Part 1_ USHUHUDA WA PETER RASHID ALIYEKUWA SHEHE SHARIF ABUBAKAR MAJINI

  Рет қаралды 50,189

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JIUNGE NA MAGROUP YETU YA WASAP KAMA UNGEPENDA KUWA MCHANGIAJI WA KILA MWEZI KAMA IFUATAVYO:-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 248
@leahdaniel1117
@leahdaniel1117 Жыл бұрын
Asante YESU KRISTO BWANA wetu kwa ukombozi na huruma yako kwetu wanadamu hivi usingekuja kuharibu kazi za shetani dunia ingekuwaje tungefanyaje sisi wanadamu!!!! Ooooh haleluya nitakuabudu milele na kukuishia wewe MFALME Simba wa kabila la YUDA
@الوردالورد-ز4غ
@الوردالورد-ز4غ 4 жыл бұрын
Be blessed pastor Gwajima wewe ndio ulinifunza kuhusu misukule
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Askofu wetu Gwajima ni mtu wa mbinguni. Abarikiwe na Mungu wetu
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 жыл бұрын
@@estasage5506 We ndo Mungu hadi umuite mchungaji ni mwenye heri? Hivi waumini wa siku hizi nani kawaroga? Ni Mungu pekee ndiye ajuaye yupi ni wa mbinguni au wa Jehanamu maana yeye ndiye anayejua uchafu au usafi wa mioyo yetu.
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
@@abbyadams8691 Mimi wala sirogwi ndugu yangu. Shida lako ni kwamba nimesema Baba Gwajima ni mchungaji? Mimi sikumuita ni Mungu wala sikusema anazo funguo za mbingu mkononi mwake. Samahani usije ukanikwaza.
@IANA2030
@IANA2030 4 жыл бұрын
@@abbyadams8691 🔊🔊🔊🔊louder please
@carolyneoirere4748
@carolyneoirere4748 4 жыл бұрын
Hata wamuseme vibaya Gwajima amefungua wengi nikiwa mmoja wao Mungu azidi kumutumia
@carolinederi5690
@carolinederi5690 2 жыл бұрын
Thahedi shajara I remember it now it's Arabic words meaning chini ya mti you are correct be blessed
@HermanLyimo-rf3co
@HermanLyimo-rf3co Жыл бұрын
Hongera mchungaji Kwa ushuda mzuri nimejifunza sana ilamutumishi WA mungu nakuomba ututalie majini yote mana hata Mimi ni mtumishi tukiyajua inakwa rahisi kufanya KAZI ya mungu asante sana na mungu WA Israeli Akubariki sana Amina
@mudinhomeshack9041
@mudinhomeshack9041 2 ай бұрын
Sio mchungaji huyo ni mtume wenu😅😅
@glorytoGod639
@glorytoGod639 4 жыл бұрын
Mtumishi hongera sana kwa kazi nzuri, nauliza kama ameandaa vitabu huyu mtumishi, au CD zenye undani wa huu ushuhuda, tafadhali naona kuna vitu anaongea nafikiri nahitaji ukombozi navyo
@mariachannelke9769
@mariachannelke9769 4 жыл бұрын
Ata nikija kichelewa bado nafika ku present🇰🇪🇰🇪
@henryosoro7696
@henryosoro7696 4 жыл бұрын
Nimesubscribe channel yako dear maria
@mariachannelke9769
@mariachannelke9769 4 жыл бұрын
@@henryosoro7696 thank you very much,God bless🙏
@carolynadhiambo2543
@carolynadhiambo2543 4 жыл бұрын
Ushuhuda mzito sana huu, Barikiwa dakitari wa roho Mungu akuinuwe kwa kazi yako
@deborahnambuya2705
@deborahnambuya2705 2 жыл бұрын
Wow!! Jehovah Lord of Lords have mercy on us!
@jumakana3252
@jumakana3252 2 жыл бұрын
Muogope mungu.Lize lizima linasema uongo.Fanya kazi kama wenzako uache kuishi kwa uongo.
@mwesigwaannte6751
@mwesigwaannte6751 4 жыл бұрын
Asante sana kwa kazi yako nzuri Part 2 please
@selemanimakale2808
@selemanimakale2808 10 ай бұрын
Kama mnaweza kutengeneza vilema ije kuwa hiyo story!
@monicahnjeri257
@monicahnjeri257 2 жыл бұрын
GOD BLESS YOU
@henryosoro7696
@henryosoro7696 4 жыл бұрын
Haha.. Waislamu nyinyi Yesu anawapenda Sana.. Na mkija kwa Yesu mnakuwa wahubiri.mmeitwa nyote mje kwa Yesu
@jovithajovinary9305
@jovithajovinary9305 4 жыл бұрын
YESU krisito apewe sifa na utukufu mkuu mno,,sheitani ananguvu Tena ,kwa wale wanamkubali Yesu,Ruka 2 :8-15•11 Yesu ni mwokozi wetu ,Mimi ameniokoa wenu jovitha au jv ,karbu kanisani rhema bisheke ahsante
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 жыл бұрын
Yohana 8:40
@danielkwilemba4715
@danielkwilemba4715 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 4 ай бұрын
HAHAHA hahaha pole Sana dunia dunia dunia tumbo litatufikisha pabaya
@PapáZongwe
@PapáZongwe 11 ай бұрын
Pole.sana
@fetykhassimu4775
@fetykhassimu4775 2 жыл бұрын
Mungu awabariki
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mungu aendele kukulinda
@mtotowaray1726
@mtotowaray1726 2 жыл бұрын
Mungu sio mungu
@fei3668
@fei3668 4 жыл бұрын
asante sana 🙏barikiwa mtumish
@sophiajonas3459
@sophiajonas3459 2 жыл бұрын
Abbove all power
@julianamasila
@julianamasila 2 жыл бұрын
Jesus is above all
@sophiajonas3459
@sophiajonas3459 2 жыл бұрын
Amen.
@graciabutuyu6023
@graciabutuyu6023 2 жыл бұрын
Jesus Christ is the way the truth and life no one,no power is above Jesus Christ
@mudinhomeshack9041
@mudinhomeshack9041 2 ай бұрын
😂😂😂😂 duh huu owongo dhahiri dhahir
@kalamajulius6107
@kalamajulius6107 4 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda huu jacktan ubarikiwe sana wewe ni MTU wa nguvu sana
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Amen
@shafymtupili1075
@shafymtupili1075 4 жыл бұрын
Wewe ni mchawitu
@kalamajulius6107
@kalamajulius6107 4 жыл бұрын
@@shafymtupili1075 lakini shafy si uislamu niuchawi tu BRO
@michaelmwakibinga7699
@michaelmwakibinga7699 4 жыл бұрын
Umeeleweka
@الوردالورد-ز4غ
@الوردالورد-ز4غ 4 жыл бұрын
Jina la Yesu liinuliwe kabisa
@ladybbby1247
@ladybbby1247 4 жыл бұрын
Yesu kama alishindwa kuondoka kwenye misumari miwili kuna kitu anaweza kweli?
@amedeusmodestikimey9888
@amedeusmodestikimey9888 4 жыл бұрын
Aminaa Mtumishi tuko pamoja sanaa
@amedeusmodestikimey9888
@amedeusmodestikimey9888 4 жыл бұрын
@@ladybbby1247 kumbe mnaamini AKIPIGWA msumari eee
@godfreytadei2070
@godfreytadei2070 3 жыл бұрын
Allow
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 жыл бұрын
@@ladybbby1247 🤣🤣🤣🤣
@noelashaoona
@noelashaoona 4 жыл бұрын
More please
@daudilazaro5551
@daudilazaro5551 4 жыл бұрын
Hilo jina tu duh. ila mungu ni mwema
@fetykhassimu4775
@fetykhassimu4775 2 жыл бұрын
Mungu ni mkuu
@godfreytadei2070
@godfreytadei2070 3 жыл бұрын
Ameen
@nicolemulonda8984
@nicolemulonda8984 4 жыл бұрын
Karibu katika jamaa takatifu kaka.
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 10 ай бұрын
Waslam ndo wapinga klisto yesu yupo ai muamad yup kabulini nayeye anasubilia kiama
@HusseinMustafaParmar
@HusseinMustafaParmar Жыл бұрын
Sharifu pia ina maana mbili : Maana ya kwanza ni wale wanaotokana na kizazi au ukoo wa Mtume Muhammad. Hio tafsiri inatumika sana kwa Waislamu Wasunni Mashafi, na hususan katika jamii za Waarabu. Sharifu kwa maana ya pili ni wale waliobarikiwa na nguvu za Ruhaniyat, yaani nguvu za kiroho na miujiza katika Uislamu. Hio maana inatumika au jina hilo kwa tafsiri hilo katika Waislamu Wasunni Mashafi katika kundi la Sufi. Baadae kuna jina linaitwa Syed (inatajwa Sayyid), ina maana mbili pia : 1. Ina maana ya wale ambao wanatoka ukoo wa Mtume Muhammad. Hio inatumika jina sana katika jamii za Kishia hususan Mashia Wairani. 2. Syed pia ina maana ya wale waliosoma elimu ya juu sana ya dini katika theology au masomo ya Kiislamu
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
Hakika Mungu anatoa mbali watu wacha tumpe sifa
@MohammedSaid-qr1zn
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Hivi nyinyi wakristo mtadanganywa mpaka lini duh poleni
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Жыл бұрын
@@MohammedSaid-qr1zn hapa tumedanganywaje ?mbona facts ziko wazi?
@esperanceniyonkuru2683
@esperanceniyonkuru2683 3 жыл бұрын
mungu asifiwe
@mtotowaray1726
@mtotowaray1726 2 жыл бұрын
Mungu sio mungu
@shetijay
@shetijay Жыл бұрын
Jesus Christ is the only way,tumkubali kristo tungali vijana,tungali na nguvu,tungali na akili zetu timamu,Yesu yuko tayari kutusaidia lakini zaidi ya yote,yuko tayari kutuokoa kutoka kwa dhambi na dhambi,swali ni moja tu!,je! utamkubali Yesu na masharti yake yote,maana yeye(yesu)pekee ndiye mwenye uwezo na sio vinginevyo
@preciouslissahparis1352
@preciouslissahparis1352 2 жыл бұрын
Duuu miaka yote hiyoo.haki shetani halalo
@mudinhomeshack9041
@mudinhomeshack9041 2 ай бұрын
Duuuuuh abdul maan yke ni inama mzee acha uwongo abdul maan yake ni MJA
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 8 ай бұрын
Shekhe yahaya Hussein mtabili wa nyota African ameshaafariki kwa sasa
@nurumasha
@nurumasha 4 ай бұрын
I'm proud to be Muslim wala siogopeshwi na hao wanaouchafua uislam kwa maslahi yao binafsi
@issakayogoma7463
@issakayogoma7463 3 ай бұрын
kaka mpokee Yesu Kristo, uislam dini ya SHETANI allah
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 Ай бұрын
Ndo shida hiyo badala ufatilie ukweli
@maliakaponya3208
@maliakaponya3208 19 күн бұрын
Ukija kufa ndo utajua ujui...yesu ndo uzima wa milele achen kuabudu majini yana wapotosha njoo yesu anakupenda
@drnow1528
@drnow1528 4 жыл бұрын
Type part 2
@mudinhomeshack9041
@mudinhomeshack9041 2 ай бұрын
😅😅😅 mtume
@rajabuhassani8426
@rajabuhassani8426 2 жыл бұрын
Kachanell kamichongo Mungu anawaona
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Isaya 56 10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto hulala, hupenda usingizi, 11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote. 12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi
@Brown0068
@Brown0068 4 ай бұрын
acha kunyofoa maandiko, soma elewa vzr biblia huwezi ielewa kama huna roho mtakatifu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 4 ай бұрын
@@Brown0068 Hosea 9:7 SRUVDC Siku za kupatilizwa zimekuja, siku za kulipa zimefika; Israeli atayajua hayo; huyo nabii ni mpumbavu, huyo mtu mwenye roho ana wazimu Biblia ishakujua km ukiwa na roho tujue unawazimu
@nellyk2560
@nellyk2560 2 жыл бұрын
Yesu ndie njia
@lifeofvicky91
@lifeofvicky91 2 ай бұрын
Ya kweli na uzima
@HusseinMustafaParmar
@HusseinMustafaParmar Жыл бұрын
Mimi nilizaliwa katika jamii ya wahindi Makhoja Shia Ithnasheri Waislamu na walikuwa wanafanya uchawi na mimi walinifanyia uchawi tangu utotoni, na wanafanyisha baadhi ya wanawake uchawi kama walivyomfanyia mama yangu, na wakawa wananinyanyasa kwa jinsi mama yangu alivyokuwa na walivyombaka mama yangu wakimchukua kikatili kama malaya, na wakataka wanifanyishe na mimi umalaya, baadae baadhi yao huwa ni matajiri sana lakini hawana watoto kwa sababu wanua kizazi kwa itikai zao za kichawi ili wawe matajiri, na baadhi yao wanakuwa matajiri sana lakini watoto wao wanakuwa baadhi yao yaani mmoja wa watoto anakuwa chizi ili anafanywa uchawi ili alete hela nyumbani, na baadhi yao wanawapa watu sadaka ya vyakula ambavyo humo wanaweka uchafu wa hedhi na mambo mengine mabaya ili mtu anaekula vyakula haya anakuwa chizi na anawaza kuomba tu na anajichanganya na kila anvyoomba ndivyo wanavyokuwa matajiri. Mimi walinifanyia chanjo na kunifanyia mabaya na uchawi, na ukatili wao walivyonifanyia, sio sasa tu watu watashangaa, lakini utotoni nikiwa mtoto yatima ikawaonea huruma wale waafrika Sunni na waarabu Sunni katika Watanzania walionionea huruma wakanisaidia, na wengine walionisaidia wakasitikika vile walivyoninyanyasa na kunifanyia ubaya, kina Sheikh Khalfan, mke wake, mfagiaji Saidi wa Mskiti wa Manyema, na wengine, wakanionea huruma kwamba kwanini wanakufanyia ukatili huo na wengine walioona kama Mama Neema ni mama mkatoliki mtanzania, na wengine walioona minyanyaso yao na ukatili walionifanyia
