Masha Allah tuna faidika sana na mawaidha nyenu na TV Lolwe Jazakallahu Kheri
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin,thanks
@jamalathman62194 жыл бұрын
Shukran masheikh wetu kwa kweli munfanya kazi mzuri sana ya da'waa,Allah awajalie pepo inshallah,wakiristo bado hawajaweka mada sahihi yao ya ibada kila moja wao yuanongea tofauti kabisa
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp4 жыл бұрын
Amin sote
@siwajibufarida34286 жыл бұрын
Ma shaa Allah mada nzuri Sana , Allah awape kher duniani na akhera masheki wetu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin sote
@husnaodhiambo68484 жыл бұрын
Mashallah Allahu Akhbar aki huyo pastor wa kwanzaa ni msiba kama hivi ndio anafundisha kanisa msiba. Mashee wangu Mashallah
@mariamum3506 жыл бұрын
. mashallah jazaka Allah kheir kwa kazi njema
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin
@rehemaahamadiahmadi5666 жыл бұрын
Alihamdulilah Rahma Ahmad mwagilo kuzaliwa nikiwa muislamu na naomba pia mwisho wangu unikute nikiwa muislamu. Mungu wape umri mrefu na afya njema waendelee kutufundisha lnshaAllah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin sote
@linetkikin40236 жыл бұрын
Mada nzuri Sana Yusuf mwambie garison shatain alikua mwimbaji hatari na pia kwa wale wanaofata ibada za shetain wanawimbo zao wanaimba
@raelmonda18786 жыл бұрын
Mashalah Mashalah Mashalah, imeeleweka kutoka kwa upande wa uislam.Allah awajaze nguvu muendelee kutufundisha.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin sote
@faridabakari85115 жыл бұрын
MASHALLAH ALLAH ajalie tuwe waislam sote Ameen inshallah kazi nnzuri masheikh
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote.Shukran
@mohamilah6 жыл бұрын
Jezaka'Allahu kheiran
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin ,Antakadharika
@nchemuwilfredwilfred95725 жыл бұрын
Mchungaji Dui nimekupemda sana baada ya kuzikiza challenge yako kwa Gerrison. Mungu akubariki sana na wahushika wote katika huu mjadhala.
@zongosabena46476 жыл бұрын
Guérison sio muda mrefu ata kua muislam insha Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Inshaa-Allah
@mawazotundosa69395 жыл бұрын
Tusizifanye dini kama timu za mpri wa miguu huyu anashabikia huku huyu huko badala yake kila mtu aamini anachoamini maana mungu wetu hana ubaguzi ila wajawake ndo tunatofautiana ukweli ni ule uombapo mungu na kupata hitaji lako si dhehebu wala msikiti
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Hayo maoni yako sio bibilia wala quraan
@mohamwamadimwamadi43444 жыл бұрын
@@mawazotundosa6939 wewe umepotea
@mohamwamadimwamadi43444 жыл бұрын
@@mawazotundosa6939 hapo sio kushabikia bali ni kueleza ukweli wa ibada za manabii.sio kupotoshwa na watu wenye tamaa za maslahi yao badala ya kueleza yaliyofanywa na manabii wa mungu.
@zongosabena46476 жыл бұрын
Nikweli guérison ata pendeza kua muislam wallh shekh yhya na yussuf nawa penda sana
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Inshaa-Allah,Asante
@rehemaahamadiahmadi5666 жыл бұрын
Mungu awalinde sana masheikh wetu na awaongoze zaidi
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin sote.Asante
@myoutubecom-gg7sb6 жыл бұрын
MashaAllah Allah awape the highest janah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin
@mohamilah6 жыл бұрын
Masha'Allah 👍
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Thanks
@mathiasmandalu9355 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Kwema sheikh nilikuwa naitaji baadhi ya vitabu sijui tqvipataje
@ahlanwasahlan3734 жыл бұрын
MAA SHA ALLAH
@alhaddajmohammed47685 жыл бұрын
Safi sana mashaAllah.coz ni elimu tosha na aso2mia vema akili yake akienda motoni asimlaumu m2/wa2 coz 2natakiwa 2some na 2elimike na kuyafanuia kazi baada ya kuelimika. Bila ya kuwa na elimu ibada yako itakuwa na mashaka.
@rkenea42626 жыл бұрын
Mashaa Allah shekhe yahya na ust yusuf
@rachelevarist705 жыл бұрын
Mimi nilichogundua kila zama zilikua zinamfumo wake hivyo basi ukirsto umeanzishwa na Paulo wakristo msome jamani
@gobba34376 жыл бұрын
Good job
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Thanks
@ramzanqarim49774 жыл бұрын
Watu wasome ..kuna Rev. NEEMA angalieni youtube uone vile anahubiri mtaona yesu hawezi kuwa mwana na awe mungu maana yesu katumwa na mungu .kwahivyo kuna mungu na yesu.
