Napenda jinsi unavyounganisha bars, ideas, na content yako kiujumla. Ila naisi kama mistari ina ukweli fulani katika game yako.
@mkulungwa48902 жыл бұрын
Hiki kiumbe ni kwere
@shehakudura32432 жыл бұрын
Hhhh nadhani tumeelewana 😂😂😂😂
@lastbornwamungustory63652 жыл бұрын
back vocal madee kaua sana
@enotiofficial49632 жыл бұрын
Wimbo ya mapenzi ila mistari ni campen🙌🙌💥
@lameckmangwenje26642 жыл бұрын
Jua maudui ndio utoe comment yko
@robygeniuz2 жыл бұрын
anamzungumzia msechu
@Onguso2542 жыл бұрын
Ubunifu broo
@evaristiraiswamlalakua50612 жыл бұрын
Wimbo wataifa video Kali sanaa
@mkulungwa48902 жыл бұрын
The kid started where legends ended 🔥🔥🔥
@hasheembaadae44782 жыл бұрын
Umeuwa sana
@PatrickAngoreАй бұрын
Ngoma kali haina kulemba
@Tellaaxis4 ай бұрын
2024 night ndo nasikiliza hii kitu❤
@hussleafrica84022 жыл бұрын
Bars along bars hit em up maarifa straight outta Kenya 🇰🇪
@Heisgvoice2 жыл бұрын
Sh********tttttt maarifaa anajua bana umuu kauaa kabakisha kuzika unajua mkaliii
@mohammedbakari13642 жыл бұрын
Mistari 98%🎶 Beat 100%🎶 Video 99%📹 Yaani hapo ni A. tu hata wapinge
@WizKidkazola4 ай бұрын
Unajua xana marifa
@RAFIKIOnline96602 жыл бұрын
Ngoma alitakiwa 👑 Zilla kabisa Yan rest in peace saf boy
@KareemMadusaАй бұрын
King zizizz
@mrsalim2556 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@kibanga79062 жыл бұрын
This kid is underrated
@kelvinrmwacha26072 жыл бұрын
nimemaliza mwenyewe cjamshirikisha mtu
@PatoChinkuOfficial2 жыл бұрын
Uyo producer ni mkali💯💯🔥🚨🚔#one love from Kenya 🇰🇪
@selemanmwamwindi95072 жыл бұрын
Kibaha finest akili nyingi
@dennisizzrael11782 жыл бұрын
Bonge la vibe nakubali mwanangu ,Mungu akuongoze braza
@giddyyunky70252 жыл бұрын
🤑🤑🤑vibes on #simchirikishi mtu
@joshuamartinpryce84242 жыл бұрын
Driving a car is great for mentality it can be a time of stress or a relaxed mind. It shows success in small ways and is attractive to others. Spirituality is driving a car. A car which takes us to a good destination with many twists and turns.
@mkomaxbizzy98852 жыл бұрын
Uhakika bro
@BigDreamsWorldwide2 жыл бұрын
Maarifa sana hata usimshirikishe mtu tupo trending mbn tayari
@Osmanmwaka2 жыл бұрын
Imeweza 😘😘🌍🇰🇪 nimejoin team number
@husseingwanone78252 жыл бұрын
Noma
@sayimajota24082 жыл бұрын
Finally umefika penyewe..hip hop artist added to my play list💥💪
@teenbamazaga99732 жыл бұрын
Namaliza mwenyew😀😀😀
@stephenmpiti64162 жыл бұрын
Creativity on highest level
@afterfull-time13482 жыл бұрын
Hamomakohozi akasema madii n sawa na Taletale
@mkulungwa48902 жыл бұрын
This kid deserves all of the respect ✊
@rachealkarisa18082 жыл бұрын
Umeuwa mtoto wa bab big up xan👍💝👑nakuvixha taji mwenyew🎓📿👍
@mtanzaniamwenzangu1812 жыл бұрын
The meaning of Big thinker
@mohamedikassimu70164 ай бұрын
Oya hii ngoma ni hatar sanaa
@exaud_pamba12432 жыл бұрын
Naitwa maarifa nakukubali mzee unyama
@charlescyprian25572 жыл бұрын
Damn! The songs is fire
@jamesmaneno22815 ай бұрын
Aki ya mungu Kila siku lazima nisikile ngoja yako Moja TU watu wanakula kichwa kipo mezani ndo nyimbo yang bola na ata yakuitia iyo
@mkulungwa48902 жыл бұрын
This kid deserves all of the respect ✊🎺
@jonasjoseph66152 жыл бұрын
Oveeeeeeeeer man chiddy mtu na fikra zake
@mohamedjumbe93092 жыл бұрын
Talented boy
@hbboe18492 жыл бұрын
Yeyooo
@alexenhbclassiq50232 жыл бұрын
THE BIG THINKER 🙏🙏🙌🙌
@salumjumah56482 жыл бұрын
Mtoto baba naitwa maarifa
@mkulungwa48902 жыл бұрын
Idea Lyrics And Flow 😁😁🔥🔥🔥😁😁
@evancemlay97152 жыл бұрын
Mdogoo unajua flow kali idea kali biti kali kachupa flani 🔥🔥🔥
@kelvinminja90352 жыл бұрын
NYIMBO KALI SANA! HAIWEZI PITA WEEK 2 KWA HII TZ UTAKUTA HII NYIMBO INA REMIX MTU KASHIRIKISHWA 🚨🚨🚨
@kibanga79062 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@ShaqueeBlackrapper2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@kennymndeme51962 жыл бұрын
Kmamae hapo sasa ndo yule maarifa karudi
@40kstore2 жыл бұрын
Bonge moja la ngoma Mzee wangu.🔥🔥🔥
@hallunamajan80082 жыл бұрын
Go maarifa gooo
@Msomi_2 жыл бұрын
On trending🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@amirhamisi25892 жыл бұрын
From Kenya maarifa 💊💊💊💊
@thomasnachenga7952 жыл бұрын
dropp it 💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣
@IYANIZZO2 жыл бұрын
Ndio mtindo wangu huo sishirikishi
@Would4362 жыл бұрын
Noma sanaa😍🇹🇿
@plusabracadabra51662 жыл бұрын
Kawaida sana hamna unyama
@shalomcyber17282 жыл бұрын
Maarifa never disappoints
@modybabazjr87602 жыл бұрын
marifa na rapcha ngomaah yaeza vimbaa kinyama remix jaribu umshirikishe mtu
@unknown-js9ge2 жыл бұрын
Big up maarifa bonge moja la ngoma simshilikishi mtu ✊
@valencyminde52462 жыл бұрын
Hawa ndio wasanii tunawataka
@raphtz56942 жыл бұрын
One of the best song
@anorderastonyondo37262 жыл бұрын
Made ni sawa na tale tale in (makonde's voice)
@goramatz94882 жыл бұрын
KIBAHA FINEST🔥
@saidomary85482 жыл бұрын
Madee sawa sawa na tale tale
@alinotilucamoris61892 жыл бұрын
Bonge la Fire🔥🔥🔥
@ezeckielsyantata12952 жыл бұрын
Big thinker mtoto wa baba
@optywilliams2 жыл бұрын
SIMSHIRIKISHI MTUU ❤️🙌🙌🙌🇰🇪
@obbywheezy41522 жыл бұрын
Homeboy hili dude💥💥💯⭐🌟
@b3falampendwa7582 жыл бұрын
Go alone Maarifa,you will achieve your dream
@hdmsasa33552 жыл бұрын
Hd Msasa oficial KITANZI gusa màandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN kzbin.info/www/bejne/eZXcqZ1rrtKCiJY
@bigmatt53122 жыл бұрын
Ngoma Kali 👍🏿👊🏿💪🏿 big up
@kibanga79062 жыл бұрын
This kid is underrated 😢
@habaripendwatv96512 жыл бұрын
Tisha sana Kibaha finest
@untouchboymsafi17882 жыл бұрын
🔥🔥💣
@nicksonurio73194 ай бұрын
Bonge la movie 🎉
@Paplick92 жыл бұрын
Kibaha finest to the world 💉💉💉
@yahayamussa552 жыл бұрын
Nyimbo Kari sana
@OGKITAMBOTV2 жыл бұрын
Kideo Kimemiss Vitu Vichache Sana. Mfano Tunajua Ningumu Kuwaweka Wahusika Kwenye VIDEO But Atlist Kungekuwa Hata Na Viashirio/Utambulisho Wa Picha Kila Line Unayoitaja Ili Iwe Unyama Sana.. Lakini Sawa Tu Kwakuwa Ishatoka Hatuna Cha Kupinga Zaiidi.. Next time Maproject Kama Haya Hayatakiwi Kutoka Hivi Kosa La Kwanza Umeinyima Verse. Na Kosa Lingine Hizo Nadharia Za Picha Za Wahusika Hakuna .. Nadhani Tumeelewana Bwana Maarifa
@georgesauly73222 жыл бұрын
Wazo zur ila binafsi hii imekaa powa zaidi
@georgesauly73222 жыл бұрын
Kwan kma angefnya hivyo usingeonekan utofaut kwan hiyo walisha fanya wengi
@Janu_Rocka2 жыл бұрын
Yah kama Mrs. Superstar ya youngkiller
@mkulungwa48902 жыл бұрын
Mawazo yako sio mbaya ila yashafanyika sana
@alvinsamir20132 жыл бұрын
HII NDIO MAANA YA SIMSHIRIKISHI MTU SASA . . .
@omaryhamisi32282 жыл бұрын
Kaza bunti kaka
@israelkapolesya55292 жыл бұрын
Ngoma kali mnoo
@mashaka_son2 жыл бұрын
Nakubali janangu
@djoe82662 жыл бұрын
Madii ni sawa na taretareee
@yuchaclassic61542 жыл бұрын
Madee ni sawa na taletale
@ginimbifamily39952 жыл бұрын
Umetisha san kiongoz
@issahamis32862 жыл бұрын
Maarifa kwa Sasa wew ndie mwanahiphop Bora kwangu good song
@fami82892 жыл бұрын
Ngoma Sana bro
@agusmileofficial28452 жыл бұрын
Goma kali blood
@amanchrispin74102 жыл бұрын
Nakubali sana kaka
@afrodisiusvitus91572 жыл бұрын
Iko sawa hii kamanda
@gabbyawe Жыл бұрын
Napenda mistari ilivyopangwa 🔥🔥🔥🔥
@Msomi_2 жыл бұрын
Maarifa mwenye maarifa yake
@sherdellsalim66382 жыл бұрын
Kali brother
@kurumwagodfrey70522 жыл бұрын
Maaaarifaaa
@Kpatrick312 жыл бұрын
Anaitwa maarifa
@sikanyikachumvii30092 жыл бұрын
Atari sana tena na nusu maarifa
@hashimseme28302 жыл бұрын
Npo hapa nasubili wimbo uanze sasa ambo humshilikishi mtu sasa