Highsatanic Spac Dawg..Wachache wakukuelewa nguzo ya mtaa UMbwa..Pure Genius, THE GOD of OB slang.
@chugagirl40944 жыл бұрын
Sasa kwa hapa arusha ilipofikia Tunaomba ruhusa ya kuunda kamusi yetu 🥰🥰🥰🥰
@sellah46034 жыл бұрын
Spack mbwa Uyo mwamba mwako 2000 ndiyo alie piga one ya 7.5 pale shule ya second liboru🤞
@tintanahmeme72712 жыл бұрын
Kweli??
@stephenbondo9633 Жыл бұрын
Andrew Msechu.. childhood friend very intelligent kitambo
@maryammaram26126 жыл бұрын
👊👊👊 chuga oyee nawakubal machalii asee😂😂😂
@hancenestor39464 жыл бұрын
Legendary iconic baba Brooklyn (the most intelligent artist at East Africa) Proudly chuga we say #saa ya doo
@wazunguarsenal6306 жыл бұрын
King SPAC dawg mnyamAa wa Tanzania from Chuga dwarara
@emilyrenatus77716 жыл бұрын
What a clever way of making words
@anthonymsenga20316 жыл бұрын
Nakubali mzazi spack dow
@johnjohnson93746 жыл бұрын
safi sana asante milard ayo asante spack dog kazi nzuri
@amosimwiko64406 жыл бұрын
Respect chuganian
@deusmallya53473 жыл бұрын
Classment big up kwako
@benjaminsteven75606 жыл бұрын
huyo ndo mwenyewe sasa CEO wa yechuyechu fekeche dwasi nk
@RuzoOwzy6 жыл бұрын
Fekeche then Frinkinchii, Frankanchaa,
@victorcephas36186 жыл бұрын
Naomba kuwe na Dictionary ya Arusha.
@yusuphtully5406 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hamoudcreator63436 жыл бұрын
Kuna jamaa uku Upande wa kushoto, anaitikia Kila kitu... Huhuhu
@youngramajrtz22156 жыл бұрын
Wozaaa like kama umemsoma mwamba
@youngkacha6 жыл бұрын
Uyu jombaa ni Akili Mingi 💪
@DorotheaClemence9 ай бұрын
Akili mingi sn
@delsbeatstz47326 жыл бұрын
Spac ni kipaji maalum jamaa ana maarifa mingi sana, namuelewa sana !! Ni og sana
@uthmanmaluja7005 Жыл бұрын
Ayo tv acheni mambo ya kiwaki mnasapoti mambo ya kijanga Sanaa mbona unawafatilia Sanaa wadudu unashindwa kufatilia mambo yenye kunufaisha wananchi mnafatilia mambo ya kipuuzi sanaaa na wao wataona wanafanya vitu vizuri
@emmanuelimaxxaka7546 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kweli we frekeche frekeche umetisha mzee baba
@rashidramadhan41294 жыл бұрын
Vile nam zoom 👀👀👀 Mr Benificial namuona amekuwa mwenye uso mdogooo kama kuna hali flani anajiskia kwa hii interview
@shenamtukufu12243 жыл бұрын
Nakubali braza
@tonybrighter38786 жыл бұрын
Ni Yechu yechu Babalai baba aikatai aikatox na yededee yentee yentee mwendo wa Ngiri
@newtonsumari85546 жыл бұрын
SparkDoG Woh woh..achilia tu Chuga Dictionary...watt wa darfreemarket wanapata tab xana.!!
Unajua wale jamaa wa daasalade wakija chuga..utaskia wanasalimia mambo vip..kichuga tunamjibu sanaa dingi
@remedymoody6 жыл бұрын
Ukimsikia fisi anacheka hapo uneshapata ringtone😀
@denicejoseph86324 жыл бұрын
Kwel mzz
@ramadhanirashidi14366 жыл бұрын
Genius
@raysonsadik95626 жыл бұрын
Mtangazaji punguza kiti Moto arifuu ayo mashavu so poa
@athumannurdin62396 жыл бұрын
We jamaa wew unamasifa hahaha
@allymwihuva74736 жыл бұрын
😂😂😂
@evaristomsigwa66976 жыл бұрын
hanaga jipya babu
@amiribrahim62596 жыл бұрын
Mtoto ambaye yupo "minimized😂😁
@victorkitoti66296 жыл бұрын
kweli huyo ni spack mbwa Afrika tunaweza tuna ubunifu ila shida ubunifu wetu hauleti maendeleo tu
@shaabanramadhan67706 жыл бұрын
Yedede dingila nmekudere
@rogathesarwat69475 жыл бұрын
chuga mikono juuuuu
@abdullahrashid62976 жыл бұрын
Spack mkali Sana jombaa wa kitaa
@bboyem46456 жыл бұрын
Spack Dow Ninja
@animalfriendly11406 жыл бұрын
Ukidondosha kijiko unapata ringtone ngoja nidondoshe mwiko nione ntapata ringtones gani apa fas ya dwasi
@badmanno.16506 жыл бұрын
Kwa kweli hizi bangi tu..hamna mahisabu wala sayansi..huyo mtangazaji mwenyewe kaemewa..sema hio luga yakibangibangi ina mvuto sana arifuu..ndio nimeshabofonga..pambaneni ya ela yote..yechuuuu
@stevewhyt57556 жыл бұрын
Genius uyu mselaaa
@baloziubalozini50746 жыл бұрын
Akili nyingi sana huyu Ninja,.Kweli ni sayansi+mahesabu
@issaissa80476 жыл бұрын
Dingii ngoja nidondoshe kondom niskie ringtone nomaa sanaa
@youngrapperkaoneka65386 жыл бұрын
Mpeni interview ndefu anakitu huyo
@joelkaruga86966 жыл бұрын
R chugaaa nao wanalugha yao kama ilivyo kwa wamarekani weusi ,Inabidi chuga watafute. Lugha yao kama ilivyo Ebonic accent ambayo ndo lugha wanayotumia black American.
@PreygodMariki-pm1ym Жыл бұрын
Naikubali arusha hata demu wa kichuga hajui kuchunaa,ni og og
Godluck Samwel kweli mzee baba, mwisho wa sku ndo tunasikia yechuyechu hahahaha
@davieskilawe94064 жыл бұрын
@@FOGO_09 yeah sure...Nilikuwa Chuga mwaka 2006 - 2009,namtambua sana jamaa ni kichwa mnooo.
@deusdeodavid53606 жыл бұрын
Iv huyo jamaa ana akili timamu kweli.sasa hisabat inatoka wapi hapo, maana kaongea ila sijaelewa anazungumzia nn
@asiazuberi97226 жыл бұрын
Yechu yechu ndio nini ss 😂😂mnaharibu kiswahili iyo ni lugha ya kihuni ya bangi mbayaa💃💃
@8pistons1946 жыл бұрын
Yechu yechu yedede yente fikichifekecheee
@amosbinmahona99476 жыл бұрын
Kanga konki konki
@donathomsangidonathomsangi22246 жыл бұрын
Asia Zuberi ujitambui
@negroempire27466 жыл бұрын
Waanbie basata wafungie
@khalidyrashidy2056 жыл бұрын
Mbaya kwenu hapa ni yechu yechu tu aikorogi kitu apa aan
@susanlazaro74926 жыл бұрын
Eti mtangazaji mashavu,Jamani kwanini tunakosoa uumbaji wa Mungu??? Sio Vizuri
@abibumlotwa27226 жыл бұрын
Sijui yeye yupoje ujinga huu
@susanlazaro74926 жыл бұрын
Abibu mlotwa Yani sisi binadamu sijui tupoje daa
@abibumlotwa27226 жыл бұрын
Atazaa zombie we mwache
@famitoissanawanda62955 жыл бұрын
Una Busara sana asante mjinga hajui anathani kajiumba mwenyewe hongera
@highzacknnko40024 жыл бұрын
Shavu linataka kudondoka
@sospeternanyaro79742 жыл бұрын
💥
@Ambwenefilm6 жыл бұрын
We mtangazaji hilo shavu peleka gym unaharibika yaani umefutuka sana
@hakikahajojm5486 жыл бұрын
Sijaelewa kitu hapo
@lidyaalmasi95756 жыл бұрын
Hahahahaa nakukubali laana
@melkizedeckkimaro20946 жыл бұрын
eti app za sayansi. na mahesabu
@majorplans41206 жыл бұрын
Hahahahaha ni yedede sana babaako.
@immahtemu2986 жыл бұрын
Watupe ujuzi, i wao wakutumia hicho kiluga
@eliarichard92186 жыл бұрын
nice
@zumbeshauri81146 жыл бұрын
kweli huyo ni fundi
@joshuajacob24646 жыл бұрын
Unatutingisha mjomba mbwa😁
@ackshuba86796 жыл бұрын
hivi Ukivuta bangi kwa mda mrefu sana baadae unakuwa mwanamahesabati ee
@baltazaryerick71084 жыл бұрын
haikatai haikatox dingilai
@collinsstanley61262 жыл бұрын
☠️☠️☠️👊👊⛽️⛽️
@timothmwakakusyu45636 жыл бұрын
bangi ikikomaa kichwani, huleta hesabu za fyekechefyekeche badala ya hesanu za log, set, trig.....n.k msituletee mambo yenu ya kifyekechefyekeche maana wakipatikana njalo kumide kama nyinyi kiswahilide kwishneyde.
@Vmgafricatz6 жыл бұрын
#Babaako #SpacMbwaa
@robin_MMM4 жыл бұрын
at the end of the day bado dar es salaam ina-run tanzania, ndio maana machalii wa arusha wakitaka kutoboa kimaisha kupitia sanaa lazima wahamie dar. mfano ni mingi, anzia kwa kina joh makini na kundi lote la weusi, hawa wote wamehamishia makazi yao dar es salaam.
@philiposhilingi72886 жыл бұрын
good spark
@KIREDIOO6 жыл бұрын
anajua uyu boy
@allystandardtz80176 жыл бұрын
misemo gani mbona siijui nachojua mimi ni konki konki masta
@benmsuya60166 жыл бұрын
ww mwanaume wa dar huwez elewa kitu kama iyo arifu
@muhammadibrahim46496 жыл бұрын
Yes u yes u
@shaqdizo76786 жыл бұрын
Mtangazaji Ana sura Kama komba😂😂mchaga huyo😂sura nzito uso mrefu
@asiazuberi97226 жыл бұрын
Astakafirullah...hahah dhambi ujue ww
@captenndunga67456 жыл бұрын
Nakufananisha na BALHAM aliuza pepo kwa ajili ya dunia... Jifunze kuchunga ulimi ndugu.. Mungu anasema usilolijua ni bora ukakaa kimya maisha ni kitabu ndugu.
@shaqdizo76786 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@obimtarimo69856 жыл бұрын
Yechu yechu
@bedatv56346 жыл бұрын
usisahau ku like page ya ujenzi wa kisasa zone. facebook facebook facebook
@jordanyperico15296 жыл бұрын
King spacq
@muniraahmed6246 жыл бұрын
Jordany Perico pilazo
@ibnabou18866 жыл бұрын
Huyu jamaa n shida
@therapper42546 жыл бұрын
Mbona spack ni star tu aisee unafanya hajulikani?
@ramamchomvu20466 жыл бұрын
Andrew bana dah
@jumaissa62296 жыл бұрын
Huyu mtanganazaji anataka kufanya mambo yaonekane makuuubwa...! Hamna kitu hapo
@hkeenshine84536 жыл бұрын
genius
@lullebolle80810 ай бұрын
Jamani huyu sio tumesoma nae meru au?
@vediantazvedastus61076 жыл бұрын
utumbo na wizi tu mnatuharibia lugha na MB yan baadh ya vijana watu wa arusha mnajichanganya ...msione kuwa na mlima kilimanjaro mkavimba kichwa kwamba kila kitu mnachofanya kiwe vivutio .... vingine achen ha ha ha ha ha
@ramadhanhemed99316 жыл бұрын
Vediantaz Vedastus rejea misimu kama ulipata bahat ya kupita shule. sio kosa hili
@vediantazvedastus61076 жыл бұрын
sawa misim ipo lakin iwe na tija kwa jamii maana hata wavuta bang wana lugha zao zinazozuka na kutoweka ...sawa bro au wwe una mtazamo gani
@muniraahmed6246 жыл бұрын
mtangazaji mashavu shazi😁
@amiriramadhan77536 жыл бұрын
😀😂😀😀😂😂😀 jamani watu mnanongwa nyie
@dominiclazaro27676 жыл бұрын
Nimekuelewa
@abibumlotwa27226 жыл бұрын
Lkn munavoongea muwage mmezaa aya mtazaa vibwengi
@reubenkissinga58026 жыл бұрын
Nakupenda mamii
@muniraahmed6246 жыл бұрын
Reuben Kissinga enks 🙏
@fadhili22936 жыл бұрын
Hii misemo ukisikia mazingira ya inavyotengenezwa utajua tu ni misemo inayohusiana na mazingira ya wizi yani uhalisia wa mazingira halisi ya wizi. asa apo kwenye solex na kuikata na utumbo wa solex kutoka ni mazingira gani??. afu fasidwas si ni mwizi huyo. Kweli BANGE ya Arusha sio ya nchi hii. Binafsi nimemuelewa spark kuwa huo uimbaji sijui uanamuziki ni zuga tu. kuna mishe haramu nyuma ya misemo yake.
@bwegelanyakhaido30886 жыл бұрын
Fadhili tupo pamoja wa jina
@pablomufasa8546 жыл бұрын
Fadhili arusha wana imitate lifestyle ya marekani yani wanaishi maisha ya kitumwa kifungwa kama wamarekani sisemi ni mbaya ila naona kama wanayapeleka maisha yao katika mazingira ya kuiga culture ambayo wanao waiga hawajipendei wale wamarekani ni kweli kule wananynyasika maisha ya geto kukosa ajira wizi na vitu kama hivo hawajipendei ndio uhalisia lakini sasa Arusha hakuna huo ubaguzi hakuna mambo ya racism na geto life wap wanaamua nafasi ziko nyingi na ajira ziko bado wenzao kule hakuna nafasi kwahyo ile life style ni maisha halisi ambapo watu wa chuga wanaikopy na uhalisia haupo hivo kwahyo nao wanaiba na kukaba kama vile vijana wa kimarekani ..bangi
@negroempire27466 жыл бұрын
@@pablomufasa854 sawa
@timmztimam39906 жыл бұрын
Hahahahah usilolijua ni Usiku wa Giza totoro.. #Nil Vil bonge ya Album! Uskae kiree
@delsbeatstz47326 жыл бұрын
Huyo ni msanii sio mwizi, ni ubunifu kama ulivyo ubunifu mwingine, wezi wapo wanaovaa suti sio kila unayemuona au sio kila anayoyatamka mtu ni mwizi !!
@abibumlotwa27226 жыл бұрын
Munaomponda mtangazaji kama hamjazaa shaurizenu mtazaa mazombi
@mtumishiabiudimassawe89743 жыл бұрын
Hii luga imebeba kitu cha Siri ndani yake
@luteking6 жыл бұрын
Sijawai kuona mtangazaji wa mishavu kama huyo 😁😁😁
@asiazuberi97226 жыл бұрын
😂😂
@sweetmama68856 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙊
@yangboysmauzo03106 жыл бұрын
Spak mbwa
@munamamirisho24664 жыл бұрын
Nimemdeku
@taraajonii34036 жыл бұрын
Founder of street langauge
@joelkaruga86966 жыл бұрын
AAVE ni lugha wanayotumia black americans cz English wanayoongea sio proper English ,AAVE inamaanisha african american venacular english.Pia R chugaa nao wanakiswahili chao na lafudhi yao itabidi wawe na dictionary ili wengine tujifunze.
@GodopeTZA6 жыл бұрын
😂🙌🏽🙌🏽
@valentinamussa42126 жыл бұрын
Kiswahili cha bangi hicho
@yohnafanuel64896 жыл бұрын
*Vitu vingne sio lazma upost bhna unazingua muda mwingne