Huwa napenda simulizi kama hizi kamoja haswaa ya babie love🎉🎉❤asante anko Jay na muandishi❤❤
@AzizaRashidy5 күн бұрын
Tupo kama kawa🎉🎉🎉🎉🎉
@FatmaHassankhamisi5 күн бұрын
Vipi Tena ngauni la Amina
@MadinaRashid-v5n5 күн бұрын
Kitu kipya hichoo!!
@ZawadiIddi-g3y5 күн бұрын
Pamoja San anko wet ❤❤❤
@saudamwakunemwa38565 күн бұрын
Wamwisho🎉🎉🎉
@UmayyaMunisi5 күн бұрын
Familia ya nko jay mumeamkaje jmn😅😅mushajazana😂hivi huyu anko jay anajua tunavompenda❤
@FatmaHassankhamisi5 күн бұрын
Asante anko jay 🪑🪑🪑🎧🎧🎧 naona madam kafurahi kutuhadithia stori yake 👏👏👏🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@LizaLiza-v2m5 күн бұрын
Kitukipyaaaa ngojea tumskilizie bossladis
@binthassan91915 күн бұрын
Tunapaa nayo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@agnesagnes52885 күн бұрын
THE KING OF VOICE ASANTE
@Yusra7282 күн бұрын
Pole na hongera Gema, Mwenyezi Mungu awe pamoja na wewe na familia yako kwa ujumla hadi mwisho wa safari ya maisha yenu🙏
@BisharaMaketa5 күн бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉bro pamoja
@reginarichard33494 күн бұрын
Jamani hii adi nimelia😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu ni mwema 🙏 Asante kwa hii story nzuri sanaa Ancle 🎉🎉🎉❤❤❤
@lidiajephter75645 күн бұрын
Anko tunakupenda buree❤❤
@avelinabaluhya28045 күн бұрын
La Gema ni gumu hadi Mungu atakapomkumbuka😭😭 na kila jaribu lina mlango wakutokea
@asharonga66606 күн бұрын
Tunategea😂❤❤
@BintalyB5 күн бұрын
Nmefika ndani tyri nikaona mmbo mpya 😂😂😂😂❤❤❤asanthe ankoj kwakuletea mmbo mazuri
@TeklaNdekeja5 күн бұрын
Mwaka huuu ni burudani apa❤❤😂
@godsfavour56655 күн бұрын
Wueeeeeeeh ukifikiria umeangukia kumbe umeangukiwa😭kazi ya kuuzwa kwa wanaume uuuuuuiiiii adi kwa ubwa kwisha basi😭khaaaaaaaaaa
@SusanNeema-re3hr5 күн бұрын
Ndio tuna fundishwa kua makini na marafk jamani....anko jay tunakushukur sana sana🙏🙏
@Fatmamakame-q5w5 күн бұрын
Madame boss kafanya nini me na we hatujui wacha 🪑 🎧 thanks anko j wetu chukua maua yako❤❤❤🎉😊
@StellaMalando4 күн бұрын
Jamn duuh ni mechelewa sana 🎉🎉❤❤
@Sofiajackson_1236 күн бұрын
Jamani nime wai😂❤❤❤like from 🇺🇲👋
@wertqwe83265 күн бұрын
Nimadam boss au ni madame boss
@blackangel.585 күн бұрын
Sasa madam na madame ina utofauti gani mm naona madame ni mbwembwe tu
@HusseinKibwana-y7f5 күн бұрын
Lete vitu anko jay
@LeeYanOm5 күн бұрын
Wow thanks anko❤
@aumuelly29095 күн бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi mapema good morning ❤❤
@Lucy-vp8pm5 күн бұрын
Leo nmekua wa 18 wp ❤❤❤kwa akoj kutuletea mzigo mpya wale tumefurahi mzigo mpya kushushwa like hapa
@prettyjenny-b2j5 күн бұрын
Jamani nimekuwa wa 89 siamini 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@We_love_brook5 күн бұрын
Jaman tujikaze sana tumsapoti anko aeneze 100k subscribes najua atuwezi kushindwa tujikaze sana😢❤❤❤
@MinaBuguf5 күн бұрын
Na❤❤❤ mm Leo nimekua wa72
@DottoMauridy-kg5ig5 күн бұрын
Vp simulizi la gauni la Amina
@HopenessNjau-z3r5 күн бұрын
Kweli anko uko fast saaaana na unafany kazi yako on time
@christinahaule-p8i2 күн бұрын
Nurhat ni rafiki mshezi tuu simulizi ni tamu sana yenye kufundisha na kuelimisha pongezi ziende kwa anko j ❤❤❤ kwa sauti tamu pole kwa yaliyo kukuta Gema yani Nina anatamaa sana yani unatumika tuu bila kupata chochote inauma sana 😂😂 marafiki wengine siyo wazuri kabisa Simulizi ni tamu mno madame Boss ❤❤❤🔥🔥🔥
@kingselemani27565 күн бұрын
Nimewahi uwezi hamini
@NasrahhassanNana3 күн бұрын
Bado mapemaaaa watuu wa gulf team strong leo ni kudek gorofa ya mwarabu bila stress❤❤❤
@fatimafoaani22636 күн бұрын
Si uichie na mmi niwe wa kwanza leo maana kila siku mmi huwa mwisho mwisho 😂😂😂😂😂❤❤
@hassnakhamis34895 күн бұрын
astaghafiru llah marafiki ni watu wa ajabu jamn 😢😢😢😢😢😢 ndo mana sitaki marafiki walah
@lidiajephter75645 күн бұрын
Wow
@JaneSanga-b4i5 күн бұрын
Jmn sahv simuliz just ya simuliz
@RakaPk5 күн бұрын
Asante sana anko kwa kutupa kitu kipya ubarikiwe sana kaka❤❤😂🎉
@نظيفهخالد5 күн бұрын
Ankooo❤❤❤
@FettyJuma-w8t5 күн бұрын
Pamoj san🎉🎉😊
@Irenemgal5 күн бұрын
Jamani iisimulizi imeniumiza sana jamani😭😭😭😭😭😭😭😭
@avelinabaluhya28045 күн бұрын
Mhh, uarabuni kuna pesa nyingi ni balaa kubwa hilo, pesa ilishalaaniwa toka imuuze Bwana Yesu 😭😭
@lisazainabu36266 күн бұрын
Jamani munikumbuke kwa like na comment na mimi naona kuwa wakwanza vimesha ninshinda😂🎉🎉🎉
@GrolyBenjaminGroly-o6l5 күн бұрын
Wachelewaji tupoooo😂😂
@Revitasjoseph5 күн бұрын
Nimekuwa wa 336 jaman ety nimechelewa sana❤🎉🎉🎉🎉
@NadraSuleiman-k5w5 күн бұрын
Madame boss jaman haya twendenae mzigo maana si kwa utamu huu asubuhi na kibahiri hich 😂
@aseaaaa58122 күн бұрын
Kweli kabisa ❤❤❤❤
@NadzuwaAmina4 күн бұрын
Safi sana anko tumejifunza 🎉🎉🎉
@salmazwallo59205 күн бұрын
Mmmmmhhhh marafikii hawa unafrah kwenda ulaya kumbee unaendaa kuuzwa ninaa jaman😢😢😢😢😢
@matibayajumah53272 күн бұрын
Da.pore sana
@MariamJuma-o9z5 күн бұрын
Anko jay simulizi mzuri sana Asante hakika swala tano ndio nguzo Waallah tena ❤❤❤❤
@ZaiZainabu-o4p5 күн бұрын
Tunasubir Ancojey Mung atusaidie afya nauzima inshallah 🙏
@BintalyB5 күн бұрын
🤲🤲🤲🤲
@avelinabaluhya28045 күн бұрын
Ila Nina khaa, ni rafiki mkia wa fisi, hata shetani haoni ndani kwake😢
@SifaelDickson5 күн бұрын
Hata Mimi nimewahi🎉🎉🎉😂
@mwanamisikifogo8695 күн бұрын
Yani ukiona simulizi ya ankojay juwa huwez kuwa wa kwanz mm kila siku ni ws mia moja na huko ongera sana ankojay 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mnaorauka kumpa sapota kaka yetu ❤❤❤❤❤❤❤