@Mamursal54 жыл бұрын
I like this kind of honest discussions!
@iddyjuma80362 жыл бұрын
Chenga huyooo
@happyarooun60376 жыл бұрын
walah wabillah dini ya uislam ipo wazi kujieleza ni ya haki ila hao wote hapo wanalijua hilo ila niushabiki tu na maslah pia
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Alhamudulillah
@malicboy79735 жыл бұрын
Hehehe.. Sheikh Yusuf hebu mpatie salamu zangu Dr Gerison.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Inshaa-Allah
@fahmyabbas99543 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp d
@alhaddajmohammed47685 жыл бұрын
Ibada sahihi ni kufanya/kufuwata ibada walizofundisha mi2me na manabii wa Mungu. Ibada sahihi ni kutenda/kufanya yale aliyoridhia Mungu na kuwacha alokataza Mungu( kufuata na kutenda haji na kuwacha batiri). Kujuwa na kutenda haki na kuwacha batiri (ibada) inabidi uwe/ufuate mfumo wa Mungu/njia ya Mungu (dini ya Mungu). So kama hufuati mfumo/kanuni za Mungu (dini ) haiwezekani kufanya/kutenda ibada sahihi coz dini ni njia/muongozo but Wakristo kiuhalisia hawana dini (hawafuati Muongozo) ktk kuabudu wamejipangia/wamepangiwa mfumo (dini) wa kuabudu kupitia/kutoka kwa Wapagani (Waasisi wa Ukristo na Makanisa) kupitia Paulo ambaye ni adui wa Mungu but kiujanja Paulo kajifanya/wanamfanya m2me.
@duniawadunia48243 жыл бұрын
Sawasawa
@biggestnasritv26014 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@saidibwato96054 жыл бұрын
Abali ya saai mm tatizo naitaji kujua kuusu kitabu cha nyakati ndio nn mm naishi cape town
@jamilaomari18236 жыл бұрын
Titus ni msiba wallahi
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Hahaha,Titus ameisha
@faridabakari85115 жыл бұрын
Mashetan wafuwasi wao ni wapendao imbaa kusikiliza NA sio ibada so al ISLAMIC wafunzeni dini yahakh niyetu ona wao wanavyo babaika makafir🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmecheka END kwa wasia😅😅😅😅🤣🤣😃😃 wawacristo
@husenimareja19076 жыл бұрын
Ibada sahihi ni uislam
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Kabisa,ibada ya uisilamu tosha
@ngerezamsagati33485 жыл бұрын
Masha Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Thanks
@alhaddajmohammed47685 жыл бұрын
Ibada ni matendo mazuri yote anayoridhia Munu na ibada yeyote ili ikubadilike na Mungu shuruti ibada hiyo ifanywe/itendwe kwaajili ya Mungu tu na iwe imekubalika/inaelekeza na Mungu, ibada zipo nyingi but ibada kuu SALA. But Wakristo mnamfanyia ibada(mnaabudia) Yesu na Maria, mnafanya ibada j2 (Sunday)siku ya kuabudu Mungu jua? (Kwanini mnaabudia viumbe?!).
@ibrahimmarwa35026 жыл бұрын
amina mchungaji pamoja na taita pigeni kazi
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Hahaha,sisemi kitu
@jamalathman62194 жыл бұрын
Wakiristo bado hawajathibitisha ibda yao sahihi kutoka kwa mandiko wpi bible inasema muimbe mukiwa kwa kanisa.
@shadrackdeche16776 жыл бұрын
tatizo bwana mwenye kiti unaliika mapasta wenye hawana ufahamu mkubwa wa maandiko aliika watu kama pasta Ndacha ,Chaka
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
😁😁😂Chaka tulimwalika na tukamutengeza vinzuri , Tafuta Mada msalaba katika lolwe tv .utamuona chaka, Ndacha naye tumemuarika mara mingi lakini muoga, hapo kwa tv hakuna ushabiki na bwebwe ni hoja tu, Na ndacha hawezani na hoja
@peterkibaki67025 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp à
@yusufmwangichannel66925 жыл бұрын
Wewe Shadrack Deche lipi unalijua walilo lisahau kwenye bibilia ukawasaidie?
@ramzanqarim49774 жыл бұрын
Chaka hutegemea mkusanyiko aseme haleluya na bwana asifiwe apate kelele za watu ..mahali pa tv hawezi maana nguvu yake ni watu ama vile nguvu ya maji ni mawe.
