Рет қаралды 132
Hope Channel Kenya
Majadiliano haya yanazua mafunzo kuu ambayo katika maisha yetu katika ukristo hatufai kuyaweka kando ila kuyahifanthi kupitia tabia zetu na mienendo yetu. Jiunge nasi tupate kujifunza pamoja.