Рет қаралды 392
Chama cha Madereva wa Malori Tanzania (CHAKAMATA) kimesema kuwa madereva kadhaa kati ya waliokamatwa kwenye machafuko nchini DR Congo wamefanikiwa kuingia nchini Rwanda salama huku baadhi ya mali zao zikiporwa.
Kwa mujibu wa taarifa inasemekana zaidi ya madereva 40 wamekamatwa katika eneo la vita Goma huku jitihada zikiendelea kufanywa ili kuwaokoa.
#AzamTVUpdates #azamnewsupdates
✍Esterbella Malisa, Warda John
Mhariri | @official_jennifersumi