MAKAHABA Wakutana Na Heka Heka Ya Kamanda MUROTO DODOMA

  Рет қаралды 269,409

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

#KamandaMuroto # Dodoma
MAKAHABA Wakutana Na Heka Heka Ya Kamanda MUROTO DODOMA
October 9, 2018 Jeshi la Polisi Dodoma linamshikilia kijana mmoja anayedaiwa kujifanya yeye ni afisa wa usalama kutokea mkoani Mbeya na kutapeli watu mbalimbali. Kamanda wa Polisi mkoni humo Gilles Muroto amewaeleza Waandishi wa habari namna muhusika alivyokamatwa akiwa katika jaribio lakiuhalifu.
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. .
Category

Пікірлер: 243
@neemapkawonga131
@neemapkawonga131 6 жыл бұрын
Duh wote weupe jamani hata hawafanani na hayo mambo
@perrybenson7188
@perrybenson7188 6 жыл бұрын
Kuna weupe na kujichubua hapo hakuna mweupe wamejichbua macho yamechomeka hatari!
@mariamvicent7312
@mariamvicent7312 5 жыл бұрын
Nikweli hawafanani hata kidogo
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 5 жыл бұрын
Kwani umalaya una rangi, acheni kasumba, hawa weupe malaya kuliko weusi
@najmamuss2806
@najmamuss2806 5 жыл бұрын
wamejichubua hatar
@janethedward7967
@janethedward7967 5 жыл бұрын
duuuh huo niudhalilishaji wahali ya juuu hatakm ni machangudo kunanjia mbdala yakuwafanya wache xkwadzan hiyo jamani tz yetu hakizabinadamu ziko wapi????!
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 4 жыл бұрын
Katka kuangalia kwangu nimemuona demu wangu shit shit kudadadek najuta kupenda😭😭😭😭😭 demu anaaaga naenda kazini kumbe kazi yanyewe ni ya kuzini kudadadek
@mwajabuhamisi7095
@mwajabuhamisi7095 4 жыл бұрын
Mm sijaona uwonevu hapo wakiwa wanaonyeshwa ivyo uenda wakaacha ukahaba sio maisha magumu tu tatizo wamezidi kuchagua wanaume ndomaana wanaishia kujiuza tu nyodo nyingi
@shabandamas1759
@shabandamas1759 4 жыл бұрын
Safi sana kamanda kazi nzr dawa
@jumamwadhini6066
@jumamwadhini6066 5 жыл бұрын
nijambo zuri mkuu vijana nguvu kazi tunaumizwa Leo nimeangalia simulizi moja kuna Dada katembea nawanaume250 amesha ambukizwa virusi
@aishaathumany8174
@aishaathumany8174 5 жыл бұрын
Mbona wengi wao karolayti imewawaeza mana wamekua wekundu Kama pilipili zilipigwa na jua wengine wazee kbisa jamani warangi wacheni umalaya karimeni mpate faida allaa
@mbozibukuru2592
@mbozibukuru2592 4 жыл бұрын
Nimeamini Tanzania mko saw Mungu awazidishiye muwafunge kabisa Mungu atawabariki
@djjoe_tzmixingmaster5872
@djjoe_tzmixingmaster5872 2 жыл бұрын
Safi sana kamanda njoo mshawishi na kamanda wa Arusha watokomeze huu upumbavu
@angelmmbaga2367
@angelmmbaga2367 4 жыл бұрын
Sina lakusema mungu awasaidie
@mwanahamisibunju583
@mwanahamisibunju583 5 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa mkowa
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 4 ай бұрын
Hawa mdada ndo wanaeneza mgojwa Tanzania kama vile ukimwi kaswende namengineyo
@lazarousmuzandu2568
@lazarousmuzandu2568 4 ай бұрын
They are been followed
@rashidseif6103
@rashidseif6103 4 жыл бұрын
Mara nyingi ninapo wakuta hao madada poa hua kila mmoja nampa buku kwa sababu najua hali ya maisha ni ngumu.
@aishasalum2963
@aishasalum2963 5 жыл бұрын
Mmmh mtihani kweli
@nenefutanganga9679
@nenefutanganga9679 3 жыл бұрын
Nyinyi wanaume hapa tuwe wakweri tuseme ukweli mtupu.. Wanaume kama hamununui nanini atauza?? Serikali yetu haitusadii kama wanawake tukithulumiwa na hawa wanaume.. Wachaneni na hao wanawake juu nyinyi mumewatia mamba wakazaa mukakibia na kiwaachia manjukumu mangumu ya kulea pekeyao bila chochote. Na mwanaume mwenyewe atakusubua mpenzi nizalie nataka mtoto ukishika ujauzito ana kuhepa humuoni tena. Wakulaumiwa hapa ni mwanaume aacheni kukibia manjukumu yenu nakuwekwe sheria ya kutetea mwanamke kama ichi za wazungu..hapo ukahamba utaisha.
@djjoe_tzmixingmaster5872
@djjoe_tzmixingmaster5872 2 жыл бұрын
Mliongea nanyoka kitu gani tena baada ya kula lile tunda? Nyie mnasiri nyimgi..acheni upumbavu cc tuone aibu
@boykakindasimu3969
@boykakindasimu3969 5 жыл бұрын
Hivi kweli mwanamke kuamua kujiuza kuna sababishwa na uhaba wa basic needs au nn tatizo ujue maisha hayako hivi jaman da inauma sana kuona dada zetu wako kwenye hali kama hii jaman kwangu binafisi inaniuma sana sijui naweza kisemaje tu
@jothamekisouke8199
@jothamekisouke8199 2 жыл бұрын
Duuuh wengine macho makavu hawana habari wala nini
@kelvinjonas8530
@kelvinjonas8530 5 жыл бұрын
Kiukweli sijaelewa maana ya kuwaanika kwenye vyombo vya habari
@levinawazir6289
@levinawazir6289 6 жыл бұрын
pole my erica na boke yote maisha kikubwa mpo huru kwa sasa
@sumasugubrowna7640
@sumasugubrowna7640 3 жыл бұрын
Askari wetu masikini hawana kazi, kusema kweli raia ni watulivu sana mpaka askari wanakosa kazi, hawa askari inafaa wapelekwe NAPOL ITALY
@mpelienock
@mpelienock 4 жыл бұрын
Mitandao ya kijamii imekua shida jaman, je onyo kali lingetolewa na idadi ya walio kamatwa wengine wasingejifunza? Ni mpaka wadhalilishwe utu wao wa kupigwa picha?
@ayoubwenga1805
@ayoubwenga1805 5 жыл бұрын
jinga sana we fande
@justinajohn9154
@justinajohn9154 4 жыл бұрын
Eti wanaonewa mwe mnavunja ndoa za watu halafu mnaonewaa
@aishajuma7739
@aishajuma7739 3 жыл бұрын
Mhh hawjioneyi hata huruma
@chidsufiani1133
@chidsufiani1133 5 жыл бұрын
Jamany
@leilasadick5477
@leilasadick5477 6 жыл бұрын
Wapeni ajira ajira ngumu sana tz
@abdullahkhamis3196
@abdullahkhamis3196 5 жыл бұрын
Waliokuwa si Malaya wote wanaajira
@dullahvichuzi6567
@dullahvichuzi6567 5 жыл бұрын
Leila Sadick nhggffdsdgvvhgjhhhh
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 4 жыл бұрын
Mnapenda sana kick kwan lazma muite waandishi haya mambo tunayaona utawala huu tu sijui mwisho wenu n lini mnadhani mtaongoza milele.Hakuna mty anapenda afanye ivo wapeni mitaji.Wengine n wazazi wa watu
@arafiakasuke510
@arafiakasuke510 6 жыл бұрын
Jamani uwo ni uzalilishaji... Jamani haki za binadamu zipo wapi?? wengine hapo mama za watu na wengine ni dada za watu
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 жыл бұрын
Aibu tupu
@lastkingsentertainmenttz6041
@lastkingsentertainmenttz6041 4 жыл бұрын
Acha wakome
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Ww kama mama ZAWATU nani aliwaambia wajiuze
@sumasugubrowna7640
@sumasugubrowna7640 3 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 hakuna aliewaambia wajiuze lakini sio kuwadhalilisha katika mitandao ya kijamii, na si kweli hii biashara wanaipenda.
@keiphilemon6941
@keiphilemon6941 4 жыл бұрын
Hao walipe kodi Tu dunia nzima wapo hawa wanasaidia sana jamani
@toshogme
@toshogme 6 жыл бұрын
what are they talking about
@مريممريم-ف5ق6ي
@مريممريم-ف5ق6ي 6 жыл бұрын
saf sana
@suzanadeimamo7726
@suzanadeimamo7726 2 жыл бұрын
Waacheni watu wajiuze kwa kuwa wateja wao wapo
@danieljones2048
@danieljones2048 4 жыл бұрын
Mbona kamada anaingilia biashara zetu?
@hawa4220
@hawa4220 Жыл бұрын
Njoeni na Arusha wanatuzalilisha
@annaraphael6613
@annaraphael6613 4 жыл бұрын
tukisema tanzania haina haki mnatetea upuuzi. sasa atakama nimakahaba kwanini kuwadharirisha hivo? watu wanatumia mamlaka yao vibaya kunyanyasa watu. ata hao wanaume pengine wameonewa kabisa.
@ssadam4583
@ssadam4583 2 жыл бұрын
Umalaya sio mzuri watanzania
@gasperkiwo8279
@gasperkiwo8279 5 жыл бұрын
Ni maisha msiwalaum, muwafanyie haki msiwazulum ni binadamu kama wengine
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 5 жыл бұрын
Weee mteja au umo
@rashidseif6103
@rashidseif6103 4 жыл бұрын
Wapeni ajira basi
@neemamfangavo1571
@neemamfangavo1571 3 жыл бұрын
Huyo manywele ana chura😂😂😂😂😂
@mercypeter162
@mercypeter162 2 жыл бұрын
Ndio maana wanawake weusi Ni hadimu hao wengi ni weupe. Muwe mnakamata na wanunuzi wanaume
@babilonzuro2712
@babilonzuro2712 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂wadangaji bwana
@ميرنااحمد-ر1ت
@ميرنااحمد-ر1ت 5 жыл бұрын
Wape Kazi basi
@yahyarajab525
@yahyarajab525 5 жыл бұрын
Wachierrrr
@asmamohamedidi585
@asmamohamedidi585 4 жыл бұрын
Ndio inavyotakiwa kata shina umalize matawi
@shabandamas1759
@shabandamas1759 4 жыл бұрын
Ase!!!
@rahmstifaallahndiemwenyeku6765
@rahmstifaallahndiemwenyeku6765 5 жыл бұрын
Hata mkiwapa raki mbili Kira mtu wakafanye biashara harafu muafuatilie lkn sio hivyo jaman
@patrickkasonso2212
@patrickkasonso2212 5 жыл бұрын
Udharirishaji
@willy_breeze
@willy_breeze 2 жыл бұрын
Hawo hawawez kuwaondoa dunian n Weng xn me nadhn watafutage njia nyngne Tu Ila unashka wao wengne wanaingia
@suleimanjuma7526
@suleimanjuma7526 4 жыл бұрын
Mitihani tu ya dunia wallahii
@mwesigekalio3816
@mwesigekalio3816 4 жыл бұрын
huu uzaliishaji nyinyi selikali mnataka wawe hivi
@evajohn7001
@evajohn7001 5 жыл бұрын
weka ndani woteee
@ayoubwenga1805
@ayoubwenga1805 5 жыл бұрын
kama umewakuta nawewe ulikuwepo pale nawewe nikahaba
@gizzelle5500
@gizzelle5500 5 жыл бұрын
Wamejiajiri hao muwaache.
@suleimanalisaid1098
@suleimanalisaid1098 4 жыл бұрын
Wanajiuza wanauwa nguvu kazi kwa taifa weka ndan wote hao
@bryanmuoki6250
@bryanmuoki6250 3 жыл бұрын
Wacheni kudhalilisha wanawake, wape kazi
@francethomas8059
@francethomas8059 2 жыл бұрын
Duuu
@mwanaidiomar3678
@mwanaidiomar3678 4 жыл бұрын
Mwaonewa wakati wakati mwauza uchi wenu
@jamesjohn4158
@jamesjohn4158 5 жыл бұрын
jamani siovzul
@amosmangura
@amosmangura 4 ай бұрын
Wapimwe ukimwi
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 жыл бұрын
Wapelekeni jela wakalime wazalishe mazao yakutosha
@aligmoha9015
@aligmoha9015 5 жыл бұрын
+254 ananichekeshaga sana uyu mzee
@athumanimafugalo9917
@athumanimafugalo9917 6 жыл бұрын
Mbona kama tuhuma haina ushahidi na watu hawaruhusiwi kujieleza?
@danielx8
@danielx8 5 жыл бұрын
Mbona awabishi?
@rashidmohamedi1495
@rashidmohamedi1495 5 жыл бұрын
Dah hawajamaa watawaambiaje wake zao dah
@stevenkisinda8064
@stevenkisinda8064 5 жыл бұрын
Sasa Mme wakamata wapeni ajila wengine hawapendi wengine hapo wana degree lakini hawakubahatika kupata ajila sasa wanafikili watajikwamuaje katika maisha wapeni ajila wapeni ajila
@bahatikengese3603
@bahatikengese3603 4 жыл бұрын
tukiacha ushabiki mroto anapiga kazi kabsa
@hamismbungo1087
@hamismbungo1087 6 жыл бұрын
wape ela ya kula wataacha
@hassanikwangaya8163
@hassanikwangaya8163 5 жыл бұрын
Hamis Mbungo umakaya tu kwani wanashindwa kupika maabsmdaz
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 5 жыл бұрын
Anaejitambua mkamilifu awe wa kwanza kuwarushia jiwe
@patrickngwaulanga9758
@patrickngwaulanga9758 6 жыл бұрын
Kunavibao vinazuia kupita maeneo hayo?
@kalistamisanya5544
@kalistamisanya5544 3 жыл бұрын
Hahaha
@shaghabanibinramadhanshagh1561
@shaghabanibinramadhanshagh1561 4 жыл бұрын
Nawashangaa wene kukomment et mnasema huu ni uzalilishaji waliamua kujizalilisha wao ujinga wao ndo umewaponza
@kpetres2872
@kpetres2872 4 жыл бұрын
Hizi sifa Sasa😕😕
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Sifa gani Sasa ua nawe umo
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Alafu wakipata ukimwi wa nalia serkali iwasadie pumbavu
@suleimanjuma7526
@suleimanjuma7526 4 жыл бұрын
Mh tufanyeni kazi za halali .jamani kazi nyengine si kazi
@lucylyamuya2088
@lucylyamuya2088 5 жыл бұрын
Sio haki mnawadhalilisha mngewapeleka bila kupatoa video.watu wanatekwa majambaz wanasumbua si mkawakamate sasa
@muhamedmlulu4943
@muhamedmlulu4943 4 жыл бұрын
Watuuy kama hawa aibu hawanaga wengne mach makav ngj wazalilishwe t
@peterkipile7568
@peterkipile7568 5 жыл бұрын
Kama umeona kamguu keusi tiiii twende sawa
@wilsonkimaro6375
@wilsonkimaro6375 5 жыл бұрын
NI KWELI MNAONEWA TUU HAMNA LOLOTE KWANI MLIKUWA MNAMUUZIA NANI HUYO AU KUNA MAENEO MAALUM YALIYOTENGWA NA SERIKALI AMBAYO WANANCHI WAKIKAA MAENEO HAYO WANAKUWA WANAJIUZA AU MBONA SIELEWI MIMI, AU TUKAMATIENI WALOMPIGA LISU RISASI BASI ILI TUWE NA IMANI NANYIE TENA
@crunkersdd4578
@crunkersdd4578 5 жыл бұрын
But huo ni udhalilishaji sasa hata kama wamefanya pelekeni wao kwa Sheri na sio kwa njia hii
@حميورمضان
@حميورمضان 6 жыл бұрын
Mtihani WALLAH
@doctor.jayonecity.onefamil4200
@doctor.jayonecity.onefamil4200 5 жыл бұрын
sio poa. maisha nimaisha. wapangieni tu maisha. sio muwalaum bwana. maisha magum
@حميورمضان
@حميورمضان 6 жыл бұрын
Wengine wamama kabsa jaman unafundsha nn family yako kwa hali hii
@kitengaimasangali914
@kitengaimasangali914 5 жыл бұрын
Mimi naona elimu itolewe kwanza jamani
@vannymoke7153
@vannymoke7153 5 жыл бұрын
Watakaposhika
@hawamlewa7067
@hawamlewa7067 4 жыл бұрын
Wakome tu sioni kama kuna uzalilishaji hapo
@neemafanuel4583
@neemafanuel4583 5 жыл бұрын
Ila hayo siyo maadili ya jeshi la polisi duniani kote, mambo hayo hayapo ya kuwapeleka watuhumiwa kwny media hizi zaidi ya mahakamani, mmehukumu kabla ya kuhukumiwa na mahakama zetu, ndio maana kunakesi nyingi za askari kusingizia raia na kutaka rushwa
@patricianickson8755
@patricianickson8755 2 жыл бұрын
Mawazo mgando walewale
@NuruTete
@NuruTete 10 ай бұрын
Wazibiwekabaismnguawasaidiamaasikar
@hamisijumanne3724
@hamisijumanne3724 6 жыл бұрын
Kuna mama namjua du!
@rebbyfrancis2808
@rebbyfrancis2808 5 жыл бұрын
Mbona hawafananii
@aishaathumany8174
@aishaathumany8174 5 жыл бұрын
Ulitaka wafanane nawwe ?? Au umetamani ungekua hapoo?
@jojo_linkissabiny5238
@jojo_linkissabiny5238 5 жыл бұрын
ukimwi atuisha
@jumalula7516
@jumalula7516 5 жыл бұрын
Huyu kmanda mzalilishaji sio lazima awaonyeshe
@roswitaexavery3378
@roswitaexavery3378 3 жыл бұрын
Wapigwe fimbo mpaka watoboke makalio
@salhamusa9009
@salhamusa9009 5 жыл бұрын
sukum ndan wote
@taufiqjenseni6197
@taufiqjenseni6197 5 жыл бұрын
unyanyasaji unaendelea
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 7 ай бұрын
Pumbavu zao vitu walipewa vya bure wanataka kuvifanya ruru ndo viwatajirishe
@تكراانزانيا
@تكراانزانيا 6 жыл бұрын
Usk wanavaa mawigi hahahaa bora ninae fanya kazi za ndani napata pesa maisha yanaenda kuliko kudanga
@mpkwangu1367
@mpkwangu1367 5 жыл бұрын
Mkifanya hivi na kwa majambawazi tutasafiri usiku kucha
@mpawenimanaclaudette4864
@mpawenimanaclaudette4864 5 жыл бұрын
Maisha ni magumu jamani😭
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Maisha magumu kwani wanaonunua maisha Yao yamekuaje raisi? Kujiendekeza tu
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 жыл бұрын
Kujiendekeza acha kutte utopolo😠😠😠😠
@kelvindagine9571
@kelvindagine9571 3 жыл бұрын
Hapo kafeli ni ujingaaa sifa za kisenge si muwaite muwaazibu mpaka kamera
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 5 жыл бұрын
Serikali inawajibu ya kusitisha umalaya, kwasababu sawa na ujambazi
@nenefutanganga9679
@nenefutanganga9679 3 жыл бұрын
Kama ukahaba ni ujambazi, basi kutia mwanamke mimba na kuhepa manjukumu hiyo ni murder with violence.
@fakihassan5995
@fakihassan5995 5 жыл бұрын
Lakin kazi hawana bora waji ajiri wenyee
@mariasimon7545
@mariasimon7545 5 жыл бұрын
TUBUNI WAPENDWA MUWE VIUMBE VIPYA. YESU ANAWAPENDA KWANINI MUYARISKI MAISHA YENU KUNGALI NA NEEMA YA WOKOVU. KAMA FURSA ZIPO JIEPUSHENI NA TABIA HIYO NA MUNGU ATAWASAIDIA. YESU ANAWAPENDA SANA HATAKI MUENDE JEHANAM KWA AJILI YA UKAHABA. OKOKA SASA YESU KRISTO ANAKUJA SASA HIVI.
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 5 жыл бұрын
😁😁😁wale wanaumee
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 6 жыл бұрын
Sijui huko mahakamani wanaushahidi Gani wakesikama hiyo.
@nassiralihassan1160
@nassiralihassan1160 3 жыл бұрын
Hawaaa maadanguroo waanauzaa ngapi nyumaa bei yaa nyumaa munauuzaa ngapi nipo naa pesaa miee mwauzaa ngapi nyumaa nyiee madanguro
@emmanuelowiti8217
@emmanuelowiti8217 4 жыл бұрын
Kuna kazi nyingi mno za kufanya,hayo mambo tuwaachie wazungu jamani watanzania 🤔
@salmaothman153
@salmaothman153 6 жыл бұрын
Wengine watu wazima hawafai kufanya mambo hayo
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Uyu mama mtu mzima jamani
Polisi feki waliokamatwa Dodoma, RPC Muroto akiwahoji maswali
8:19
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 4,7 МЛН
Mwanajeshi tapeli alivyoingia kwenye mikono ya RPC MUROTO
4:48
Millard Ayo
Рет қаралды 32 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
RC CHALAMILA AVAMIA DANGURO MWANANYAMARA, AWAFUKUZA MADADA POA
12:49
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 10 М.
"Nabii Tito" amwambia Kamanda "mimi ninatumia Biblia"
8:26
Millard Ayo
Рет қаралды 756 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН