Ruqyah ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah)

  Рет қаралды 719,839

Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili

Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili

4 жыл бұрын

Ruqya ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah).
------------------
Kasema Allah Subhanallah Wataalah:
"وَإِذَا قُرِئَ ٱلْقُرْءَانُ فَٱسْتَمِعُوا۟ لَهُۥ وَأَنصِتُوا۟ لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ"
"Na isomwapo Qur'ani isikilizeni na mnyamaze ili mpate kurehemewa"

Пікірлер: 1 000
@josephmuiya2934
@josephmuiya2934 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu nakuomba kupitia dua hii kutoka kwenye quran yako tukufu uniodolee kila mabalaa na makafara na matatizo yote yaliyo kusudiwa ndani ya mwili wangu amin
@chazcode-fl9jo
@chazcode-fl9jo Ай бұрын
Amin amin ya rabbialamin🙏🤲
@Zainabu-mv9cf
@Zainabu-mv9cf 11 күн бұрын
Eee mola wangu kupitia dua hii naomba uniondolee vifugo ktk mwili wangu pamoja na mashetwani wachafu Allah nakuomba nisaidie
@AbubarIsmailMsechu
@AbubarIsmailMsechu 3 ай бұрын
Hiii Dua Ina saidia sana kuondoa majini nawashirikina,, Weka kifuani sikiliza kadri uwezavyo itakusaidia kwa kudra za ALLAH
@jumannewazir6716
@jumannewazir6716 7 ай бұрын
Mungu wangu wangu mwenye rehema na amani nakuomba nipe mwisho mwema mimi na familia yangu pamoja na waislamu wote wanaokuamini kuwa unaweza kusema kitu kiwe na kikawa mungu wangu nawasogeza wazazi wangu mbele zako na kuwaombea mwisho mwema 🙏 mungu ninakila sababu ya kukuabudu na kukuheshimu kwakuwa unanijua hata kabla hujaniumba Allahumma taqabali duaa 🤲 ya Allah subukhana huwataallah nilindie kazi yangu nipe amani ya ndoa yangu yarabla Allah mina niondole husida ijicho na mashetani wabaya katika maisha yangu mungu nipe mwisho mwema allahumma taqabali duaa 🤲 😭🤲
@jamilamtemi3429
@jamilamtemi3429 21 күн бұрын
Allahuma Amin
@Zainabu-mv9cf
@Zainabu-mv9cf 11 күн бұрын
Nikwer dua hii inasaidia Sana jaman Mimi nasumbuliwa na mashetwani Ila nikisikiliza tuu najiskia nafuu sana
@medmusmus
@medmusmus 4 ай бұрын
Eee mwenyezi Mungu naomba uniondoxhee shetwan aliyeko kichwani mwangu kupitia dua hii AMIN Amin
@user-ve3wu5jn1l
@user-ve3wu5jn1l Ай бұрын
Atakuondoshea inshalah
@user-uw9it7hn5d
@user-uw9it7hn5d Ай бұрын
Pole ujlnajisikiaje
@KuluthumShokath
@KuluthumShokath Ай бұрын
❤❤❤​@@user-ve3wu5jn1l
@allysamjo2628
@allysamjo2628 8 күн бұрын
Amin Allah akufanyie wepesi
@tohidaluvuno5858
@tohidaluvuno5858 Жыл бұрын
Ewe yarab nisamehe mm n wazazi wangu ewe yarrab nisamehe mm n ndungu zangu.ewe yarab nisamehe mm n kizazi changu.ewe yarab nisamehe mm n waislam wote n walio tangulia pia uwasamehe amin 🤲🤲🤲
@lamiaawino3768
@lamiaawino3768 Жыл бұрын
Allahuma amiyn
@fatumaharuna8625
@fatumaharuna8625 Жыл бұрын
Maashaallha
@user-rp3fe4zg2p
@user-rp3fe4zg2p 4 ай бұрын
Allahuma amin
@ZaitunSeif
@ZaitunSeif 3 ай бұрын
Yarabi mjalie tujaliee afia njema
@munirambarak1202
@munirambarak1202 2 ай бұрын
Allahumma Ameen
@issahamisi4066
@issahamisi4066 9 ай бұрын
Asante San kwa kuweza fungua moyo baada ya miaka takriban 5 sikuweza gusa msikiti Ila SAA 9 hii ya usiku nimeweza shika udhu na kushuhudilia apana mola apasae kuabudiwa Ila ni Allah tu na mtume Muhammad ni mjumbe wake na nimesujud na kutubia
@munirachipeta7829
@munirachipeta7829 2 ай бұрын
Mola ndio muwezq you're akuna wakupingana nae
@Zafaabutterfly
@Zafaabutterfly 28 күн бұрын
​@@munirachipeta7829m
@user-hp6rx1gk2g
@user-hp6rx1gk2g 11 ай бұрын
Yaarabi nakuomba utuondole mabalaa yoto yahapa duniani utupe maisha.mema utuondolee maradhi utupe afya njema mm pamojana family yangu wangu mume wangu ndugu zanamarafiki pamoja namama yangu waondolee Maradha wote kwajumla❤❤ Amiin
@thuwaibaidrisa7802
@thuwaibaidrisa7802 6 ай бұрын
Naam kweli kabisa dua hizi zinazotoka kwenye quran ndo ponyo zetu wallahi Allahu aqbar Alahu aqbar Allahu aqbar
@johnnyariza6460
@johnnyariza6460 11 ай бұрын
Eeeh Allah tupe mwisho mwema turudi kwako mazima maana sisi binadamu ni viumbe dhaifu sana ufanye Wema uwe Ndani yetu na tukujue wewe ni Allah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mankaswai5313
@mankaswai5313 10 ай бұрын
Amiin 🤲
@user-xq3nh7kh5l
@user-xq3nh7kh5l 5 ай бұрын
Nmeshindwa lala mauzauza yananijia moyo umekuwa na wasiwasi lakin kwa dua hili nmepata ata nguvu ya kuandika ujembe huu siamin na nlichokuwa nakisikia nje ya nyumba 🙏 inshaallah shekhe ulietuwekea hii dua allah azidi kukuweka utuponye waislam wote🙏
@blessingmushi-py6ug
@blessingmushi-py6ug Жыл бұрын
Alhamdulillah asanteh Allah nakuombea shekhe Allah akupe shifaa akulinde wewe na familia yako naomba azilinde na familia zetu sote atuondolee mabalaa shari majini mabaya husdaa ya Rabby naomba tuongezee nuru katika mambo yetu naomba utujaliw wepesi kwenye kila yalikua nagumu Ameen
@salamsinani2301
@salamsinani2301 2 жыл бұрын
Masha Allah Mungu mkubwa nilipatwa na mtihani ya kishetwani lakini baada ya kuskiliza hii ruqiya nimepata unafuu hata kazi zangu nafanya ALLAH awape shifaa wote mnausumbuliwa na maradh🤲
@mwanasaidi5092
@mwanasaidi5092 Жыл бұрын
Aamiin 🤲🤲🤲
@rahmaally9151
@rahmaally9151 Жыл бұрын
Ameen thumma ameen
@malickrashid2672
@malickrashid2672 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ameeeeb
@lamiaawino3768
@lamiaawino3768 Жыл бұрын
Amiyn Kwa sote
@tauhidajumahamad1218
@tauhidajumahamad1218 Жыл бұрын
Amin🤲
@user-ki9le1jy8e
@user-ki9le1jy8e 7 ай бұрын
Yaarabii nijaalie subra katk maisha yangu uniepushe namaadui wanao nichukia bila sababu nipe subra katk utaftaj wangu nipe aman mm nafamilia yang kijaalie kizaz changu yaraab yadunia yakae mbl nas ujae wew ktk moy wang aaamiiiin
@samirasadasalum5974
@samirasadasalum5974 2 жыл бұрын
Ruqya hii ni ponyo ndugu zangu mm inanitendea maajabu makubwa tuzid kuiamini Quran tukufu hakika ni ponyo kwa mwenye kuamini.
@user-pb8kc1lv9t
@user-pb8kc1lv9t 5 ай бұрын
Amiin inshallah 🤲
@Salimnkapaya
@Salimnkapaya 5 ай бұрын
Ameen
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 5 ай бұрын
Amin insha'Allah 🙏
@ElizabethLizzy-pk3zj
@ElizabethLizzy-pk3zj 4 ай бұрын
Assallam walky si unifanyie audio kipenzi
@azizauwase9207
@azizauwase9207 4 ай бұрын
Swadacta
@AnabAbdallah-ii7ou
@AnabAbdallah-ii7ou Жыл бұрын
Mashallah na shukuru tangia nisikilizi hii duwa mambo yangu ya naenda vizuri paka wachawi wamenishindwa wanakimbia wenye we❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@lisawilliam6623
@lisawilliam6623 Жыл бұрын
Allah kwa dua hii naomba niondoshee maradhi yote mwilini,niepushe na husda wajua mateso nayopitia kwa dua hii nitakuwa Sawa inshallah
@user-ix9nd2jt8j
@user-ix9nd2jt8j 2 ай бұрын
Kwa mitihani niliyokua nayo ewe mwenyezimungu niondoshee kupitia Quran hii amiin 🤲
@user-ek7gk2yb1o
@user-ek7gk2yb1o Жыл бұрын
Yaalah nijalie mwisho mwema yaraabi jalia kizazi changu kiwe na hofu ya Allah waapushie na matatizo ya kidunia niaondolee mawazo niweze kuishi inchi ya watu kwa amani Amina yabii
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Allah nakuomba nipe rizik nene unifungulie mazuri kwenye biashara yangu na unitolee husda na macho mabaya inshallah
@user-td1qu5ku2e
@user-td1qu5ku2e 9 ай бұрын
Alhamdulillah namshukur mwenyezi mungu kwakupitia dua hii ukaniondoshee husda na mabalaa yanayo nizinguka na uniepushie mapepo mabaya yaarabi kupitia dua hii naimani utaniponya.kupitua duahii nilindiye familia yangu nipindie kizazi changu na unipe mume bora Amin 🤲🤲🤲
@Divathebawse
@Divathebawse 8 ай бұрын
zkupitia dua hii Naomba Ya Allah SWT oniondoshee Maradhi Ya Nyonga, Pingili za Mgongo na tumbo na Maradhi Ya Moyo yanayoanza nisumbua Mungu Wangu Nilinde na wivu na chuki za waja niondolee wabaya katika maisha yangu niletee Mema jenga mema kwangu niongezee kila panapopungua timiza ndoto zangu na jaalia familia yangu
@Ommyson.
@Ommyson. 6 ай бұрын
Allahumma amiina, Allah akujibu maombi yako inshallah amiin🙏
@azizauwase9207
@azizauwase9207 4 ай бұрын
Allahuma aamiin Allah ukupokelee dua
@ElizabethLizzy-pk3zj
@ElizabethLizzy-pk3zj 4 ай бұрын
Alluhamma amin tia nia 🤲
@halimakatetemela4955
@halimakatetemela4955 4 ай бұрын
Allahuma Ameen
@munirambarak1202
@munirambarak1202 2 ай бұрын
Allahumma Ameen
@aishayusuf6862
@aishayusuf6862 3 жыл бұрын
Maasha Allah Allah atukinge na mabaya yote dhidi ya mashetwan Amiin 🤲🤲🤲
@aldeneliseo7500
@aldeneliseo7500 2 жыл бұрын
InstaBlaster...
@ibrahimuyusufu2890
@ibrahimuyusufu2890 Жыл бұрын
Alihadulillah mwenyezi mungu kwa ukubwa wako kwa utukufu wako kwa hekma yako na hikma ya quran yako tukufu na kwa ukalim wako na kwa upole wako nijalie niwe mja wako mwema na nijalie kwako niwe mwenye kutenda matendo yanayo kulizisha yaah allah nijalie nijalie mwisho mwema nijalie swala5 nakuomba ewe mwenyezi mungu kwa baraka yako na baraka za mtume Muhammad s w m nijalie lidhk na lidhk ilio ya halali amina
@mariamungendakumana6887
@mariamungendakumana6887 2 жыл бұрын
Mnsha Allah mnsha Allah yaa rabby nijaliyeee mema katika maisha yang niepushe namitihani iloja katika maisha yangu 😭😭🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏 Insha allah😭😭 niepushe na maradhi katika mwili wangu 🤲🤲🤲😭😭😭 Insha allah
@mwajeyhassan9248
@mwajeyhassan9248 Жыл бұрын
Tunashuk kwa kisomo hiki Allha atufanyie wepesi wote wenye huitaji.
@luckymsafiri9045
@luckymsafiri9045 Жыл бұрын
Mwenyenzi Mungu kutumia Dua hii naomba umuondoshee mama angu adhabu na kaburi na umueke kwenye waja wema inshallah
@jacobponga1540
@jacobponga1540 2 жыл бұрын
Masha Allah, tabaraka Allah naskia moyo wangu una utulivu kabsa pindi tu Naskiza Qur'an inaposomwa ❤🧡💛💚💙💜🤎 jazakallahu kheri
@falhatmuhsin4930
@falhatmuhsin4930 2 жыл бұрын
Mashallah💗💜💖💕
@azizaallliez7627
@azizaallliez7627 3 жыл бұрын
Mashallha kila mwenye shari na mimi yatamrejea mwenyewe kwa uwezo wa allha tulindiee na mabalaa mola wanguu tuepushe na kila ushirikina na kila bayaa amin yarrabi
@harithtwaha
@harithtwaha 3 жыл бұрын
Hiii dua imenisaidia
@mankaswai5313
@mankaswai5313 9 ай бұрын
Mashallah amiin🤲
@Divathebawse
@Divathebawse 8 ай бұрын
amin
@fatmanasor6362
@fatmanasor6362 2 жыл бұрын
Alhamdhulillah nashukuru Allah kwakunionyesha njia iliyo sahihi Alhamdhulillah naamini Quran n tiba kamili 🤲🤲🤲
@zamojuma9920
@zamojuma9920 Жыл бұрын
Ya Allah nakuomba mungu wangu uniwekee wepes katika mazito nayopitia nijalie nipate mume mwiisilamu ya rabi bila wewe Mimi siwezi nipekipato Cha halali nirehemie wazazi wangu mabibi na wakubwa zangu na ndugu na jamaa walio tangulia mbele za haki inshallah
@timesaleh6756
@timesaleh6756 Жыл бұрын
Utapata mume mwenye heri na wewe na kila mwenye kuhitaji basi Allah amtatulie shida zake
@naimarasheed5857
@naimarasheed5857 2 жыл бұрын
Kwa uwezo Wa Allah najua mitihani ninayo ypitia kila siku in shaallah kwa uwezo Wa Allah itakwisha tu naomba unipe nguvu uvumilivu na afya njema hakuna unalo shindwa mungu wangu in shaallah 😭🙏
@rehemafeysali7968
@rehemafeysali7968 Жыл бұрын
Amin inshaalah 🙏
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Жыл бұрын
Amiin inshallah
@alphoncymatara5108
@alphoncymatara5108 4 ай бұрын
Amiin 🤲
@azizauwase9207
@azizauwase9207 4 ай бұрын
Aamiin.kwa uwezo wa Allah utaweza
@tumuabdallah9663
@tumuabdallah9663 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah Awajaaliye umri mrefu muzidi kutufanyiya duwa zakutuepusha nashari
@zainaramadhan4034
@zainaramadhan4034 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah anijalie uzima na afya njema niendelee kuisikiliza kila siku maan nina mengi mazito allahumma ameen 🤲🤲🙏🏾🙏🏾😓
@maidajuma9331
@maidajuma9331 10 ай бұрын
Kupitia dua hii namwomba Allah atulinde mie na familia yangu dhidi ya hasadi za walimwengu na kutujalia Afya njema
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 5 ай бұрын
Amiin 🙏
@sharifashabani7182
@sharifashabani7182 2 жыл бұрын
ALLAH AKULIPE DUNIA NA AKHERA INSHAALLAH
@faridajumafarinajuma1511
@faridajumafarinajuma1511 2 жыл бұрын
Kwakweli hi tiba wallah Jana usiku nimesikiliza mambo yalonitokea hakika nimemshukuru Allah maana nimesikia vitu vinatembea mwilim mwangu Kama vinatoka kisha Maumivu niliyokuwa yananitesa yamepotea kwakweli Neno langu nikusema Alhamdulillah Allah aendelee kunitibu kwa quruan yake tukufu kila kilichojificha katika mwilin mwangu kwakunitesa kiondoke Nanibaki huru "Nakuombea nawe Shekh wetu Allah akulipe naakuifadh naakulinde na Mabaya Uwepo wako uwepo ili Uendelee kutulinda Nasi kwakutuba daawa ya kisomo
@shaniaking7525
@shaniaking7525 2 жыл бұрын
Amiiin
@keifatuke99
@keifatuke99 2 жыл бұрын
Ameen
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 2 жыл бұрын
Ameen
@rahmaally9151
@rahmaally9151 Жыл бұрын
@Nason Nyagenda Ameen yarraab
@zinadushman2929
@zinadushman2929 Жыл бұрын
pia mm yalinitokea kama hivyo
@omarykatongo4943
@omarykatongo4943 4 жыл бұрын
Allah atujaalie wepesi ktk kila la kheri na atuepishe na kila la shari, bi idhnihii
@tafsiriyaqurantukufukwakis966
@tafsiriyaqurantukufukwakis966 4 жыл бұрын
Ameen
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 4 жыл бұрын
Amin Omar kwa sote
@aishaaaisha3815
@aishaaaisha3815 3 жыл бұрын
Ameen 🤲🤲
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin Yarabal alamin
@omarykatongo4943
@omarykatongo4943 3 жыл бұрын
@@Awatee takabar mina
@enzoon5796
@enzoon5796 Жыл бұрын
Penye uzito allah atufanyie wepesi atuondolee maradhi inshallah 👏
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Жыл бұрын
Alhamduliliah yarabi naomba kupitia Dua hii ikapate kuniodoshea Kila lililo baya Kwngu inshallah
@najmajoneke7413
@najmajoneke7413 Жыл бұрын
Masha Allah Alhamdulillah Shukurni Sana Kwa Quran Hii Tukufu Alhamdulillah Hakika Kwa Allah Hakuna Linalo Shindikana ali Ya Jana Tofauti Na leo Alhamdulillah 🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾
@safiasleiman6176
@safiasleiman6176 2 жыл бұрын
Tunaomba za kudawnlod maalim hii haikubali kudawnlod kwa kweli ni nzuri sana
@mwakakigona2803
@mwakakigona2803 Жыл бұрын
Dah kweli haikubal
@SULUMUABDUL
@SULUMUABDUL 2 ай бұрын
Mungu nifungue kwenye vifungo vibovu nipe amani ya moyo nilinde na usda za waja walinde wanangu na mume wangu namzazi wangu amina nisamee makosa yangu
@sameonesample4548
@sameonesample4548 Ай бұрын
Mm pia nimeshindwa jamani msaada
@aishafeysal9630
@aishafeysal9630 3 жыл бұрын
Ivi aowatu wanao dislike wanajua kweli utukufu wa qur'an au awajui walitendalo yaraby wasamehe😢😢😢
@aminaibrahim7438
@aminaibrahim7438 3 жыл бұрын
Hawa sio wasilamu
@fatumahussein4705
@fatumahussein4705 3 жыл бұрын
Allah awazidishie
@najmaharoub280
@najmaharoub280 3 жыл бұрын
Allah atawaongoza ishaallah wajue dini ya khaki
@NammanaMobile
@NammanaMobile 3 жыл бұрын
Hakuna quran inayosomwa kwa mtindo huo iyo ni shirki ndugu... Kama mgonjwa anaumwa na akaitaji asomewe quran soma sura yote au hata msahafu mzima.. Na pia dawa zipo.. Na atakaekuletea hadith inayohalalisha uwo usomaji.. Allah anasema unaposoma maneno yake usipunguze wala kuzidisha.
@salhajuma2250
@salhajuma2250 3 жыл бұрын
Allah awaongozee
@mariummarium8958
@mariummarium8958 11 ай бұрын
Mimi sio msilamu lakini anapenda kusikiliza Koran na dua yao🎉🎉
@hbnkingi
@hbnkingi 5 ай бұрын
MashaAllah 🤝🏽
@reenkim8390
@reenkim8390 3 ай бұрын
Mimi pia kwani naiman Mungu ni mmoja tunae mwabudu …. Inshaallah mwenyenzimungu atufanyie wepesi katika kila jambo 🤲
@user-rb1jd9gk6u
@user-rb1jd9gk6u Жыл бұрын
Ya allh nakuomba kupitia Qur'an yak tukufu uniondolee maradhwi yanayo nisumbua mwili na unijalie niwe afy njema na unijalie niwe mwenye kuipenda Qur'an ishaallh na utujarie mwisho mwema❤ 8:57
@combination203
@combination203 6 күн бұрын
Ya Allah niondolee wasiwasi na hofu nimeteseka sana na Imani dua hii itaniponya
@ukhtyhumairah73
@ukhtyhumairah73 11 ай бұрын
Allah nakuomba unizidishie imani ndani ya moyo wangu unisame napo kosea mimi na waislam wenzag yaa rabbii
@babykasisi307
@babykasisi307 Жыл бұрын
Masha Allah. Namuomba Allah anijaalie rizki ktk shughuri zang, aniondolee husda mbaya, aniepushe na mabalaa, anikingu na maradhi makubwa na madogo, awaajalie watoto wang elimu dunia na elimu akhera wawe vichwa wasiwe mkia, amfanyie Mama yangu wepesi na kumuondoshea maradhi makubwa na madogo, atujalie familia tyweze kuelewana na kuoendana. Amiina Insha Allah
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Жыл бұрын
Amiin yarabi
@juliusaloyce5526
@juliusaloyce5526 Жыл бұрын
Manshalla🙏
@zuenaali7391
@zuenaali7391 Жыл бұрын
Amiin ya Allah
@AnitaMalko
@AnitaMalko 10 ай бұрын
Masha Allah naamini atatizo yangu yataisha nasumbuliwa na mashweitani yakiwanga,
@nurujuma-qs4jr
@nurujuma-qs4jr Жыл бұрын
Yaa Allah nakuomba kupitia dua hii km kuna kitu chochote kibaya kimo ndani ya mwili wangu,ndani ya nyumba yangu,ndani ya familia yangu basi insha'Allah leo yote yaishe na yatoke kwa uwezo wako sw pia muondolee mama angu mzazi magonjwa yote na arudi ktk hali yake ya kawaida pia na mama mkwe wangu nifungulie millango ya risk na undoe nuksi kwenye familia yngu zidi kuwapa uelewa wanangu ktk elimu ya ekhera na dunia waepushe na majanga ya dunia ya rabilla allamina 🙏🙏
@rahmaally9151
@rahmaally9151 2 ай бұрын
Ameen yarrab
@chazcode-fl9jo
@chazcode-fl9jo Ай бұрын
Amin amina yaarabbi takabal dual!
@tamarablack254
@tamarablack254 Жыл бұрын
Mungu na anifanyie wepesi kwa kila jambo langu, Insha'Allah 🙏.....Nipe amani ya moyo na furaha kwa jamaa zangu.....Niondolee Husda ,mikosi na nuksi za wabaya....Allah Wakbar
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 3 жыл бұрын
Shukran jazakallahu lkhair biidhnillah in shaa Allah matatizo yetu yoote yatatoka kwa hichi kisomo yaarab
@mishikitendo4441
@mishikitendo4441 3 жыл бұрын
Amiin
@ustadhkamoleabubakar0013
@ustadhkamoleabubakar0013 3 жыл бұрын
mishi mm ni ustadh abubakar nitafute inshallah +254728750946
@mishikitendo4441
@mishikitendo4441 3 жыл бұрын
@@ustadhkamoleabubakar0013 inshaallah
@fatimamzigua8333
@fatimamzigua8333 3 жыл бұрын
Amiiiin yarabi 🤲🙏
@azizaosman3062
@azizaosman3062 2 жыл бұрын
Amiin
@fatumaharuna8625
@fatumaharuna8625 Жыл бұрын
Alhamdulillah Yani na Mimi Leo ndo naioa hii hapa naisikiloza jinsi ninvyojisikia Allha ndo anajua,shekhe Allha akulipe kheri,amiin,hili si jambo dogo utatutibu wengi ishaallha
@husnaabdulrahman8457
@husnaabdulrahman8457 2 жыл бұрын
Allah atutatulie dhiki na mitihani ya mahasidi atujalie wepesi kwa aya hizii yarabi
@wardmohamood5845
@wardmohamood5845 Жыл бұрын
Amen Allah atuondolee mabay Nami pamoja na Familia yngu atufanyie wepesi kweny nzito maradhi vifungo viishe
@teacherhassan5260
@teacherhassan5260 Жыл бұрын
Shukraan Jazeela..Qur'an ni tiba na pia ni Ukumbusho tosha...Ni maneno ya ajabu yanayotuliza hata nyoyo za wasokuwa waislamu❤️❤️❤️ Jazakallah khayr
@samirasadasalum5974
@samirasadasalum5974 2 жыл бұрын
Ninaimani na Quran kitabu kitukufu hakika tutaponywa nayo kwa idhini ya ALLAH, Inshaallah
@africanoguy5140
@africanoguy5140 2 жыл бұрын
Maashaallah tabaraka’llah🙏🏾 huja kosea kweli Qur’an ni shifaa kwa wanao amini
@mariamchuwa7916
@mariamchuwa7916 Жыл бұрын
Mashallah allhamdullillah namshukuru
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 4 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Allah awajalie nanyi afya njema awastri na mitihani kwa rehema zake Allah
@tafsiriyaqurantukufukwakis966
@tafsiriyaqurantukufukwakis966 4 жыл бұрын
Ameen kwa wote
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 4 жыл бұрын
@@tafsiriyaqurantukufukwakis966 Allahumma amin
@cristinakatana6809
@cristinakatana6809 3 жыл бұрын
Christina katana mwenyezi mungu aw zidishie her hap duniani na hahera
@fatumamohamed5608
@fatumamohamed5608 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin
@ladukarisa6968
@ladukarisa6968 3 жыл бұрын
Ewe Mwenyezi Mungu tujaliye mwisho mwema
@rukiarajab959
@rukiarajab959 3 жыл бұрын
Ameen yarabi
@aishamdoe7
@aishamdoe7 3 жыл бұрын
Ameen Insha'Allah
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Amiiin.
@mwanasaidi5092
@mwanasaidi5092 Жыл бұрын
Amiin Yarabi
@mankaswai5313
@mankaswai5313 9 ай бұрын
Amiin 🤲
@pilicharo4123
@pilicharo4123 Жыл бұрын
mashallah dua hii uwa naipenda kuisikiliza nikisikiliza navizuri allah anijalie niendelee kusiliza
@tatukais6367
@tatukais6367 3 жыл бұрын
Allaah awalipe maana tunapata falaja kubwa in shaaalh
@faridasabir6571
@faridasabir6571 Жыл бұрын
Mungu mkubwa sasa moyo wangu umetulia kwa kusikiliza hii dua
@hamidahamada3913
@hamidahamada3913 3 жыл бұрын
Jazaakallahu khayral jazaa Sheikh, Allah atutatulie mazito yawe mepesi.... Allahumma Ameen
@ajumaakange1483
@ajumaakange1483 2 жыл бұрын
Amini yarabla Amin 🙏🙏♥️♥️
@mudyzuber6500
@mudyzuber6500 2 жыл бұрын
Jazakallaah lkheri
@abuunuwairibin7569
@abuunuwairibin7569 2 жыл бұрын
اللهم آمين يارب العالمين 🤲
@delphinebusongo7078
@delphinebusongo7078 7 ай бұрын
namshukuru Allah kwa kunipa nafasi hii kwa mara ya kwanza tangu nimeolewa na kubadili dini nimepata faraja kusikiliza hii dua. nimepitia misukosuko mingi namuomba Allah anijalie afya njema mimi na familia yangu anilinde dhidi ya hasadi za walimwengu atimize haja ya moyo wangu inshallah!
@ashashaban6484
@ashashaban6484 2 жыл бұрын
ALLAH AKULINDE ZAIDI NA SHARI ZA WALIMWENGU SHEIKH WETU NA AKUUJAALIE KATIKA WATU WA PEPONI INASHALLAH NA MIMI NAMUOMBA ALLAH ANIONDOSHEE MARADHI HASADI MAADUI WALONIZINGUKA KOTE KWENYE MAINSHA YANGU NA FAMIRIA YANGU ALLAH ATUJAALIE UPONYAJI KUPITIA DUA HII INSHALLAH NA ATUJAALIE MWISHO MWEMA WAISLAAM WOTE ULIMWENGUNI ISHALLAH
@aminajuma7162
@aminajuma7162 Жыл бұрын
Mashaallah ❤ nashukru kwa kupata hiki some japo kwa mtandao lakini kimenipa imani ndani yamoyo wangu maana niko na matatizo mengi ndani ya mwili wangu kwa uwezo wa ALLAH na imani yangu kitanitibu kwa imani yangu.
@OmarMustafaVictor-oz6el
@OmarMustafaVictor-oz6el Ай бұрын
Allah nakuomba kupitia dua hii kazini kwangu uniepushe na wafitina na uniepushe na mabalaha bishara hiniendee vizuri na nipate mafanikio mambo yangu yaende vizuri ewe Allah kupitia dua hii basi niponye kwenye matatizo aya
@KINGOFLOVE-lc2nb
@KINGOFLOVE-lc2nb Ай бұрын
YAALLH kupitia kisomo hiki Nina kuomba niondolee maradhi ya kichwa nuksi Asadi na sihiri nilizo wekewa na familia yangu Na Mwanangu nasri umuwezeshe kutambaa kwa araka kwa kudra zako yarabi subuhnna Allah muondolee matatizo sugu mke wangu swaumu m,bwana Alihamdu lilakhi
@user-rd9lv8bj1m
@user-rd9lv8bj1m 9 ай бұрын
Mashaallah ninavyozidi kusikiliza Qur an tukufu ndipo navyozidi kupata amani ndani ya nafsi yangu
@rukiaathman6247
@rukiaathman6247 2 жыл бұрын
MashaAllah Allah anijaalia niweze kuiskiza kila siku InshaAllah
@habibasaidi5206
@habibasaidi5206 2 жыл бұрын
Ewee mwezi mungu nijalie dua hii Mimi na familia yangu
@user-yh7zk8kp8u
@user-yh7zk8kp8u 23 күн бұрын
Amiin
@OmanNizwa-uc4ub
@OmanNizwa-uc4ub Ай бұрын
Namuomba mwenyezmungu kupitia duahii aniondoshee mitihani matati husuda hasad na anilindye kizazichangu na ndoa yangu na wazazi wangu na haya macho yanay nisumbua anajua mungu nakupitiya dua hii iwe tiba kwangu aamn❤
@bintihemedmwarundu4615
@bintihemedmwarundu4615 2 жыл бұрын
Yarabi anipatie subra katika kazi zangu ,anifungulie rizik, mwenye hubaya na mm humrudie inshaaallah🤲🤲
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 2 жыл бұрын
Haswaaa umrudie aoneyana vyouma nakuteseka
@agiraali7693
@agiraali7693 Жыл бұрын
Haswaaa
@ukhtymdee8557
@ukhtymdee8557 Жыл бұрын
Àlhumma Aaaamin 🤲 Yarababy Allah min
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 4 ай бұрын
insha'Allah 🙏
@bunuadiyo5944
@bunuadiyo5944 2 жыл бұрын
Masha Allah.Mwenyeezi Mungu atujaalie Kila la heri in Shaa Allah. Amin Amin Amin
@TausRamadan-fq9zd
@TausRamadan-fq9zd Жыл бұрын
Ewee Allah nakuomba kupitia dua ukaniondolee maradhi yote katika mwili wangu 🤲🤲🤲
@aishalibaba
@aishalibaba 2 ай бұрын
Mashallah mashallah alhamdu lilah ee mwenyezimungu muumba wavyote kupitia qulhan tukufu naomba uniondoshe namaradhi ya kishetwan ,uniepushe nahusda uniepushe nakila baya na unijalie mwisho mwema wa kukuabudu yarabi qarem
@sophiaasia9584
@sophiaasia9584 6 күн бұрын
Ewe mwenyezi Mungu kupitia dua hii naomba unifungulie riziki na pia namuombea dua binti angu Sophia kuifungua akili yake awe mwelewa darasani awe na uwezo mkubwa darasani Amiin 🙏
@bety1995
@bety1995 Жыл бұрын
Allah anijalie katika MAISHA yangu na familia yangu,anisimamie katika Kila jambo langu
@jumamuhammed2777
@jumamuhammed2777 Жыл бұрын
Yarib wandoshe maradhi walionayo wanangu mugunisaidie zidikunipa shufa🤲🏼🤲🏼🤲🏼amiin amiin amiin👩‍👩‍👦‍👦💕💕💕💕💕
@nuruddin5074
@nuruddin5074 Жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHERI SHEIKH WETU NA FAMIRIA YAKO ALLAH AIJAZE NURU INSHALLAH
@neemarashed3391
@neemarashed3391 2 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah,ya allah ijalie iwe tiba kwa waislam wote
@user-yh7zk8kp8u
@user-yh7zk8kp8u 23 күн бұрын
Amin
@wilsonbaya9268
@wilsonbaya9268 2 жыл бұрын
Mashallah may Allah bless you and protect us from all the evil plans inshallah
@aminambarukmohammed6684
@aminambarukmohammed6684 2 жыл бұрын
Ameen ya Rabb
@lamiaawino3768
@lamiaawino3768 Жыл бұрын
Amiin
@rizikiBinti-kv5jw
@rizikiBinti-kv5jw 6 ай бұрын
Amiin 🤲ya Rabb
@nadiafahad3926
@nadiafahad3926 2 жыл бұрын
Masha Allah, Jazzakhah Allah khery namuombea M/mungu aniondoshee aya mazito niliyo nayo ,nipo mbali na family Allah aniondoshee aya maradhi na anifanyie wepesi katika utafutaji wangu pia nipate ridhiki kwa wepesi🤲🤲
@rehemafeysali7968
@rehemafeysali7968 Жыл бұрын
Amin inshaalah 🙏
@ASHURAASHURA-jx2if
@ASHURAASHURA-jx2if 7 ай бұрын
Yaaa allah yaaa allah ninakuomba mola wangu mlezi kupitia dua hii yarabi ninakuomba nikaondokewe NA kila shali kila husda kila mikos kila nuksi NA kila balaa NA nikapone kila maumivu ninayo yaskia mwilini mwangu pia nikathaminike NA kuonekana kazini kwangu maana hata nifanye jemagan sionekan sionekan lkn nasema alhamdulilah kwa rehma zako alaah yote yataisha nanitakaa sawa NA kazin nitaonekana NA kukubalika inshaallah allah qarim❤❤❤❤❤❤
@mwajumafundi4045
@mwajumafundi4045 Жыл бұрын
Ewe Allah nijaalie mm na ndugu zangu waislam wenzangu utulinde na husda na utuondolee magonjwa na uendelee kutulinda na wabaya amiin🙏🙏🙏
@neemamzande8547
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Amin inshallah yarab 🤲🤲🤲😘😘🙏🙏
@fareaali6555
@fareaali6555 Жыл бұрын
Amin
@zamdamasondole8272
@zamdamasondole8272 Жыл бұрын
Aminy YARRAB.
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 Жыл бұрын
Allah akbaru
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 Жыл бұрын
Subhanna llah alhamdulillah allah akbar
@mwanasaidi5092
@mwanasaidi5092 Жыл бұрын
Mashallah, YAA ALLAH NIPE SHIFAA kwa haya matatizo niliyonayo ndani ya mwili wangu🤲🤲🤲
@BENJAMINMWINUKA-zn5xc
@BENJAMINMWINUKA-zn5xc 10 ай бұрын
Nasumbuliwa na Jini mahaba. Kwa hii Dua naomba mwenyezimungu nitolee huyu kiumbe mbaya mabaya mengine yaliyokusudiwa kwangu
@AliMohamed-ng5ps
@AliMohamed-ng5ps 8 ай бұрын
Ya ALLAH ss waja wako tufanyie wepesi kwa kila mtihani tunayopitia ya RABBI tuondolee matatizo mwilini mwetu ya RABBI kupitia dua hii sheikh ALLAH akujalie mema duniani na akhera amiiiiiiiin
@reenkim8390
@reenkim8390 3 ай бұрын
Eee Allah nilinde na Hasadi za huu ulimwengu… nipe muongozo mzur wa kuku tumikia kila siku niamkapo….linda familia yangu katika mabaya Allah ….. fungua riski ndogondogo na zile kubwa kubwa katika maisha haya ulio tupatia ya mda mfupi apa duniani…. Nilinde na magonjwa yasinipate.. nijaalie mume bora wa kunipenda na haliyangu pamoja na familia yangu.. hakika Allah nijaalie mwisho mwema 🤲 inshaallah nikiomb na kwakuamini ndivyo itakavyo kuwa… Amin 🙏
@user-pl8ju6zc3r
@user-pl8ju6zc3r 8 ай бұрын
I love is quran😍❤❤❤
@rukiarajab959
@rukiarajab959 3 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie yarabi luv it
@enzoon5796
@enzoon5796 Жыл бұрын
Ya allah mponye mama angu na amini dua hii inakwenda kumfungua vifungo vyote alivyofungwa na majini mabaya aliotumiwa inshallah 🤲🙏
@rahmaally9151
@rahmaally9151 2 ай бұрын
Aamiin yarrab
@hamiskindamba6929
@hamiskindamba6929 15 күн бұрын
Amin
@user-gh6mn7dd1d
@user-gh6mn7dd1d 10 күн бұрын
Namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa afya njema kupitia quran hii tukufu mungu baba naomba uwaondolee maradhi wazazi wangu nifanyie wepes katika utafutaji wangu husda hasid niondolee amin
@mounalondo8707
@mounalondo8707 3 жыл бұрын
Kheri inshaaAllah Allah atutatulie mazito yetu kupitia duaa hii Aamiin yaarab
@enzoon5796
@enzoon5796 Жыл бұрын
Ya allah tuondoree hasadi katika familia yetu inshallah na umponye mama yetu inshallah 🙏
@AkiliMali-hc2qs
@AkiliMali-hc2qs Ай бұрын
Apana mola apasawe kwa haki isipokuwa Allah mume wangu aliumwa usiku kucha akiwa hataki hata kufunuliwa Shuka lakin baada ya kuweka dua hii inshaalah kaamka mwenyezi mungu ni mkubwa jaman
@ASHURAASHURA-jx2if
@ASHURAASHURA-jx2if 7 ай бұрын
Yaallah nakuomba kupitia dua hii kwa imani yangu mm kama mzazi kama mama naomba wanangu waondokokewe NA husda masheitwan majina ka kilichojificha kikafichuke kupia dua hii NA nguvu zako allah wape ulinz wako adui asiwe NA nafas abadan kila mwenye kusu uyu kuwafanyia ubaya aka aibike hazalani pia wajalie wtt wangu wawe wtt bola wenye maadili yako NA hofu yako pia wafike mbali kielimu ya dini NA elimu ya kizungu kwa rehma zako inshaallah ❤❤❤
@omaritaita1577
@omaritaita1577 3 жыл бұрын
Allah anijalie niweze kuendelea kusikiliza aniondoshee mttz yang
@ousmansemedo1189
@ousmansemedo1189 2 жыл бұрын
.
@hamisbakari2730
@hamisbakari2730 Жыл бұрын
Hewe mwenyez mungu nijalie mwisho ulio mwema niepushe naasadi za watu kupitia duwa hii
@muhidinishauri5035
@muhidinishauri5035 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atufanyie wepesi katika kila jambo amin!!
@jemasaidi967
@jemasaidi967 Жыл бұрын
ewe alla nijalie niwe na afya njema ijalie ndoa yangu iwe na amani inshallah
@munalove450
@munalove450 Жыл бұрын
Shukuran shekhe wetu allah akuhifadhi na mabaya yote🙏🙏🙏🙏
@luyenamohammed2408
@luyenamohammed2408 3 жыл бұрын
Mashaallah allah awafunguliye milango ya kher kwa kutuekea hiki kisomo
@irenenzembi4317
@irenenzembi4317 3 жыл бұрын
Yaarabi tujalie kheri kupitia hii dua inshallah tuepushie shari sisi waja wako jaza kalahukheri
@maryamkhamis9545
@maryamkhamis9545 2 жыл бұрын
Mashallah allah atujalie kile lenye hery kwenye maish yetu yaraby
@alawimukesh2067
@alawimukesh2067 Жыл бұрын
Inshallah kwa uwezo wa mungu atatuponya kila mabaya yaliopo kwenye miili yetu amiin
@rehemafeysali7968
@rehemafeysali7968 Жыл бұрын
Amin inshaalah 🙏
@ChifuGogo
@ChifuGogo Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@ChifuGogo
@ChifuGogo Ай бұрын
salam alykum mimi mwangu kulsiku muda wakwenda shule ana pitiwa nausngizi duagani inafaa kwamgonjwa kama huyoo
@HajraSaidMmbaga-ts5zr
@HajraSaidMmbaga-ts5zr 7 ай бұрын
Nikiisikiliza hiki kisomo wallah nafarijika Sana na piya Mambo yangu yanakua mepes yaraby naomba unijaalie kheri mja wako Ni unipe mwisho mwema na unilindie wanangu huko wako uaepushie mitihan ya maisha yao na uwape hekma na busara wapendwe na Kila mtu mabaya uwaepushia mahasid wasiwaone waepushie maradhi wanangu yaraby wajaalie Wawa nahofu na wewe mola wetu ameen yaraby
@ukhtyhumairah73
@ukhtyhumairah73 11 ай бұрын
Yaa Allah mpe mwisho mwema mama yangu na utoleye adhabu za kabur walio tangulia nakuomba unipe khusin khatimay yaa rabbii
@saidymohamedy7289
@saidymohamedy7289 Жыл бұрын
Ya Allah tulinde waislam wote na husda za shaitwani
@faridasabir6571
@faridasabir6571 Жыл бұрын
Amin Allah Akbar ❤❤
@rahmaally9151
@rahmaally9151 Ай бұрын
Amiin thumma amiin
7 Fatiha 7 Ayetel Kürsi 7 İhlas 7 Felak 7 Nas Kur'an-ı Kerim Rukye
24:23
fussilet Kuran Merkezi
Рет қаралды 77 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 23 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН
Complete Ruqyah AR - Cure & Protection - Black Magic & Jinn | 4K ISLAM
1:15:52
Surah Al-Kahf (Tafsiri ya Quran Kwa Kiswahili)
52:56
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 157 М.
DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI
11:30
Mponda Media
Рет қаралды 463 М.
SURAH AL-AHZAB (Tafsiri ya Quran Kwa Kiswahili)
44:15
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 21 М.
SIKILIZA SIKU 7 KISOMO HIKI UTAFANIKIWA
27:05
AN-NAJM TV
Рет қаралды 19 М.
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 23 МЛН