@RukiaIma5 күн бұрын
Shukurn Ankojey wetu forever ❤❤🎉
@MarieNgabo5 күн бұрын
Jamani Anko ni mushike mushike ila Anko katumaliza jamani 🎉🎉😢🎉
@MoshiMoshi-qy8dq5 күн бұрын
Ankojay pamoja na wanafamilia wote muwe na siku njema yenye baraka tele😊😊😊😊😊
@mumbikibathi70365 күн бұрын
Nime Wahi, Mumbi Wa Naivasha ako locked wapi likes
@daphnelovely72806 күн бұрын
Jamani najuwa utaiweka nikuwa nimelala haya naomba like zangu
@FatmaHamisi-qr4qc5 күн бұрын
Jamani binadamu tumekosa utu
@issanuru95525 күн бұрын
Hii story km ankojay unairudia lkn tamu ila sio shida naisikiliza tena kwa mara ya pili ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@blackangel.585 күн бұрын
Bul bull❤❤❤
@cherry_athuman5 күн бұрын
ONCE AGAIN ANKOO JAY MAPESA❤
@DivineKavira-e7b5 күн бұрын
Madame boss kafanya nini dhaaaa ila anko j ipo siku utakuja ku tupa presh
@fatimafoaani22636 күн бұрын
Tunaisubiri kwa hamu zote good job MR ankoooo ❤❤🎉🎉
@Shadia5445 күн бұрын
Haya tena MADAME BOOS JAMANIII KAFANYANINI TENA TUNASIKILIZA HILI TUJUWE HUYO MADAME BOSS🪑🎧TUNASIKILIZA HAPA
@Messyomi5 күн бұрын
Waoooo ❤❤❤
@ZipporahKwamboka-r8j5 күн бұрын
Asant kwa simulizi tamu❤❤❤❤ ina funzo sana ubarikiwe ankoj
@FatmaMohammedAliphan5 күн бұрын
Shukuran nyingi tunabrudika mnoo na voice yako 😂😂😂🎉na simulizi yako🎉🎉
@usterbae5 күн бұрын
Nimechelewa ila nimefika Ahsante Ankojay kwa simulizi nzuri may God bless you🙏❤🙏 guys before usikilize bofya hiyo subscribe tumfikishe 100k our King 👑 hii ni kwa wale hawajasubsribe I love you all❤❤
@avelinabaluhya28045 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉asante sana kwa breakfast Ankojay
@MariamJuma-o9z5 күн бұрын
Ameeni Ameeni baby love shukra sana kwa dua yako simulizi yani tamu flowers 💐 for you ❤❤
@njerijane40834 күн бұрын
Upya upya🎉🎉Anko J
@DottoMauridy-kg5ig5 күн бұрын
Sasa anko
@neemamlondani54875 күн бұрын
Tunasubiri Emy😢
@RithaNotker5 күн бұрын
Kwakweli jmnii😅😅😊
@ZuenaMakame6 күн бұрын
Nimesafisha hadi masikio uje
@JoselinePhilimon5 күн бұрын
Asante Ankojei vipitena gaunila Amina
@aminakiondo-gh9el5 күн бұрын
Kuna Ile ya Ammy sijui imeisha wap
@Kellyperry9474 күн бұрын
Madame...sematena eti madame 😅😅😅😅 waburudi siku moja mtakuja kuniua😅😅😅😅😅
@binthassan91915 күн бұрын
Kawaida kunyamaza ndio jibu la mjinga
@Sidrasidra6365 күн бұрын
Onkojay hizi nchi za warabu zenye maendeleo hawaruhusu vicha kutembea mabarabarani 😅 ni lazima wachukuliwe na serikali
@AlliceDamaso5 күн бұрын
Sas guys mie madame boss wa pili😂😂😂😂msininyime like!
@threyahejre64052 күн бұрын
Ata siyo kweli warabu hawana tabiya iyo yakulala nambwa