hapa sasa tunakoelekea naiona kesho yenye tumaini kuu na furaha ndani kuu, kama viongozi wa dini mshainuka nakuona kuna haja ya kujadili na kutafuta ufumbuzi kwahili nina haki ya kusema asante Yesu,we are really in a great darkness but now i can see the great light in the future.Thanks God
@LoiteyoAmakoMako2 күн бұрын
Warioba ndyo mzalendo wa kwanza kutoka bara Tanganyika inahitaji watu kama ww mungu akupe maisha marefu🙏
@ramadhanishabani8072 күн бұрын
Warioba kama na kuonaa, Mungu akupe maisha marefu
@ernestlalu2067Күн бұрын
Dhambi waliyo bebeshwa wasimamizi, watubu na wasikubali tena, Mungu hafichwi wa kudanywa, ubinafsi wa wachache unaponza jamii
@abeidkilamlya2 күн бұрын
Viongozi wenye maono.big up sana
@InnocentCharles-hm3ffКүн бұрын
Uchaguzi leo ni kiwezeshi cha kutengeneza mayatima...tusiuane kisa uenyekit tena eti wa kitongoji...ni aibu na ushamba tu...
@juliuskitaluka12062 күн бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@ernestlalu2067Күн бұрын
Wateuliwa hulinda nafasi zao kwa udi na uvumba, turekebishe katiba Ma_ DED waombe kazi sio kuteuliwa, wanawatisha sana waajiriwa.
@stellamwasenga6205Күн бұрын
Njia ya kuikomboa tanzania siyo hii
@festokemibala58322 күн бұрын
Hivi ni lini sauti kutoka kwa wapakwa mafuta ikawa na unafiki ndani yake? Kujifungia ni faragha, ni utaratibu wa namna ya kuzungumza na Mungu kwa ukaribu. Pote kunapotokea faragha kama hii lazima litoke neno au azimio. Tatizo hatukuzoea wakati wa Nyerere hata Mwinyi sababu hakukuwepo na hii hali tunayoahuhudia!! Mungu atusaidie tutubu pale tunapotenda yaliyo machukizo kwake
@OmmyJames-xn7ji2 күн бұрын
MAMA SAMIA ASANTE MAASKOFU BADO HAWALALI 😢😢😢😢😢😢DP WORLD HOYEEE
@knight67572 күн бұрын
Mijadala mengi tuu....hamna kitu
@tospend2 күн бұрын
Ukitaka kujua ccm haikubaliki kaangalie albam ya harmonize ya ccm mwez wa sita sasa haina wimbo hata mmjoja wenye 100k
@breymbasa34512 күн бұрын
😂😂
@joycemboya57282 күн бұрын
Bwana linda Amani ya nchi yetu
@hamisidd81242 күн бұрын
Papa ameisha wazuia maaaskofu na mapadiri kujiingiza kwenye siasa wakitaka waache mambo ya kanisa waingie kwenye siasa
@Juma-e8l2 күн бұрын
Natamani siku nikikua niwe kama wewe maana unaamini Papa ni Mungu 😢
@TibihikaGeradКүн бұрын
Papa ni mungu au?unasemaje amewakataza siasa wakat yeye ni kiongoz wa kanisa Dunian na ni kiongoz wa inch?
@FredickBona-f2wКүн бұрын
Ongeren mtusaidie maana mioyo yetu wengi tunavuja damu ,tunaumia ila hakuna anayesikia na kujal
@rebekakulwa615918 сағат бұрын
Mafisiemu yanaua ili yaendelee kututawala mungu simama
@Leodimk-n5c2 күн бұрын
Na kweli ni madudu yalikuwa
@ramadhanishabani8072 күн бұрын
Nyie ndio wakuisaidia hii nchi nashangaa kuna mashehe ni machawa wa ccm, lakin ipo siku hii ccm itaelewa, kuna haja ya viongozi wa dini kuandamana hadi ikulu uyu mama alete katiba mpya
@amosiabdulallh79652 күн бұрын
TECsio Dini hicho nichama cha siasa hamna lolote hapo CCM ni yawapi
@NuruJuma-zv3yz2 күн бұрын
Kuisadia nchi itwaliwe na mawazo machafu ya makatoriki, hii kikoje hii😮
@NuruJuma-zv3yz2 күн бұрын
Et sauti ya kinabii Woo! Watembea na Mavi, wanavituko kweli nchi hii
@valerianrwebandiza7542 күн бұрын
Sawa ila Makanisani pia hakuna demokrasia. Wasipasahau pia ni muhimu
@muharamijuma15692 күн бұрын
KINACHO WASUMBA MLIKUWA NA MATOKEO YENU MIFUKONI HESHIMUNI MAUMUZI YA WANANCHI HUKÒ UPINZANI ULIKOSHIÑDA WEZI WA ĶURA HAWÀĶUWÀPO? KWANI NI HAMU UTAKI UKWÈLI?
@MathewNathan-yb2bz2 күн бұрын
Wizi wa kura ni uhaini na dhulima mbaya sana.Rais wa nchi na chama kilichopo madarani wakiiba kura na kupora uchaguzi kwa kuwashirikisha polisi,usalama wa taifa,wakurugenzi na watumishi mbalimbali wa serikali hii ni sawa na kuhalalisha ufisadi,ubadhirifu,rushwa,wizi kwenye nchi kwani utakuwa umewafundisha maadili mabovu na hivyo kuwapa ruhusa ya kuwa mafisadi.Wizi wa kura hujenga mifumo mibovu na dhaifu katika nchi.
@EsterMhoja8 сағат бұрын
Tunawadanganya wazungu kuwa tunamfumo wa vyama bingo ili kupata misaada.kiuhalisia ccm haitaki kutoka madarakani Bila kujali inakubalika au laa.pili tunatumia pesa nyingi kuratibu uchaguzi wa kihuni,kunahaja gani ya Kula bandia kama inakubalika.CCM HAKUNA MTU MWENYE HOFU YA MUNGU.
@omarmagimba19712 күн бұрын
Nawauliza kila siku. Mnaijadili Serikali kwa uwazi je , mpo tayari Serikali kuwazungumzia?
@gwanda272 күн бұрын
Serikali ni nani?
@ft906832 күн бұрын
Makanisa sio serikali, Siasa ni maisha, maamuzi yake yanaathiri nchi nzima. Kutokuwepo haki makanisani na misikitini hakuhalalishi kukosekana kwa haki nchi nzima
@rebekakulwa615918 сағат бұрын
Huyo anayefurahia bandari zetu kuuzwa kwa Dpw huyo siyo mtanganyika hata chembe
@byesigwafabian92552 күн бұрын
Hapo shule imelala, hawaongei matusi matusi! Ukisikia mtu anatanguliza matusi fuatilia malezi yake tangu utotoni, kasoma shule gani, amefundishwa nini na nani! Ukiona kizazi kinaongea ongea matusi hakina Mungu hicho. Palipo na Mungu kuna amani na utulivu na maneno ya hekima hakuna matumizi ya vita vya mwilini.
@songombingo1082 күн бұрын
Viongozi wa dini kama hawa Makonda hawezi kuwaalika kwenye matukio yake ya drama😂😂
@WilbertChambilo-yl1kc2 күн бұрын
Tundu lissu kachukua fomu ya uchair chadema
@hamzakimaro37642 күн бұрын
Sijui hawa jamaa wanataka jambo gani?maana wamekuwa wakiwachochea wananchi kuwa serekali yao haiwatendei haki!!maanake wafanye uasi kwa serekali yao!! Nafikiiri ili uchaguzi uonekane wa sawa ni kulikabidhi kanisa katoliki wawe ndio tume ya kusimamia UCHAGUZI!! mbona hizi kashfa,tuhuma wakati wa mwenda zake zillikuwa hakuna!!! Au kuna jambo limejificha ndani yao!!!?
@Expedito25122 күн бұрын
Pole sana ndugu. Jitahidi kuwa mkweli
@SeverinMagwaya18 сағат бұрын
Kwa jina lako tu huwezi kuwa mkweli, kwa sababu Imani yako pia si ya kweli.
@mbarakahaji43022 күн бұрын
Co kujifungia tu naona mwisho mtajinyonga ,kwani hamna la mcingi ni chuki tu ndio ilio tawala.
@ft906832 күн бұрын
Kwahiyo wale waliouawa kwako ni sawa? Kuzuiwa kwa mawakala kuingia mapema kwenye baadhi ya vituo na wengine kucheleweshewa viapo kwako ni sawa? Kukamatwa kwa makamanda wakiwa na kura batili kwako ni sawa? Kama Yote hayo ni Sawa kwako, basi jiulize na utafakari vizuri ni wapi tunakoelekea.
@saidmajeba97912 күн бұрын
Unapoteza muda kwa binadamu mwenye ubongo kama wa ngombe Atakuchosha huyo ni wale mburura@@ft90683
@RockusssySanka2 күн бұрын
Wakujinyonga ni dhulumati na siyo anaye pigania Haki ya watu waliodhulumiwa . Mtu aliyedhulumu hana Amani nafsini mwake na ni rahisi kwake kujinyonga na hasa atakapo ona hakubaliki kwenye mtaa anao ongoza hàpo ni maumivu makubwa kumaliza miaka 5 . Mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamwezi .
@OscarKasalile2 күн бұрын
Hujitambui wewe
@yohanapendo9566Күн бұрын
Ndo mwsho wa uelewa wako.
@MaguguStore2 күн бұрын
Hawa kinachowasumbua ni DP WORLD kipeni kodi bandari ni yawananchi na si TEC
@SebastianNgimba2 күн бұрын
huna lolote na wala hufaidiki na hoja ya bandar kuihusisha na Tec,kenge wewe,
@walidmgonja36442 күн бұрын
Wewe ni nyumbu@@SebastianNgimba
@saidmajeba97912 күн бұрын
Hana akili huyo mburura@@SebastianNgimba
@gidongailo71742 күн бұрын
Ndo umeandika nini sasa😂😂😂
@OmmyJames-xn7ji2 күн бұрын
KWANZA WAOWE WAWE NA WATOTO HALAFU NDIO WABWEKE HAWO MASHOGA 😢😢😢😢😢😢
@wilsonsikahanga17612 күн бұрын
Nyie mnao wakebehi Maaskofu, tafakarini kwanza kabra ya hizo comenti zenu hasi, hawa wazee sio wajinga, sikilizeni hoja zao, siku moja msije sema "tungejuwa tungewasikiliza"
@jamilbillo59442 күн бұрын
Kama nyinyi ni Viongozi wa kiroho mbona Bado Kuna roho za ushoga na mauwaji? Mmeshindwa kufundisha dini zenu mnarukia kwenye siasa, Chukueni basi uanachama wa kwenye hivyo vyama vya upinzani mnavyo vipigia Debe
@AboubakarRashid2 күн бұрын
Nilkuwa na amini rais Samia atakuwa muadilfu san ila nmekuja kuvunjika moyo baada ya uchaguz waserekali za mitaa
@beinafuu62192 күн бұрын
Wote mnao pinga amkupiga kura ndo maana mnasema tu
@WilbertChambilo-yl1kc2 күн бұрын
Uchaguzi wa 2019 hawakujifungia inakuwaje 2024?? Acheni hzo bhn
@PiusAloyce-kr7uk2 күн бұрын
Sawa ila wafate sheria bas katiba ya tume huru tu mtazimaaa kelele zote
@amosiabdulallh79652 күн бұрын
Hawa wa nafata magizo kutoka kwa mungu mtu papa kutoka Italy,lipa Kodi ww
@RockusssySanka2 күн бұрын
Binadamu wote tu watoto wa Mungu ! Watumishi wa kazi za Mungu wana kazi ya kuangalia utu na heshima ya Mwanadamu vinalindwa . Kauli iliyotolewa siyo ya kiungwana kabisa . Watumishi hawa ni wapakwa mafuta na wateule wa Mungu. Ebu jitafakari kama una Nia njema na Taifa letu au ni kati ya wahuni wanaojinufaisha na mfumo mbovu uliopo .
@GodfreyOsward2 күн бұрын
Amonadallah. Ni miongoni mwa Wazalendo bandia. Uzalendo bandia ni uhaini. Tusijidanganye.
@hemedmwipopo7802 күн бұрын
Hakuna wizi wa kura shida vyama vya Siasa vya upinzani ni kujikita zaidi mijini badala ya kujikita zaidi vijijini ambako kunawapiga kura wakuaminika kuliko mijini.
@ndandikapaschal94902 күн бұрын
Unahakika na unachosema? Vyema ukanyaza tu. Maana utajikuta umekosea baadae
@ismailinguhwe34732 күн бұрын
Mambo ya kaisali hayo Jaman
@GodfreyOsward2 күн бұрын
Mwili na roho viko pamoja. Elimu ya kukariri sentensi. Tukapata mia?😅😅😅😅
@ksttv17352 күн бұрын
Kiongozi wenu papa Francis amewaambia muwache kujihusisha na siasa, inaonekana nyie vichwa vigumu.
@NiazonBukoke2 күн бұрын
Mbona wewe pumbavu sana wewe??
@RockusssySanka2 күн бұрын
@@NiazonBukoke Maaskofu ni wateule wa Mungu
@ismailinguhwe34732 күн бұрын
Magufuli mlishindwa leo wahuni nyie
@hadijasufiani61672 күн бұрын
Uchanguzi hakuwa wazi wala haki wapinzani hawakutendewa haki