self raising
@LinahPaul-c7nАй бұрын
Na kwenye chapati mafuta ya moto yana saidia nini
@Mapishi_TVАй бұрын
Chapati kuwa laini
@rayaalkhayfy20264 ай бұрын
Asalam Aleikum sister nataka kujuwa kwanini umetia mafuta ya moto katika unga kabla hujauponda?
@Mapishi_TV4 ай бұрын
@@rayaalkhayfy2026 Waalaykum salaam warahmatullah. Wazee walotufunza wanasema inasaidia kufanya maandazi yawe laini kama sponji. Hata chapati pia tunafanya hivyo kabla ya kuponda.
@rayaalkhayfy20264 ай бұрын
Shukran habibty ❤️❤️❤️
@cutenaa69843 ай бұрын
@@Mapishi_TV❤
@Yustaluwi2 ай бұрын
Mapishi.yatambi
@AminaJuma-w3w2 ай бұрын
Nimeipenda unaweza kuniandikia kwa maneno natakakujifunza mapishi yako
@Mapishi_TV2 ай бұрын
Ndugu yangu hiyo video na maelezo yake ndo mafunzo yenyewe. Unaweza kukuchua karatasi ukaandika yanayosemwa kwenye video mwanzo hadi mwisho. Uzuri unaweza kuisimamisha video au kurudi nyuma kama hujaelewa vizuri. Vipimo vimeandikwa kwenye kisanduku cha maelezo (description box). Ukibonyeza kichwa cha habari unapelekwa kwenye hiyo sehemu ya maelezo. Shukrani
@joycekalago532Ай бұрын
Hamira huwa nailoweka kwenye maji mim
@Mapishi_TVАй бұрын
Ni vizuri pia
@askhim2025Ай бұрын
80g of sugar...nah uh!😢
@Mapishi_TVАй бұрын
It's a choice. You can measure your desired amount.
@@FloraMeshack Maandazi ya Kiswahili orijino hayawekwi baking powder. Ni mapishi ya sasa ndo wanaweka. Maandazi ya Kiswahili yanawekwa hamira tu bila baking powder. Half keki ndo unatumia baking powder.
@FloraMeshack15 күн бұрын
@Mapishi_TV sawa ahsante
@EvasterRukundoАй бұрын
Nikipka maandazi yanakuwa na ngozi ngumu ndani mabichi
@Mapishi_TVАй бұрын
Jaribu hii recipe labda utafanikiwa
@EtoMusangwa-h7p26 күн бұрын
Hiliki ninini
@Mapishi_TV26 күн бұрын
Cardamon
@naturelle109717 күн бұрын
Iliki not hiliki
@lestherusitukanesanasomaam13393 ай бұрын
Asante Rafiki je nikifanya biaahara ni tshs ngapi
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@lestherusitukanesanasomaam1339 sipo Tanzania hivyo sijui wanauza shilingi ngapi kwa sasa. Ulizia mitaani huko.
@Rigini-x356 ай бұрын
Samahani nina swali kuweka siyagi na lazimika kuweka siyagi au?
@Mapishi_TV6 ай бұрын
Siagi inafanya yawe laini zaidi, lakini si lazima kuweka. Unaweza kuiacha
@ISACKFREDINAND3 ай бұрын
Natamani kujua
@Mapishi_TV3 ай бұрын
@@ISACKFREDINAND mafunzo ndo hayo. Fuata maelekezo kwenye video utajua.