Mada: Eti Qur'an Ni Muujiza! Ustadh Ramadhan Na Mwalimu Ismail

  Рет қаралды 7,545

Ex Imam Tv

Ex Imam Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@catherinenyokabi5746
@catherinenyokabi5746 3 жыл бұрын
Mwalimu Imam GOD BLESS you uko na hekima kumbwa sana ya MUNGU.
@sefaniaslyvestertv1498
@sefaniaslyvestertv1498 3 жыл бұрын
Nimewiwa niwe wa Kwanza kukupongeza kwa kazi nzuri barikiwa Sana na Bwana Yesu kristo
@eximamtv926
@eximamtv926 3 жыл бұрын
Sefania! Bwana apewe sifa siku zote. Ubarikiwe pia katika jina kuu la Bwana Yesu aliye hai
@mathiasngomango2570
@mathiasngomango2570 3 жыл бұрын
Mkristo upo vizur Mungu aendelee kukutumia
@kevohmungai8534
@kevohmungai8534 3 жыл бұрын
kazi nzuri sana mwalimu wangu
@justinendizeye714
@justinendizeye714 3 жыл бұрын
Elimu nzuri inaitajika kbsa, dah uelevu Pia mchace, Bwana yesu ni mwana wa mungu, Amen 🙏
@joasgeorge3710
@joasgeorge3710 2 жыл бұрын
Weweee!!!! YESU ndie wa Kwanza na WA Mwisho lini mohamadi awe wa mwisho
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Biblia ndio unathibitisha utabiri wa Mtume muhammad au hulijui ilo?
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
​@@dulividuli5237 Duuh Biblia gani hiyo? au katika andiko gani?
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 "Siku ya Mkutano katik Horeb,wana wa Israil walipokataa Kuskia Sauti ya M/Mungu,Mungu alimwambia Musa"Wametenda vyema kusema walivyosema,Mimi nitawaondokshea Nabii Miongoni mwa Ndugu zao Mfano wako wew,Na nitatia Maneno yangu Kinywani mwake.Naye atawaambia yote nitakayomuamuru,hata itakuwa,Mtu asiyesikiliza Maneno yangu atakayotasema yule kwa jina langu,atauwawa,lakini Nabii atakayenena Neno kwa kijikinai kwa jina langu ambalo sikumuagiza Kulinena,au atakaye nena kwa jina la Miungu mengine,Nabii yule atakufa"(Kumbukumbu la Torati 18,16-20) huu ndo ulikuwa Utabiri wa Mtume Muhammad(S.A.W).
@nsambaadvocates1327
@nsambaadvocates1327 2 жыл бұрын
Mwalimu wa kiislamu amesema Muhammed hakupewa miujiza Tena anakupea kitabu Cha miujiza
@gitargitar8332
@gitargitar8332 3 жыл бұрын
mimi ni mkristo sasa watakaje
@gitargitar8332
@gitargitar8332 3 жыл бұрын
kikuyu waah
@the_usual_suspect9437
@the_usual_suspect9437 2 жыл бұрын
This seems like a very genuine evangelist! No hint of pride or vainglorious talk! Subscribed!
@samuelondieki9164
@samuelondieki9164 Жыл бұрын
Hapo Ramadhan Muhammad kwenda pinguni na kuludi mbaka nyumba yake nakataa mwili huu kwenda nayo nakuludi hakuko uongo
@gitargitar8332
@gitargitar8332 3 жыл бұрын
more mad alioa mtoto
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 Жыл бұрын
Hio hilikuwa ndoto usiku uliza Bibi yake
@joasgeorge3710
@joasgeorge3710 2 жыл бұрын
Kutowa Watu kwenye giza ni Kuwareta Watu Kwa Yesu Wala Mohamed hajafanya hivyo aliwapeleka katika Nuru gani? kama hajawapoteza? Yohana3:16 YESU ndie Nuru Yohana 1:4
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Yesu na Muhammad kaz yao ni Moja na mafundisho yao yalikuw yanalenga juu ya kumuabudu Mungu Mmoja lakin nyinyi wakristo Mnaend kinyume kabisaa na mafundisho ya Yesu na wala hamumfuati.