@mariamothman74044 жыл бұрын
tatizo la wakristo ni watu wa porojo tu ibada yenu ni ipi saa moja na dkk 13 sijaona ibada yenu inakuaje
@Chychy.w3 жыл бұрын
Asalam aleikum...mm nko na ombi mmoja kuwa hii ni online tv kwanini musifanye live ili watu waweze kuliza maswali na madukuduku yao kwa walimu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp3 жыл бұрын
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu, hiyo program ilisimama
@shabaninzaka4505 жыл бұрын
Pasta kifua kimekuja ju hahahhhahah😂😂
@ibrahimmarwa35026 жыл бұрын
hapo huwez sema kitu yusuph kwani nilikwambia mumesaya ni mwenda WA zimu ukadhani mm sijui najua vizuri yaan huyo mchungaji mwambie Tanzania tunampa hai sana huka kanisani SDA church yuko poa anaroho mtakatitu tunamuombea azidi kutangaza inji ya bwana yesu kristo amina amina .
@mohamwamadimwamadi43444 жыл бұрын
Gerrison ni mkiristo tu.it is just a matter of language,because Mesiah ,masihi,christ, and christo ,they all mean one thing.Therefore,it is a matter of language.He is contradicting himself.
@alsaarh2396 жыл бұрын
Jamani huyu pastor alisimu au bado bz hana ishu sioni anacho gombania asilmu 2
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Kabisa hana lake jambo
@kalulemusajr22016 жыл бұрын
Wachungaji wanatapatapa tu, Lakimi Imaani yao haina chimbuko.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Kabisa
@deluxermahyono52905 жыл бұрын
Mola awape afya njema nyoote hapo studio nami pia.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@deluxermahyono52905 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp nawapata sana ndg zangu huku Songea kusini mwa Tanzania.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
@@deluxermahyono5290 mashaa-Allah
@janekwahada5805 жыл бұрын
Mbona musienda kwa Mwalimu Ndachi, onyango na chaka na wale wanajuwa vitabu zote mbili, munaenda kwa wali hawajuwe hiso mazwali yanu ndiyo muonekane but to Jesus you lie yeye mwenye ndiyo mwanye vita hata mukichukuwa 2 people tatarudisha 10 so you doing nothing because he says wale MUNGU alinipe hawata poteya hata moja so you are lie. Nyinyi ndiyo munatafuta lakini sisi wakirisoto tuna juwa yale yako katika maandiko.
@yusufmwangichannel66925 жыл бұрын
Chaka alialikwa tafuta mada msalaba katika lolwe TV mwalimu wako Chaka alitolewa mapovu 😃😃😃
@lagosmutemi96915 жыл бұрын
waislam hatubagui ,Ndacha ameshafanya mihadhara nyingi na kuna wanao jua maandiko ata kuliko Ndacha wako na Onyango.wako huru kuja hawajakatwazwa
@ramzanqarim49774 жыл бұрын
Chaka hawezani hutengemea watu kama nyie aseme bwana asifiwe mumpe nguvu ya kusema ameen apate nguvu ..lakin kwa mdahalo wa waalimu tu hawezani akialikwa yuahepa
@ramadhanjuma6103 жыл бұрын
Auna jipya ww sikiliza elimu apo
@iddyjuma80362 жыл бұрын
Na ndacha msimuache
@iddyjuma80362 жыл бұрын
uyo anaengea k brania msilimishen
@iddyjuma80362 жыл бұрын
Hana lolote chenga tyu
@ibrahimmarwa35026 жыл бұрын
niukweli mumesaya amepatikana muongo huyo mumesaya ushetani wake apeleke huko alijo utoa ashindwe kwa jina la yesu .
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Hahaha
@ibrahimmarwa35026 жыл бұрын
mungu akubaliki mchungaji kwa kunena vema na kufundisha vema .huyo mumesaya ni bule kabisa haongera mchungaji .huyo mumesaya nikama kachanganyikiwa anatapatapa hajui kabisa mchungaji pigs kazi mungu atakushika mkono na atakulinda amuna
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Hahaha,
@hashimmhashim26636 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp jazaka llah kheiran
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
@@hashimmhashim2663 Amin
@asmaabdallah40556 жыл бұрын
Nawahurumia mungu wao hawezi kuwasamehe mpaka auwe watu jamani mungu gani huyo hana huruma ya kusamehe waja wake mpaka auwe mtu msiba kwa wakristo
@asmaabdallah40556 жыл бұрын
Yusuf kiboko wa makafiri wao kasi yao kuimba kujifurahishatu hata kina damond wanaimba kuna tafauti gani nyinyi nawaimbaji wengibne upuzitu munafanya makanisani wanawake wa nava vibaya huko makanisani hiyo ibada gani