MADIWANI ACHENI MIGOGORO NA MALUMBANO

  Рет қаралды 549

Makete Account

Makete Account

Жыл бұрын

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Antony Mtaka amewataka Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Makete kuacha malumbano badala yake washikamane na Watumishi wa Serikali katika kuijenga Makete
Mhe. Mtaka amesema hayo akiwa kwenye mkutano na wadau wa ngano uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Madihani Villa.

Пікірлер: 1
@danielokoka4309
@danielokoka4309 Жыл бұрын
Hakika Mkuu wa Mkoa umeongea mambo ya msingi sana waheshimiwa Madiwani yatafakarini maneno hayo.Ni ukweli usiopingika kwamba Makete kwa zaidi ya miaka 20 tumekuwa tukipata Waukrugenzi ambao muda wao wa kustafu umefika hivyo wamekuwa wakikosa uthubutu na ubunifu wa Miradi ya maendeleo kwa Makete na muda wote wamekuwa wakilinda kustaafu kwao,kitu ambacho kiliwafanya wawe waoga na wanakosa uthubutu wa Miradi wala mawazo chanya kwa maendeleo ya wilaya yetu. Kwa sasa tuna DED kijana,DC kijana wote hawa tumewaona wakifanya kazi na wanajitoa kwelikweli,wananchi w Makete na Madiwani tuwape ushirikiano. NI MATUMAINI YANGU KUWA TUKITEMBEA NA KUZIISHI NASAHA ZA MKUU WA MKOA TUTAFIKA MBALI. MAKETE NI YETU TUIJENGE PAMOJA.
WAKINGA WOTE WENYE UWEZO, RUDINI KWENU MAKETE MUWEKEZE, RC MTAKA
3:28
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
CPB YAHITAJI NGANO YOTE ILIYOZALISHWA MAKETE
3:38
Makete Account
Рет қаралды 202
Bloomberg Surveillance 07/24/2024
2:27:44
Bloomberg Television
Рет қаралды 24 М.
UZINDUZI WA MIRADIWA UCHIMBAJI MADINI YA CHUMA MAKETE
3:24
Makete Account
Рет қаралды 233
KUFIKIA SEPTEMBER 2024 UMEME UWE UMEFIKA KAMBIKATOTO
8:22
Chunya Dc Online
Рет қаралды 231
April 17, 2024
7:51
Makete Account
Рет қаралды 30
Namna Makete wanavyotatua Migogoro ya Ardhi
5:54
Makete Account
Рет қаралды 198
MSIMU WA MAVUNO YA NGANO WAANZA MAKETE
1:19
Makete Account
Рет қаралды 192
The rise of Opiyo Wandayi: From MP to CS
5:10
KTN News Kenya
Рет қаралды 30 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН