Ndasha piga kazi upo vizuri kuitangaza injili iliyo gharimu maisha ya mtume wa mungu
@masungwasalumu12784 жыл бұрын
Hakika Mch Ndacha Mungu yupo nawe Mungu akubariki sana shindano Kali kwa waislam
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp4 жыл бұрын
😁😁😁👊Ashidwe katika jina langu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp4 жыл бұрын
😁😁😁😁👊 Ashidwe katika jina langu
@ashajuma86865 жыл бұрын
Allah waongoze maustadh wetu uwape maisha marefu..
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@hamzarajab46486 жыл бұрын
shukrani zangu zoote ziwafikie mashekhe wetu kwa kazi nzuri ya kunusuru dini ya mwenyezi mungu subhanahuwataala, kwa kuwa nilitamani Sana kwa pastor huyu kukutana na wasomi waliobobea katika massala ya dini, amekuwa akiwachanganya wasomi wa daraja LA chini kule Kisumu na Eldoret, nimekuwa niki mwangaliasana, asante sheikh wambugu.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Asante brother,karibu sana
@thechallangeboystheawadh51956 жыл бұрын
Mashaلله Ustadh Yusuf na Daawa team. Inshallah Allah awape kheri nyingi. This is Islam
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin sote
@myoutubecom-gg7sb6 жыл бұрын
mashaAllah good lecture may Allah guide us all to the right path
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin
@minaminaa16696 жыл бұрын
Aamiin Rabul Aalamin
@hamisikulola84816 жыл бұрын
Mashallah Asanteni Sana masheikh yani Mada mumeichambua mukaichimba Kweli Kweli
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Alhamudulillah
@thxzbst49cnh806 жыл бұрын
Amen & Amen
@zainabwamboi32306 жыл бұрын
Nemokile leu tumake Jazakallah kheir ya sheikh
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Hahaha,Antikadharik
@barakabmasalu56426 жыл бұрын
Hata hii nayo nai download najua italeta wengine tu,Mungu akujalie sana mwalimu @francis dasha waislam tafuteni waKristo wengine mfanye nao mdahalo,kwa wa SDA mtakuwa mnaadhirika tu
@happyarooun60376 жыл бұрын
kweli ww huna macho na masikio huna nadhani hata ubongo huna nyie makafir
@barakabmasalu56426 жыл бұрын
Matusi ya nn? Huko ktk uislam nilishatoka kitambo sababu ya ubabaishaji uliopo.Hakuna muislam anayeielewa dini yake zaidi ya kusikiliza kiongozi kasema nini.
@minaminaa16696 жыл бұрын
@@barakabmasalu5642wewe pia nimfuasi wa ndacha 😅😅
@janenjenga56395 жыл бұрын
Roho wa bwana atazindi kumtumia atufundishe
@omarshaban91576 жыл бұрын
Masha Allah muhadhara umekua mzuri Allah hawape nguvu hi ya kuitetea uisalmu na mwesho mwema
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin sote
@mohamilah6 жыл бұрын
Jezaka'Allahu kheir 👍
@abdullahibaris71825 жыл бұрын
Manshaallah hapo hakuna kujificha Amir Yusuf AllAh akupe umri mrefu inshaallah semeni amiin ndiyo asafishe watu walio potea na AllAh aoneshe haki
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@isiakamfugale36215 жыл бұрын
Aaamin
@thomasenockgogomoka60565 жыл бұрын
Amina
@michaelwainaina44766 жыл бұрын
Mwalimu Ndacha-wape dosi watakaokubali wabatizwe
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Hahaha,hizo ni ndoto
@anthonyminjire84905 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp si ubatizwe na maji kabla ajapo mwenye mwenye hubatiza na moto(YESU KRISTO)
@abdullahibaris71825 жыл бұрын
Manshaallah
@farhiaaliabdillahi32762 жыл бұрын
Ndasha ana macho makavu
@abdullahibaris71825 жыл бұрын
AllAhu Akbar
@rosemasoud40283 жыл бұрын
Waislam hamuongozwi na roho mtapata shida kuuelewa ukristo
@gobaonlinetv96906 жыл бұрын
takbiir!!!
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Allahu akbar
@Kenyayetu246 жыл бұрын
Allaah awape nguvu sheikh yusuf na wenzako...na ndugu dasha Mola amuongoze katika haqqi kwa hakika Moyo wake upo mbali na ukweli na karibu na ukafiri
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin
@BURHANDAWAHMAN6 жыл бұрын
Sh.Yusuf n sh.sasaka Allah awape mazuri
@ismailyusuph7405 жыл бұрын
Sheikh Yusuph Ndio huwa unamtia sindano vizuri dasha....!....maana unaimalizaga hii mada ya Msalaba kule kule mwanzo’ ..! Dasha haongei hapo...!....ukimtia kwenye khitilafu zao Ndio unazidi kumchanganya...!..haijulikani Yesu yupi ni yupi aliyesulubiwa...! Kweli QUR’AAN ni kitabu kisichokuwa na shaka...!...WAKRISTO HAWANA HAKIKA KATIKA KIFO CHA YESU..!
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Alhamudulillah
@ismailyusuph7405 жыл бұрын
Yaani ukisubiri Dasha ampeleke Yesu Golgotha ujue umekwisha ‘ ... Lkn ukimkamata huku mwanzo toka hukumu Kwa pilato mpk pale anaposaidiwa msalaba na simeoni mkerene ‘ baba yao Eskanda na lufo ‘ halafu umuulize ni wapi Yesu aliubeba tena Msalaba ‘ Dasha anarukaruka..! Ukimpeleka tena muda aliyesulubiwa Yesu ni upi hasemi’ ukimpa tofauti za wanawake wangapi walienda kaburini’ ndio unazidi kumchanganya...! Ila kwenye mjadala lazma Dasha ajifunze kuondoa hoja zinazowekwa ‘ maana hakutuambia hizo tofauti zimekuaje’ kusoma maandiko sana si kigezo kama hupangui hoja za mwenzio...! Ni msomaji mzuri wa maandiko Usiku Lkn mchana anashindwa kuelewa KISWAHILI na kuchambua MAANDIKO...!...Yaani Dasha hana tofauti na KASUKU ...!
@allyjabily79576 жыл бұрын
Namuomba mungu anijalie kipato nije kuwaona live na mim walimu wangu wa kisilamu Allah awape heri endeleni kupigania dini ya allah.......
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Amin inshaa-Allah,Asante kaka
@rkenea42626 жыл бұрын
Swadakta ujumbe umefika mashekhe wetu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Alhamudulillah
@AmiirAlwajidiAsomaal6 жыл бұрын
Nikiona wakristo wananukuu 1:17 Ufunuo na cheka Alpha and omega anakufa.
@godlistenemanuel45386 жыл бұрын
Ndiyo maana akafufuka na kupaa mbinguni,sasa unashangaa nini na elimu ndogo,angesema Muhammad maneno hayo ndo ungesema hivyo maana alipokufa hakurudi tena.Unamchezea BWANA YESU wewe?
@petromachanga55383 жыл бұрын
@@katrafandhe466 mhamedi amekufa tarehe ngap?
@hamisikulola84816 жыл бұрын
quran 18:22 inazungumzia watu wa pangoni umechemsha babu Mada ni msalaba sio watu wa pangoni. stick kwenye Mada
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Ndacha ameishi kuchanganyikiwa
@johnmnonjela98096 жыл бұрын
Sehemu akiwapo Francis ndacha hakuna kinachoharibika Kwa maongozi ya roho mtakatifu
@nassrubushoot57505 жыл бұрын
Kasome huyo jamaa yako hana lolote imagine katika Quran amesoma aya inayozungumzia kisa cha watu wapangoni imean as'habul qahf 18:22 ndo ilikisema watu walikuwa waki tangatanga kuwa wale vjana walikuwa saba na mbwa wao wengine wanasema wanne watano wao mbwa wao ndo Allah akasema yeye ndo anajua hesabu yao # Ndasha akaifananisha na khitafiana ya wale waliosema kina Marko na yohana kila mtu na hesabu yake
@benjaminiheadmani75385 жыл бұрын
Waislamu jifunzeni jamani kwasababu tunaamini katika manabii,hatuwezi kumuamini muhamadi kwasababu nayeye anaamini ktk manabii hao.mohamadi si nabii!
