اللهم صل وسلم على سيدنا محمد عدد خلقك ورضى نفسك وزنة عرشك ومداد كلماتك من يوم خلقت الدنيا إلى يوم الدين
@alhajishavi1172 Жыл бұрын
000000p
@salmadhahabu64492 жыл бұрын
Allaahumma swalli wasallim alayhi
@salumuhafidhimtabe16 күн бұрын
Namuona mheshimiwa waziri
@abdulnaseermrisho43422 жыл бұрын
Mash Allah
@mashakakakulukulu57442 жыл бұрын
Dooooh! Ladgab Belege umenifurahisha kweeeeeli, nimecheka mpaka nimekaukia wallaah
@OmaryMwarami Жыл бұрын
Atari sana
@princesaha32622 жыл бұрын
Naam
@Ourstyletz2 жыл бұрын
Bhaaaasss..........!!
@mr.magic771 Жыл бұрын
aisee nina jambo na wewe naomba ntumie namba yako.. kama wew nd admin wa madrasa
@mzuzubadonipo91682 жыл бұрын
Namuona alhabebe mziwanda
@engineerseif45002 жыл бұрын
Hatar kubwa sana
@mulimasalumu488 Жыл бұрын
Mumetisha wazee wa dufu kubwa
@radgabbelege72342 жыл бұрын
Hivi wareed na mziwanda kama wote wangekuwa watoto wa marehemu sheikh Alhad humo ndani kwao kungekuwaje mana hawajawahi kuuacha uwanja kuwavunja watu mbavu ila wanajua sana kucheza dufu mana nikimuangalia imamu wañgu wa Mtoro hapo sheikh Othman khamisi nàhisi yeye itakuwa alisomà madrasa za answali hakukuwa nà dufu anajirukia tu ili wazime akakae chini
@jumahory8592 жыл бұрын
Nuri kweli hamshikiki dih
@shamisahmed14252 жыл бұрын
Wale wanaosema Maulidi ni Bidaa wakiona ivi vitu lazma wakalazwe Muhimbili kwa uchungu....!! Tunawakera sana...!!
@abuushakiraddausiy8666 Жыл бұрын
Lisautiy lako libayaaa ukorikod uwe unakaa kimyaaa umeharibiu sasa mdundoo...
@sufibinshihab1275 Жыл бұрын
awa watu waachiwe tu
@chinjochwayaa72502 жыл бұрын
Kwani niulize haya maulid yapo kund gani ni sunna au faradh na baada ya jibu ni mfumo gani aliotumia bwana mtume kufundishia waislam maana naona kila mmoja anautaratibu wake naomba jibu