@charokazungu1655
@charokazungu1655 Жыл бұрын
​@@dulividuli5237 yesu na Mohamed hawana uhusiano kabisa
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 2 жыл бұрын
Ramathani ameshindwa hoja kbsa
@jolinkimaro9939
@jolinkimaro9939 3 жыл бұрын
safi lakini nilivyomuelewa ramadhani ni kama anamaanisha hakuna miujiza kabisa hata kanisani kama ilivyo msikitini. na akasema hata muhammad ni mtume wa mwisho hakufanya miujiza ispokuwa kutoa dalili na kuonya. lakini akasahau kama ilivyo kawaida akatoa kitabu cha miujiza ya muhammad. haya hapo sasa kwako mwalimu wangu Ismail ukiitwa na Yesu umshuhudie tunakusikiliza utuwakiloshe.
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
Mohamed aliambiwa na nani yeye ndiye WA mwisho..?
@justinendizeye714
@justinendizeye714 3 жыл бұрын
Tatizo nimiujiza????, Leta hoja ustadh
@evangelistkenyanzapaul3527
@evangelistkenyanzapaul3527 3 жыл бұрын
Mwalimu naomba pia ikiwa waweza guzia kuhusu chanjo, maana wakristo wengi Wana elimu tofauti
@eximamtv926
@eximamtv926 3 жыл бұрын
Ex. Kenyanza! Ubarikiwe sana kwa mda wako! Bwana atujaalie tuweze kulifusia
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
Eti Muhammad alifanya mijiza Gani 😂😂😂
@daudimichael7338
@daudimichael7338 3 жыл бұрын
Pamoja na mada ni miujiza ila mimi niulize jambo moja alilosoma ustadhi Quran 13:7. Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, je wanawake? Pia Mwanzoni alisema Muhammad hakuletwa kutoa miujiza akinukuu Quran 13:7, mara anatoa kitabu alichoandika kwamba Muhammad alifanya miujiza. Tushike lipi? Muhammad alienda israel na baadaye mbinguni na kurudi duniani nyumbani kwake USIKU, Kwanini usiku, nani alimuona kwa macho akashuhudia? Maana Yesu alifanya miujiza mchana kweupe na watu waliona, lengo likiwa ni kuinua imani kwa watu kwamba yupo Mungu mtenda miujiza, watu wamwamini.
@eximamtv926
@eximamtv926 3 жыл бұрын
Ndugu Daudi! Hivyo ndivyo waislamu hawajitanbuwi kabisaa! Mimi nilinsikiliza kwa makini, sasa Mungu akipenda, tutakutana sehemu ya pili ili uongo wake udhihirike. Bwana akubariki sana
@jolinkimaro9939
@jolinkimaro9939 3 жыл бұрын
Daudi mimi nimejikuta nimecheka kwakuwa miujiza hamna kisha atoa kitabh cha miujiza. yaanu hayo yote ni kutojua anatetea nini. alafu aya muhammad si baba wa yeyote mie binafsi siwezi kuikubali maana chanzo cha hiyo aya hata muhammad angefufuka leo akutwe imeandikwa angeenda kuchekea mbali maana anajua kabisa ilitokana na nini. mie nisem mijuiza ipo ya sahihi na nimeshuhudia live kabisa. lakini ya uongo pia nimeona. isipokuwa inabidi watu wakiisha kuokoka wafundishwe na wafundishe ili imani izae mambo ambayo ni ya Mungu pekeake.
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 Жыл бұрын
Huyo Aliyesafiri Usiku Kwenda Mbinguni Ni Pacha Wa Mfalme Zumaridi Tu.
@charokazungu1655
@charokazungu1655 Жыл бұрын
​@@eximamtv926 nilijua ukipatana naye mungu aliye hai atajidhihirisha
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 Жыл бұрын
Himeandikwa na walevi wa kupindukia
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 Жыл бұрын
Hilikuwa doto eisha alisema akutoka kwa nyumba ukiuta uko najiria na uko Kenya umenda jibu ni uongo
@aliiushuru8597
@aliiushuru8597 2 жыл бұрын
Miujiza imekithiri
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Yesu Hana mfano, hakuna kitabu kama injili.vitabu vyote vinaubinadamu ikiwmo kitabu vitabu vya agano la kale na Q,ran
@michaelwainaina4476
@michaelwainaina4476 3 жыл бұрын
Kuria Bin Kaguo, huo mujia wa safari ya Miraj ni feki, msikiti wa Al-Aksa uliisha kujengwa 705 AD, muhammad alikuwa amekufa miaka 70 iliyopita, alifufuka ili afanye huo muujiza?
@zenassylvester125
@zenassylvester125 2 жыл бұрын
Kwenye biblia Ismail au Ishmael hakuwa nabii wala hana unabii
@josephkiswili1955
@josephkiswili1955 3 жыл бұрын
(Yoshua 3:17 )inasema Israeli ni TAIFA tena (zaburi 83:7 ) inasimulia pia,Ramathani unatuambia Leo eti Palestine ndio walikuwa taifa eti Israeli hawakuwa taifa tutakuelewa vipi wakati BIBLIA inataja kwamba Israeli ni TAIFA wewe unakanushaa rudi shule kaka.
@hussenihusseni2761
@hussenihusseni2761 3 жыл бұрын
Acha umbumbu kasome historian ibrahim anatoka kwao Iraq anakuja parestina wakati huo hakuna muislael hata Momoja walikuwa waferist watupu wenye nchi Yao
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 2 жыл бұрын
Ubarikiwe ndugu yangu nakufa kutoka Rwanda Kigali naomba number yako ya wstp yako mwalimu wangu
@eximamtv926
@eximamtv926 2 жыл бұрын
Kabare Zephanie! Ndiyo hii. +254 725 508 108. Ubarakiwe sana ukiwa Randa
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 3 жыл бұрын
Ramadhani Anataka tukubali Qor'an ni muujiza lakini hataki tukubali Biblia ni muujiza😏. Ati Mohammed alienda Mbinguni na akarundi🙄🙄duh🤦‍♀️🤦‍♀️..
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Hebu twambie Mtume gani aliepewa Kitabu Cha Biblia?
@isayajerad
@isayajerad Жыл бұрын
Sasa nyinyi waganga wa mhamad mbwa nyinyi mmejaa majini waga mnamabadiriko gani zaid ya ugaidi kwanini badara kuwa magaid wa mhamad usimtafute mungu kweri mbwa nyinyi mmejaa majini waga inawasaidia Nini maana hakuna mnacho fugiaga m
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Kwanz tunatak mtwambie Biblia kapewa Mtume gani Maan kila kitabu kina Mtume wake Mussa Taurat,Issa Injili,Daud Zaburi,Muhammad Qur'an je Biblia kapewa nani?
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
@@isayajerad "Yeye ndie(Allah) aliemtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki ipate Kushinda Dini zote,ijapokuwa Washirikina(Wakristo)watachukia"(Surat At-Tawbah Aya ya 33)Qur'an.
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
"Bila ya Shaka wamekufuru wale waliosema;M/Mungu ni Masihi(ISA) Bin Maryam na hali ya kuwa Masihi alisema"Enyi wana wa Israil! Muabuduni M/Mungu,Mola wangu na Mola wenu,Kwani anayemshirikisha M/Mungu,Hakika M/Mungu atamharamishia pepo na mahali pake patakuwa ni Motoni,na Madhalimu hawatakuwa na wasaidizi(wa kuwasaidia Siku ya Kiyama)"(Surat Al-Maida Aya ya 75)Qur'an.
@kamanjamwenjerwa7032
@kamanjamwenjerwa7032 3 жыл бұрын
Ndugu yangu mukristo waelezee. Niko Europe Myahudi na Mzungu wanajua hatari ya uislamu. Ni watu wabaya. Mzungu anasema they are disturbed SOULS VERY DANGEROUS
@shirikaniyonkuru6560
@shirikaniyonkuru6560 3 жыл бұрын
Wapi ismael alikuwa nabii wamungu wapi? Mna u shuhuda wowote nje ya koran?!
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Kwan nabii maana yake nini?
@swabirswabiri1714
@swabirswabiri1714 2 жыл бұрын
We ni kichaaa .
@kariukiwagas
@kariukiwagas 2 жыл бұрын
@@swabirswabiri1714 wapi ismaeli alikuwa nabii
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
​@@husseingabo5497 kwani Ismail alikuwa nabii wa wapi?
@josephkiswili1955
@josephkiswili1955 3 жыл бұрын
Nauliza Ramathani kwa nini wakati wa YESU miujiza ilifanyika YESU akaondoka mitume wa kafanya miujiza Mohamed alipo kuja ikakoma bonaa.
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 3 жыл бұрын
Kwa hiyo wewe huwezi kuamini mpaka uone miujiza?
@Kijazi1132
@Kijazi1132 3 жыл бұрын
Yesu alimfufua razaro akimuomba Mungu ili kundi lililiko pale lijue yesu katoka kwa Mungu. Sasa kama yesu anatosha yanini miujiza mtaani?
@Kijazi1132
@Kijazi1132 3 жыл бұрын
Jamaa kakataa miujiza ya kanisani
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 3 жыл бұрын
Mohammed alikuwa muuaji tena hatari sana!!
@tsumamartin6878
@tsumamartin6878 2 жыл бұрын
Leo ramadhani amepatikana
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 2 жыл бұрын
Ismael hakukuwa nabi alakikuwa mtuto wa mujakazi, yani Ismael alikuwa haramu
@bonifaceirungu3944
@bonifaceirungu3944 2 жыл бұрын
Ukilaumu miujiza kanisani, je mchawi akimroga mtu afe na anakufa kweli, je si muujiza huo?
@bonifaceirungu3944
@bonifaceirungu3944 2 жыл бұрын
Muujiza hutendewa wanadamu wakitazama na wanaona kilichotedeka na wakakubali ni muujiza . Swali langu ni, walioshuhudia Muhammad akipaa binguni ni akina nani ? Ama ni hadithi alihadithia watu? Pili , alienda kuupasua mwezi kwa kuwa Mungu muuba wa bingu na nchi alikuwa ameuumba visivyo ama?, na niakina nani walioshuhudia Muhammad akipasua mwezi?, kwani, mwezi ni size gani ? Ni kama bulb ya stima ama? inaposemeka kuwa mwezi ni mkubwa kuliko dunia ama ardhi je ni kweli? na kama ni kweli, Muhammad alitumia miaka mingapi ili kuuzunguka mwezi ili aupasue? Kusudi lake lilikuwa gani ? na ,tofauti ya mwezi wa wakati huo kabla Muhammad hajaupasua na sasa baada ya Muhammad kuupasua ni gani? Kristo alipofanya miujiza ,watu waliiona kwa macho, alipokuwa akipaa kwenda zake binguni wanafunzi wake waliona, yaani haikuwa hadithi ati alikuwa akiwahadithia watu ati anawaambi, mimi Kristo nishawahi kufanya hivi na vile. Kwa hivyo my friends, hadithi ziitwe hadithi na miujiza iitwe miujiza
Kwa Nini Baadhi Ya Waislamu Wanavikataa Vitabu Vyao?
1:30:41
Ex Imam Tv
Рет қаралды 352
Mashetani Watatoka Baharini Na Kuwasomea Watu Qur'an.
25:07
🎈🎈🎈😲 #tiktok #shorts
0:28
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 4,5 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
Sheikh Mwaipopo! Haya Ndiyo Maneno Yangu Kwako. +254725508108
40:00
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 24 М.
Wanafiki Walikuwa Wengi!! Qur'an 9:101.
1:12:55
Ex Imam Tv
Рет қаралды 468
NIMEWACHA KUWEKA MAANDIKO VIRAKA - NASAHA YA UPOLE KWA MWINJILISTI NDACHA
1:47:33
Kwa Nini Niliuacha Uislamu Na Uimam? Pt-2
46:56
Ex Imam Tv
Рет қаралды 4,9 М.
Waislamu Walikuwa Wakinywa Damu Na Mkojo Wa Mtume Muhammad.
32:26