No video

MACHALII WATUNDU - "WEUSI WANATUSAPOTI SANA, FIDO VATO ANAFANYA HIP HOP TAARAB"

  Рет қаралды 75,056

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

MACHALII WATUNDU - "WEUSI WANATUSAPOTI SANA, FIDO VATO ANAFANYA HIP HOP TAARAB"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 83
@WHYnoT255LA
@WHYnoT255LA Жыл бұрын
Machalii WATUNDU like zao hapa bongo HIPHOP 🌟
@ibrahimsadick6137
@ibrahimsadick6137 Жыл бұрын
Respect Fido Vato Rambo acheni ujinga nyie machalii
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 Жыл бұрын
Respect gani kwa lile tejaa
@bernadinlesulie476
@bernadinlesulie476 8 ай бұрын
bangi zinawapoteza
@surusuru1994
@surusuru1994 2 жыл бұрын
Niaje machali 🔥🔥nawakubali arachuga
@isayamnama4901
@isayamnama4901 2 жыл бұрын
Omar unapenda kuchapia cultre ya kenya ila ndo ivo inateleza kijanaaet @machalii wa tundu👊🏿
@kinkinyajangu6436
@kinkinyajangu6436 Жыл бұрын
Watoto wameshakua wachawi,Fidokawasaidia Sana kabla ya weusi saizi mnaluka mita 100 watoto acheni usnich
@harunaandrew6693
@harunaandrew6693 2 жыл бұрын
Noma sana machali wachuga
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 2 жыл бұрын
Machaliii watundu watu ambao nilidownlord ngoma yao bila kufaham wanatoka wap badae nikafuatilia mpaka leo nawafuatilia
@wavuvitv2025
@wavuvitv2025 2 жыл бұрын
Arusha
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 2 жыл бұрын
Dogo tundu kawa mkenya. Respect kwa spack dog. Ila kuhusu fidovato semen ukwel aliwasaidia kbla ya weusi
@younggenious6376
@younggenious6376 Жыл бұрын
Think twice
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Жыл бұрын
@@younggenious6376 same to you, before your reply sit down and think beyond the reasonable doubt.
@kendricallan5414
@kendricallan5414 2 жыл бұрын
Machalii ya r chuga ni hataree kuliko hawa machalii
@habaripendwatv9651
@habaripendwatv9651 2 жыл бұрын
Nawaaminia machalii ila mnachokosea ni kumkosea heahima fido wakat ndo kawalea kimziki mpka kujulikana
@maxmobararaka
@maxmobararaka Жыл бұрын
Kwan wamemkosea nn wakat ad sasa yeyendo anawasimamia
@dizzonofficial2600
@dizzonofficial2600 2 жыл бұрын
Joseeeee
@Would436
@Would436 2 жыл бұрын
Hom twon 🤝😍🌍
@salimbilali5174
@salimbilali5174 2 жыл бұрын
Machally wameblend Sana na Wasee wa kanairo they have same character
@aggreyrise9782
@aggreyrise9782 2 жыл бұрын
aache ushamba fido hip hop anayoimba ilipitwa nawakat ana chana hip hop mipasho fido kwanza simsaniwa chugha anazinguwa kinoma fanyen kazi watundu nawakubal kinoma sn
@LuweviambitionTv
@LuweviambitionTv 2 жыл бұрын
Kushilikiaba ndokilakitu ndogo zangu machalii watundu achana nao nao wanao jibagua huko arusha
@makulamussa6619
@makulamussa6619 2 жыл бұрын
Hawa ni watanzania kbs na dogo aliyevaa kofia ni shemeji yangu nimeoa dada yake,ni watanzania kbs wala sio wakenya
@user-uq2bd5bx1v
@user-uq2bd5bx1v Жыл бұрын
Dah uhakika sana
@babulwamarius1834
@babulwamarius1834 Жыл бұрын
Safi iyooo
@lazarodaniely2265
@lazarodaniely2265 2 жыл бұрын
Chuga boy wooooohhh
@gloriajoseph9098
@gloriajoseph9098 11 ай бұрын
@isayamnama4901
@isayamnama4901 2 жыл бұрын
Bomboonyaa
@blessedgreatempire1233
@blessedgreatempire1233 2 жыл бұрын
Bogi laka bombo chuga to the world
@faisalahmed7757
@faisalahmed7757 2 жыл бұрын
Nyie machali ya chuga msijifanye mumedata Fido Vato ndo kwafikisha hapo acheni umaku aisee makuzi na mashada chafu pumbavuu nyinyi wasaliti
@editz5430
@editz5430 Жыл бұрын
acha ukuma kumamako wasaliti wanakufira
@kikajrsingleboy1335
@kikajrsingleboy1335 2 жыл бұрын
Kabla ya mayoyoo kuwa sevu awa madogo Rambo ndo faza awo kwahyo hzo lomon wanazo bonga znakuw cheche alaf kumbken madogo chuga amnaga unoko .....
@malonemalick1999
@malonemalick1999 2 жыл бұрын
💥💥💥💥
@nacebamr4722
@nacebamr4722 2 жыл бұрын
Duuh tundu kawa mkenyaa
@shairaniadam1752
@shairaniadam1752 Жыл бұрын
City A town
@Issa_negro
@Issa_negro Жыл бұрын
I thought they were from Kenya... But all in all tunawakubali sana...
@gloriajoseph9098
@gloriajoseph9098 11 ай бұрын
Aweee kwa Tz hawaa
@casablancastudioarusha775
@casablancastudioarusha775 Жыл бұрын
Naona kuna bifu zito kati ya Fido na Weusi ukiongelea Weusi ambayo Fido pia alikuwa muhusika ilivunjwa na weusi halaf leo ukiangalia Machalii watundu ambao Fido ndio mlezi utagundua tena kuwa Weusi wanahusika but sina ushahidi wa kina ila kwa mazungumzo utagundua
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Жыл бұрын
Kweli kabisa, hao weusi kaz yao ni kuwagawa wasanii wa makundi mengine ili wabaki wao tu, wanaogopa ushindani
@nellywizz9631
@nellywizz9631 11 ай бұрын
@@ladislausngoyinde4384 ukiweza kutumia njia ya kuwatenganisha watu wanaopambn na ww ktk kipato we tumia watengane ubaki mwenyew poa tu km na wao ni wajinga izo ndo challenge za maisha
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Mbona Kikenya...
@mwiruhabibu2060
@mwiruhabibu2060 Жыл бұрын
Serikali inaeza ikaVUNJA 😂😂😂😂😂
@michaelmollel5689
@michaelmollel5689 2 жыл бұрын
Usiongee Kama wakenya acheni ushoga Ila mziki mnajua
@johnbakuza9555
@johnbakuza9555 2 жыл бұрын
Due walimwengu tunakuhitaji
@rizzomc-africanmusic9081
@rizzomc-africanmusic9081 Жыл бұрын
Wanazingua laanyo ao machalii
@rizzomc-africanmusic9081
@rizzomc-africanmusic9081 Жыл бұрын
Fido ndyo msingi wenu
@Reptile_kenya
@Reptile_kenya Жыл бұрын
Siskii kilami banja sheng ...........🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mxodyeddy1200
@mxodyeddy1200 2 жыл бұрын
Dogo tunduuuu
@talazain1017
@talazain1017 2 жыл бұрын
Omar
@starring.E
@starring.E 2 жыл бұрын
Machali wa kenya😅
@johnjohnson9374
@johnjohnson9374 2 жыл бұрын
Hawa watoto wa...nge kabisa acheni bangi nyie mbwa mnadisi fido vato mbwa nyie mnataja list ya wasanii mpaka yong dee ndani umeshindwa kumtaja fido ndio kawaleta mjini acheni bangi acheni bangi
@officialmutrahlg2484
@officialmutrahlg2484 Жыл бұрын
Hawa mi mwenyewe nishawakataa ani nilikuwa nawaonaga wajanja kumbe washamba flan tuu ivii buree kabisaa "dustbin "
@davismwashao513
@davismwashao513 Жыл бұрын
Hawa jamaa wanasound jamaa wa Nairobi kenya
@kendricallan5414
@kendricallan5414 2 жыл бұрын
Ila kuna wale wanaitwa machalii ya r chuga ni wakali sana kuliko hawa machalii watundu
@msongamwinyi2877
@msongamwinyi2877 2 жыл бұрын
Celtic choko huyo
@nicholusmilla7724
@nicholusmilla7724 2 жыл бұрын
Uyu wa Celtic kama mkenya vile
@jeromemwingira7877
@jeromemwingira7877 2 жыл бұрын
Mkenya huyo
@icepkilimba
@icepkilimba Жыл бұрын
Hivi vitoto havina adabu kabisa... Fido Rambo kawatoa matongotongo
@Qqambaa
@Qqambaa 2 жыл бұрын
Arusha haiko mbali na mpaka wakenya so huwa wanavuka 254 upande wapili dats y wanaroroa ka wakenya
@josephathnelson5121
@josephathnelson5121 Жыл бұрын
Mmesahau fido alipowatoa
@osiahstimah
@osiahstimah 2 жыл бұрын
Wanavitu vizur wana elimisha
@Bizzy176
@Bizzy176 Жыл бұрын
Huyo dogo aaache uchoko wa kuongea kikenya mtoto amekulia chuga fala saaana