@oopsm35745 жыл бұрын
@@benjaminiheadmani7538 prove it
@minaminaa16696 жыл бұрын
jamani ukrsto kazi mmmh
@hamisikulola84816 жыл бұрын
tatizo shule kufisha haimanishi ni kufa na Kama kufisha ni kufa basi kila siku binadamu wanakufa usiku quran 6:60 Allah anawafisha binadamu wakati wa usiku kisha anazikagua roho zote zile zilizo maliza mda wake zinabaki Alafu zile ambazo hazijamaliza mda hurudishwa duniani. nabii issa alifushwa wakati alikuwa ananyanyuliwa
@jeremiemutshindakahire97324 жыл бұрын
Wakristokifuampele
@erastusscharo66456 жыл бұрын
Ndacha wambie ukweli wamjue mungu wa kweli
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Ndacha mwenewe ni masikini waimani kama wewe ETASTUSS, Yote wawili hsmumujui Mungu,.ukisema yesu ni Mungu umepotea sana na hakuna lingine ila ukifa na imani hiyo ni motoni direct
@janenjenga56395 жыл бұрын
Heri Yesu kuliko Mohammed bonoko kujituma
@eliamugini84945 жыл бұрын
Nimegundua waislamu wana kiburi cha asili na ubishi yaani kila kitu kiko wazi ila kukubali hsmna
@janenjenga56395 жыл бұрын
Wanaogopa kifo
@suzanaagustinookelo49533 жыл бұрын
Na hata Yesu alisema watasikuyaa lakini wasisadiki hata sishangaii
@hamisikulola84816 жыл бұрын
biblia Kama bamia yani unaweza kulichemsha Sawa ,kukaanga Sawa ama ukalichoma pia Sawa biblia zipo aya ukizisoma utaona Kweli yesu amesulubiwa na kuna aya ukisoma zengine yesu hajasulubiwa sasa hizi Imani zengine msiba mtupu
@kalulemusajr22016 жыл бұрын
Mungu atamfisha, hio ni wakati ujayo. na QUR'AN haisemi ya kwamba nilimuuwa.andiko lilipo ni peupe lakini basi.
@johnmnonjela98096 жыл бұрын
Acha ujinga wewe kufisha ni kuua yaani Qur'an yako hata huielewa
@fakiswalehe97856 жыл бұрын
Mwalimu yuphuf umenichekesha kwa furaha tu hapo kwa nyoka ya duplicate wallahy umepeana mfano mzuri ambao ningekuwa mkristo ningesilimu kwa mfano huo
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Mfano uliyo hai ,but wangumu wakuelewa,Allah awaongoze
@AishaAli-lk7gh6 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp kuelewa ni ngumu hao coz Allah ameshawafanya viziwi ata useme vipi hawakubali
@hamisikulola84816 жыл бұрын
namtafuta Sana Dasha kwenye meza ya maswali yani Hakuna siku hata moja atajitetea kimaandiko ila kazi yake ni kusoma Maelezo na kuzikanyaga aya. msiba Huu Eti kuna noble Quran Hata kusoma kiingereza balaa
@jamilaomari24446 жыл бұрын
Yusufu mwalimu tosha!
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Asante sister
@bidafumbuka8556 жыл бұрын
Shehk yusuph acha kubwabwaja unatakiwa utoe andiko linalosema yesu hakufa kwenye Quran na Biblia.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Andiko limetolewe na sasaka (1Timotheo 6:15-16) fwatilia video vinzuri wacha kubwabwaja
@bidafumbuka8556 жыл бұрын
Sijaona andiko hapo linalokataa yesu hakufa lifatilie vzuri tu
@barakabmasalu56426 жыл бұрын
Yusufu hana jipya,kwanza hao hao ndio huwa wanasema Paulo sio mtume halafu kakimbilia andiko huko huko ktk nyaraka za Paulo kudai Yesu hakufa halafu huwa wanasema Paulo si mtume halafu wanadai hakuna andiko Paulo alionana Yesu hivo si mtume leo Yusufu anaenda kwa Paulo huyo huyo wanayemkataa kuwa hawezi kuwa mtume sababu hakuonana na Yesu,hawa kwa kuruka ruka hawa, Au Yusufu unakubali Paulo ni mtume,
@janenjenga56395 жыл бұрын
Hawezi kubali kusema ukweli unauma
@hamisikulola84816 жыл бұрын
Dasha wacha uongo quran 3:55 haisemi issa bin Mariam anamiliki roho ya Muhammad
@godlistenemanuel45386 жыл бұрын
Basi twambie wewe quran 3:35 inasemaje?
@godlistenemanuel45386 жыл бұрын
twambie quran 3:55 inasemaje wewe unayejua
@mhogomchungu71685 жыл бұрын
@@godlistenemanuel4538 3:55 when Allah said, "O Jesus, indeed I will take you and raise you to Myself and purify you from those who disbelieve and make those who follow you [in submission to Allah alone] superior to those who disbelieve until the Day of Resurrection. Then to Me is your return, and I will judge between you concerning that in which you used to differ. Tumia google easy kutafuta acha uvivu
@adammasunga63825 жыл бұрын
Waislimu ni watumwa mpaka lughu mhuu ama kweli walabu wanawazidi hakiri ndiyo maana wawatumikisha
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
😂😂😁😁Kani kuna mtume mzungu maana munatumia kinzungu,wanzungu dio maana wakawatawala,.lugha ya kiarabu diyo lugha bora NOTE sefania 3:9,zakaria 14:9
@janenjenga56395 жыл бұрын
Nao bubu wafanyeje
@adammasunga63825 жыл бұрын
watubu na waokoke wamjue YESU NDIYE MWOKOZI WETU
@adammasunga63825 жыл бұрын
Yesu hachagui lugha wala rangi yy ni wawote Asomae na afahamu
@oopsm35745 жыл бұрын
Lugha yako ya kiswahili hujuwi kuiandika jifundishe lugha yako kwanza.
