Maarifa ft Mashabiki - Meneja { Official Music Video }

  Рет қаралды 100,368

Maarifa

Maarifa

Күн бұрын

Пікірлер: 870
@vancy_crazy
@vancy_crazy 3 ай бұрын
Kama na wewe umeirudia hii ngoma Zaid ya Mara moja gonga like hapa
@kibanga7906
@kibanga7906 3 ай бұрын
💥
@bobolino1951
@bobolino1951 2 ай бұрын
mimi sijairudia
@kassimsadiki7894
@kassimsadiki7894 3 ай бұрын
Watu wanalia na meneja kitambaa cha sanda watu wameshona sale ya harusi🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Mk.junior-r2o
@Mk.junior-r2o 3 ай бұрын
Hukurupuki kutoa Kaz zako kwa utakaa muda mrefu na mziki wako mzur mapanch yakutosha verse zimetulia sio mitusi utakua wa kuishi muda mrefu mungu atupe tu maisha marefu
@kibanga7906
@kibanga7906 3 ай бұрын
💥
@youngseeker-me6yk
@youngseeker-me6yk 3 ай бұрын
kwenye tusi ujaskia kukalia___!
@mkulungwa4890
@mkulungwa4890 3 ай бұрын
@@youngseeker-me6ykKUKALIA NI TUSI…!!?
@mparemmoja5430
@mparemmoja5430 3 ай бұрын
Kwa Mara ya kwanza msanii alietupa samani mashabiki kwa kutushirikisha kwenye ngoma hi
@carlososama1858
@carlososama1858 2 ай бұрын
Mi na meneja wngu sote tunatafuta meneja,,,,,,😢😢😢
@makulaextra5084
@makulaextra5084 3 ай бұрын
Jamn nimekuwa wa kwanza like zangu
@alfredmarydemakaya7514
@alfredmarydemakaya7514 3 ай бұрын
Na darasani ulikuwa wa kwanza? 😂
@makulaextra5084
@makulaextra5084 3 ай бұрын
Tanzania one ​@@alfredmarydemakaya7514
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 3 ай бұрын
Pole sn
@mkulungwa4890
@mkulungwa4890 3 ай бұрын
🔥
@kelvinpaul2808
@kelvinpaul2808 3 ай бұрын
Kwenye list yangu ukiniulz nitaje rapper bora wanaofanya vizr kwa hizi zama ni Dizasta pamoja na Maarifa Majina yao na kazi zao ziko very perfect
@CreatureIey-eh8nh
@CreatureIey-eh8nh 3 ай бұрын
Kbsaaa dizasta ni moto
@kibanga7906
@kibanga7906 3 ай бұрын
💥
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 3 ай бұрын
Don't u know Conboi Canabino???
@dinosaurtz2597
@dinosaurtz2597 3 ай бұрын
Naona kama inachelewa babek na nipo on time 😢 20:15 🔥🙌🏾
@amosizeOg
@amosizeOg 3 ай бұрын
We're turned for Hold manager, wasanii hawana shkran kabsaaa😂
@luckyboy_ke
@luckyboy_ke 3 ай бұрын
MTOTO WA BABA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌
@amosizeOg
@amosizeOg 3 ай бұрын
Oya weeee hii Pini sana mwanetu kauaaaaa anastahili KESI ya mauaji mahakama kuu
@kibanga7906
@kibanga7906 3 ай бұрын
💥
@Don_abujay
@Don_abujay 3 ай бұрын
Umeuwa mwanangu goma limeenda hili
@saidikajanja885
@saidikajanja885 3 ай бұрын
Tulio play zaid ya Mara moja tujuanee, ngoma kaliiiii,,
@kibanga7906
@kibanga7906 3 ай бұрын
💥
@laxmajor
@laxmajor 3 ай бұрын
Kqza my marifaa dunia wa takujuwa tu one day 🖤
@ronnynike2689
@ronnynike2689 3 ай бұрын
Ila hyo mzee wa mafund wanapenda ugali anaitwa nan ananichkesha sana
@ArashiJeshi
@ArashiJeshi 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 watu mauwaaaa kwa hii it nomaaaaaaa
@SteveWamichano-pk3mv
@SteveWamichano-pk3mv 3 ай бұрын
Maarifa kuanzia Leo nakueshim
@AlterOg-p2v
@AlterOg-p2v 3 ай бұрын
Noma sanaa hit hii🤩🤩🤩
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 2 ай бұрын
Hii ilibidi ikae #ontrending #tellaaxistz
@bakarially253
@bakarially253 3 ай бұрын
Hapa kuna shida kubwa sana na madee huyo Dogo ni Tanzania no 1 kwa vijana wa Rappers lakini madee sijui anashida gani😊
@mkulungwa4890
@mkulungwa4890 3 ай бұрын
🔥
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 3 ай бұрын
Kwaio huyu n no 1 yan huyu n zaidi ya Conboi na Dizasta au sio?😀
@YacobThiago-x3h
@YacobThiago-x3h 3 ай бұрын
Nikweli kakaa unapitia hizi changamoto au umeimba 2
@lonidoboymnyama6763
@lonidoboymnyama6763 3 ай бұрын
Nimeludia malanyingi kusikiliza kali sana
@Ramjane_OG
@Ramjane_OG 3 ай бұрын
hongera sana mtot wa baba
@KarisaJumakarisa-ee5lk
@KarisaJumakarisa-ee5lk 3 ай бұрын
Big maarifa nakukubali sana from 254
@yustinkivamba4721
@yustinkivamba4721 3 ай бұрын
Wote tunatafuta menej😱😱😭😭😭☑️ inaumiza sana mwamba anamengi ,, ila tunataka atufurahishe anaye mshikia magongo atembee yeye kahama na magongo hajali😱😱
@mkulungwa4890
@mkulungwa4890 3 ай бұрын
SANA
@Mk.junior-r2o
@Mk.junior-r2o 3 ай бұрын
Nakubal brother
@temboFashion
@temboFashion 3 ай бұрын
Taitwa tembo hii ngoma nom na nusu
@MuhalamiRibata
@MuhalamiRibata 3 ай бұрын
Kifochetu ni furaha kwawauza majeneza
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 ай бұрын
SNS ime7bisha nafika apa ngoma moja matata sana nakumbuka bongo fleva alisi
@HarounYange
@HarounYange 3 ай бұрын
mi sijafunzwa kukuelekeza ila kifo chetu ndo furaha ya wauza majeneza🔥🔥🔥🔥 big thinker
@Msela-bi_tozzy.
@Msela-bi_tozzy. 3 ай бұрын
Mnataka nitoke mnasaha kilicho mkuta janja💥💥💥 mnasahau kilicho mkuta Gaza 💥💥
@kibanga7906
@kibanga7906 3 ай бұрын
💥
@Msela-bi_tozzy.
@Msela-bi_tozzy. 3 ай бұрын
​@@kibanga7906saaana mzeee
@mkulungwa4890
@mkulungwa4890 3 ай бұрын
🔥
@digala7088
@digala7088 3 ай бұрын
Noma Nuksi Balaaa
@ErickMsuya-d8f
@ErickMsuya-d8f 3 ай бұрын
Maarifa king wa new generation
@poolboypoolboymanstrong8570
@poolboypoolboymanstrong8570 3 ай бұрын
Sio utAn mwambA 🎉🎉🎉
@mashairiyamachinga2379
@mashairiyamachinga2379 3 ай бұрын
Kazk kazi.... team Kibaha... @Maarifa na brother Mjaka
@allymakallo4137
@allymakallo4137 3 ай бұрын
Ooh meneja elewa bas
@Kigumi_therarebway-fn4dw
@Kigumi_therarebway-fn4dw 3 ай бұрын
nikiweka kichwa imo..usije tafuta mabega🔥🔥
@TIN_MAART
@TIN_MAART 3 ай бұрын
Ihii goma kali sana naskiliza kila mda ♥️
@ArashiJeshi
@ArashiJeshi 3 ай бұрын
Mbona😊 sichoki kusikiriza hii gomaa
@KhadijaJuma-b4l
@KhadijaJuma-b4l 3 ай бұрын
Sema mwnangu ww ni noma kama ulivo marifaa
@kibanga7906
@kibanga7906 3 ай бұрын
💥
@glatestar
@glatestar 3 ай бұрын
Sio poah mtaa wa Gaza
@bacleybaraka3247
@bacleybaraka3247 3 ай бұрын
Nani kasikiliza mara 10 hii kazi maana naona ni ya Moto sana...
@mkulungwa4890
@mkulungwa4890 3 ай бұрын
🔥
@mofaya4807
@mofaya4807 3 ай бұрын
Asa nyimbo ina dadika Mbili alfu ina coras umeimba kidogo sana cjasikia utamu
@merryvankendri4021
@merryvankendri4021 3 ай бұрын
Mwanaume unataka kusikia utamu?
@ArashiJeshi
@ArashiJeshi 3 ай бұрын
Kwel wew ni maarifa nmekubal
@ArashiJeshi
@ArashiJeshi 3 ай бұрын
🎉
@MohamedIddy-b3e
@MohamedIddy-b3e 3 ай бұрын
We jamaa ni mnoma sasa ❤
@AbasamiduBahati
@AbasamiduBahati 2 ай бұрын
Shusha ngoma mzee
@Mog04-r3o
@Mog04-r3o 2 ай бұрын
Etì mnasahau kilichomkuta gaza..dah
@MuharamMrisho
@MuharamMrisho 3 ай бұрын
Ndio maana ya maarifa umeua mdogo wangu kimya kingi kibaha finest umetisha baba
@mkulungwa4890
@mkulungwa4890 3 ай бұрын
🔥
@davidmaige2929
@davidmaige2929 3 ай бұрын
Meneja anatukosea sama mashabiki zako
@Mr.Nyingi
@Mr.Nyingi 3 ай бұрын
Hip Hop inarud mahala Pake saana Mwanetu MTOTO wa kibaha....
@mkulungwa4890
@mkulungwa4890 3 ай бұрын
🔥
@MyTechLearntz
@MyTechLearntz 3 ай бұрын
Kibaha kwa mathias 🚩🚩🚩🚩
@digala7088
@digala7088 3 ай бұрын
Kuna Wachanaji Halafu Kuna Maarifa
@Matayo-sh9xb
@Matayo-sh9xb 2 ай бұрын
Kago huyoooo kama na ww umemuona gonga like twende pamoja
@mathewkunyekwa8931
@mathewkunyekwa8931 3 ай бұрын
Huyu ndio msanii wa rap,sio young lunya
@rashidmambo1412
@rashidmambo1412 3 ай бұрын
Nakuwa nakukubali kaka
@geraldmushi4445
@geraldmushi4445 3 ай бұрын
Nikiweka kichwa imo, Msije tafuta mabega😃🔥🔥
@raindoro5201
@raindoro5201 3 ай бұрын
Kaliree
@fifty1860
@fifty1860 3 ай бұрын
meneja round hiii kazi anayo
@machichaally
@machichaally 3 ай бұрын
Idont understand what is he singing but iget one line (Nikiweka kichwa tu imo usije tafuta mabega) he is so mnoma huyu jamaa. Mwenzangu umepata line gani imekubamba.
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 2 ай бұрын
O que estraga a felicidade é o medo. From Mozambique 🇲🇿❤💞
@sappyjr4543
@sappyjr4543 3 ай бұрын
0:18 naitwaaa maaaarifa💥💥🚀
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 3 ай бұрын
Nimerudi tenaa kutazamaa mauji ya maarifa
@moleskomba2817
@moleskomba2817 3 ай бұрын
Mi na meneja wangu tunatafuta meneja😂😂🎉
@boutapacabou9180
@boutapacabou9180 3 ай бұрын
Mtoto wa baba
@allyjafari-k7u
@allyjafari-k7u 3 ай бұрын
Unafanya nione mzik mwepesi kumbe sio powa wenoma broooo🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@OmaryNgurangwa
@OmaryNgurangwa 3 ай бұрын
maarifa,ni mmoja tuu✌️✌️
@Mrboom720
@Mrboom720 3 ай бұрын
Mr Boom was here
@fabiantanzania5795
@fabiantanzania5795 3 ай бұрын
Maarifa ni boraaaaa zaidi
@saadmotto965
@saadmotto965 3 ай бұрын
Kibaha finest🙌🙌🙌
@AwardBillb000ard
@AwardBillb000ard 3 ай бұрын
😅😅 Yeye na Meneja wake wanatafuta Meneja
@ramaamuggah2203
@ramaamuggah2203 3 ай бұрын
Maarifaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa…..{Mi na Meneja Wangu Tunatafuta Meneja}😅😅
@ChizyBoy-x4b
@ChizyBoy-x4b 2 ай бұрын
No stress 😂 Nhenhe força, espero que agente chegue mais quê o atua.......(Azagaia WPG)🔥🔥
@YONARobert-d8n
@YONARobert-d8n 3 ай бұрын
Noma san unyama ni mwing brother
@KhalfanMdoe-g2f
@KhalfanMdoe-g2f 3 ай бұрын
Kibaha mkijichanganya mnakalia ndooo😂😂😂
@FocusNyari
@FocusNyari 3 ай бұрын
Maarifa ni motoooo
@legawayz6093
@legawayz6093 3 ай бұрын
real hip-hop big up "maarifa" toto la baba
@mashalanghindi4804
@mashalanghindi4804 3 ай бұрын
Sanaaaa nakbar ktambaaa chasanda wanashonea sale ya harusi😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉
@salvatorysteven9828
@salvatorysteven9828 3 ай бұрын
Mpini hushuka thamani Jembe likiwa halikati... Panchi kali sana hii Huwezi kuelewa kama huna D mbili
@DaudiMohammedi-h7p
@DaudiMohammedi-h7p 3 ай бұрын
Shida ya madeee yukoo bize na kuibetia man u anawasaau ad wasanii wake😂😂😂😂
@TIZZOBOYOFFICIAL
@TIZZOBOYOFFICIAL 3 ай бұрын
kazi kubwa nimeona post kwa sns kumbe kazi imeweza ivi
@isayachilijila463
@isayachilijila463 3 ай бұрын
Jamaa badili flows, sasaiv game imabadilika jisifie ata kidogo😅
@ZuhuraWaminani
@ZuhuraWaminani 3 ай бұрын
Nakubali sana
@immanueljackob1912
@immanueljackob1912 3 ай бұрын
jamaa namkubali sana big up broo
@justerick1074
@justerick1074 3 ай бұрын
Kumbe hii system iko
@aidingoma5040
@aidingoma5040 3 ай бұрын
Japo nimechelewa ila kaka unajua sana 💪💪💪💪
@chidymngoni4516
@chidymngoni4516 3 ай бұрын
Nimerudia zaidi ya mala100 🔥🔥🔥
@joh21official40
@joh21official40 3 ай бұрын
hili dudee la motoo sema video jau 🎉🎉🎉🎉
@Dj2nyi
@Dj2nyi 3 ай бұрын
Maarifa ni mmoja tu thus hata akae kimya nafasi yake ipo tu ikimngoja
@kadito-music
@kadito-music 3 ай бұрын
Then mm ndio manager kudadek❤
@noahchepe8036
@noahchepe8036 3 ай бұрын
Menejaaaaa😂 Ngoma imetulia sana
@WADAUcontentMEDIA
@WADAUcontentMEDIA 3 ай бұрын
KIBABEEEE 🍁🍁🍁
@gaddafi47
@gaddafi47 3 ай бұрын
Ah kak maarifa ✌️✌️👊👊 nilikua nimemiss sana kazi zako big up sana.bonge Moja la ngoma 🙌🙌🤝🤝
@VicentSimon-n4p
@VicentSimon-n4p 25 күн бұрын
ngoma Kali bro
@IsmaelGamoyo
@IsmaelGamoyo 3 ай бұрын
Mimi na meneja wangu tunatafuta meneja
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 3 ай бұрын
Kaz kijana unajua
@kajsun5918
@kajsun5918 3 ай бұрын
Sikusudii kukata mkono unaonilisha , sumu na maziwa vyote vinauzwa dukan
@DizzoOg
@DizzoOg 3 ай бұрын
Unajuwa wee unavo fanya napenda san 😂😂
@ayury88fakhy69
@ayury88fakhy69 3 ай бұрын
The long wait is over.....hatimae burdan imerejea masikioni mwetu... Flow za hatar sana....Kila mstari una mashiko....."Mpini hushuka thamani jembe likiwa halikati" Ukweli usemwe tu kuwa Maarifa ni zaidi ya maarifa yenyewe..Tisha sana bro..kazi nzuriiiiiiiiiiiiiiiii.....keep it up
@numaishimba
@numaishimba 3 ай бұрын
Noma sana kaka mm muuza ndz goba center hapa 🎉🎉🎉
@HammyVanmaarifa
@HammyVanmaarifa 3 ай бұрын
Wajina upo peke yako ktk tasnia hii keep it up bro we unajua hadi unajua tena
@dundoonlinesingeli
@dundoonlinesingeli 3 ай бұрын
nimerudia mara 2 ndoo nimeelewaaaa hapaa.sasa nimepata tafsilii ya mistariii hiii .kazi nzurii
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 76 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 88 МЛН
ЛУЧШИЙ ФОКУС + секрет! #shorts
00:12
Роман Magic
Рет қаралды 11 МЛН
2 MAGIC SECRETS @denismagicshow @roman_magic
00:32
MasomkaMagic
Рет қаралды 20 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,8 МЛН
Maarifa ft Mashabiki - Meneja { Official Music Video }REACTION
10:02
Dakika 10 Za Maangamizi - Maarifa TheBig Thinker | Planet Bongo
12:29
EastAfricaRadio
Рет қаралды 245 М.
TOXIC - SIJAOA
2:36
Toxic
Рет қаралды 256 М.
Kontawa Ft Harmonize  - Binadamu [Official Music Video]
3:59
kontawa
Рет қаралды 1,6 МЛН
RoboHaram Robari victim-side produced by Shev-shengu
2:55
Roboharam
Рет қаралды 2,8 М.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 9 МЛН
Maarifa - Sishirikishi Mtu { Official Video }
2:55
Maarifa
Рет қаралды 226 М.
Master B Shako ft Mwalimu - Kizazi kya Nyoka (Official Music Video)
5:53
MADEE AUKATAA WIMBO WA MAARIFA 'MENEJA' ADAI YEYE SIO MENEJA WAKE
15:14
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 88 МЛН