@dineshog8575
@dineshog8575 2 жыл бұрын
Hawa no wakenya au wabongo😁🤣
@rahimomary7663
@rahimomary7663 Жыл бұрын
Mafalaa kabisa mlikuwa mnalialia Kila siku Kwa Fido leo mnamkanaa mwanaa ommy umesahau ulipotokaa
@saidsalum3481
@saidsalum3481 Жыл бұрын
Kirefu cha Diss ni discuss au dislike au discourage au 🤪
@EllishaJames
@EllishaJames Жыл бұрын
Disrespect
@drmussa1220
@drmussa1220 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pai6mWtqaKaXg9E DAWA YA KUMPA UTAJIRI MKE WAKO..*#*# kzbin.info/www/bejne/pai6mWtqaKaXg9E
@maalimseifk-gumuadui123
@maalimseifk-gumuadui123 Жыл бұрын
Hawa madogo hawajui nn wanataka,kwakifupi hawaeleweki tu
@officialmutrahlg2484
@officialmutrahlg2484 Жыл бұрын
Wanasound kama wanajielewa but ukiwachunguza kiundani wako empty kabisa tuaitaga ujanja wa kishamba
@Laizer3
@Laizer3 28 күн бұрын
TUNDUUU😂
@AlfaMustafa-nz5bn
@AlfaMustafa-nz5bn Жыл бұрын
Xhukrani y punda nimateke
@bizkazlab2617
@bizkazlab2617 2 жыл бұрын
hahahaha
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 Жыл бұрын
Pumbavuuu swez ata kununua CD wala mkitoa buree. Tunajifunza nn kutoka kwenu zaidi ya bangii
@nellywizz9631
@nellywizz9631 11 ай бұрын
Kwani umejifunza nini ktk mizik mingne ya ya hapa Tz? Ujue jifunze kua kawaida acha kuonyesha chuki paspo na ulazim hata km chuki ni kawaida yako
@tahataly2413
@tahataly2413 2 жыл бұрын
Stupid boyz ndo maana hamfanikiwi.... coz wasaliti.... si tumewajua kwasababu ya Fido nyie mrakaz
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
Fido anaznguwa sana2 km hujui ww
@tahataly2413
@tahataly2413 2 жыл бұрын
@@binaljabirmshihirzanzibar8369 angekuwa anazingua usingewajua hao ndezii wawili
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
@@tahataly2413 mie cwajui hao kk ila mie namjuwa fresh fido enzi hizo nlikuwa nkitoka Zanzibar home nlikuwa naishii hapo karbu na kwao pya nliwahi kucheza team moja na yy coach alikuwa chinaa bro
@tahataly2413
@tahataly2413 2 жыл бұрын
ndo maana... kumbe mtoto wakizenji mwanangu.... sishangai why unaponda..... nigga... mwana analelea machalii kibao wanakuja hawana kitu hata hela ya kula hata pakulala n mwana peace! leo we unawaona hao madogo unahisi wameibuka tu au??
@benjaminion4701
@benjaminion4701 Жыл бұрын
Mshakua wasenge nyie
@frankdanford8245
@frankdanford8245 Жыл бұрын
Ujinga kujifanya munaongea lafudhi ya kikenya wakati munatokea arusha mafala nyie
@robisongodiwnmushi9304
@robisongodiwnmushi9304 2 жыл бұрын
@machaliwatundu mamen
@drmussa1220
@drmussa1220 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pai6mWtqaKaXg9E DAWA YA KUMPA UTAJIRI MKE WAKO..*#*# kzbin.info/www/bejne/pai6mWtqaKaXg9E
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 11 МЛН
LIVE:  CHAMA LA WANA XXL NA MACHALII WA TUNDU
44:06
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 12 М.
UDANI GANG ACHANA NA HII KUNA HII HAPA.
3:53
KARAKANA OPEN MIC
Рет қаралды 6 М.
FIDO AFUNGUKA CHANZO CHA UGOMVI WAKE NA MACHALII WATUNDU
4:25
EastAfricaTV
Рет қаралды 2,3 М.
GHETTO RULES_Machali Watundu[beat by mavo_onthe_beat]
4:12
Machalii Watundu
Рет қаралды 7 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН