Mac au PC ?, Computer ya kununua kwa matumizi ya Graphics Design

  Рет қаралды 7,806

Richstar

Richstar

Күн бұрын

Пікірлер
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 6 жыл бұрын
Sana mzee baba Mungu akuongezee nguvu ✌
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 6 жыл бұрын
Sasa teacher mm ninaswali la kizushi tu! Kama hutojali hiyo laptop yako imegharimu shingapi mpaka hapo
@nikky4757
@nikky4757 5 жыл бұрын
speed ya hdd unaidetermine kwa RPM kuna zenye 5400 na 7200rpm siyo kwa brand kama ulivyosema hapo seagate and ssd ndiyo best zaidi kuliko hdd ambayo inaongeza loading speed na kwa upande wa graphic card pia si vizuri kudetermine uwezo kwa kuangalia vram kama unavyosema 2gb na kuendelea unatakiwa kuangali ni gpu gani ipo katika graphic card mfano nvidia gt 740 4gb ni ndogo ukilinganisha na nvidia gtx 960 2gb and kwa editing nvidia ni nzuri zaidi kwasababu ya CUDA core
@c.martins4628
@c.martins4628 Жыл бұрын
Naweza pata namba yako kaka
@jethomediaproductioncreati1681
@jethomediaproductioncreati1681 6 жыл бұрын
Thanks much bro for your lessons
@TechAfrica
@TechAfrica 6 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka!
@nicksonben2686
@nicksonben2686 6 жыл бұрын
Salute bro
@ssafricancreator9151
@ssafricancreator9151 6 жыл бұрын
Sass kaka SSD UNAIFUNGAJE KWENYE PC AU INAKAA KAMA ADIDISKI NYENGINE
@kitinegraffixtutorialps8447
@kitinegraffixtutorialps8447 6 жыл бұрын
Ndio tupe ujuzi kaka kubwa
@darajani1905
@darajani1905 2 жыл бұрын
braza, nimekutana na HP Z400 Workstation, itanifaa kwa mishe za graphics?
@rauftwahil2543
@rauftwahil2543 6 жыл бұрын
Duh!, kama tumekuganda vileee!!!!..
@nicksonben2686
@nicksonben2686 6 жыл бұрын
Namna ya kuzipata hizo bro s
@RJHOPETV
@RJHOPETV 6 жыл бұрын
Pamoja sana mwalimu
@RJHOPETV
@RJHOPETV 6 жыл бұрын
@@Richstartz Mm kwa proffesional ni teacher namalizia mwaka wa tatu....lakin mpaka sasa hivi watu wanajuaga nasoma Degree ya Animation na Multimedia production...kumbe mwl wangu Richstar...Naamin nitakuwa vizuri zaidi baada ya kuchukua packages...maana zote Pr,Ae, Ai,Ps na Fl nipo hatua nzuri
@RJHOPETV
@RJHOPETV 6 жыл бұрын
@@Richstartz Ningekuwepo ningehudhuria nipo chuo Dodoma kwa sasa mkuu
@chrislavile7572
@chrislavile7572 3 жыл бұрын
Naweza kupata kompyuta kuanzia shingap?
@diplotech5163
@diplotech5163 6 жыл бұрын
unaangaliaje hiyo
@clementsindamka8804
@clementsindamka8804 6 жыл бұрын
Kama processor yang ni core i5 generation ya 2 naweza ku upgrade kwenda generation nyingine?
@nicksonben2686
@nicksonben2686 6 жыл бұрын
Hyo desktop inaweza kua bei gan dukani
@kokudo8389
@kokudo8389 6 жыл бұрын
Naweza kupata harddisc ya laptop SSD?
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t 5 жыл бұрын
Nakkbl sn broo
@HamisiAlly-i6v
@HamisiAlly-i6v 2 ай бұрын
Nipatie namba zako kaka
@Richstartz
@Richstartz 2 ай бұрын
0714250356
@joazypro4139
@joazypro4139 6 жыл бұрын
👍👏
@husseinsaid8585
@husseinsaid8585 6 жыл бұрын
Leo nimekua wakwanza kuweka comment pia kuweka view
@godigaspatv6146
@godigaspatv6146 5 жыл бұрын
A4 divide by two in photoshop msaaada kaka
@jboytz2384
@jboytz2384 6 жыл бұрын
Naomba namba zako au 0714584565
@jboytz2384
@jboytz2384 6 жыл бұрын
@@Richstartz saw broo Rich nitakutafuta broo
Video yangu ya mwisho ya mwaka 2018
9:28
Richstar
Рет қаралды 2 М.
Sifa za Computer Bora Kwa Graphics Design
10:27
Richstar
Рет қаралды 2,7 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
#NK| Jinsi ya ku design Matangazo kwa AI simu na computer
13:48
NK- Computer Training
Рет қаралды 2,9 М.
Jinsi ya Kufungua Google Account Kwenye Computer 2023  || Gmail Account
10:51
Jinsi ya Kushoot Video Cinematic Kwa kutumia Smartphone
11:14
Jinsi ya Ku record  mziki kwa kutumia CUBASE, #Utangulizi
11:32
namna ambayo RAM na CPU vinafanya kazi  kwenye computer
10:21
swahili ICT tutorials
Рет қаралды 1,6 М.
jinsi ya kutumia computer ya mac na trackpad
9:15
Jifunze Bure
Рет қаралды 241
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН