Ubarikiwe baba mchungaji Congo tunahaja urudi kwenye kanisa letu tunahaja ufike ufanye huduma lakini sijuwi tufanye je ili tukupate
@ZebedayoMengich11 күн бұрын
Mungu tuongezee wachungaji kama hawa wanne Kenya
@penzykkobia15 күн бұрын
Wakenya tuungane hapa,🇰🇪
@SalehAssani-f4wАй бұрын
Jmb mtumishi Mungu akujalie maisha marefu zaidi, sisi uku kwetu RDCongo tunakuitaji wepo wako.
@JolieKavira-lo6pvАй бұрын
À Santé Baba mchungaji kwa neno njuri
@joanowino10 ай бұрын
Pastor Mgogo Mungu akubariki sana,napenda sana mafundisho yako
@ekesatheactor5 ай бұрын
I'm watching from Kenya 🇰🇪 huyu ndie makufuli wapili I like you pastor 😂😂😂😂😂😅😅
@jacksonmdemi43404 ай бұрын
Mskize pia Mch Richard Hanja yani hawa wachungaji wawili ndo mim huskiza sana zaidi ya wetu wakenya
@ElinaKahindi10 ай бұрын
Aky mchungaji mafundisho yako yanaponya na kuganga familia nyingi sana. Mungu akubariki azidi kukupa uo huo ufunuo.
@Francine99FrancineАй бұрын
Ubarikiwe muchungaji hata burundi tunakuitaji uje ufundishe wa mama ❤❤❤❤🎉🎉
@ShannySharon-mt9ou10 ай бұрын
Huyu pastor ana kiti chake mbinguni. Yesu alieko ndan yako atukuzwe🎉🎉
@carolinederi569010 ай бұрын
No coz yuafundsha physiology sio repentance mafundsho mikutano yake ming watu huburudika bcz he knows people hate the truth ukiwambia habari za utakatifu Mungu aturehemu sana watu wake
@PremiceKasondwa-xr7tp10 ай бұрын
😅 pasteur ubarikiwe sana tuna Ku subiri Congo butembo town
@JoyceAchei6 ай бұрын
Watch this pastor has a good massage to àll generation ❤❤ from Kenya🙏🙏💪✅🔥
@arwamohammed535710 ай бұрын
Amen 🙏 ubarikiwe sana mchungaji
@leonardkoech747410 ай бұрын
Nafuatilia kutoka jijini kisumu city Kenya
@ChizavicterGerardpeter-kc2uq10 ай бұрын
Mungu azidi kuwabariki na kuwapa nyundo 🔨 za kutujenga roho zetu
@BoraJoyeuse-vd4sy11 күн бұрын
Ubarikiwe Sana muchungaji .yani nafuriyaga kwasababu unagusiyaka pote hauna ubaguzi.siku nitasikiya unakuja Bujumbura popote pâle na mm nitafikaga kweli
@DavisModesteHategeka3 ай бұрын
Pastar wa ukweli tena mnona sana! Asanteni sana.
@marurualex982710 ай бұрын
Mungu akubariki mchungji Daniel nakupend san kwa mahubiri yako
@margaretamondi952910 ай бұрын
Huyu mchungaji jameni 😂😂😂😂 barikiwa sana
@ReginaKyalo-w9v4 ай бұрын
Pastor. Mgogo wewe n wa manufaaa kwa jamii zetu imetujengea kiroho Mungu aendelee kukubariki natoka kenya
@muteteriesperance65054 ай бұрын
Amen mchungaji nafuatilia mahubiri yako kutoka Rwandan country
@JeaninneKusinza3 ай бұрын
Mungu akuogezee,maisha uzidi kutulisha kiroho mtumishi wa Mungu
@davidwainaina389916 сағат бұрын
God bless east Africa ✝️✝️✝️✝️🇰🇪🇰🇪 thankyou DAD mugogo
@UpendoCosta3 ай бұрын
Ameen mtumishi asante kwa mafundisho yako ya uponyaji
@selePasta10 ай бұрын
Tunashukuru sana mungu aongeze uduma sana
@JaphetZulu-z2s14 күн бұрын
Asante baba kwakutifundisha na ss kuno Malawi tunakupenda baba
@emillyzeeh11735 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Pastor mgogo 🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe Asante sana kwa mafunzo wachting form germany 🇩🇪 ❤️ 🇪🇺 🙏 🇩🇪 ❤️ ❤❤❤❤
@EdwardOmaato5 ай бұрын
Nimeshiba kwa neno lako,Mungu akupe neema
@FrancineBigirimana-kc8gu6 ай бұрын
Marekani tumebarikiwa jama baba mukutano wakesho tuna chungatusikiye mungu atazungumuza na sisi Nini tuko tayari tuna kuombeya nguvu mpya baba barikiwa San🙏🙏
@FrancineBigirimana-kc8gu6 ай бұрын
Mungu wetu akupe maisha marefu ili uzidi kusaidiya nyumba zetu
@NishimweBernisse10 ай бұрын
Ubarikiiwe paster tunakuita BURUNDII .
@Juliennetuliza-lr5gr13 күн бұрын
Kweli kabisa mchungaji ubarikiwe na mungu.
@AnjelinaMziray3 ай бұрын
Mchungaji asante sana toboa tobo
@wangawanga10829 күн бұрын
Amina mtumishii
@MellenaKansiime3 ай бұрын
Mungu alikuchagua akupe maisha marefu
@georgesyalala9133 ай бұрын
uyu pasteur Mungu iko naye Siku yote Mungu akulinde pasta wangu
@Jentrix-v7v2 ай бұрын
Keeling hiyo imeweza🎉
@roymosirigwa45145 ай бұрын
Grace to you Pastor.
@JoyceVulimu-jm6zz8 ай бұрын
Nakusikiliza very well nikiwa Saudi god bless u pastor
@fredgichana54486 ай бұрын
Hi joyce
@MarySaimon-x9d2 ай бұрын
Mtumishi was mungu bwan akubarik
@neemabwire851110 ай бұрын
Pastor mgogo mungu akubaliki sana
@JacksonMtatina9 ай бұрын
mungu akubalik mchungaji
@MerciIgunzi-tq7ko10 ай бұрын
Mungu akubariki baba yangu akuzidishie kila leo
@ModickWakoli-ud8fj3 ай бұрын
Ufalume wa mungu,ni ya Wale wanao eleza maelezo kamili kama pastor daniel mgogo
@Simion-ed2vk3 ай бұрын
Have long life pastor to teach this generation the way to go
@HappynessTuntufye5 ай бұрын
Barikiwa sanaa mtumishi❤❤🙏🙏🙏🙏
@Mary-xi2rl4 ай бұрын
Nasikia mahubiri ya pastor mgogo toka San Antonio Texas ❤u
@CatharineNasipwondi-lk2hl4 ай бұрын
ooooh God help women amen lm very hard walking woman 🙏🙏🙏 ooh God continue to bless me amen nice price 💖💖💖💖 amen
@SAKINDINSOROEmmanuel9 ай бұрын
Rwanda tunakupenda sana pastor
@violettenshimirimana10064 ай бұрын
Shalom papa Mungu akuongezee mafuta
@FatumaKadio4 ай бұрын
Mungu akubariki Sana,,
@EdigerRichard2 ай бұрын
Ubalikiwe pastor Kwa mafundisho mazur
@KajayNicholas6 ай бұрын
Barikiwa Sana mchungaji umekonga ndipo
@AliceKindole6 ай бұрын
BWANA.YESU AKUBARIKI,KWA MAFUNDISHO YAKO
@luciamaganga187210 ай бұрын
Mungu akubarki pastor nàpenda sana kufuatilia mahubiri yako,,yanajenga sana
@esperancesudi284210 ай бұрын
Amen 🙏🏻
@ZelotheNeema6 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@GladysKajaira6 ай бұрын
Pastor barikiwa sana hapo kwa kufa niukweli kabisaaa 😂😂
@Gladyes-bv5eb10 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mùngu
@MarionKerubo-v1v3 ай бұрын
Much love ❤❤ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Freench2020410 ай бұрын
❤ni murundi nakupenda sana umenifunza sana😭😭👏👏
@JoshuaKibet-r4e3 ай бұрын
Mchungaji ubarikiwe sana ujumbe inagusa natoka Kenya bungoma kaunti
@AnnociatteMunezero9 ай бұрын
Mchungaji nakupenda sana unafurahisha sana barikia
@nikizaeliane164610 ай бұрын
Karibu kwetu Bujumbura Burundi
@LavinaDalmas-p4p10 ай бұрын
Nataman siku nije kusali uko lakini sjajua bado kanisa likowapi maana mchungaji unanibaliki sana🎉🎉🎉
@KhadijaJumanne-e5q4 ай бұрын
Amina Mchungaji nimebalikiwa
@AmineMetin-wy2vhАй бұрын
😂😂😂weeeeeee pastor huo n ukweli wanaume ndio watakufa wa kwanza😂😂
@emanalaa4055 ай бұрын
Pasta barikiwa sana,, neno lako limenibariki na hata stresi nilikuwa nazo hazimo tena,,, nashukuru kwa kunirudishia kicheko changu,,, mungu akaendelee kukutumia ili na tukapate kuokoka na kumtumikia katika jina la yesu
@emanalaa4055 ай бұрын
😄😄😄😄👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏
@pascaliasiombua4 ай бұрын
Keep going pastor
@nanyamasheilah56956 ай бұрын
😅😅😅😅😅 pastor Mugogo ubarikiwe saaaanaaaa natokea KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Haya mabomu yako yamenirekebisha vikubwa😅😅😅😅😅
@japhetmasai99545 ай бұрын
Hapo hapo mtumishi umeyamwayamwaya yote ,MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI WABWANA AMEN TOBOA YOTE
@sadikibatende10910 ай бұрын
Karibu Congo, Goma ville Baba
@esthermagova66735 ай бұрын
Mchungaji mafunzo yako nayapenda sana yote ni kweli ❤❤❤
@MsafirGervas5 ай бұрын
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 sana pastor mgogo.
@SokinaChapia6 ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji mungu akuongezee miaka mingi uzidi kuwasaidia watu wa mungu wamgeukie bwana🙏🙏🙏
@JaneJane-h2i6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 huyu pr namupenda bule😂😂😂😂😂
@GorethGoreth-lp6kl10 ай бұрын
Asante mucungaji
@CentrineWanyonyi-fo7yo10 ай бұрын
Kweli kabisa,Mungu akulinde
@AganzeMasirika-cm8mq6 ай бұрын
❤nakufata vyema pasteur nikiwa congo mungu akuongezeye siku za maisha
@ModestemwambaAsakya8 ай бұрын
Mungu akutiye nguvu baba Congo tunakukaribisha tena sana baba
@srherine4 ай бұрын
Much love from Kenya
@sadikibatende10910 ай бұрын
Amina pasteur karibu Na kwetu Goma ville Baba
@Nicky-u3z3 ай бұрын
Amenaaaa
@clareotuba47774 ай бұрын
Hallelujah ❤
@esthermassawe464310 ай бұрын
Hatariiii Mchungaji unatishaaaa...mzee wa fact.. I salute uu..Mungu azidi kukulinda
@jeniphajeremiah800810 ай бұрын
Wewe sim tena bomu lakuuwa
@kennethMwankuga10 ай бұрын
Kazi nzuri 🙏🙏🙏🙏
@emmanueldaniel17815 ай бұрын
Ni kweli mchungaji maana Mimi nishawahi kuambiwa hivo tena na mamamkwe