MADHARA YA WANAWAKE KUSWALI MSIKITINI

  Рет қаралды 1,562

KHALIFA MPYA TV

KHALIFA MPYA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 39
@amadally5837
@amadally5837 Жыл бұрын
Sahihi kabisa
@hawaomary6350
@hawaomary6350 Жыл бұрын
Mwambie Khalifa Musa Issa awe anatupa darsa za ibada za kusafisha nyoyo kama uradi Wa nafsi saba na nyiradi nyinginezo kitu kinachonidikitisha mada za raddi zimekuwa nyingi sana kiasi kwamba mambo ya msingi ya twariwa wana twariqa wenyewe hawayajui tuleeni mada zitakazo tuamasisha katika ibada
@nasraismail5367
@nasraismail5367 Жыл бұрын
Shukran 🙏
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
chat.whatsapp.com/D1nCkLnSs9tJpPuL9onQtH
@alhamdulillahalhamdulillah7529
@alhamdulillahalhamdulillah7529 Жыл бұрын
Swadaqta
@hamadali3231
@hamadali3231 Жыл бұрын
Vp sheikh kwan wanawake hawana akili??
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
Hilo sio swali la kutaka kujua haki huo ni mlango wa kejeli hapo utajua we mwenyewe akili yako inavokutuma
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/on2ncmx6jbV4m68
@Klement84
@Klement84 Жыл бұрын
Sasa shekh kamakushiriki ibada nawanawake haifai je nikisalinyumbani itafawa au niende Mana miskiti mingine ikombali nahasa usiku vijiji vyengine Hanna yote inawanawake
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
Ukisikiliza vizuri swali lako jibu lake limeshajibiwa. Je kuswali kanisani muda wakristo wametoka wote ni sawa na kama sio sawa utaacha kuswali. Ukikosa msikiti wa kuswali we tayari unadharura ya kisheria ya kukufanya uswalie nyumbani.
@Klement84
@Klement84 Жыл бұрын
Shekh miskitiyetu inwanawke yote jetufanyeje ili jamaa itupate au tutaruhusika kysalinyumbani
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
Jibu lako angalia video hii kzbin.info/www/bejne/laTWnmtmZ89qd5Y
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Жыл бұрын
Tunaomba maandiko ya uharamu wa kukataza na kulitia uharamu jambo la wanawake kuswali misikitini?
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
Kwani hujasikia hadith ilotajwa hapo au huitaki! Unakinzana na maneno ya Mtume s.a.w. Kwa msaada pia tafuta Suraril ahzaab aya 33 وقرن في بيوتكن
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
Pia mtume s.a.w kasema خير مساجد النساء قعر بيوتهن
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
Na hiyo ni amri sio mapendekezo. وقرن في بيوتكن........
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Жыл бұрын
@@KHALIFAMPYA-TV mbona suratil ahzaab haina katazo la mwanmke kutokwenda msikitini wala kukataza wanaume kutoswali msikiti wanaoingia wanaume kama ulivyosema wewe?? Mm nataka utoe aya ya wazi inayosema mwanamke ni kharamu kuingia kuswali msikitini? Usizunguke huko na kuleee
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Жыл бұрын
@@KHALIFAMPYA-TV umetaja hadithi lAkin hadithi haijasema ni kharamu kam ulivyosema ww hadithi imesema ni bora kuswali nyumban kuliko msikitini sasa hapo kuna neno kharamu au ww ndo umeongezea la uharamu kutoka mdomoni mwako?
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Жыл бұрын
Kwan kikanuni ukisema hili jambo ni kharamu hukmu yake ni ipi?? Ikiwa ni kupata madhambi mfanyaji wajambo hilo, unataka kusema mtume aliruhusu wanawake wapate dhambi wakt wake maaan wanawake wameswali wakt wake mpaka anakufa na mpka wakt wa maswahaba?
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
Huu ni uwongo mtume hakufa anaswali na wanawake msikitini acha kumzulia uwongo mtume na maswahaba. Kujadiliana na wewe naona napoteza muda we kaa na msimamo wako huo endelea kuswali nao
@shabanimavilu1512
@shabanimavilu1512 Жыл бұрын
Unayo dalili wahayo unayosema kua aliswali nao mpaka kufa.???
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Жыл бұрын
Alaf kwani baaada ya kusikia hadithi hiyo wanawake wakiswahaba waliacha kuswali msikitini??
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
Twambie mke wa mtume s.a.w au swahaba aliyeogozana na mtume s.a.w au swahaba kwenda msikitini kuswali jamaa au hata ijumaa.
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Жыл бұрын
@@KHALIFAMPYA-TV Daaaah! Sheikh mm sufi lakin kwahili cko pamoja nawewe mpka unikonaishe kwa hojja za msingi
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Жыл бұрын
@@KHALIFAMPYA-TV kwani mtume swala na salamu ziwe juu yake c ameeleza kuwa mwanmke huolewa kwa mambo manne lakin akasema tuoe wenye dini? Swali je hawa wanaoooa kwa kuangalia sifa zile tatu zingine inakuwa kharamu?
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Жыл бұрын
@@KHALIFAMPYA-TV unataka kuongozana au unataka tukutajie hadithi zinazothibitisha kuwa mtume (s.a.w) ameswalisha msikiti na ndani yake wapo wanawake??. Tena mtume ameswalisha msikiti kuna wanawake ndani na watoto, mtume aliposikia watto wanalia akfupisha swala ila kutowtia tabu wnawake hao kwakurfusha swala. Sasa ww sema unataka maswahaba waongozane na wake zao kwenda msikitin au wanawake kuswali katika msikiti wa mtume na maswahaba ?
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Жыл бұрын
Soma elimu ya hadithi. Hadithi hizo zote ni mansuukh hazina kazi tena baada ya mwaka wa tano hijiria mtume alikataza
JOGOO AWAGEUKIA BAADHI YA WANAWAKE WANAOWASALITI MARAFIKI ZAO.
9:08
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 26 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 10 МЛН
ONYO: Kuwa makini na Aya hizi....@Khalifa mpya Tv
24:49
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 1,2 М.
HADHARA YA SHAYKH UWEIS (R.A) BALADULAAMIIN,,MBURAHATI ,2023
4:18
Hamza Rifai
Рет қаралды 4,5 М.
Mavazi ya wanawake. A
31:52
Felista Sabuni
Рет қаралды 4,9 М.
Ruqyah ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah)
30:03
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 788 М.
MWANAMKE NA KUSWALI MSIKITINI
6:19
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 3,7 М.
MWANAUME AMVUTISHA MSANII DAWA ZA KULEVYA KWA MAKUSUDI PART 2.
23:32
SOBER HOUSE TV
Рет қаралды 3,4 М.
KHOFU YA TATIZO HILI YAWAKIMBIZA WAISLAM MSIKITINI NCHINI TANZANIA.
7:43
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 19 М.
KUFAA KWA MAULID MFUNGO 06 @KHALIFA MPYA TV
17:15
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 1,3 М.