Huyu bint asiyesikia anayetaka kusoma tunaweza kupata mawasiliano yake? Au tutawezaje kujua jinsi kumsaidia?
@maholelatv72748 сағат бұрын
Well-done
@MasheheMnkande8 сағат бұрын
Penda sana mkuu wa wilaya shupavu
@Danielkomba-t8k8 сағат бұрын
Sana yn waliteseka
@Danielkomba-t8k8 сағат бұрын
Sana yn waliteseka
@Danielkomba-t8k8 сағат бұрын
Kumbe km mm
@magrethgeorge29389 сағат бұрын
Mada nzuri sana
@kafwimbimilambo855611 сағат бұрын
Kibaraka 100%
@FatumaMwage12 сағат бұрын
nikiwa nasira tu narudia kuangalia hii mechi makolo walivyo teseka😅😅😅😅
@AmanMilongr19 сағат бұрын
Leo 1 / 2 / 2025 tunakumbuka hhahaha
@abdulqadiruday679010 сағат бұрын
❤
@kanokyandoКүн бұрын
nakupataj?
@kanokyandoКүн бұрын
naomba namba yako
@AbdallahAyubuhКүн бұрын
Yule dereva ambeye aliye kuwa anaojiwa anaitwa nani vile jamani
@thomastemu3332Күн бұрын
Ndiyo magonjwa hayo..wanyama kama mbuzi ngombe ni majani tu..wasije wakaleta tena ugonjwa wa mbuzi lamba lamba 😮😮
@magarinanguКүн бұрын
😂
@bene28aprilКүн бұрын
Rwanda na Uganda wanajenga reli yao kupitia Uganda na Kenya
@ALLYALLY-z6eКүн бұрын
Nilikuwa nje ya sayari kimasomo ndo nimerud leo duuuh kumbe makolo ndo walinyanyasika hvi ahah balaa
@ZakariamaluluКүн бұрын
hhahahhah
@EmmanuelCharles-yu6cvКүн бұрын
Huyu Mripotiaji navutiwa sana na uripotiaji wake HONGERA BRO KEEP MOVING
@SayiSawadi-m3j2 күн бұрын
Tunaoangalia tr 31 January tuko wangap
@SayiSawadi-m3j2 күн бұрын
Mi sayi nikiwemo
@PlickaChacha2 күн бұрын
Nimesikita sana hyo verse ya waefeso 3:20 inatumika ktk vitu vya hovyo hovyo kama magari Mambo makubwa mno kuliko yale tuyawazayo mnatoa mfano wa magari Mungu ninayemwamini mimi afanyi mambo anayoweza kufanya binadamu kwa mfano mvua,kufanya usiku na mchana ,kukuponya unapokua unaumwa etc sio hayo mavyuma yakupita na fashion
@thomastemu33322 күн бұрын
Steve nyeyere namuona hapo bado anajichomoza chomoza mara utastukia ni staiki meya mda si mrefu..😂😂😂😂😂😂
@MagdalenaBoaz2 күн бұрын
Mim hapa
@mndambokilavo25022 күн бұрын
Serikali inajichelewesha yenyewe miundo inakaa miaka 40 mkijilinganisha nchi za afrika eti umeme ni bei nafuu ni ujinga kinachotakiwa ni uchumi dar hawafungi a/c kwa sababu bei ni ghali huoni kama serikali inakosa hilo soko
@ANONYMOUS-v5t4x2 күн бұрын
MAREKANI NCHI YA MASHOGA, WASENGE, NA WASAGAJI INAISHUTUMU NCHI NYINGINE!!!!! MAREKANI IMEUA MAMILLION GAZA, IRAQ, AFGHANISTAN, HAITI, SOMALIA, PAKISTAN, YEMEN....WAKAE KIMYA MBWA HAO
@kamandashupavu2062 күн бұрын
1. Wanakijijii ni wengi haiwezekani wote wakaenda tofauti na huyu mwamba shida huyu KONYA alitakiwa kusema hana pesa kwa kipindi hicho na sio kuwakimbiza watu na panga usiku, wakati sheria ya kijiji inakutaka ulipe pesa ya mwani kwa mshindwaji wa kesi .. 2.KONYA anajituma sana kutafuta pesa, tatizo ganjaaaa😃😃😃 na ule ubabe wa zamani nakujiona hakuna wa kumwambia kitu coz wanamuogopa kutokana na matendo yake na inaweza kuwa alikuwa akiwindwa toka zamani japo yeye hakujua anawindwa kutoka na mwenendo mbaya kwa jamii na kiburi kwa ajili ya Mali alizonazo , hivyo kipitia hili wanakijiji wamepata fursa ya kulipizia machungu yao😬😬.. 3. Mi nimuombe mwenyekiti kupitia kijiji chake, afanye mchango mdogo kwa wanakijiji kununua uniform za shule za watoto ili wasikose vyote, kama kimebaki chumba kimoja inatosha au kama hakipo muwasaidie ili watoto walale pazuri ila huyu KONYA na pisi zake waache wapigwe baridii wajue kuwa umoja nguvu na kisha MWANI tumemsamehee.✍📊
@jeremiaaugustino71872 күн бұрын
vituko tuuuu wakati TZ kuunga umeme bei laki 3 hadi na 60
@ContentSmartphone-rq6po3 күн бұрын
Kibaraka huyu mzee
@ManaseBuhanza-cl1lc3 күн бұрын
Wafanyabiashara wa nafaka mkoani kigoma baadhi ya wataalamu kubaini kuhifadhi nafaka zaid ya miaka 2 kwa kutumia kemikali kari & kuwasababishia magochwa makali watumiaji hivyo nafaka hizo hazitakiwi kufika kwenye masoko yoyote nchini Irani kwa walaji nk
@ManaseBuhanza-cl1lc3 күн бұрын
Taharuki uwepo wa magochwa hayo zaidi kinga inatakiwa bira uonga
@rosetreffert41793 күн бұрын
Busara Hakuna
@rosetreffert41793 күн бұрын
Tanzania sasa hivi kila mtu anafanya apendavyo kama Hakuna kiongozi
@rosetreffert41793 күн бұрын
Jamani huu uonevu hadi huruma
@ManaseBuhanza-cl1lc3 күн бұрын
rais wa Tanzania kaupiga mwingi & wanao mutusi rais baada ya uteuzi kira mkoa wakamatwa haraka sana hasa mkoani kigoma kwenye wilaya zote za mkoa wavkigoma
@ManaseBuhanza-cl1lc3 күн бұрын
Serkali ya marekani & Canada &nchi jirani kupima COVID(19) baada ya kupokea wakimbizi kutokana mulipo wa magochwa hatar aidha imeonekana afya zao sio nzuri kupima in kuanzia tarehe 5/2/2025
@annamashauri74213 күн бұрын
Mungu wa mbinguni akupe pumziko la Aman🙏
@leonardmartine6623 күн бұрын
Nice🎉🎉
@Mmenga_junior4 күн бұрын
Wangapi wanaiangalia hii January 2025
@MAILAGUN4 күн бұрын
THE MOMENT OF SADNESS 😭
@AndreasMkundi4 күн бұрын
Sasa hapo ndipo simba walipo yakanyaga
@elizabethsimba97434 күн бұрын
Kabisa hili la ni sharti Africa big up sana.
@sarahemmanuel81154 күн бұрын
Mungu wangu
@johnsinyinza74504 күн бұрын
Ukweli rais akifanya mazuri tuwapongeze mfano shule za kata .tumkumbuke mkapa. Mh rais kikwete chuo kikuu Dodoma tumukumbuke jamani. Mwendazake magufuri naye tunakumbuka. Bwawa la umeme rufiji.SGR. Barabara. Kusambaza umeme. Ukatili wake uhasama na Chadema .Asingetaka vyama vingi angefuta kama nyerere alovyo kataa vyama vingi Benki ya IMF ikampiga Stop taifa likashidwa kujiendesha akamwachia mwinyi. Lakini ndiye rais aliyejenga viwanda vingi kupita wote marais mkapa ndiye aliuza viwanda vingi kupita marais wote
@johnsinyinza74504 күн бұрын
Wasomi muandaye au andikeni vitabu tangu tupate uhuru hadi sasa.
@johnsinyinza74504 күн бұрын
mkutano wa marais hongera sana ni ni jambo muhimu sana. Kama mtu hapongezi ni mchawi.hiro ni zuri lakini la bandari la masai hapana.
@Anordmbelwa4 күн бұрын
Nawapata nikiwa DAR GOBA SENTA
@ndukulusudikucho_4 күн бұрын
Diaspora anatakiwa apewe ardhi ya uwekezaji yaani kama vile hawa jamaa hawatakiwi kabisaaa, hawa ni watu wenye asili ya Tanzania waruhusiwe kujenga, kuwekeza kama Raia wengine isipokuwa mambo ya siasa na kazi za serikali, au Diaspora awe na shareholder mzawa doesn't make sense kabisaa, wanaharibu zoezi zima la hadhi maalum, sasa kama Diaspora ataambiwa awe shareholder mzawa kwenye kampuni yake tofauti ni nini hapo na raia wengine wa kigeni, kuna mambo huwezi shangaa mana tuko kwenye list ya Nchi Masikini nahisi hata upeo wetu wa kufikiri una kikomo, kama hili zoezi haliwezekani bora mlifute lisiwepo kabisaaa ,mana diaspora wataendelea kutuma remittance nyumbani na ndicho serikali inachokitaka, level ya ubinafsi ni ya juu saaana