@profs.a54123 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 .waislam wanavyo fundisha hata kichaa atajua tu kwamba wanadanganya wameshndwa hoja😂😂😂
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp3 жыл бұрын
Maoni yako hayo
@profs.a54123 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Na ndio ukweli pia, dini gani mnaabudu jiwe, eti lilitoka peponi 🤣🤣🤣🤣🤣.....nyie Mungu wa kweli kwenu hayupo mtakuwa mnamsikia tu kwenye vitabu vitakatifu, kama zaburi ...aliyo yatenda enzi za akina Daudi enzi za akina Musa .........kwenye Qur'an huwezi ukaona hata siku moja matendo ya Mungu wa kweli , utaona Mauza uza tu ya Muhammad. ..alipokuwa amelogwa na anabanwa mbavu mapongoni Kule mpaka akaumwa🤣🤣🤣....shetani alibana mbavu mpaka akakubali kutumwa naye🤣🤣🤣
@Amishjuma6 жыл бұрын
Yani wakristo washeherekea kusulubiwa kwa yesu kweli huu ni msiba ...Kweli waislam tunampenda Issa (a.s)kwa dhati...Ole wenyu wakristo wafuasi wa Paulo anae sulubiwa mnajuakuwa amelaaniwa?yani yesu alikuwa amelàaniwa Inna_lillahi wainna ilaihi rajiun.
@janenjenga56395 жыл бұрын
Wacha tufute pia mafundisho ya paul
@kalulemusajr22016 жыл бұрын
kama Yesu ndie alikua Msalabani, mbona ameshindwa kshuka ?
@Amishjuma6 жыл бұрын
Wakristo wacheni kiki sisi waislam hatufichi lolote ukitaka ww mwenyewe waweza enda kuangalia hizo vitabu manake waislam hawaongezi na hawapunguzi chochote wacheni kuchafua muhadhara.
@georgekimasa73935 жыл бұрын
Amishjuma kwa hiyo Quran imeandika kila kitu nikiuliza swali ntajibiwa au zitaanza siasa?
@abdullahibaris71825 жыл бұрын
Walahi kama mnataka njia ya ALLAH msikilize malimu Yusuf hapo ame wafudisha malimu kamili kabisa
@jamilaomari24446 жыл бұрын
Wakristo mmefilisika...sasa mmeenda sura khaf kufanya nni?
@janenjenga56395 жыл бұрын
Kufirisika kivipi??
@oopsm35745 жыл бұрын
@@janenjenga5639 kama neno lako uliloliandika "umefirisika" umekosea na na dini yako imefilisika..
@janenjenga56395 жыл бұрын
Kivipi
@oopsm35745 жыл бұрын
@@janenjenga5639: kajifunze kuandika kiswahili
@janenjenga56395 жыл бұрын
Sina hela za masomo
@abdilatifhashi96596 жыл бұрын
Huyo mkiristo anasoma surah kahf kuthibitisha Kifo cha yesu Inalilahi wa ina ileyhi rajiuun. Sheikh Yusuf wafundishe pole pole tu wewe na ustadh saidi
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp6 жыл бұрын
Inshaa-Allah
@asmaaabdalla93725 жыл бұрын
Hawa wakristo washa zoeya wachungaji wao huko kanisani kwamaana wachungaji huwasomea baibol ndiyo sivyo washa soeya kanisani kutukuwa sadaka
@asmaaabdalla93725 жыл бұрын
Mahubiri ya wachungaji ni sadakatu Hawana injili wao hukimpilia sadaka mwanzo WA Maginot mpaka mwisho
@asmaaabdalla93725 жыл бұрын
Ndacha sindanu imemuingia amezuba
@janenjenga56395 жыл бұрын
Kwa Yesu hakuna kulazimizwa au ukiachana na Yesu unauwawa kama waisilamu.check Pakistan, Iraq and many Muslim countries killing Christians.why?? If it's a religious of peace. Hypocrisy
@happyarooun60376 жыл бұрын
hakuna mkristo yoyete anaye fua dafu kwa mwiislam nyie hamuelewi maandiko kazi kufokafoka tu
@lazaromalanga65436 жыл бұрын
Kama kwa vulugu atutii dafu Kweli lakini kwa maandiko nyinyi niwachanga sana
@barakabmasalu56426 жыл бұрын
Hahaha safi sana Lazaro,kwa vurugu kweli hatufui dafu ila maandiko kushney,kwani waislam huwa wanajifunza maandiko au wanakariri maandiko?