@HusseinMustafaParmar
@HusseinMustafaParmar Жыл бұрын
Mama Neema alinisaidia nikiwa mtoto mdogo yatima. Sikatai kwamba wapo baadhi ya wakatoliki wa kawaida walinisaidia zamani na baadhi walikuwa marafiki zangu hata baharini coco beach na wakanionea huruma nilivyo, lakini katika masuala ya kuhubiri na katika Usheikh, kuhubiri Dini, hakuna Mkatoliki alinichangia, au kwenye ukubwani kwangu kwenye kunionganisha na kazi kama Sheikh au kwenye kazi zangu za Dini, hakuna Mkatoliki alinisaidia. Pia kwenye maisha yangu, sijawahi kusaidiwa na Padri au Kiongozi wa kidini wa Kikatoliki. Mama Neema walikuwa waumini tu. Zama hizo mtoto mdogo yatima nimefukuzwa nyumbani, nikaonewa huruma na waafrika maskini na waarabu baadhi na wakanichukua na wakasikitika jinsi ndugu zangu walivyonifanyia utotoni nikiwa mtoto mpole na yatima. Ukubwani, hakuna Mkatoliki alinisaidia kwenye masuala ya kuhubiri au mambo ya dini. Labda wale wakatoliki wa Morgan guesthouse ambao ni Charismatic, wanamfuata TB Joshua , wale wanamiliki Morgan gesti ya msasani ndio walinifanyia uwema kwa mwaka juzi wakati nakimbia minyanyaso ya ndugu zangu wanataka wanifanyishe umalaya, wale kweli walinisaidia, wale ni Wakatoliki watanzania lakini ni Charismatic na wana baadhi ya itikadi za Protestant, wanamfuata TB Joshua na wanaenda kanisa la Protestant pia, na wale wamechanganya na damu ya Kirundi, yaani si watanzania asili, ni nusu warwanda wamechanganya damu ya kirundi, na wale ni wakrisrp wachamungu sana, na navyofuatilia youtube naona na inavyoonekana kwamba watu wa Rwanda wengi ni Wakristo wa kiroho na wachamungu sana na wakristo wenye imani ya kidini sana inavyoonekana, lakini kwangu wakawa kama wale walionijua utotoni nikiwa nateswa na kunyanyaswa nyumbani wakaamua kunipa hifadhi na msaada, wakati napigwa na kunyanyaswa nyumbani na kutishiwa na kufanyiwa ukatili, na hawa wa morgan guesthouse wa miaka hizi wao nao wakawa kama wale, wao walinisaidia sio zaidi kwa sababu ya kwamba mimi ni Sheikh wa Kiislamu, au kwa sababu mimi nahubiri dini, au nina maoni gani, bali kwa sababu ndugu zangu walitaka wanifanyishe umalaya na kunifanyisha ukatili jinsi walivyoninyanyasa nikiwa mtoto yatima utotoni na jinsi jamii nzima yangu ikawa inanidhalilisha, na kama nafanywa leo lakini kwa leo watasema wananiokoa na serikali ya zambia au tanzania, lakini udhalilishaji, kutokunisaidia, kuninyanyasa, kunikebehi au kunifanyia ukatili, na nyumbani jinsi nilivyokuwa nikiwa mtoto yatima natukanwa, nateswa, nanyanyaswa, nafanyiwa ukatili, nafanyiwa kebehi na minyanyaso ya akili kama hio inayofanana na minyanyaso ya serikali ya Zambia na wengine minyanyaso ya kupigwa makofi, ya kunyanyaswa kiakili, kuchekwa, kudhalilishwa, kutishiwa, kutukanwa mama yangu na hapo hapo mjomba wangu akinitisha akija mbele yangu akinionyesha mkono akininyoshea kidole basi kwa uwoga siwezi kusema kitu na siwezi kukimbia nikatafute hifadhi au pakukaa kwengine nikiwa mtoto mdogo, ndio miaka hizi ambalo litawashtua watu walioniheshimu kama Sheikh na ambao hawajui walionifanyia utotoni, wakataka kunifanyisha umalaya
@Esthermordecai
@Esthermordecai Жыл бұрын
You should have surrendered your life to Jesus Christ,you were suppose to be delivered from what you went through since childhood, when you surrender 💯 percent of your life to Christ,He is willing to forgive your sins and you will start your life afresh,Bado IPO matumaini,ebu jaribu,Yesu anakingoja.
@mwamvitamfinanga2454
@mwamvitamfinanga2454 3 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu aliye hai nakupata nakuaminia Sana. Umefungua kanisa wapi Baba nije huko nikiwa dar?
@annastacianduku7559
@annastacianduku7559 3 жыл бұрын
Naamini story yako Rashid ...okokeni yesu hawaokoe....mkubali yesu kama njia ya ukweli na uwazi na mwokozi WA Maisha yako
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 3 жыл бұрын
Wewe danganya wajinga
@annamulenda6652
@annamulenda6652 4 жыл бұрын
NAOMBA MAOMBI SANA...UMELEEZEA MAMBO NINAYOPITIA
@aberboaz9512
@aberboaz9512 3 жыл бұрын
Jaman ivi hussein mbaraka yeye yuko wapi plz mtafute
@MichaelVicent-k7h
@MichaelVicent-k7h Жыл бұрын
History yako tumeipata miaka mingi tukaadisiwa Ulivokuwa Unapinga Ukristo adi Yesu akakuokoa,,
@mudinhomeshack9041
@mudinhomeshack9041 2 ай бұрын
Wenye akili tu ndo wanaweza kuelewa
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n Жыл бұрын
Sharif ni mtoto alieongea na siku nane ?😂😂😂😂 wakristo vilaza sana ukiwapa porojo wao wanakubali tu
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 2 ай бұрын
FEDHA....FEDHEHA.
@xinyingmiao4996
@xinyingmiao4996 4 жыл бұрын
yn uislam ni dini ya kichawi kwakweli kumbe wao ndo makafiri
@jazghalib317
@jazghalib317 3 жыл бұрын
Ulizia pastors wenu wanao fanya maombi Kwa nyumba za wakristo.mtashangaa.
@jazghalib317
@jazghalib317 3 жыл бұрын
Amesema mwenyewe waislamu wapo na wakristo pia wapo wachawi.sikizeni vizuri.
@japhethmutua7408
@japhethmutua7408 2 жыл бұрын
Embu angalia ushuhunda wa Adams haji n mafuzo ya majini pia
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Isaya 56 10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto hulala, hupenda usingizi, 11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote. 12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Wewe unalo andiko ukristo ni dini ili tujue km mnadini
@anwarambar6141
@anwarambar6141 3 жыл бұрын
mutafanya kila mbinu kuuchafua uislamu. lakini hamtoweza. uislamu dini ya haki bure mwajisumbua. walishindwa walio kabla yenu.
@annasilayo1405
@annasilayo1405 3 жыл бұрын
Hutalaximishwa
@luciamwanza3447
@luciamwanza3447 2 жыл бұрын
Ukweli useme,mbona mwaumwa ka n uongo??
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 10 ай бұрын
Sasa uslam unanini takataka kama takataka zingie wewe unakuwa naimani moja namajini wewe unafikili watakongoza kwenye njia zur lazma wawapoteze ili mwende wote moton
@halimajumanne8335
@halimajumanne8335 Жыл бұрын
Hee iyo ndio tafsrir ya ataiyatu we unayejiita shehe ilo la ataiyatu unjui
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Waislamu mjitokeze kumkataa hakuwa muislamu😅😅😅😅😅 Ila SHEIKH YAHYA MFUGA MAJINI (MTABIRI)NA PROFFESSA MAJI MAREFU WAO NDIO walikuwa WAISLAMU
@ikabako2454
@ikabako2454 4 жыл бұрын
Uislamu kupitia quran tukufu inakataza shirki za aina yoyote. Huyu alipata elimu za uchawi akiwa muislamu. Uchawi unafundishwa na majini ya kichawi na kazi yao ni kuharibu maisha ya watu. Uislamu hauna tatizo na umenyooka ila wenye matatizo ni waislamu. Si unaona alikuwa anafundishwa uchawi huyu bwana. Angefundishwa uchaMungu asingekuwa hivyo
@dotosalim5090
@dotosalim5090 4 жыл бұрын
Huu sio ushuhuda bali ni ushubwada
@livanofficialkenya
@livanofficialkenya 3 жыл бұрын
@@ikabako2454 huo ndio ukweli Ila vibaka wa kiislamu mnafichwa ili mzidi kwenda jehanam
@SAM_163
@SAM_163 3 жыл бұрын
@@ikabako2454 Huwezi kutofautisha imani yako hiyooo na Uchawi mzeee
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 жыл бұрын
@@dotosalim5090 🤣🤣🤣🤣🤣
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 4 жыл бұрын
Where is the continuation jactan?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Coming soon
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 2 жыл бұрын
Je na jina latifah lamaanisha nn?
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Sorry, you are taking time for those names explanations which personally I find unnecessary. It could have been nice to go straight to the point. Thanks. Please forgive me if I lost my patient.
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 4 жыл бұрын
When i read your comment i wanted to reply it negatively but when i keep on listening i find my self getting tired too of the translation of the names, he really use a lot of time on that.
@estasage498
@estasage498 2 жыл бұрын
@@brigithadidas5128 True. Myself, I love testimonies but I understand how the devil manipulate things in order to get people discouraged. I think it could have been good to go through his journey from witchcraft to his salvation
@chingaboy6917
@chingaboy6917 3 жыл бұрын
Mm mungu wangu sio yesu
@henryosoro7696
@henryosoro7696 4 жыл бұрын
Badilisha majina yawe ya kikristo kama Paul, Shadrack, John, Matthew.
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
04/04/1964 Saa 4 hiyo tu inatosha
@abdulshakurmshindo9040
@abdulshakurmshindo9040 4 ай бұрын
Kaka piga pesa zako huko maana huku kwa waislamu hatutaki janja janja hakuna mtu anae miliki msikiti wala hakuna mtume huku wewe tajirika huko alafu utatubia tu😁😁😁😁
@kapesapoto
@kapesapoto 2 жыл бұрын
Hapo mwanzo ilikua unamtumikia nani?
@naomypaul1014
@naomypaul1014 4 жыл бұрын
Nani asiyejua kua uislam n dini ya uchawi Tena mi naish nao waamin sana majin kuliko hata MUNGU, utawaskia huyu anawatu wake et majin looh Atari sana,,MUNGU ATUSAIDIE SANA
@dotosalim5090
@dotosalim5090 4 жыл бұрын
Mungu anizue nisimevibaya
@jazghalib317
@jazghalib317 3 жыл бұрын
Wakristo wapo wengi pia wachawi na wafuga majini.Kwenye nyumba zao .wapangaji wao wakristo wenziwao wanashuhudia haya.Mavyaa wa wa mama mmoja mahusuana nae.ana majini yawauwa waume wa wanawe Kwa ajali.Fanyeni uchunguzi.
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 Жыл бұрын
​@@jazghalib317Je Yesu Aliluusu Wakristo kushilikiana na Majini kama nyinyi mteme wenu Alivyowalusu kushilikiana na Majini???
@biblefanatic2902
@biblefanatic2902 3 жыл бұрын
Kwani kila mchawi ni muislamu
@talispares6174
@talispares6174 8 ай бұрын
Hajasema Kila Muslim ni mchawi,sikiliza vizur
@yahayajuma1401
@yahayajuma1401 2 жыл бұрын
We allwa mwenye diniyake atakutengeneza kwa uongo wako baadae usije ukalia lia oo nimerogwa maana allwa sio wakuchezea
@MohammedSaid-qr1zn
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Sasaivi mmeamua kuwa kila mchungaji anajitanga alikua muislam mbinu mpya hiyo ilimradi tu muuchafue uislam uislam hauna maadui ni kujisumbua tu na kukitesa
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 4 жыл бұрын
Huu hapa ushuhuda ni hatar sana
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 4 жыл бұрын
Wa urongo
@kennedymuthui5611
@kennedymuthui5611 3 жыл бұрын
Na waislamu bado wamefumba macho wasiuone ushuhuda huu
@rosepallangyo1352
@rosepallangyo1352 Жыл бұрын
Eti hakuna kuokoka duniani duuuuu!uyu apa nae atajua ni mwabudu sanamu tuu
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 2 жыл бұрын
Unasema kwa umakini kabisa wewe ! Ukiwa wee unaweza waweke wazazi wako wasife basi.bora ubadili majina hayo mazuri..
@mlulamsiliwa7123
@mlulamsiliwa7123 Ай бұрын
wakristo tuwe makini huyu ni tapeli
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 3 жыл бұрын
Yaan haya makafiri yanadanganyika hivi hivi halafu hayafatilii chanzo cha habari sasa hili jina ni uongo wa asilimia mia moja
@SAM_163
@SAM_163 3 жыл бұрын
Unaumia ww , tafuta KWELI, Uwe Huru🙏🙏🙏
@MohammedSaid-qr1zn
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Hamuwezi kuuchafua uislam kwa majina hayo ni majina tu na mbembe hamna chamana ila kwavile mmezoea kudanganyana endeleeni kudanganyana
@Esthermordecai
@Esthermordecai Жыл бұрын
Yesu Kristo anakupenda sana, Mohamed Hana pa kupeleka yeyote yule.
@joivon3038
@joivon3038 2 жыл бұрын
Huyu ndio shehe sharifu majina ama
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Mama yako mchawi kazaliwa na baba mchawi. Wow!
@osabocosmas6232
@osabocosmas6232 4 жыл бұрын
Wacha hasira pokea YESU uende mbinguni
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 4 жыл бұрын
Njaa inakusumbua2 hakuna unachoelewa katika uislamu nipe ushahidi wa dini ya kikristo kuwa ni dini ya Allaah na nabii issa yesu ni Mungu au mwana wa mungu
@xinyingmiao4996
@xinyingmiao4996 4 жыл бұрын
baba uislam si dini ya kweli kwann muabudu nyota na mwezi
@dotosalim5090
@dotosalim5090 4 жыл бұрын
@@xinyingmiao4996 we nani
@carolyneoirere4748
@carolyneoirere4748 4 жыл бұрын
Yesu n Mungu ndani ya mwili wa mwanadamu
@dotosalim5090
@dotosalim5090 4 жыл бұрын
@@carolyneoirere4748 🤐
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 жыл бұрын
@@carolyneoirere4748 🤣🤣🤣🤣yohana 8:40
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 3 жыл бұрын
Halafu hili jamaa lilivyo liongo mwaka 1990 lilikuwa na miaka mingapi
@SAM_163
@SAM_163 3 жыл бұрын
Abdalah Suleiman Mbona kama unaumia ??? Huwezi kupingana na Ukwel Kk .itafute KWELI Uwe.huru🙏🙏🙏
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 Жыл бұрын
Kwani unajua kwasasa anamiaka mingap
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 10 ай бұрын
Adlalh wew unaonekana kilaza uwelewi lolote na majini yamekufunga usielewe lolote ili muende motoni
@nassorsaid5231
@nassorsaid5231 Жыл бұрын
We mnafki hujawahi kuwa sheikh wala sidhani hata kama umewahi kuwa muslim quraan haisomwi hivyo unavo soma wewe especially kwa sheikh kama unavyojita na wanao kusifia na kukusifia ujinga na wao ni wajinga na wamepotea Tena umechangia kuwapoteza utakuja kuchomwa vibaya siku ya mwisho kwa kuwapoteza watu na wao watachomwa!!Nawaombea kwa mungu awaokoe na mtubu!!!
@mlulamsiliwa7123
@mlulamsiliwa7123 Ай бұрын
Kuna waislam 2.5 billion duniani je wote ni mbumbumbu. Wakristo tuwe makini huyu ni tapeli. Kama ukristo ni dini ya kweli kwa nini tuwe na mdhehebu ya kikiristo 13343 duniani. Yesu ndivyo alivyoacha. Na wote wanapingana. Sisi Wakristo ni wajinga sana.
@estasage498
@estasage498 2 жыл бұрын
With all the respect, the introduction is too long, time consuming and those names are unnecessary. Sorry
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 4 жыл бұрын
duuu!!!!, noma yani kuna jirani zangu ni masikini wakutupwa, na ni wagonjwa balaa full mikosi.
@shafymtupili1075
@shafymtupili1075 4 жыл бұрын
Acha ubwege utaluwa wewe
@bakarikhaji119
@bakarikhaji119 2 жыл бұрын
Kweli njaaa Kali . Kanisa. Nio biashara
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Naomba kaka Jacktan Ukamfuate Omar jojo ambaye amebeba ushuhuda mzito mno na aomar mnyeshani tafaadhal
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Sawa lakini mbona mnyeshani tayari tumeshauleta ushuhuda wake
@alawifarahani4788
@alawifarahani4788 4 жыл бұрын
Mbna siufaham Uzi wake link nione
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Siyo kushukuru Mungu. You were possessed by a demon talking through you. Even God Jesus Christ didn't talk while being a new born because he couldn't break the nature laws.
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 4 жыл бұрын
Sasa unaponaje hayo magonjwa yarabi? Mbona makubwa kazi ipo duniani.
@ikabako2454
@ikabako2454 2 жыл бұрын
Mama yako alikuwa mchawi. Hakuna mtu anaweka mahindi darini. Naam biblia inajua kuhusu misukule kwa sababu biblia ni kitabu chenye uchawi ndani yake. Ushahidi upo.
@badruseif1318
@badruseif1318 Жыл бұрын
Huyu mzee hata hivo akiongea unajua kama anaongea uongo mtupu
@MohammedSaid-qr1zn
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Yani huoni ata haya unavyokosea hayo matamshi alafu unajiita shekhe na huyo mamaako alikuwa hana akili yeyote anaejiita Mungu hana akili ata awe nani na izo duwa anamuomba nani acheni uwongo jamani kwavile mnaachiwa muongope ndio mnatunga tuu duh
@asiasalim4634
@asiasalim4634 4 жыл бұрын
Kwani lazima umtumie lugha na quran ndio utapata wateja kanisa lafudhi yko unafoce tu
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 4 жыл бұрын
Wapi kakosea?? Au inachoma
@calvinleka4728
@calvinleka4728 4 жыл бұрын
Asia kama umeumia Pole sana njoo kwa yesu uwe na furaha daima
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 4 жыл бұрын
@@brigithadidas5128 hajapatia kuongea kiarabu siyo kuijua Uislamu wapo waarabu makafiri yeye atoe ushahidi katika Quran kuwa uislamu unafuga majini au waislamu ni wachawi kama ataweza au atupe ushahidi kuwa ukirsto ni dini ya mungu kama kweli yeye ni mkweli
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 4 жыл бұрын
@@calvinleka4728 hatuwezi kuja kwa waliopotea
@carolinewanjiku5727
@carolinewanjiku5727 4 жыл бұрын
@@brigithadidas5128 umeuliza vizuri
@hawakiza6067
@hawakiza6067 4 жыл бұрын
Andiko gani lililo kufanya uache uislam, nipe andiko ukristo ni dini
@livanofficialkenya
@livanofficialkenya 3 жыл бұрын
Ngojea Yesu arudi atakupea
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 Жыл бұрын
Nipe tafsili ya Neno Dini Kwa kiswahili alafu nitakuonesha Ukristo ni Dini
@Marjeby
@Marjeby 2 жыл бұрын
Acha njaa wewe kipara kama tako
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 жыл бұрын
Wale ndugu zetu wakija watakuambia Shekh Sharifu kanunuliwa.
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Hata mohammad alinunuliwa na hadija
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 жыл бұрын
@@myself4128 😜😜
@johnbosconiyibigira7811
@johnbosconiyibigira7811 4 жыл бұрын
Tupe party 2
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 4 жыл бұрын
@@myself4128 siyo kweli Allaah akutoe katika giza la ukafiri
@ahmedmattar4661
@ahmedmattar4661 4 жыл бұрын
Unawadhalilisha wazazi wako tu wew hujakua muisilamu
@hawakiza6067
@hawakiza6067 4 жыл бұрын
Nipe andiko ulilo soma kwenye biblia had ukawa mkristo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Na hao wote walio kengeuka nakuwa waislam wote walisoma kurani ? kwa maana kurani si lahisi kuisoma
@hawakiza6067
@hawakiza6067 4 жыл бұрын
Nipe andiko ukristo ni dini wewe peter
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Islam ndio Dini sawa 😅 lakin sisi ni wafuasi wa yesu kristu na ndio wakristu km ninyi mseme wafuasi wa Muhammad sasa nyinyi mmejikita zaidi katika neno Dini .. Nini maana ya Dini ?
@rebound2179
@rebound2179 2 жыл бұрын
Ajabu ni kwamba ukijaribu kumcontact huyu Rashid Abubakar kwa msg hata kumpongeza tu, anataka kujua majina yako yote....Kisha akifuatisha msgs eti anataka kukuombea uwe tajiri...Mteule uwe macho, sio kila ushuhuda ni wa kweli!😂😂😂😂😂😂
Pastor Paul Hussein Mubarakh Vunja Nguvu Ya Uisilamu Na Majini Official Video
1:38:46
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Ushuhuda wote(Part1-9)Apostle Zizi aliyekuwa ameolewa na jini mtu
6:30:54
ALIYEKUWA AKIFUGA MAJINI 4004-Part 1
32:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 8 М.
SIKILIZA USHUHUDA WA SHEHE ADAM HAJI  MPAKA AKAOKOKA.
1:58:04
Msilu Tv
Рет қаралды 345 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН